Тёмный
No video :(

SHEKH MUHAMMAD IDD _ UHALALI WA MAULIDI I FAIDA ZA MAULIDI 

BABDEO MILADU
Подписаться 250 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 213   
@mohamedjakaya5355
@mohamedjakaya5355 Год назад
Jazaka Allah Shekh M Iddi. Kwa wanaopinga Maulidi ya Mtume wetu SAW eleweni kuwa kuzungumza kauli mbaya hiyo si tabia mwislam na ni mbaya sana inapelekea chuki baina yetu toa hoja tu za msingi na si lazima wewe kwenda kwenye maulidi.
@mustafahkapopwa5239
@mustafahkapopwa5239 8 месяцев назад
Sheikh endelea na mwenyezi mungu akujalie umri mrefu kwa kazi kubwa unayo ifanya kwa ajili ya kumtetea mtume .
@MuhdharMuhammad-qv3zl
@MuhdharMuhammad-qv3zl 9 месяцев назад
Shukran Sana Sheikh Wetu Kwakutuelimaisha usife moyo sheikh Wetu kwasababu hata Mtumi Muhammad SAW alipingwa shukran sana
@maawymuhammad6779
@maawymuhammad6779 Год назад
Mashaa allah hoja za maana umetoa sheikh hao wapinzani wao hupinga kichuki maana hawana dalili za kupinga Shukran sana sheikh
@jimjam4162
@jimjam4162 4 года назад
Shukran sana sh. IDDI kwa ukumbusho mwema.
@ahmedhamisi328
@ahmedhamisi328 4 года назад
Shukurani
@jariahnamusisi2592
@jariahnamusisi2592 2 года назад
Shukran ya sheikh...
@haydarhamad6532
@haydarhamad6532 3 года назад
Nakukubali Sana Sheikh wangu!tupe elimu😃😃
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Год назад
Kama unakubali hayo wallahi tia shaka dini yako....kumbuka you have only one chance ya kutengeza akhira yako. Usibahatishe
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw Год назад
​@@mohagurey2214 kama ulivyotiliwa shaka uislamu wako
@jumaakhalfan485
@jumaakhalfan485 4 года назад
Daaahhh nimekuelewa vizur sana
@zamabuu7707
@zamabuu7707 4 года назад
Alhamdulillah sheikh hakutoa hadithi wala aya moja ya kuthibitisha maneno yake. Dini hii ni ya Allah na mtume wake na wala sio ya wasanii.
@liljaraomary4995
@liljaraomary4995 3 года назад
Bs we lete aya na hadithi kuwa maulid maulid ni haramu
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 3 года назад
@@liljaraomary4995 Kauli za kifiqh inasema asili ya ibada ni kuamrishwa.. yan we uwez kutoka unapopotoka uje kusema tusali sala sita badala ya tano faradhi kisa tu kusali unapata thawabu. Lazima ibada yeyote inayofanyika iwe na dalili katika quran au sunnah
@subayyaonline7139
@subayyaonline7139 2 года назад
Katk shekh aliyezungumza lamaan katika suala la maulid huyu wamwazo hongera San ww ni zaid ya nassor bachu kwa ulivyofafanua na kuaeleza watu allah atakulipa
@mohamadally5732
@mohamadally5732 4 года назад
Shukran kwa darsa nzuri
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 года назад
Mashalha
@zaidechafim2613
@zaidechafim2613 Год назад
Tatizo lamashekh awafanyi mraaja uyu ajaelewa
@hatibmintanga7325
@hatibmintanga7325 2 года назад
Jazalaallahu Khayra Sheikh Mohammad Idd.. Mola akulipe Kheri na Atupe mwsho mwema inshaallah... Tunaompenda Mtume Tuendelee na Majambo yetu Mola atatulipa na Kuwapa kheri Mashekhe na Wazee wetu inshaallah
@rjqaasam4587
@rjqaasam4587 4 года назад
Jazaaka llwaahu khayran
@abuumasuri424
@abuumasuri424 4 года назад
Masharubu kama myahudi masheikh wako jela huko wala uwatetei we umekalia kutetea bidaa ya maulid ulamaa usui nenda kale wali unenepe mashavu hayo
@AdamAbubakar-hn9up
@AdamAbubakar-hn9up Год назад
Allah akuongoze ili uijue haki na batwil
@selemaniselemani7014
@selemaniselemani7014 Год назад
Shukran sana, kwa elimu .
@hemedharouna4013
@hemedharouna4013 4 года назад
شكرا. بارك الله فيك
@suleyimanisalimu8950
@suleyimanisalimu8950 4 года назад
Mashaallah shekhe allah akupe umri mrefu ili tupate faida
@sabraham5308
@sabraham5308 4 года назад
Mie suala langu,kuweka sharubu na kuweka ndevu,kipi kizuri,kukifanya kwa mujibu wa uislamu.
@abdullatifyahya646
@abdullatifyahya646 Год назад
Asante kk
@saidsheha-wn4qw
@saidsheha-wn4qw 10 месяцев назад
Kwani kiweka sharubu na kuweka mavuzi kipi bora? Mbona mama yako anaweka mavuzi. Pumbavu wewe
@sabraham5308
@sabraham5308 10 месяцев назад
@@saidsheha-wn4qw Mtoto wa haramu hajifichi,sababu ya kuwa matusi kwako ni kawaida,unanatokea katika familia ya uzinifu ,wanaukoga uzinzi,usingethubutu kusema haya,isipokuwa ukoo wako unaikoga laana,Laanatul llahi.
@muhammadhassanmsaky375
@muhammadhassanmsaky375 Год назад
Asha chacha huuo
@kurashigesir8709
@kurashigesir8709 Год назад
Shekhe wa masharubu badala ya ndevu....sunnah ushaivunja tayari.... Maulid ni uzushi Sheikh usipoteze ummah. Maulid yalianza karne ya saba baada ya kuondoka mtume. Mtume alipotoa Khutbah Arafa Hijjatul Widaa na kuwaambia Maswahaba Leo hii nimeikamilisha dini yenu na nimeridhia uislamu kuwa ni dini kwenu na kila aliyeko hapa atakuwa shahidi mbele ya Allah kuwa nimewasilisha kama nilivyopokea. Akaongeza kuwa Quran na Sunnah viwe muongozo wetu popote pale. Je Maulidi ni Sunnah ipi? Manake katika Quran hayapo. Tumuogopeni Allah ndugu zanguni....Maulid ni uzushi.
@thukha5052
@thukha5052 4 года назад
kama umesikia kasuku katajwa weka like
@centralzonetvtanzania7313
@centralzonetvtanzania7313 4 года назад
Chagua mwenyewe Uende Maulidini au Kwenye Miski ya Roho Diamond Jubilee sijui kiingilio bei gani
@mohdseif1659
@mohdseif1659 4 года назад
kinyume kabaku ww kaka una elimu na jambo hilo hivi watu wakikusanyika kumswalia Mtume saw ni vibaya
@centralzonetvtanzania7313
@centralzonetvtanzania7313 4 года назад
@@mohdseif1659 Unaijua Misk ya Roho ya Mawahabi?
@allykassim3670
@allykassim3670 4 года назад
بارك الله لك
@MasoS024
@MasoS024 4 года назад
Hayo maulidi suna au faradhi
@qariikhamisiqarii5920
@qariikhamisiqarii5920 3 года назад
Swali la mtu asiye taka kuelewa
@sabraham5308
@sabraham5308 Год назад
@@qariikhamisiqarii5920 Ni kweli kabisa,haya maulidi ni lazima kuhudhuria kwamba ni faradhi,au Sunna ya mtume,kuhudhuria na kutohudhuria ni sawa?
@AdamAbubakar-hn9up
@AdamAbubakar-hn9up Год назад
Uwongo
@user-pc4vl3hr8s
@user-pc4vl3hr8s 7 месяцев назад
Tena washabiki utawaona tuu mtu kusoma hataki , mawahabi !!!😢😢😢
@keydsong
@keydsong Год назад
Tunaambiwa tunyoe masharubu katika hadith, vipi na wewe wafuga? Tunaambiwa tusinyoe ndevu, zako mbona kanyoa? Lakini umeshikilia jambo la maulidi?
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Год назад
Amenyoa mandevu na kuacha masharubu Kisha adai kupenda mtumi. Danganya wasiojifahamu
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw Год назад
Lete aya inayosema ni lazima kufuga madevu
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 4 года назад
Sheikhunaa kuna watu nu summun bukmun umyun hawataki kuelewa.
@kitosio
@kitosio 10 месяцев назад
Shekhe Wetu. Jee Maswahaba walikuwa hawajui faida hizo za Maulidi. Ivi sisi leo tushakuwa na akili kuwapita Maswahaba. Muongozaji wa munakasha apiga matari na hatari zaidi Daah. Wanaume wanacheza magoma na kanzu nzuriii. Kuyaacha Maulidi haya uislamu utapata nguvu. Uislamu tunaubomoa sisi wenyewe.
@user-pc4vl3hr8s
@user-pc4vl3hr8s 7 месяцев назад
Tatizo wanasema wasichokijua kwa masikito
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 4 года назад
Hahaaa Sheikh ananyoa ndevu anaacha masharubu...
@mohamedlamimu
@mohamedlamimu 4 года назад
Nadhani ujikite kwenye hoja siyo "personality"
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 4 года назад
@@mohamedlamimu Hoja ya nini.
@mohamedlamimu
@mohamedlamimu 4 года назад
Zungumzia mada iliyopo kwa hoja kinzani, usikimbilie kwenye mashambulizi ya muonekano wa Abu Idd, ndo maana yangu!
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 4 года назад
@@mohamedlamimu Unamaana nianze kubishana kuhusu uhalali au uharamu wa Maulidi?
@deathrow8004
@deathrow8004 4 года назад
rasul swala llahu aleyhi wasalam..unaemfanyia maulid kwa mbwembwe katuambia tufuge mdevu na tupunguze masharubu..acha taasub ndugu yangu
@mussaomari7385
@mussaomari7385 2 года назад
Ww shekh kasome vzr
@vyamanahabdallah4771
@vyamanahabdallah4771 2 года назад
Tupe dalili sheikh hii dini haipelekwi kwa fikra za watu
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 4 года назад
Maadui. zako wanapata tabu sana kila ukiweka mada hizi
@sabraham5308
@sabraham5308 Год назад
Maadui zake wanapata tabu sana kila akiweka sharubu
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 4 года назад
Shekh endelea kuelewesha mung atakulipa
@aliyomar9140
@aliyomar9140 4 года назад
Yusuph Kwaya wataelewa tuu
@kitosio
@kitosio 10 месяцев назад
😅😅😮😮😮 { وَٱلسَّـٰبِقُونَ ٱلۡأَوَّلُونَ مِنَ ٱلۡمُهَـٰجِرِینَ وَٱلۡأَنصَارِ وَٱلَّذِینَ ٱتَّبَعُوهُم بِإِحۡسَـٰنࣲ رَّضِیَ ٱللَّهُ عَنۡهُمۡ وَرَضُوا۟ عَنۡهُ وَأَعَدَّ لَهُمۡ جَنَّـٰتࣲ تَجۡرِی تَحۡتَهَا ٱلۡأَنۡهَـٰرُ خَـٰلِدِینَ فِیهَاۤ أَبَدࣰاۚ ذَ ٰ⁠لِكَ ٱلۡفَوۡزُ ٱلۡعَظِیمُ } [Surah At-Tawbah: 100]
@kitosio
@kitosio 10 месяцев назад
Bin Atupe Fiqhi ndio muhimu. Mazagazaga Ayatupilie mbali. Elimisha watu Fikhi utapata mingi Kwa ALLAH. MAULIDI HAYA NI BIDAA MBAYA. TUNAAIBIKA KAMA HATUKUSOMA.
@deathrow8004
@deathrow8004 4 года назад
sheykh umechanganya MUBAHA & BID'AA ..ALLAH ATUONGOZE..,
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 4 года назад
Naomba mwaka huu ya adhimishwe kuliko miaka yote
@osmanha6915
@osmanha6915 4 года назад
Unapenda kiki na kuunda mifarakano isiyolazima
@qariikhamisiqarii5920
@qariikhamisiqarii5920 3 года назад
Lugha za kihabi tu acha chuki angalia maneno
@zamabuu7707
@zamabuu7707 4 года назад
Fuata Sunna na Jiepushe na Bid’aa فَإِنَّهُ مَنْ يَعِشْ مِنْكُمْ فَسَيَرَى اخْتِلَافًا كَثِيرًا، فَعَلَيْكُمْ بِسُنَّتِي وَسُنَّةِ الْخُلَفَاءِ الرَّاشِدِينَ الْمَهْدِيينَ، عَضُّوا عَلَيْهَا بِالنَّوَاجِذِ، وَإِيَّاكُمْ وَمُحْدَثَاتِ الْأُمُورِ؛ فَإِنَّ كُلَّ بِدْعَةٍ ضَلَالَةٌ" “Yule atakae ishi (muda mrefu) ataona ikhtilafu nyingi (migongano), kwahivyo fuateni mwendo wando wangu (sunnah) na mwendo wa Makhalifa walioongoka (Makhalifa wane). Shikamaneni nazo kwa magego ( kwa nguvu). Nahadhararini na mambo mapya yanayozuliwa kwani kila jambo jipya ni uzushi, na kila uzushi ni upotofu, na kila upotofu unampeleka motoni.” Katika hadithi hii mtume Muhammad ametoa mafundisho mawili nayo ni; 1. Waislamu tushikamane na mwenendo wake na wa makhalifa walio ongoka kwasababu, wao ndio walioifahamu dini hii kuliko watu wote walio fuatia baadae. Na maswahaba ndio walio ishi na mtume Muhammad, wameshuhudia kushuka kwa wahyi na Allah ndio aliowaridhia na wao pia wamemridhia Mola wao. 2. Tujiepushe na mafundisho na mwenendo mpya usiokuwa na misingi ya sunnah za mtume, ametuonya kwa msisitizo mkubwa kwamba kila jambo jipya ni upotovu katika dini, hata liwe zuri kiasi gani kama ni bid’aa basi jambo hilo halitokubaliwa katika dini hii. Kwa kutilia mkazo juu ya bid’aa mtume Muhammad alisema kuwa, "مَنْ أَحْدَثَ فِي أَمْرِنَا هَذَا مَا لَيْسَ مِنْهُ فَهُوَ رَدٌّ “Yule anayezua kitu kisichokuwemo katika jambo (Dini) letu hili basi litakataliwa” Hadithi hii inawapa habari wale wanao anzisha mambo mapya kisha wakasema ni sehemu ya dini, kuwa Allah hana haja. na ibada hizo. Vilevile kwa wale wanaosema kuwa sisi sio tuloanzisha mambo mapya tunayafanya kwasababu tumeyakuta tu, nao pia mtume Muhammad anawapa habari yao kama ifuatayo, alisema مَنْ عَمِلَ عَمَلًا لَيْسَ عَلَيْهِ أَمْرُنَا فَهُوَ رَدٌّ" “Yule anayetenda kitendo ambacho hakikubaliani na jambo letu kitakataliwa.” Kwahiyo ibada ni ile aliokuja nayo Allah na mtume wake tu, ama yote yaliobakia iwe wewe ndiye muanzilishi wa bid’aa au mtekelezaji wa amali za bid’aa ukweli ni Allah hatoipokea bid’aa hiyo na itakataliwa. Dini hii imekamilika na haihitaji mtu yoyote kuongeza mambo mapya au kuleta ufahamu mpya wa ayah za quran na sunnah za mtume Muhammad. Ufahamu sahih ni ule wa mtume na maswahaba zake na waliowa fuata wao, ukweli huu utabakia hivyo mpaka siku ya mwisho. Jambo jengine la kuzingatia ni dini hii imeshakamilika na imefungwa miaka 1400 iliopita, siku ile pale mtume na maswahaba zake walipokuwa katika viwanja vya arafah Allah aliwapa habari njema, alisema ٱلْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِى وَرَضِيتُ لَكُمُ ٱلْإِسْلَـٰمَ دِينًۭ “Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini..” (5:3) Imam Malik ibn Anas alisema “ jambo lolote lililokuwa halimo katika dini baada ya kushuka aya hii basi kamwe halitokuwa wala halitoweza kuingia katika dini hii ya kislamu, pia aliongezea kila jambo lilokuwa katika dini kabla ya kushushwa aya hii basi kawme haliwezi kutoka katika dini hii”. Bila shaka ni sehemu ya imani kumpenda Allah na mtume wake, ndio maana Allah akamuelekeza mtume atufahamishe maneno haya, قُلْ إِن كُنتُمْ تُحِبُّونَ ٱللَّهَ فَٱتَّبِعُونِى يُحْبِبْكُمُ ٱللَّهُ وَيَغْفِرْ لَكُمْ ذُنُوبَكُمْ ۗ وَٱللَّهُ غَفُورٌۭ رَّحِيمٌۭ “Sema: Ikiwa nyinyi mnampenda Mwenyezi Mungu basi nifuateni mimi, Mwenyezi Mungu atakupendeni na atakufutieni madhambi yenu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kufuta madhambi na Mwenye kurehemu”. (3:31) Kwahivyo mtu yoyote anae dai kuwa anampenda Allah basi hana budi kufuata mwendendo wa mtume Muhammad na mwendendo wa maswahaba zake na wale wanaofuata mwenendo huo tu, na atupilie mbali mambo yaliozushwa na watu waliomsikia mtume kwa kuhadithiwa tu au kumjua mtume kwenye karatasi za vitabu, ukifanaya hivyo basi Allah atakupa mambo yafuatayo, • Atakupenda • Atakufutia madhambi yako • Atakubali ibada zako • Atakupa pepo isio na mwisho. Tunamuomba Allah atujaalie sisi, Watoto wetu na wazee wetu kuwa miongoni wa watu wema watakaopata pepo ya daraja ya juu al firdaws. Ameen Jazakallahu khayran
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw Год назад
Mbna umeiwacha hii من سن في الإسلام سنة حسنة فله أجرها وأجر من اعمل بها
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw Год назад
أنتم أيها الوهابيون لماذا تحبون الكذب والزندق قبل ان تفهم من اشياء الدينية وتركيكم من الحق المندوبية باسم والأفعال كما صام النبي صلى الله عليه وسلم في كل يوم الاثنين حتى ألقي سالا إليه عن أصحابه فقال هذا يوم ولدت فيه
@makinibwika1427
@makinibwika1427 Год назад
Sheikh tuambie wapi mtume Muhammad (saw) au maswahaba walisoma maulid? Huna Aya Wala Hadith ulizinazo porojatu. Allah akuongoze
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 4 года назад
Tupe vitu sheikh hakuna jambo baya linalofanyika ktk maulid
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Год назад
Amesema mambo mengi ndani ya mawlidi na amesahau ile kubwa zaidi, zefe na kukata kiuno ambayo ni 90% ya maulidi
@alibaraka6699
@alibaraka6699 4 года назад
Sheikh anaona anachanganya changanya mambo. Inachotakiwa kwa atowe ushahidi wa MAULIDI siyo kusema sijui mawaidha, sijui kuna chakula, sijui kuna kusoma Kuraani..!! Bakia katika maada ambayo ni Maulidi usiyapambe kwa kuwaongozea mambo mengine ambayo hayahusiani ni Maulidi.
@aliyomar9140
@aliyomar9140 4 года назад
Ali Baraka kwan wewaulid unafaham ni nin shekh
@mohamedlamimu
@mohamedlamimu 4 года назад
Hicho alichokieleza ndo maulid, wewe unayepinga tueleze maulidi ni nini!?
@alibaraka6699
@alibaraka6699 4 года назад
MAULIDI NI BIRTHDAY. Huyo munayemtegemea muulizeni atawambia hivyo hivyo
@abuutheymiin5498
@abuutheymiin5498 4 года назад
Ali Baraka baarakallahu fiika akhy
@saidikessy3692
@saidikessy3692 4 года назад
NILIPI LISILO FANYWA NA MTUME KWENYE MAULIDI
@user-ik6sf8lh9m
@user-ik6sf8lh9m Год назад
Mzee sikuelewi unapo taja msikiti na mshindano ya qur,an
@abuurauzwat1006
@abuurauzwat1006 Год назад
Kikubwa naona ujinga tu huu ulio ongea baas hakuna jipya.
@baesh8445
@baesh8445 4 года назад
Sheik ukipata mdaa naomba tueleezee aina 6 nyongine za maulid,ukiachilia haya y barazanj,mana wengi ukitaja maulid wanajua haya tuu,
@mohdseif1659
@mohdseif1659 4 года назад
kma ni mchanganyiko bx wasiende hija maana kuna mchanganyiko wanawake na wanaume
@zuheirtammam5532
@zuheirtammam5532 4 года назад
Jambo Mtume hakufanyiwa ni kusomewa simtu durar na barzanji
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
liangalie hili jamaaaa lishakufa hili kwa bidaaaaaaaaaaaa izo hoja zake mavi ya ngombe asa
@saidsaid-tn3tu
@saidsaid-tn3tu Год назад
Jazba
@JK-um6op
@JK-um6op Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-rJ_054LvpCE.html Ushajibiwa hapo ustazi idi.. nyiye ni pilau tu.. bila pilau hamna kitu..
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 3 года назад
Allah anasema.. ikiwa kweli tunampenda yeye basi tumfuate mtume kwa yale anayotufundisha na Allah atatufutia madhambi yetu na kuturehemu!!! Sasa shekh wetu sidhani kama hukuwahi kukutana na kauli ya mtume s.a.w inayotutaka tupunguze masharubu na tuachie ndevu!!! Unasemaje unampenda mtume hadi kumfanyia sherehe na humtii??
@abdulhamidsaid3317
@abdulhamidsaid3317 4 года назад
DANGANYA WAFATA UPEPO
@qariikhamisiqarii5920
@qariikhamisiqarii5920 3 года назад
Mawahabi wame fundishwa kutukana
@user-pc4vl3hr8s
@user-pc4vl3hr8s 7 месяцев назад
Wafata upepo ni mawahabi, kusoma kwenye yotbe basi
@SwalehSaleh
@SwalehSaleh 4 месяца назад
Acha kupotosha watu ww,rudi ukasome
@zuheirtammam5532
@zuheirtammam5532 4 года назад
Twapinga maulidi sababu ya vitabu vya maulidi kuna shirki na uongo ndani
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 4 года назад
NJAA TU NDIO ZINAZOWATAABISHA. KAMA HAKUNA CHAKULA BASI HAENDI MTU MAULIDINI. TWAMBIENI NANI ALIYEANZISHA HAYA MAULID? MSIBABISHE WATU.
@qariikhamisiqarii5920
@qariikhamisiqarii5920 3 года назад
Mawahabi mna akili ndogo sana. Kwani chakula cha shilingi ngapi mtu ana kifuata kwa kujaza mafuta yake ya laki tatu kwenye gari. Tumieni akili vizuri. Inaonekana hicho chakula nyinyi ndo mna kitamani sana ila mme kikosa ndo maana hakuna mnacho ona kw maulidi ila chakula tu
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 3 года назад
@@qariikhamisiqarii5920 kati yetu na makhalifa wa MTUME S. A. W ambao aliishi nao kwa shida zote, Akina saydna Abubakar, Omar, Ally R. A. Ulishawahi sikia wakisoma maulidi? Acha kufuata mkumbo. MTUME S. A. W alishakamilisha dini kabla ya kuondoka! Hayo maulid ni nguzo ya ngapi? Tumia akili yako!
@qariikhamisiqarii5920
@qariikhamisiqarii5920 3 года назад
@@natafutamatatizo4382 hamna hoja nyiye. Mna bidaa nyingi hazi hesabiki. Kakini mnaona zina faa kwakuwa mmezua nyinyi. Ukija hapa uniambie. Hadidhi gani mtume aliswali tarawehe kwa jamaa.? Hadidhi kani mtume ali wakusanya watu kw mashindano ya qur an. Kama hakufanya semeni ni bidaa bas. Mbona mnaona mauliditu au mna makengeza ya elimu. Miongoni mwa bidaa zilizo favya katika dini. Ni huu mpango wa hadithi hii ni swahihi hadithi hii dhaifu. Njoo ujibu hayo maswali hapo juu.
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 3 года назад
@@qariikhamisiqarii5920 wewe ulishawahi sherehekea birthday yako? Na unamjua ni mtu wa kwanza duniani kusherehekea siku yake ya kuzaliwa? Ktk kuna sherehe mbili tu, nazo ni Eid al fitr na Eid al Hajj. Sasa hizo sherehe nyingine mmezitoa wapi? Unaijua historia ya Maulidi na yalianzia wapi? Chemsha bongo lako usikubali kuburuzwa!
@qariikhamisiqarii5920
@qariikhamisiqarii5920 3 года назад
@@natafutamatatizo4382 mbona hukujibu maswali?. Sasa una taka kusema kumfurahikia mtume kwa kuzaliwa ni dhambi?. Sasa ngoja ni kuambie. Swaumu ya juma tatu ni birth day. Mtume ali ulizwa kwa nini una funga siku ya juma tatu? akasema kwa sababu ni siku ambayo nime zaliwa. Hai ingii akilini eti mtu akifurahika kwa kuzaliwa mtume atapata dhambi. Rudi kwenye maswali nilio kuuliza hapo juu uyajibu. Maana nyinyi hoja yenu kuu maulidi mtume hakusoma. Je tuache kukusanya watu kw mashindano ya qur ani?. Maana hiyo ni bidaa. Au tuseme inafaa kwakuwa bidaa hiyo mna fanya nyinyi?. Kutiwa vyeti vya kuhitimu masomo. Ibtidaiya mara huyu thanawiy. Mara jaamiya mara kulliyya. Hakuna swahaba yeyote aliye pewa cheni na mtume eti kahitimu kusoma dini. Hizi bidaa zote mna zifanya.jibu hayo maswali hapo juu
@hassanmkufya2867
@hassanmkufya2867 4 года назад
Sawa shekhe je maulidi ni ibada kama ibada zingine
@jimjam4162
@jimjam4162 4 года назад
Ukweli maulid ni ibada Kama ibada zingine. Nami nikuulize Je, kusoma ama kutaja sifa za mtume wetu Mohammad rehma na amani zimfikiye.
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 4 года назад
jim jam Unaonekana unakimbilia kujiridhisha. bila kufuata Utaratibu. Mfano:Kwani kusoma Quraan jambo zur au baya,?? Je,Yafaa kuisoma Quraan kama Adhkari Ya kuingia Chooni.
@saidikessy3692
@saidikessy3692 4 года назад
نعم
@fat-hiyaali4723
@fat-hiyaali4723 3 года назад
yaaan tumekuchoka
@darweshilacha3019
@darweshilacha3019 4 года назад
Hayo maulidi ndoyamewachelewesha mpaka leo mko nyuma kwakilakitu
@ahmadymisanga4755
@ahmadymisanga4755 2 месяца назад
Je lilifanyika wakati mtume yupo??
@SalimSalim-ls9lg
@SalimSalim-ls9lg 4 года назад
Mimi nauliza hivi wewe unaesema tuondoe jina maulidi tuweke mkusanyiko na mengineyo je hayo mnayoyafanya ni dini?kama ni dini au ibada bas tunaomba muongozo wa qur an na sunnah usiongee kwa matamanio ya nafsi yko na pia usipotoshe ummah jua utaulizwa
@BABDEOMILADU
@BABDEOMILADU 4 года назад
Humo ndani kaelewesha na je kufanya mashindano ya Quran na kuweka zawadi imeandikwa wapi? Yeye pia kauliza swali hilo, so jbu hilo swali kisha uulize lako
@swahibuallymussa154
@swahibuallymussa154 4 года назад
SALIMU SALIM,UCHA UBOYA,NAKUULIZA SWALI;JE MASHINDANO YA QUR'AN, MTUME KAFANYA?NA JE MASHINDANO YA QUR'AN NI DINI AU SIO DINI?NA KAMA NI DINI,HEMBU TOA MUONGOZO WA IBADA HII YA MASHINDANO YA QUR'AN, VIPI KAIFANYA MTUNE?NYINYI NI MALOFA NA NI WATU AMBAO MMELAANIWA KWA ULIMI WA MTUKUFU MTUME.
@SalimSalim-ls9lg
@SalimSalim-ls9lg 4 года назад
@@swahibuallymussa154 we akili huna umeathirika na mabiriani ,hlo jambo maulamaa hawajalikataza na dalili wanazo ss mjadala na masafii kama nyie m mwisho na ndo maana iblis laana hupenda sn mtu anayefanya bid'aa kama nyie mambumbu kulko mtu anaefanya maaswiya kwasbb mnaona hyo n dini kumbe n ktk madhambi makubwa kbsa pumbavu kbsa
@SalimSalim-ls9lg
@SalimSalim-ls9lg 4 года назад
Mwambie sheikh wako asiwe anakaa chumbani anaongea na wewe kweny hyo video yako ,atafute munakasha kama yupo tayar kutetea huo uovu wake wa uzushi cyo kukaakaa chumban anaongea haulzwi maswal
@ibnulislaamhamad7673
@ibnulislaamhamad7673 4 года назад
@@BABDEOMILADU Hahahah....duhh. Eti humo ndani kauliza......dini imeingiliwa kwa kweli. Allah atuongoze.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
shekh ana sharubu sjawah ona
@mafishotechtv3379
@mafishotechtv3379 4 года назад
Ww acha uongo wako, hayo ambayo yamethibit kafanya mtume hayakuwa na mtindo huo mnaoufanya nyny.... acha uongo na TALBIS
@subayyaonline7139
@subayyaonline7139 2 года назад
We hujamuelewa huyu shekh usiwe mjinga
@dusabearafatrwigema9248
@dusabearafatrwigema9248 Год назад
Sherehe ipi? Mtume alikua akifunga siku yake yakuzaliwa, kisha hio uzushi wenu mbona maswahaba hawakufanya
@khamisiussi259
@khamisiussi259 4 года назад
DINI YETU YA KIISLAM NI DINI YA HAKI NA WALA HAIENDI KWA KUTUMIA AKILI YA MTU KWA KUSEMA HII LINAFAA NA HILI HALIFAI BALI MAMBO HUAMULIWA KWA USHAHIDI WA QURAN NA SUNNA YA MTUME [S,A,W] SASA KAMA SHEIKH UNASEMA MAULIDI NI KATIKA JAMBO LA DINI BASI LETE AYA AU HADITHI INAYOSEMA TUKUSANYIKE KUSHEHEREKEA MAZAZI YA MTUME NA KAMA HUNA NA KAMWE HUWEZI KUWA NAYO BASI TAMBUA UISLAMU NI DINI YA ALLAH [S W] NA MWALIMU ALIYE MCHAGUA KUTUFUNDISHA DINI HII NI MTUME [S A W ] ALILOTUFUNDISHA YEYE NDIO YALIYO SAHIHI NA ALILO TUKATAZA HALIFAI NA WALA HAJAACHA HATA JABMO MOJA MTUME LENYE MANUFAA NASIISIPOKUA KATUFUNDISHA NA HAJAACHA HATA JAMBO MOJA LENYE MADHARA ISIPOKUA AMETUKATAZA KWA HIYO TUWE MAKINI NDUGUZANGU WA KIISLAM NA WATU AU MASEIKH WANAOJARIBU KUTUMIA AKILI ZAO KUBAINISHA JAMBO KUWA LINAFAA NA HALI MTUME, [S A W] NA MASWAHABA ZAKE HAWAKULIFANYA WALA HAWAKULIFUNDISHA TUJIULIZE SISI NA WAO NI WAPI WALIO ITAMBUA DINI VIZURI ZAIDI NA KWA UKAMILIFU WAKE KAMA JIBU NIWAO BASI TUFUATE NYAYO ZAO ILI TUFAIKIWE KATIKA MAISHA YETU YA DUNIA NA AKERA. TUZINDUKE WAISLAM TUSIFATE MKUBO TU.
@subayyaonline7139
@subayyaonline7139 2 года назад
Kuwa na akili kijan jiulize je wanakaa wanamsalia mtume wanamtusi kwanza juulize ndio utajua sio kila alilokuwa hakufanya mtume ndio halifai tumia akil maaa. Hata hivyo vtabu wakat wa mtume hakuna he nyinyi mumevipata wap
@alibaraka6699
@alibaraka6699 4 года назад
Jee kwa yule Muislam ambaye katika umri wake wote hakuwahi kusoma Maulidi ana hukumu gani mbele ya ALLAH?
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 3 года назад
Hupati dhambi yoyote ndugu yangu maana si katika jambo la faradhi wala la sunnah!! Hata hao wanaoipigia debe hii bidaa ukiwauliza kama mtu asiposherekea anapata madhambi au laa watakwambia hupati
@fat-hiyaali4723
@fat-hiyaali4723 3 года назад
hapati chochote kwan faradhi hio atuache na moja moja asitie watu njaa bure
@khatibbakhresa7615
@khatibbakhresa7615 Год назад
Vyvyt itakavyokuwa Yamekuja Maulid miaka mingi Mtume SAW ameshaondoka
@shosiabdalla6880
@shosiabdalla6880 4 года назад
Sheikh abuu idi kwa hili la maulidi umenoa
@saidalghafri3111
@saidalghafri3111 Год назад
Shekh naomba no yako tafadhari
@JK-um6op
@JK-um6op Год назад
Wewe idi umesomeya wapi? ivi wewe una Elmu ya kutuelezeya sisi wanafunzi..? Mbali na mambo ya ngoma na shirki?
@abaafarhat9191
@abaafarhat9191 3 года назад
Hapo utakuwa na tofauti gani na anayesherehekea kuzaliwa kwa masihi issa bun maryam eti kitu kikiwa kizuri kitapingwa kwa hiyo hata waislam tunavyoupinga ukristo ni mzuri? Mashehe wapotoshaji kabisa hawa subiri siku mkutane na mwenyezi mungu ndo mtakuja kujua kusherehekea maulid ni kujifananisha na wasiokuwa waislam "mantashabaha bi kaumi fahuwa minn" hakuna kitakachoniingia hapo
@JK-um6op
@JK-um6op Год назад
Bora nikaye nisikilize mwenda wazimu sokoni.. huu upumbavu peleka kwako nyumbani.. mpuuzi wewe...
@nasranassor2333
@nasranassor2333 4 года назад
Acha zako sheikh bwanaaa yaani wapamba maulidi kwa kila hoja ili tu watu wote wayapende?
@abdallahomary3414
@abdallahomary3414 Год назад
Mwalm wajua wewe mpk wajua tena
@ayubmakame9251
@ayubmakame9251 Год назад
Mtu anapiga dufu na kuhifadhi tu mashairi lakini kwenye quraan hamna kitu hi si ni hasara tu
@saidsaid-tn3tu
@saidsaid-tn3tu Год назад
Sasa hayo ndo ya kukumbushana kwamba watu wasiishie kuimba mashairi watumie sauti zao nzuri kusoma Qur'an pia
@Raihan20000
@Raihan20000 4 года назад
sheikh akiwa kidevu chake kinafanana na cha mkewe mie nakuwa simuelewi anachokisema. Mtume salallahu alayhi wasallam aliweka ndevu na akaamrisha wanaomfata wafanye hivyo. Sasa sheikh kama huyu sijui anamfata nani kunyoa kidevu chake. Kufata tabia za Mtume ni bora kuliko kumsifu. Na ndivyo Allaah anavyosema.. QUL INKUNTUM TUHIBBUNALLAAH FATTABIU'NI...
@mariamunika6239
@mariamunika6239 2 года назад
Acha matusi ndugu
@timbulosaid63
@timbulosaid63 4 года назад
Mngekua umkutana kwenye maulid japo mgekumbushana kujenga hata hospital au shule nahic mngewakosha baadhi ya waislam pamoja nakukutana kwenye maulid,sasa mwakutana kula ubwabwa tu shkh tuoneshe japo uwanja ulio uandaa kwajil ya kujenga shule?
@sayeedsaleem6395
@sayeedsaleem6395 4 года назад
Akili huna wewe
@alishauri5721
@alishauri5721 4 года назад
Sheikh ndevu ziko wp au likizo
@duidala3228
@duidala3228 4 года назад
Wacha maneno yako wewe shekhe mkaidi zuzu uso juwa dini yako ...
@mwajumafuadsaad5994
@mwajumafuadsaad5994 Год назад
Sheikh wapewape maulid yako yako tunaendelea
@saidsaid-tn3tu
@saidsaid-tn3tu Год назад
Ndomana sheikh alitahadharisha kuielewa maulid kma jina Akaomba tuielewe maulid kwa kile kinachofanyika huko Panasomwa Qur'an Anatajwa na kusifiwa mtume Panatolewa mawaidha Panatolewa swadaka ya chakula Sasa ukichukua maulid km jina hutopata mtume kufanya Kwan mtume alifanyisha mashindano ya Qur'an na kuwapa zawad watu Mtume alikwenda hijja zaid ya Mara moja Msikiloze tena sheikh
@darweshilacha3019
@darweshilacha3019 4 года назад
Nauliza kaswida na kwaya kuna tofauti gani?
@dusabearafatrwigema9248
@dusabearafatrwigema9248 Год назад
Wewe mbona wafuata tabia za mayahudi? mtume katuamulisha tusinyoe ndevu kisha tupunguze mashalubu wewe umeenda kombo ata uyaongea Ni uongo mtupu, nenda nahalamu zako ukacheze nawakwenu, usiloge jami
@saidsaid-tn3tu
@saidsaid-tn3tu Год назад
Kwa kutofuga ndevu ndo ataingia Motoni?? Asipovaa kanzu fupi ataingia motoni? Au wew kanzu fupi kiremba na kufuga ndevu vitakupeleka peponi Embu acha hoja za kitoto sheikh
@fat-hiyaali4723
@fat-hiyaali4723 3 года назад
shk tupe hoja za hadithi na kuraan sio unaongea mdomo mtupu apo ww vp husomi mzee wew
@zuheirtammam5532
@zuheirtammam5532 4 года назад
Hapo hakuna dalili bali ni porojo tupu
@abuumasuri424
@abuumasuri424 4 года назад
Yahudi we we wala sio sheikh
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 4 года назад
Nkushangaa wamuita muislamu mwenzako yahudi hugo unaemuita hivyo anakushinda kwa kila kit.
@zuwena6789
@zuwena6789 3 года назад
hoja hazijaniingia kabisa. tunasubir aya ya quran au hadithi au ijmaa au kias. waislam tusiwe washindani. کل بدعة ضلالة ٠
@danielmtanda1223
@danielmtanda1223 2 года назад
Huna jipya dada...unakaugonjwa wataka utibiwe
@kassimsalim5642
@kassimsalim5642 4 года назад
Badoo huna hoja chibui
@tatuamiri1712
@tatuamiri1712 4 года назад
Mnafiq mtume aliwatabiri kama mtakuja kwanza unajifananisha na mayahud na hayo masharubu mnapotosha umma.
@hajimasoud7210
@hajimasoud7210 4 года назад
huyu sheikh ubwabwa lengo lake wali wa maulid sijui mpaka leo hajashiba
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 4 года назад
Haji Masoud Toa hoja
@SalimSalim-ls9lg
@SalimSalim-ls9lg 4 года назад
Atakua hajashiba maana hapo hatuskii qur an wala sunnah,ye mwenyewe hapo hafanan hata kidogo mtume wa Allah
@jumaissa1816
@jumaissa1816 4 года назад
Kuwa na adabu kwa masheikh huo ndio uislam.
@fahimasheikh743
@fahimasheikh743 4 года назад
Acheni hasada tumswalieni mtume.Allahumma swali wa sallim alayhi.
@SalimSalim-ls9lg
@SalimSalim-ls9lg 4 года назад
Hii dini haina uchafu wa shirki wala uchafu wa uzushi ,nyie endeleeni kuwaskilza mashekhe wanaotetea uchafu ktk dini kwa ajili tu ya matamanio ya nafsi na mapenzi yenu kwao
@MasoS024
@MasoS024 4 года назад
Pumbavu mkubwa ww bidaa mkubwa
@zuheirtammam5532
@zuheirtammam5532 4 года назад
Wachakuongea kwa hawa ya nafsi
@MasoS024
@MasoS024 4 года назад
Je mtume alifanya maulidi kama la sasa ww wamfata mtume gani
@mohdseif1659
@mohdseif1659 4 года назад
king ivi Mtume aliikusanya Qur'an katika msahafu mmoja au alisema jibu hakuna wala hakuna hadithi bali sayidina Othman ndie alokusanya Qur'an katika msahafu mmoja je ni bidaaa jibu
@nurdinali6278
@nurdinali6278 4 года назад
Sio kila kitu kafa ya mtume
@subayyaonline7139
@subayyaonline7139 2 года назад
Ukichukulia hivyo kwanza ujiulize he hili BAYA au zuri kuwa na akili
@khamiskhamis5495
@khamiskhamis5495 2 года назад
Mtume haja katika na kutuka ruka kama vile wafanyavyo wanaocheza dufu na mizumari
Далее
Sheikh Mohamed Idd - Usahihi Wa Maulidi Part 2
30:20
Просмотров 29 тыс.
Sheikh Mohamed Idd - Usahihi Wa Maulidi Part 1
30:20
Просмотров 84 тыс.