Kwa nini hamsemi kuhusu Palestina Kwani wanauliwa waislamu tuu Palestin wapo wa kristo Na kanisa la miaka zaidi ya elfu limevunjwa na Israel Wao mayahudi hawamini ukristo wala uislamu Mbona mumeka kimya South Africa ni wakristo Wanawapinga Israel
Wewe umevamia ndgu yangu... Kina sheikh Walid alhad wamezungumzia Palestina mpk kwenye membar za Ijumaa.. Usije kwa chuki na hasadi sababu umeyaona Maulid.