Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090
Alhamdhulilah raddi zinawafikia mwatafuta upenyo wakutokea lkn wap umma unazidi kufungukuwa na talbiss za Masufi Ibada nyingi za Masufi ni za kubabaisha 2
@@khalidabdulla6545 Hakuna salafi mwenye wasiwasi Katina dini na Ibada zake Sababu tunatekeleza kama alivyo fundisha mtume na walivyo fahamu maswahaba Nyie masufi ambao Kila kukicha munazua Ibada kinyume na zilizo fundishwa na mtume kwa wema walio tangulia
@@shabanimussa4269 Duh umeishiwa kweli Sasa sisi masalafi na nyie masufi nani wanga Wakati mashekhe wenu wanadhihirisha uchawi hadharani Na ishirikina ALLAH awaongoze
Huyo Shekhe Mafuta wa kusema TV haramu alafu yeye misafala yake anatumia TV.Hui si upumbavu.Shekhe alukuwa ni Hasan Ilunga sijaona kama yeye mpaka sasa.Wote wa sasa kazi yao kutoana Motoni tu.utssikia Bidaa bidaa lete Dalili lakini hawapambanii kuunganisha Uislamu na Waislamu.Kutwa kuongelea wewe Dhehebu gani toka hufai.Wakati mtume mpka leo hakuna anaejua alikuwa dhehebu gani.
Nilishawaeleza tuna bahat kubwa mno kuletwa Abulfadhil kassim mafuta katka nchii hii na Allah, Allah subhanallah waataallah amuhifadhi sheikh wetu ampe umri mrefu Kwa hakika miaka michache ijayo InshaAllah kundi kubwa zaidi litakuwa limekatika kutoka Kwa masufi na kuifaham Sunnah Allah atupe umri wenye faida tuje kujionea
Alianza kusoma kwenye madrasa ya katatibu tawi la tamta kijijini kwao pongwe kisha tamta kwa sheikh mohammed ayoub kisha kisauni kisha yemen kwa sheikh muqbil rahimahu llahu alayhi kisha chuo kikuu cha kiislam madina hiyo ndio silsila ya elimu yake
Sasa unaelezeaje mwalimu mzuri ikiwa hata tawhidi huijui? Unasema masheikh zako ndio wanao pangilia maisha yako ya sasa na ya baadae Na vipi kuhusu ayat hii قل إن صلاتي ونسكي ومحياي ومماتي لله رب العالمين ، لا شريك له وبذلك أمرت وأنا أول المسلمين. سورة الأنعام: ١٦٢، ١٦٣ Mcheni allah kwenye kusifiana kwenu
Ni kweli kabisa shekhe kasimu mafuta hawamfikiiii kwa sababu ni mtu hatari sanaaa ktk jamiii ya kiislamu ni fitnaaaa mtu ya kufarakanisha ummma wa kiislamu
Allah awahifadh masheikh wetu waliotuelimisha tukaijua dawahtu salafiyah maana utajua Michele na chua na wausia masufi wajaribu kukaa kwenye darsa za kisalafi hata Kwa mwezi mmoja tuu Kwa iklasi sidhani kama watarudi kwenye usufi
Sina la kusema lakn masufi hamuwezi fikisha dini kwa watu katika uhalisia wa dini ilivyo, hata mkimchukia sheikh Qasim mafuta hamuwezi funika haqq anayo itangaza katika umma endeleen kushindana katika maulidi, na kuwalea mashia na makafiri.
@@saba-gv3mj Shia ni makafiri kwa Itikadi zao, ndio maana nakuambien nyie hamtakaa KUFIKIA kazi anayo ifanya Qasim mafuta katika DINI hii chukie na mfe na chuki zenu kamwe hamtafikia juhudi yake, labda muachane na Bida'a na mrejee katika DINI yenu.
Km yy ni kiboko bc tembo mziwanda alitangaza mjadala na yyte wa kiwahabi ajitokeze mpka namb zke z cm ktoa mbna hyo kiboko wako hajajitokeza kw tembo wetu?
Baba kuwa mwalim wa Quraan na Mama kuwa mwalim wa Quraan sio hoja bwana, sisi tunaangalia je Aqeedah yako imesalimika maana huyo ndiye aliyesema hasipomuona mtu Fulani (Jina Kapuni) hayupo peponi ataandamana na hajafanya Tarajo hadi sasa sasa yeye kuwa mwalim wa Quraan kumemsaidia nini ikiwa anaongea maneno ya Kufuru?
Unaweza Ukawa Umefahamu Lakini Ukawa Ujaelewa Nahilo Lakuelewa Nalo Linahitaji Kusomeshwa Nasi Kujisomea Kama Watu Tulio Wengi Tunakimbilia Madukani Kununua Mavitabu Nakujisomea Pasi Nakusomeshwa Na Wanaostahili Kutusomesha.
Uupuuzii tuu, kazi kuchekesha na na visa visokuwa na natija kwenye uislamu, na kurundikana sifa zisokuwa na ukweli. Kweli hakuna sufi hata moja mwenye akili
Muumini wa kweli hawezi kuwa na chuki na muumini mwenzie kila kitu masufi usufi ndio nini au usalafi ndio nini tusiwachanganye watu kwa matabaka WW fundisha watu sio kupandia mafundisho ya watu
@@abdurrahmanis-haaq4588 Najikinga Kwa Allha namaneno Yako hayo hakika kupitia darasa zake amenifundsha kutokumshrikisha Allha nakuacha maasia nakusimama kiyamu lail nakuleta swalat alanabii zaka na swadaka mpaka nikilala ndoto zangu nikutia udhuu na baada ya hapo nasoma Qur'an ktk ndoto je ww MTU huyu ndo unampuuza? Mtume wa Allha anasema waliowema niwale wanazuia ndimi zao Kwa waumin wenzwao na Allha anasema enyi watu msiwapuuze waisilam wenzenu huwenda wao wakawa Bora kukushndeni nakuusia Ndugu yangu ktk Iman umuogp Allha kumuogp kukubwa na kabla hujasema kitu mkumbke sana MTUME wa Allha utasalimika ww na sisi umati Muhammad. Nisameh kama nimekukwza ktk kujb kwangu shkran.
Admin umekosa uadilifu kweli, yani walidi umemwita shekhe, sheikh Kasim mafuta umemwita kasim mafuta. Hv ktk hao waliokaa hapo wote kuna mwenye kumpata kwa ilm sheikh kasim mafuta?
Masufi bhna Hawana lolote...Wanajiona wao wakuji compare Na Sheikh Abulfadhil Qassim maftah.!?Hiv kwel Watu wa Qaswida wakajilinganishe na Wasomi wa Dini ambao historia zao zinajulikana.Doh
sheikh unajua imetumika lugha ya kiswahili hapo Sasa kwenye lugha ya kiswahili kuna TAMATHALI ZA SEMI embu kaa darasani usome bhana TATIZO HAMTAKI kusoma afu mnaleta ubishi ubishi LUGHA INA UFUNDI WA KUTUMIKA KWENYE MAONGEZI NA HAINA MAANA ULOMAANISHA WEWE YA KIPUUZI ukitafsiri kwa njia potofu utapata maana potofu UFAHAMU NAO RIZIKI 😂😂
hapo ni kuwaambia watu hatuwezi kuwafata wema waliotutngulia na kwamba wao wanataka kuja na uislam mambo leo muda wa kua salafiyun wapo hai hili jambo lenu halitawezekana mpaka kiama kitasimama hata mukiungana watu wabidaa nyote
Wallah mie kila siku nasema jaman elimu ya shule pia inahitajika sana kwa hawa mashekhe wetu pamoja na elimu kubwa za dini walizo kuwanazo kwanini wenzetu upande wa pili wameliona hili fanya ufanyavyo huwezi ukakuta padri tu acha askofu anaelimu ya darasa la saba au elimu ya form four. Hiyo inawasaidia sana kujenga hoja mbele za watu kuangalia nini chakuongea na contents ya sehemu husika mfano huyo Mziwanda unawezaje kusema mbele ya mic 🎤 eti sheikh Walid unabahati kuwa mtu wa pwani!?haya sio maneno yakuongea mbele za watu kabisa kwasababu kinyume chake waliozaliwa Bara ni watu ambao hawakupata bahati huo ni ukilaza wa mwisho kabisa na haya sio Maneno ya mziwanda tu Mashekh karibu wote hata Walid pia ndio maneno yao na sababu hawana elimu ya shule pamoja na elimu zao za dini walizo nazo. Mie ni mtu wa Pwani kwa baba na mama sina hakika kwa kiasi gani watu wa bara wamejisikiaje ila nachojua hawajajisikia vizuri tenaa sana.
Yaani umeongea maneno ya kipuuzi sana shule shule,shule ndio nini Mtume wetu alisoma shule gani au maswahaba walisoma shule gani maimamu walisoma shule gani? Kama mtu we unavyoona kakosea kukosea kuko kila mahali kwani walio soma shule ndio hawakosei ktk mazungumzo yao? Hivi we unajua elimu ya dini ni nyepesi nyepesi yaani mtu kakomaa mpaka hapo alipofikia halafu una taka kumfananisha na maaskofu wasio kua na uongofu wowote hebu tuondolee ujinga wako kwa mashekhe zetu
Wewe jamaa inaelekea akili yako nindogo na hujielewi ndio maana unatuletea mifano ya maaskofu napia unatatizo na watu wa pwani maneno yote hayo umeona hilo la watu wa pwani
Fitna ni mbaya kaka KWA harakahara unavoonekana ni mtu unae bomoa DINI ya ALLAH hatakama unachuki nao ila nakushaur jilazimishe kuwapenda mashekhe wetu KWA maana hao ndo DINI yenyewe
Yaani wewe zwazwa unazungumzia hizo elimu za hao maaskofu wako??? Sasa ngoja nikufahamishe kitu kwa uwelewa wako hao mapadri TU ndo wamefika vyuo vikuu Kwa elimu Yao ya kizungu sasa hawa hapa masheikh wamefika JAAMI'A ambayo ndio University tatizo ni kuwa hao mapadri wako wamesoma elimu ya kizungu ya kuchambia karatasi badala ya maji na Kwa kuwa inapromotiwa Kila uchao. Boya ww. Kwani mfano dollar ya kimarekani kutumia DUNIA nzima ndio ikudanganye kuwa ndio pesa yenye THAMANI kuliko zoote?? Mbona kua Oman riyal ambayo THAMANI yake hata dollar haiingii. Tatuzo lako HUNA elimu zwazwa ww.
Mnataka skaykh Kassim Mafuta Allah amuhifadhi awe mlaini kwenu nyinyi mliokubuhu ktk bidah.. Na sisi tunasema pia تباذرو يتعمر لكم Na nyinyi kuweni kama Abu Dhar ili Shaykh Kassim awe kama Umar.. La sivyo ni raddi tu kwenda mbele.. Mpaka mtanyooka..
Sijaelewa mashiko yake kwamba mafuta awe kwenye bidaaa. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pole sana ndugu walid dawa ya Sunnah haitishwi hivo badilisha watu uwaongozao wakae ktk njia sahh. Poa jenga ukweli wa dhahir ktk dhahir yake. Achen Faida ya matumbo yenu kwa kuupoteza Ummah. Pole sana Walid nyooka ww na nauwangozao itakua bora zaidi. Mafuta Allah akuhifadh unapambana sana ktk Bidaa kwa miaka mingi sana kwa sasa.
Gwiji la kisufi linaleta taawili mumelisikia gwiji la ubaguzi eti wapwani huo ni uvundo ambao umeuleta apa mbele ungea dini upwani ubara apa hauna nafasi
Masufi hivi hapo kuna mtu alie pewa barka kwenye daawa yake kma kasim shekhe kassim anawanafunzi zaid ya elfu moja na co mzururaji kama hao ana fundiaha na aliwafundisha na saiv ni mashekhe ni wengi mno
Tatizo la masalafy wengi wanakosa hekmaaa na busara SHEIKH WALID ALHAD ALLAH AMUHIFADHI MANENO YAKE MAZURI NA YANA HEKMAAA NDANII YAKE,, SISI MASALAFY NI WAZEE WA JAZBAA KWELII TUNATUKANA SANA MAKUNDI MENGINE NA PIAH TUNAWATUKANA ATA WAZEE MISIKITINI, SHEIKH WALID ALLAH AKUHIFADHI NA UINGIE KATIKA SUNNAH 🤲🤲 NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH
Halafu hakuna salafi asie na hekima ,Wala hakuna salafi asiewaheshimu wazee Wala hakuna salafi wanaotukanana , bali kutofautiana kupo na hilo halikwepeki
Hata Umari bnil khatwab Allah amridhie alikuwa mkali vizuri na watu walinyooka, kwahio usijifiche kwenye kichaka hicho. Kila Dai ana style yake aliyoafikishwa na Allah katika kufikisha, hivyo kama upo katika Sunna umeona mwalimu huyu ni mkali nenda Kwa mwalimu wa Sunna mpole ila sio khurafi
Masheikh wa siku hizi wana semana hovyo hovyo inaonekana hawana mawasiliano mazuri hata kwa simu tu yaani wamekuwa ni tatizo, wanatia unyonge kwa waumini na hata wale ambao waliokata shauri kutaka kuja katika Uislam.
@@idrisamara6510sheikh unajua imetumika lugha ya kiswahili hapo Sasa kwenye lugha ya kiswahili kuna TAMATHALI ZA SEMI embu kaa darasani usome bhana TATIZO HAMTAKI kusoma afu mnaleta ubishi ubishi LUGHA INA UFUNDI WA KUTUMIKA KWENYE MAONGEZI NA HAINA MAANA ULOMAANISHA WEWE YA KIPUUZI ukitafsiri kwa njia potofu utapata maana potofu UFAHAMU NAO RIZIKI 😂😂
Huyu anaesema muawia dhalimu ni kafir wa kishea nini maana wale jamaa sheitwani kawatoa aibu juu ya maswahaba utukana mitusi mikubwa na kufru zao za kishia
HIZO NDIO SIFA ZA MAGHURAFI HUUNGA MKONO LOLOTE AMBALO LIPO MBELE YAO ILI WASIVUNJANE WENYEW KWA WENYEWE MASHEKH WASERIKALI WENGI UNDAN WAKE HUONGOZWA KINYUME NA MATAKWA YA SERIKALI
Maneno mazuri sana nidhamu mzuri ajabu kuona watu ku comment bidaa khurafi mbona chuki zenu zimetupa mipaka mpaka akizungumza maneno yasawa bado mwachukia.
Wapofu nyie wote... Kassm mafuta ya nyonyo au mafuta ya nazi...bonge la muhabi hana lolote. Uliandaliwa mjada huku kwetu Tanga Kwa sisi, akaulza yupo kijana aitwa Abdallah alipojbiwa yupo..akasema siji.
Kassim mafuta ni kiboko yenu na bado mpaka muache huo upuuzi wenu waone mijitu mikubwa lakini inaongea upuuzi ndio maana watu wanawakimbia siku hizi hamfundishi dini kazi kuzua katika dini.
Unataja maswahaba kama unataja wauza mahindi halafu wajidai wewe ni msomi..?Makhuraf kweli mzigo..!!Mafuta(Allah Amuhifadh) ni level nyingine..!!Allahu musta'aan..!!Mngelikuwa wajuzi kuliko Mafuta msingelishirikiana na mashi'a kwenye mambo yenu ya kidini..!!
Wewe unaumia ulivyosikia vitu adimu ambavyo mashekh wenu hawawambii kwasababu ya chuki na hila zenu na itikadi yenu imejengeka juu ya dharau na kujivuna na kujiona wajuaji na kwamba ninyi ndio mpo sahihi na hivyo hata mkikosea hamwombi radhi au msamaha kwa wale mlio wakosea, Ndio maana kwenu matusi ni Kawaida na kuwadharau maulamaa ni Kawaida na wala hamwezi kujifunza wala kusema jambo fulani hatujui au hatuna elimu nalo, Ninyi mkifanya bidaa ni halali kwenu lakini akifanya mwingine huo ni uzushi, Nyie ni hatari zaidi maana hamleti umoja kwa waislam wala mawaidha ya mashekh zenu hayalengi kufundisha zaidi ya kuleta chuki kwa waislam na kutugawa makundi makundi ,Hamfanyi harakati za kiislam za kusilimisha watu zaidi ya kupambana na waislam wenzenu mnaotofautiana madhehebu .Nyie mnataka mvune msichokipanda wakati hao wenzenu wanapambana nyie mnaanza kuleta uwahabi wenu ndio utumike kwenye kutoa mawaidha au kufanya mihadhara au kusilimisha watu wasio waislam. Acheni kutugawa.
Kwani mashia wanahusika nin katika hi mada. Ukosefu wa elim ni nimzigo kwa wenye elim.unazani wewe kuwa muhabi usie na upewo utajifananisha na masun na mashia wasomi? Acheni kukosa adabu kwa madhahibu zingine ban.linganieni ambao hawana neema ya uislam nibora zaid.😂😂😂😂😂
Gwiji la kisufi linaleta taawili mumelisikia gwiji la ubaguzi eti wapwani huo ni uvundo ambao umeuleta apa mbele ungea dini upwani ubara apa hauna nafasi