Alfu hapo kwa hyo video,kuna mukusanyika kwa wanaume na wanawake kiholela,ambpo hyo pia katika deen si sahihi,jamani tujiepushe na vitu vya haraam vitu ambyo Mungu na Mtume Wake wametukazana tujiepushine in shaa Allah
Allah anijaalie nipate mume mwema na mwenye hofu ya Allah na ajue dini anifunze na mie nijue dini nitamsikiza kwa kila atalosema ispokuw lile ambalo ni haram kwa Allah na kwa waislam amina thumma amina 🤲🏼
Hii qaswida huwa naipenda kipindi sijaolewa nilimani kuolewa na kweli nikaolewa basi wee ilipigwa hii nilifurahi sanaa hatimae leo ndoa yangu inamiaka minne naisikiza leo tarehe1 mwezi wa12.2022 Alla awaweke mlioimba hii qaswida
Asalaam aleikum warahmthullah wabarakathuh how are you all?najua hii kina kinaongelea kheri kubwa katika deen(harusi),ila muziki ama utumiaji wa ala za muziki si sahihi katika uislamu,tujiepushe nazo in shaa Allah