Тёмный

SHIMO NYUMBA YA UHARIBIFU ( DAY ONE) - PASTOR SUNBELLA KYANDO 

Reality of Christ Church
Подписаться 75 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Mithali 15:11
[11]Kuzimu na Uharibifu vi wazi mbele za BWANA;
Si zaidi basi, mioyo ya wanadamu?
Kuzimu ni eneo ambalo lipo katika ulimwengu wa roho,kwa maana hiyo hata uharibifu pia ni eneo ambalo lipo katika ulimwengu wa roho,na hadi Neno la Mungu linasema kuwa "vi wazi mbele za Bwana" inamaanisha kuwa ni maeneo ambayo kwa macho ya nyama hayaonekaniki.
Neno la Mungu linaendelea kuelezea kuhusu huu uharibifu katika kitabu cha Ayubu;
Ayubu 26:6
[6]Kaburi li wazi mbele yake,
Uharibifu nao hauna kifuniko.
Tofauti ya kaburi na uharibifu ni kuwa kaburi baada ya kuzikiwa hufunikwa lakini uharibifu hauna kifuniko,kwa maana nyingine; kama kaburi ni shimo hata uharibifu nao pia ni shimo kasoro tu halina kifuniko,yaani halifunikwi.Ni sawa chupa ya chai,ukimmiminia mtu mmoja ukimaliza utaifunika lakini kama kuna foleni ya watu wa kuwamiminia kwenye vikombe hautoifunika hadi uwamalize.Kwa maana hiyo uharibifu ni shimo ambalo lipo busy sana,watu wanawekwa hapo sana.Kumbuka UHARIBIFU SIO MATOKEO BALI NI ENEO(LOCATION).
Na hili jambo lilimtokea pia Daudi;
Zaburi 40:1-2
[1]Nalimngoja BWANA kwa saburi,
Akaniinamia akakisikia kilio changu.
[2]Akanipandisha toka shimo la uharibifu,
Toka udongo wa utelezi;
Akaisimamisha miguu yangu mwambani,
Akaziimarisha hatua zangu.
Mungu baada ya kusikia kilio cha Daudi kitu cha kwanza alichofanya ni kumuhamisha eneo(location) alimokuwemo,yaani shimo la uharibifu.Yeyote anayekuwa ndani ya shimo hakuna kitu atakachokifanya na kikaenda kwa sababu yupo shimoni.Kuna watu kimwili wapo maofisini lakini kiroho wamewekwa kwenye shimo la uharibifu, mshahara wanapata lakini hakuna matunda anayokula kutokana na kazi yake.
Biblia inaendelea kusema kuwa "...toka udongo wa utelezi".
Kwa maana nyingine hata mtu huyu akijitahidi kutoka kwenye shimo bado atateleza na kuanguka tena,na mara nyingi huumia.Ndio maana kila ambavyo unajitahidi kupiga hatua ndivyo ambavyo unakutana na vitu vya kukuumiza sana na unajikuta unarudi nyuma.
Kwa Daudi ilibidi Mungu aingilie kati na kumtoa kwenye hilo shimo, katika sehemu inayofuata tutakuwa na MAOMBEZI na kila shimo la uharibifu ulilowekwa Mungu ataenda kukutoa.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our RU-vid: ru-vid.com/show-UC67L...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando RU-vid
/ @pastorsunbellakyando

Опубликовано:

 

16 ноя 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@leonardsr8994
@leonardsr8994 2 года назад
Jana wakati somo hili linafundishwa ndio ilikua siku ya kwanza kufika Reality Of Christ. Nilipoingia tu moyo wangu ulitulia tuliiiiiiiiiiiii. Asante Roho Mtakatifu kwa hii madhabahu
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Год назад
Amen mtumishi barikiwa sana
@joycekariuki46
@joycekariuki46 2 года назад
Mtumishi umenifundisha Sana haswa katika angaa ya kiroho roho natoka kenya 🇰🇪 kumbe watoto wa giza ni werevu hivyo but pia sisi tukisha jua principles za kiroho tutawashinda ndani Christu aliye mkombozi wetu
@Magrethmvwango-bi9gw
@Magrethmvwango-bi9gw Год назад
Amen 🙏 mungu naomba simama pamoja Nami mungu naomba nitetee wote wanao pigana Nami mungu naomba shughulika nao🙏Amen
@paulashuma3042
@paulashuma3042 2 года назад
Amen🙏nilikuwa nasubiri iwe downloaded sana,Asante Yesu Kristo kwa kufanikisha hili.nahamu sana siku nikanyage madhabahu hii tena nilikanyaga miaka mingi sana jumamosi moja..maana kwa kuangalia tuu napokea napokea.nampenda huyu Pastor .such a great Men of God🙏
@loveandnature2821
@loveandnature2821 2 года назад
ASANTE YESU KRISTO MUNGU WA SUNBELLA KYANDO. NAPOKEA USHUHUDA. HALLELUJAH
@paulchristian5071
@paulchristian5071 Год назад
Najifunza saana kwako MTU WA MUNGU.
@kilangoester3112
@kilangoester3112 2 года назад
Shalom! Nimepata ufahamu.Nahitaji maombi zaidi.
@Miriam84Akizimana
@Miriam84Akizimana 2 года назад
This man of God is sent by God to our nation 🙏❤️🙏 I love him , he is a father 🙏
@jeanbaptiste5512
@jeanbaptiste5512 2 года назад
❤️❤️❤️ Mchungaji usikose kuniombea napenda kushirikiana nanyi hadi tamati live lakini kazi ninayofanya hainiruhusu.
@lucimueni9746
@lucimueni9746 2 года назад
Hallelujah Niko Kenya ninaweza aje kuwasiliana na wewe mtumishi wa Mungu....kwa kweli ukona talanta ya kuhubiri injili
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 Год назад
Amen
@danstonecool1734
@danstonecool1734 2 года назад
amen
@lizzymachocho2948
@lizzymachocho2948 2 года назад
Asante mtumishi kwa hili somo,wakati nilipofunga na kumuombea mtoto wangu nilipata ndoto kwamba yupo ndani ya shimo,nikamuita akatokea na nikampandisha,alikua amevaa nguo nyeupe hadi viatu,sasa nimeelewa.ubarikiwe sana sanaaaaa
@najimaharrison8543
@najimaharrison8543 2 года назад
Amen nimefungulika katika jina la YESU
@sifasylvie3941
@sifasylvie3941 2 года назад
amen asante sana kwa mafundisho iyi tunaendelea ku tiwa nguvu ,na nina amini roho wa mungu ataenda kufungua maisha yangu,na kusihi baba mchungaji nami uniombee ili niweze kutoka ndani ya gereza la shetani naamini mungu atasema na wewe kwaajili yangu.asante.
@saramtei4371
@saramtei4371 2 года назад
Amen dada hakika nimetoka kwenye shimo nakupend babaang kwa jins mungu anavyokutumia hakika natoka mahal nakwenda mahal
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 2 года назад
My fav pastor
@catherinewanjiku2655
@catherinewanjiku2655 2 года назад
AMEN AMEEN AMEEN AMEEN
@veronikaaugustino2258
@veronikaaugustino2258 2 года назад
AMINA Naamin kileMUNGU anataka kufanya kupitia hili NENO Nimekipokea tayar AMINA
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 года назад
Mpakwa mafuta Huku niliko niombee Nitakupata vipi? Kilichotokea kwangu kimefunuliwa ktk hili somo Laa!wakati wa kupona ni huu Huyu MUNGU BABA ALIYEHAI Azidi kukufunulia tupone na tuwe washindi ndani ya YESU ALIYEHAI Amina .
@ernetaissaaluta3185
@ernetaissaaluta3185 2 года назад
Amen ubarikiwe sana pastor
@annstersianganga6772
@annstersianganga6772 2 года назад
Thank you JESUS
@mhamdahmd7758
@mhamdahmd7758 2 года назад
Amen Amen Mungu ..unikumbuke
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 2 года назад
Asante Mungu amen 🙏🙏🙏
@neemasindwa6925
@neemasindwa6925 2 года назад
Amen ubarkiwe sana umenifungua
@bennamuchau6487
@bennamuchau6487 2 года назад
Damu ya Yesu!
@victoremmanuelmwasalwiba9926
@victoremmanuelmwasalwiba9926 2 года назад
Amen 🙏
@tupokengwala2027
@tupokengwala2027 2 года назад
Amen! Asante Yesu
@addo2014
@addo2014 2 года назад
Ooh Mungu ili neno umelileta kwaajili ya maisha yang ❤🙏
@ruthjoel2426
@ruthjoel2426 2 года назад
Amen 🙏🙏🙏🙏
@annabaramay3793
@annabaramay3793 2 года назад
Nimetoka shimoni kwenye uharibifu wa Kila aina
@judithngasa1370
@judithngasa1370 2 года назад
Ameeen
@angeange4342
@angeange4342 2 года назад
Asante kamafundisho
@lindajohn1558
@lindajohn1558 2 года назад
Kweli mtumishi ubarikiwee unatufungua wengi katika ulimwengu wa Roho
@angeange4342
@angeange4342 2 года назад
@@lindajohn1558 mimisio mutumishi miminimlika
@carolinamponji4294
@carolinamponji4294 2 года назад
Mungu wa madhabahu hii ni wamoto ananisaidia sana
@angeange4342
@angeange4342 2 года назад
@@carolinamponji4294 nikweli kabsa
@annabaramay3793
@annabaramay3793 2 года назад
Nimeelewa SoMo kuanzia leo nimetoka kwenye shimo la uharibifu kwa jina la Yesu
@heriethkitururu4401
@heriethkitururu4401 2 года назад
Mungu asante kwa mafundisho aya
@rosanoella5715
@rosanoella5715 2 года назад
Mungu awabariki sana
Далее
Uelewe ulimwengu wa Roho Ufanikiwe katika Maisha II
32:15
Вопрос Ребром - Субо
49:41
Просмотров 1,4 млн
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
🛑 до конца!
00:12
Просмотров 35 тыс.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
Просмотров 19 тыс.
GOD'S WAYS (NJIA ZA MUNGU) - Pastor Sunbella
1:00:48
Просмотров 18 тыс.
Вопрос Ребром - Субо
49:41
Просмотров 1,4 млн