Тёмный

Uelewe ulimwengu wa Roho Ufanikiwe katika Maisha II 

Reality of Christ Church
Подписаться 75 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Karibu kwenye Ibada za Reality of Christ Ministry ambapo Yesu anafanyika kuwa halisi kwenye maisha ya watu, Ibada zetu ni kila Jumamosi ,Jumatatu na mara moja kwa mwezi Ibada ya wanawake .
Kwa maelezo zaidi piga namba ya huduma 0657173332

Опубликовано:

 

10 ноя 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@MesiusKaroli
@MesiusKaroli 2 месяца назад
Mwenyezi mungu akubaliki sana jaman mtumishi wamungu
@binambinam3198
@binambinam3198 5 лет назад
Nakupenda Sana'a mtumishi wa mungu kupitia kanisa lako nimepona hakika nimemwona mungu..
@milyamukumbi5414
@milyamukumbi5414 3 года назад
Mtumishi Sunbella you are the best🙏🙏 From.Kenya
@ruth2578
@ruth2578 Год назад
Amen 🙏 najazika sana katika mafundisho yenu barikiweni sana pastor sunbella and pastor jimmy🙏🙏
@eliudmsey7925
@eliudmsey7925 5 лет назад
Mimi naona katika masomo muhimu sana sana sana sana ni kujua kuoparate katika ulimwengu wa roho nilikuwa natafuta mwalimu sasa nimempata
@eliudmsey7925
@eliudmsey7925 5 лет назад
Endelea kufundisha pastor tuko tunajifunza kwa umakini
@GuillaumeElocho-tf3di
@GuillaumeElocho-tf3di 3 месяца назад
Na mwamini sana uyu mtumishi sunbella uyu baba anamungu mzima tena sina shaka na mungu wake
@josephmusembikyalo5580
@josephmusembikyalo5580 2 года назад
Glory to Jesus for being a faithful servants,unasaisia Sana ufalme wa Mungu
@rehemahassan6073
@rehemahassan6073 Год назад
Barikiwa mtumishi ws Mung
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Год назад
Great sermon
@jerehjeremy007
@jerehjeremy007 Год назад
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu kwa hekima na mafudisho yanao guza na kufunguka wengi Akili. Je. Mtumishi mtu anaweza kuingiza kwa ulimwengu ki vipi, Anaweza fanya aje ni kutoa dhabihu na ku funga au nn mtumishi? Tufanye aje ili tuwe kwa ulimwengu wa roho? TWATAMANI KUA DANI YA ULIMWENGU WA ROHO? mimi Jeremiah kutoka kenya🇰🇪
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 5 лет назад
Sometimes I remain with no say/speech when I hear a lot about spiritual world, salute to LORD God
@gosbertmathias2134
@gosbertmathias2134 4 месяца назад
Sawa kabisa mtumishi
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 5 лет назад
Dah mwalimu anafundisha vizuri Sana namuelewa sana yaani
@gloriaanderson3115
@gloriaanderson3115 5 лет назад
What a revelation..Mungu akubariki Dad
@bonifacenkwabinyashimbahom275
Mtumishi ubarikiwe nimejifunza mengi
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 5 лет назад
What the teaching is this! God bless you at all....
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 Год назад
Mungu ni mwema
@rossemrope5715
@rossemrope5715 2 года назад
mtumishi asante sana kwa mafundisho ubarikiwe sansana
@granceneema772
@granceneema772 2 года назад
Good teacher
@gloryngoiva3334
@gloryngoiva3334 4 года назад
Wow!, somo zuri sana. Barikiwa mtumishi
@grolyjosephat8263
@grolyjosephat8263 2 года назад
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu..
@georgekweyamba5569
@georgekweyamba5569 3 года назад
Feel blessed
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 года назад
Amen mtumishi
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 5 лет назад
Nipo nafuatilia sehem ya kwanza hadi ya mwisho. Mungu awabariki saa watu wa Mungu
@hellenmatei4157
@hellenmatei4157 2 года назад
Deep Sana wenye Roho wa mungu tunaelewa Sana
@georgebugangazpoa4975
@georgebugangazpoa4975 2 года назад
HUO NDIO UKWELI MUNGU NI MWEMA UBARIKIWE SANA MWALIMU
@estomihilaizer1446
@estomihilaizer1446 5 лет назад
Huyu MTU wa MUNGU Anayo ufahamu wa rohoni sana,uwe juu zaidi
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 5 лет назад
Pastor nipo Kigoma, sina usemi tena, nampenda MUNGU bure
@johnfubusa1598
@johnfubusa1598 5 лет назад
Asante sana kwa somo zuri
@revinphilemon3351
@revinphilemon3351 5 лет назад
kupitia video zako nimeuona mkono wabwana mungu akubaliki
@veronikaagustino874
@veronikaagustino874 5 лет назад
Ameen
@eliudmsey7925
@eliudmsey7925 5 лет назад
Amen
@sakisfidmasho6393
@sakisfidmasho6393 5 лет назад
Mutumishi wa Mungu tuombee mtoto .🚹
@viviankuzilwa3556
@viviankuzilwa3556 13 дней назад
Ulipata mtoto mpendwa?
@salvationministry2496
@salvationministry2496 5 лет назад
Ni somo zuri sana, Ninaomba kuzungumza na Mwalimu. 0743287588
@bettohrob1719
@bettohrob1719 5 лет назад
Huyu jimmy ni bongo actor ?
@octavianjoseph3512
@octavianjoseph3512 5 лет назад
Me nashauri awe anatumia biblia halis
@danielringia129
@danielringia129 5 лет назад
Ni masomo mazuri sana na ya muhimu katika maisha
@immacutepeter2875
@immacutepeter2875 5 лет назад
Mwalimu nimejifunza jambo!! Umenitoa sehemu moja kwenda nyingine!!
@sospeterkamala5481
@sospeterkamala5481 5 лет назад
Da! you a man of God
@maggieandrew995
@maggieandrew995 4 года назад
Kweli kabisaa
@joycekariuki46
@joycekariuki46 2 года назад
Great sermon
@positivekheri7753
@positivekheri7753 3 года назад
Amen
@positivekheri7753
@positivekheri7753 3 года назад
Amen
Далее
Uelewe ulimwengu wa Roho Ufanikiwe katika Maisha III
33:23
#kikakim
00:31
Просмотров 11 млн
MIFUMO YA ULIMWENGU: BISHOP GWAJIMA: 03.05.2020
1:55:16
Ulimwengu Wa Roho | Prophet David Richard
48:01
Просмотров 11 тыс.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Просмотров 380 тыс.
MTAZAMO WAKO NDIO MPAKA WAKO
1:02:20
Просмотров 69 тыс.
NAMNA YA KUFANYA KAZI NA ROHO MTAKATIFU PART 2
1:46:53
Просмотров 88 тыс.