Тёмный

SHK MSABBAH ASMULIA ALPOKWENDA GEREZAN | NILILIA SANA | "KAMFUMANIA MKEWE NA MWANAWE WA KAMBO AKAUA" 

Riyadh Tv Online Znz
Подписаться 293 тыс.
Просмотров 40 тыс.
50% 1

#RiyadhTvZnz #Zanzibar #msabbah

Опубликовано:

 

8 авг 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 2 года назад
Allah Subhaanahu Wataala atujaalie mwisho mwema Amin Amin Amin
@user-kx4wd5vb4j
@user-kx4wd5vb4j 2 месяца назад
Shekh Salum Msabah mimi nikiona post zako sizipiti ivi ivi mpaka nisikilize mawaidha yako yenye kina kirefu cha kuelimisha,, Allah akupe mwisho mwema inshaallah.
@feisalfarsy6562
@feisalfarsy6562 3 года назад
Sheikh me nakuelewa sana Allah akuhifadh
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 2 года назад
Eheheh sheik una vituko kweli bwana wallah.. raha. Mashaallah
@MaithamOmar
@MaithamOmar 2 дня назад
Allahumma ammin
@husseinkazungu5101
@husseinkazungu5101 3 года назад
MashaAllah shukran sheikh
@PRF_Muhammad_Bachu
@PRF_Muhammad_Bachu 2 года назад
Allah atustiri Mana hakuna aijuae kesho yake
@mujibushamba4383
@mujibushamba4383 Год назад
Maashaalaah
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 2 года назад
MASHALLAH
@mydearyasini7005
@mydearyasini7005 Год назад
Shekh msabaha
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 Год назад
Dah jamani duniani kuna mengi!! Allah atusitiri!!
@rukiaomar1091
@rukiaomar1091 Год назад
Maashallah Allah bark
@habibumadege6460
@habibumadege6460 Год назад
Assalamu alaykum, nduguzangu munaorikodi Darsa za shekh Salum Msabbah pamoja na Darsa za mashekh wengine kwajumla tunakuombeni mutuwekee namba ktkt masomo ilitujue kwamba hii ni Darsa nambangapi,
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 3 года назад
Sheikh yupo Sahihi Katika kutoa Daawa Msimzihaki mbona hamsimami nyinyi Kutoa Hayo.masafi
@salumajuma9583
@salumajuma9583 3 года назад
Muandishi andika vizuri usipotoshe
@idaaman7489
@idaaman7489 3 года назад
😃😃😃 wallah si ya kucheka
@kinakina3682
@kinakina3682 3 года назад
Asman mallma
@kulthumabdulrahman2915
@kulthumabdulrahman2915 2 года назад
Mtihan
@aluteonlinemedia5574
@aluteonlinemedia5574 3 года назад
dah hatari hiyo 😓😓
@salhasadik366
@salhasadik366 Год назад
Nyie munomdhihaki shekh kwa kusema anafuga kucha hamjasoma dini sawa sawa nioneshe andiko gani linalosema muislamu kufuga kucha haramu acheni kuzuwa mambo bwana weye una mangapi yamesemwa yako ingelikuwa ni haramu hata nywele tusingeingia miskitini na nywele kubwa ........ Hemu tusomeni bwana tujue
@yasiniselemani2412
@yasiniselemani2412 3 года назад
MH bilye oyekomile
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
Mbona hana kosa alitenda jambo la hasira na akatoa adhabu stahiki ?
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Год назад
Mtihan mkubwa jaman
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 8 месяцев назад
Ukaha a nihatari shehe
@amohammed3390
@amohammed3390 3 месяца назад
Tatizo anafikri akizungumza uchafu ndio atapata wateja. Hawa ndio wanaoichafua dini ya kışlamı. Dini ya kiislamu ni nadhwifu na ina hayaaa sasa yeye SALİM MSABBAH amesoma wapi haya. Mtume SAW ndio alivyokuwa akiwaaidh watu hivi
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 🤣 myashidwa
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 3 года назад
jamani maelezo mbona tofauti na heading HAIPENDEZI
@RiyadhTvOnlineZnz
@RiyadhTvOnlineZnz 3 года назад
maelezo tofauti kivip?? maana sisi tumenukuu maneno aloyasema na ndo mana unaona kuna alama ya kutofautisha neno moja na jengine. sasa tofauti iko wapi?
@khalidkiwelu7583
@khalidkiwelu7583 3 года назад
ASTAGHFIRU'LLAH
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mohamedmagongo9348
@mohamedmagongo9348 3 года назад
Astaghfirullah! Sasa hapo ni Msikiti au kwenye baraza la kahawa!?
@ahmedhaji1951
@ahmedhaji1951 3 года назад
Kaka sheikh yupo sahihi afahamike yupo msikitini hapo na hana kosa kisheria, ww km hukusoma rudi ukasome na ww utoe mawaidha kama ni kazi rahisi.
@binseifalsuleimaniy503
@binseifalsuleimaniy503 2 года назад
Kasome sira vp mtume alikuwa akiwafundisha maswahaba hapo utajua kitu
@BOBO_CHANNEL
@BOBO_CHANNEL 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 hapa simfaidi nitamfata kwake kabisa
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 2 года назад
Shekhe huyu anapenda matusi
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 4 месяца назад
Mpuuzi huyu anahalalisha hadi miziki Tena anaimba kabisa nyimbo ya feruzi - starehe
@salhasadik366
@salhasadik366 Год назад
Kasome kitabu cha Abdul kaadir jaylaani al ghunia swahfa 35 utaona kama haramu aw halali
@jonasifesto8505
@jonasifesto8505 2 года назад
Kucha za nini shekh hizo
@nooor1120
@nooor1120 2 года назад
Sheikh wangu taratibu ukitoa mawaidha usihadithie na action km hivo mpk waskilizaji zikaja hisia nyengine.wewe zungumza tu km aliwakuta wako ktk kitendo cha jimai akampiga shoka ingefahamika .nisamehe iwapo nimekosea.
@abuurauzwat1006
@abuurauzwat1006 2 года назад
Kwaiyo wee mwanachuoni auu ?.
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 года назад
Shehk samahani ungepunguza nywele ingekua vyema zaidi
@jamalkhalid1055
@jamalkhalid1055 3 года назад
💯💯💯
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 года назад
@@jamalkhalid1055 ndio ivo uislam ni usafi shekhe minywele imekua mengi mpaka haileti muonekano mzuri wa shekhe ni kioo cha jamii sasa minywele ivo tuige nini
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 2 года назад
Hakuna ubaya wa nywele
@mudrickbachan2442
@mudrickbachan2442 2 года назад
Alie kuambieni uislam ni nywele nani.
@ahmedseif743
@ahmedseif743 2 года назад
angekua ni muarabu wala musingesema ni uchafu kuweni na adabu nywele co shida mazali ni safi na zina chanwa ni sawa
@manja7684
@manja7684 2 года назад
Eti wanazuoni kwa io wewe mwanazuoni?
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
😂😂😂😂🙄😝😝
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 3 года назад
Rehema Salim c ya kucheka hayo mtihani mzito
@habibahadithi5080
@habibahadithi5080 3 года назад
Rehema upo amirat
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
@@habibahadithi5080 nipo vp hal yako
@habibahadithi5080
@habibahadithi5080 3 года назад
Alhamdullillah habibty
@abuunajat1164
@abuunajat1164 3 года назад
Uyu Mzee hastahik kuzungumzaa kwenye dini Yani nichengaa Sana akiri yake haiko Sawa ana maneno machafu Sana...!! Allah amuongoze yeye nasi pia
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 3 года назад
Kamwambie mwenyewe sio uje hapa kumkashifu
@abuunajat1164
@abuunajat1164 3 года назад
@@aliabdalla9297 anae post hizi Crp zake haswaa atamfikishia au kama wewe ni nduguyo mjuze( Muhammad (SW) hakufanya dawa hivii...!! Au kama yeye yumo humu ajifunze Crp zake nyingi lazima alete uchale wamaneno machafu mfano wa haya..wabilah taufiq
@momsaa08plumbingandelectri7
@momsaa08plumbingandelectri7 2 года назад
Maneno Kama hayo yafikir kabla ya kuyasema الله أعلم
@mudrickbachan2442
@mudrickbachan2442 2 года назад
Acheni jeur na kuwadharau wanachuoni wetu kama wew unajua kakae kwenye kiti utoe darsa
@abuutasniym2675
@abuutasniym2675 2 года назад
Vip nawewe uko sawa? Hebu tuambie elezea uchafu wako kwanza hapa ili tuujue kabla yakuongea yawenzio Ukitaka kutaja aibu zawatu kwanza zitaje aibu zako
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Anyoe midevu huyo uchafu mtupu
@tibakisunnahnaasili6250
@tibakisunnahnaasili6250 3 года назад
Dini yake yamruhusu
@amurimzungu-tn4jf
@amurimzungu-tn4jf Год назад
Sasa unataka kufanana kama Paulo shoga wakati yesu mwenyewe kafuga ndevu labda Paulo ndio Hana ndevu kwasababu shoga
@mikealeck6447
@mikealeck6447 3 года назад
Hizi kucha ni vipi ?au nyinyi hamuoni? Kama zinaruhusiwa tuambieni..
@hamudseif
@hamudseif 3 года назад
Uyu ni mgonjwa na anatakiwa kitaalamu afuge kucha na nywele, maradhi akipona utamuona hana kucha wala manywele biidhnillah
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 3 года назад
Kamwambie mwenyewe
@abuuaisha3582
@abuuaisha3582 3 года назад
@@hamudseif kwa hyo kucha ni dawa sio??
@hamudseif
@hamudseif 3 года назад
@@abuuaisha3582 :Bilashaka, kwa hayo maradhi alokuwa nayo shekh bas kucha na nywele ni visaidizi vikubwa vya kupunguza
@abuuaisha3582
@abuuaisha3582 3 года назад
@@hamudseif hujajibu swali langu....kwa hy kucha ni dawa?
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 3 года назад
Huenda ikiwakweli Yale manenotunayosikia kua hua anatumia ganja
@omaar5693
@omaar5693 3 года назад
Riyadh Angalieni izo clip fupifupi mnazipa headlines za kiudaku,, Hata jana kimoja mlikifuta kumhusu sh.Farid Yaani munajiachiia.... Munaudhi
Далее
Это реально работает?!
00:33
Просмотров 3 млн
Kisa cha mwalimu na mwana mfalme - Sheikh Salum  Msabah
27:15