Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh maasha ALLAH tabaraka ALLAH swadakta sheikh #salummusabbah MWENYEZI MUNGU akupe uzima na umri mrefu tuzidi kunufaika katika mambo ya Dini, Ummah mzima atuongoze katika swiratal mustakeem Amiin ya Rabbil Allamin 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Hii ndo muongoni mwa Hazina zilizobakia zanzibar...Yaa Allah mhifadhi na mlinde mja wako huyu ili tuendelee kunufaika kwa kupata elimu tofauti kutoka kwake....Aamin
Msabaha umesema hawajui lugha lakini umeteleza kwenye asili ya neno والسماء بنيناها بأيد Katafute tafsiri na kamusi za kiarabu hii mizani yake tofauti na يد Muogope mola wako usiige misemo ya watu wa batil
Dah kumbe shekhe mpaka kwenye itikadi ni mweupeee. Yaani ukisoma kitabu kidogo tu cha itikadi hilo swali kuhusu Allah kujisifia kubwa ana mikono kwa tamko la umoja, uwili na uwingi. Ni jambo jepesi mno katika elimu. Panahitajika kusomwa dini
Hiyo ni mosi ...pili yeye anaona kibanzi katika jito la mwenzake kumbe jicho lake lina vibanzi viwili. 1) لُعِنوا hiyo aya ya kwanza aliyoisoma neno lu3inuu(لعنوا) yeye ain(ع) kaitia dhwamma kasoma lu3unuu(لعُنوا)....wakati ni lu3inuu ع inatakiwa iwe na kasra.... Hii inadhihirisha yeye mwenyewe kiarabu hakifahamu anadandiadandia tu..... Allahu mustaanu
walioingia kwenye kufru ni wale wanaosema ktk aqida zao kuwa Allah ana macho ana pua, mdomo masikio, mikono na miguu, hawa ndiyo wanaokufuru na wala sio sheikh,
Shekh Allaah ni mwenye sifa zote alizojithibitishia lakini hazishabihiani na viumbe. Kwahivyo Wewe inakuuma nini Allaah kuwa na Macho au Masikio ambayo sikama macho ya viumbe au masikio ya viumbe?
@@Humble..... Al akh tafuta darasa la AQIYDAH YA MTUME NA MASWAHABA JUU YA UFAHAM WA HAO NDIO USALAMA UNAPATIKANA!!! IBNU SIRIN ANA MANENO MAZUURI ANASEMA "HAKIKA YA ELIMU NI DINI BASI ANGALIA NI KWANANI UNACHUKUA DINI YAKO" KWAIO HUYU si wakusoma kwake mana anapotosha ummah juu ya mafundisho yke
@@hassanalbasq3160 mm naomba utupe tafsir ya hizi aya alizotaja... coz weng tunataka faida na ww naona uwezo huo unao usione tabu kuandika coz Allah atakulipa kw elim ulotoa... ww izo aya tupe maana ya sawa tofaut na iyo alotoa yye... pleeez
TUTAFUTE ELIMU LAKNI HUYU HAKUELEZEA USAHIHI MAANA KAEND MBALI SANNAH KWAIO HAYO NI MAMBO MAPANA HAYATOSHELEZ KWA KUCOMNT ILA TUTAFUTE MADARS. NA SIO KUA MM MCHOYO WA HILO LAA MUHIMU TAFUTA ELMU
Ss mm nlivo mfaham anakusudia Allah akisema mikono hua ana maana ya utendaji( ukarimu au nguvu) ss hem nifahamish kiufup ww unasemaje?? Allah anayo iyo mikono???
Hivyo vitisho kwamba watu hawajasoma walikua navyo masufi baada ya masalafi kudhihirisha dawa mubaraka wamenyamaza kimya baada ya kubainikiwa na elimu ya masalafi sasa na wewe umekuja kivilevile sasa sijui na CUF au ni zile BIA alizokuwa unakunywa ndio zimekupa ujasiri stara ya mijnga ni kunyamaza
Asalaam sleikum skekh salum msabah wacha kusema watu na ww usijisifu mtu hajisifu asifiwe tunakufaham zamani Kama umeamuakufundisha watu sio kudharau watu
@@arafatmanga hawawezi hoja wao wanajua kuita majina tu,hakuna hata mmoja amemjibu na Bado mifano ipo mingi ya kiswahili maana ya kiarabu hawajui, SERIKALI INA MKONO MREFU,maana yake serikali Ina mikono, Kwenye Quran kila kitu kitaangamia ISIPOKUWA uso wa Allah,Ina maana mikono ,miguu itaangamia KASORO uso, astaghfirullah.
فعلا، إن العلم نور. نصيحتي مني لكم أيها المتعصبون. اقرأوا وتعلموا وابحثوا وتعمقوا وتبحروا في العلم (الدين)، وحاولوا أن تطلعوا كتب المذاهب المختلفة المتنوعة عندها ستزول عنكم هذه الحقائد والبعض والتعصب المذهبي العقدي.. وستصبحوا منتصفين متسامحين لبعضكم بعضا. هذه هي نصيحتي مني لكم.
Halafu ndio sabb ya kuleta mtafaruku na fitna katka jamii.. kila mmoja abaki kwa kile alichokiamini kama wanataka mdahalo wa kielem uweke mezani sio kila mmoja anarikodi upande wake huwez kujua haki.. huoni kama masalafi hawatokimbia kama kawaida yao..
Wigi kubwa lakin ndio kawaida ya watu wa bida'ah kujisifu na kujiona wanajua na wakibanwa oooh masalaf hawajui lugha wew unaijua? A'aqidah yenyewe imeoza.SHEIKH MAWIGI kaa chini usome acha siasa
KW hao mashekh zenu mchwara tunawakaribish mskiti Wa mchanga km wantk mjadal kuhus elimu tu waon km hawataadhiriki hili jamaa simu tn kW sasa hv natftia mm Ana lugha zaid ya saba
Kuna mpumbavu mmoja ktk hizi koment ety anasema masalafi hawajui kiarabu . hhhhhhhh Namwambia ivi yeye ata icho kiswahili hakijuwi wacha kiarabu na ushahidi wa Hilo isomeni iyo koment yake apo chini.
Kwa hiyo walivyofahamu kina Ibnu Abbas na maswahaba wengine ni makosa? We na kiwigi chako ndio una akili nyingiii??? We babu jomba kweli kweli sio kidogo. Allah akuongoze kwenye aqida ya Sawa...
Wigi kubwa lakin ndio kawaida ya watu bida'ah kujisifu na kujiona wanajua na wakibanwa oooh masalaf hamjui lugha wew unaijua? Maana a'aqidah yenyewe imeoza cjui utasema Nini tukuelewe..wew kaa chini jifunze a'aqidah ndio kitu Cha Kwanza MAWIGI WEWE acha ujanja kweny dini
Eh bwan kumbe hujafikia daraja ya kutoa darasa ww ni mpotevu, rudi kwa darasa, hiyo dalili unayotaja wala sio jam3u ya يد bali ni neno tofati ambalo linamaanisha nguvu, kutokana na آد يئيد أيدا كوزن باع يبيع بيعا na neno hili kwa maana yake kilugha ni القوة.. kwahivyo rudi kwa vitabu vya lugha wala usitafsiri qurani utakavo ww, rudi tafsiri nyingi kama bile ya twabary utaona maana hii
Nimekaa kwenye darasa ya sheikh anajua lugha lakini anashida ya kukubali kilichotangulizwa na wanazuoni wafasiri wakubwa, nikweli kama hujui kufasiri Quran bora usifanye kazi ya daawa unapotosha watu