Тёмный

SHOO KONKI ya ALIKIBA Mbele ya MAGUFULI KIGOMA, Apigiwa SHANGWE BALAA... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 99 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

17 сен 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
@aisharegina5491
@aisharegina5491 4 года назад
Alikiba baba unaniuwanga ase yaaaaaa❤❤🙏❤🙏
@issanassoro3846
@issanassoro3846 4 года назад
Yaaah!! Alikiba 4real ur the best broo
@zainabissa4572
@zainabissa4572 4 года назад
Kiba anajua live mpak raha wallah 💋❤️❤️
@ruqayaisumaili33
@ruqayaisumaili33 4 года назад
Alikiba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
@mwasumohamed8146
@mwasumohamed8146 4 года назад
Hatar inaunguz
@sagendamagembe4380
@sagendamagembe4380 4 года назад
CCM mbele kwambele!✔️✔️✔️✔️✔️
@mosesharerimana278
@mosesharerimana278 4 года назад
Kiba always💜
@johnvaloisy1482
@johnvaloisy1482 4 года назад
King Kiba uko juu bro
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 года назад
Kipenzi cha watu 🙌🙌🙌🙌
@papypenebinadamnoma5191
@papypenebinadamnoma5191 4 года назад
Nampenda sana kiba mimi
@aishal1953
@aishal1953 4 года назад
King wewe noma sana🔥🔥🔥
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 4 года назад
Nampenda sana rais wangu maghufuli m.mungu akuepushe na mabalaa yoote amiinna
@angellesiriam5759
@angellesiriam5759 4 года назад
Kiba🔥🔥♥️
@mwasumohamed8146
@mwasumohamed8146 4 года назад
Inaunguzaaa
@fatmasaid5251
@fatmasaid5251 4 года назад
Ye babaa king kama king always
@fatmaiddikhamisi8006
@fatmaiddikhamisi8006 4 года назад
Yeeeeeee babab nakukubali sna kibaaaaaa
@simonmageme840
@simonmageme840 4 года назад
Lp0pp00000
@zytnabdul1124
@zytnabdul1124 4 года назад
Nakukubali kiba
@mwasumohamed8146
@mwasumohamed8146 4 года назад
King kibaaaaaaa nakukubali San kaka
@mswanawamswana3129
@mswanawamswana3129 4 года назад
King Kiba leo umetumia jukwaa la sisiem kupromoti nyimbo zako
@adinaniadam7314
@adinaniadam7314 4 года назад
Nawewe za bibi ako shambaaa uko
@adinaniadam7314
@adinaniadam7314 4 года назад
Na wewe kaimbe nyimbo za bibi ako
@bahatisimkoko3296
@bahatisimkoko3296 4 года назад
Jamani kuanzia Leo Mimi shabiki yake allykiba Huku upande WA pili Hapana Kwa kweli
@mwasumohamed8146
@mwasumohamed8146 4 года назад
Kuna utamu huk anajuw kuwakosh watu bhn
@mussabarnaba5099
@mussabarnaba5099 4 года назад
Your a good boy
@valeriashirima7432
@valeriashirima7432 4 года назад
Very nice
@frankjacksoni1433
@frankjacksoni1433 4 года назад
Madem weng wanamsifia Ali kiba lkn mond watoto wa kiswahili tunamjua Sana
@sillajilihambwali7206
@sillajilihambwali7206 4 года назад
Oy jmn kuazia leo mm jin lang naitwa alikiba
@Halima-fk5oq
@Halima-fk5oq 4 года назад
🔥🔥🔥🔥
@jarededmin4976
@jarededmin4976 4 года назад
simple but sweet
@neemaneema1406
@neemaneema1406 4 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥✌
@marumbaruziguje2961
@marumbaruziguje2961 4 года назад
Noma sana
@chrisdonline6748
@chrisdonline6748 4 года назад
Dj anazingua
@lastbonedy859
@lastbonedy859 4 года назад
I real love Alikibaaa
@karimnyanza5906
@karimnyanza5906 4 года назад
Imepenya iyo
@janetwawira5673
@janetwawira5673 4 года назад
kiba miaka ishirini hajawahi chosha na kuna msanii miaka kumi asha anza kuchokwa
@mwasumohamed8146
@mwasumohamed8146 4 года назад
Wewweeeeeeee pig kileleee
@rajaburajabu3963
@rajaburajabu3963 4 года назад
Aliiiiiii kibaaaaaaaaa
@rashidally6934
@rashidally6934 4 года назад
👑👑👑💪💪
@munmun_stepup6900
@munmun_stepup6900 4 года назад
Love you King 👑
@mwasumohamed8146
@mwasumohamed8146 4 года назад
Yeeeeeeh yebabaaaa
@abdulqareemseif9050
@abdulqareemseif9050 4 года назад
Tamasha la music
@mikemcubic8181
@mikemcubic8181 4 года назад
kiba = talent diamond = hard worker
@makeleledegreat5510
@makeleledegreat5510 4 года назад
Mike Mcubic true
@marthapeter6009
@marthapeter6009 4 года назад
👑
@jokhaynaalnadaby9303
@jokhaynaalnadaby9303 4 года назад
King as a king juu milele
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 года назад
Nyimbo zinaeleweka hadi raha, yani hata mzee anaweza kuzicheza, sio kule upande wa pili fujo tupu 😂😂😂
@jacksonebrahim7961
@jacksonebrahim7961 4 года назад
Kama.unakelwa na anavyoita wasaaniii Nipe like twende sawa
@hafidhujongo2488
@hafidhujongo2488 4 года назад
Sauti baba angu ni sheeeeda
@barakacemmanuel3816
@barakacemmanuel3816 4 года назад
Yebabaaaaaaa
@presseg.6362
@presseg.6362 4 года назад
Safi saaana kiba
@cosytz1610
@cosytz1610 4 года назад
King firee
@mashakajuma902
@mashakajuma902 4 года назад
Yeaaaaap yeebabaaaaa
@azizakenny7154
@azizakenny7154 4 года назад
😍😍😍😍😍
@antonyngala1977
@antonyngala1977 4 года назад
Kingkiba
@abdulqareemseif9050
@abdulqareemseif9050 4 года назад
Fiesta ya mwaka huu hatari naona nyomi kweli clouds Wapo juu
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 4 года назад
Ee mtasema mengi,kama hupendi ccm si uachekwenda kwenye fiesta yao
@ricksonlyimo5594
@ricksonlyimo5594 4 года назад
Kashaingili we mtoto wa juz tuachie ccm tunayoijua cc au unafurahia kuletewa tren ya umeme ni sawa nami nashukuru kuletewa treni hiyo pia na ndege hizo kumi na moja je ndege utazipanda na je mbona viwanda avifufuliwi vijana wakaajiliwa kutokomeza janga la machokora na kutoa janga la vijana kukaa mitaani zaidi tunaletewa ndege treni kupata ajila ya kufanya ata usafi uwanja wa ndege uwe na ufaulu wa chet cha form four kijana acha kufuraia vitu kwa kuviona ila fatilia kijana amka
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 4 года назад
@@ricksonlyimo5594 kupanda ndege sio lazima,Kuna hata ambaye hajawahi kupanda pikipiki au baiskeli japo watz wengi wanazimiliki,tunachoangalia ni maendeleo,na maendeleo huwezi kuyapata bila miundombinu ya uhakika,kama njia za uchukuzi, na anga ni njia mojawapo ya uchukuzi tena ambayo ipo kwenye ushindani wa hari ya juu sana duniani,na ndio njia ya kurahisisha kufanya vitu kwa haraka kuliko njia zingine ,ukitaka kuokoa muda wa kusafiri ni ndege,yani,ukitaka kusafirisha mizigo kwa haraka sana bado ni ndege brother,hata lisu alipopigwa risasi asingeweza kuwahi nairobi isingekuwepo ndege,angelazimika kutumia gari kwa muda wa masaa zaidi ya 13 kutoka tz kwenda Kenya,Sasa hapo ndio maendeleo yanapokuja kuonekana umepata tatizo umewahishwa na ndege,ambayo ni kitu,maana Kama ni maendeleo ya watu ok tuseme unahela zakutosha huna njaa,lkn ndio Sasa imetokea Kama hivyo umepata ajari unawahishwa Kenya kwa gari zaidi ya masaa 13,mwenzio anapanda ndege anawahishwa Kenya dakika 45,Sasa aliye endelea ni yupi hapo brother,maana tusitukanane bila sababu tuzungumze kiuhalisia,hivi wewe jirani yako ana nyumba bora ,wewe unabora nyumba,mwenzio anamiliki gari,wewe huna hata mkokoteni wakusombea maji, mwenzio anamiliki boat Kama mbili za kisasa zakuvulia samaki,wewe hata mtumbwi wakujichogea kienyeji huna,Sasa ni yupi mwenye maendeleo. Maendeleo ni kuwa na vitu,au kwa jina lingine Mali unazomiliki hayo ndio maendeleo,Sasa wewe mtu hata kiwanja chat kujenga chumba kimoja huna alf useme umeendelae,wa tz inabidi tujifunze kufanya kazi kwa bidii brother Yani shauri masera wafanye kazi ndege mbona unaipanda tu ,ni kitu Cha kawahida sana,sema mnaogopa jina ndege,wengine hata airport wanaogopa kufika kisa jina ndege,naomba tufanye kazi usipopanda ndege basi utaagiza mizigo leo kutoka china ,itakufikia kesho mapema,badala yakutumia meli ambapo ingechukua miezi 3 kufika, brother sipendi kutukanana lkn huu ndio ukweli
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 года назад
Nice
@sadaally3317
@sadaally3317 4 года назад
My crush 😘
@jjmooo4186
@jjmooo4186 4 года назад
Lisu 2020
@tausimbewa2148
@tausimbewa2148 4 года назад
Mh!
@farajadonard1948
@farajadonard1948 4 года назад
Ajipange
@yahyamassawe8011
@yahyamassawe8011 4 года назад
Huyu polepole hatufai kabisa ktk nchi hii
@sarahtony3937
@sarahtony3937 4 года назад
Kakukosea nn tena mwenzetu
@presseg.6362
@presseg.6362 4 года назад
Chuki binafsi
@tausimbewa2148
@tausimbewa2148 4 года назад
@@presseg.6362 Yy wa harakaharaka mbona hatujamuona hapo jukwaani, hizo chuki ztamuua ck si zake
@abdukarimhussein4215
@abdukarimhussein4215 4 года назад
💥💥💥
@issamustafa8478
@issamustafa8478 4 года назад
King ally
@mussamanumbu3718
@mussamanumbu3718 4 года назад
Burudani lazima watu waenjoy kwanza
@kudrantengakaje6363
@kudrantengakaje6363 3 года назад
kigoma kwetu
@imanuelsimon9739
@imanuelsimon9739 4 года назад
Yebabaaaas
@ozanee1739
@ozanee1739 4 года назад
King
@hassanboy7113
@hassanboy7113 4 года назад
Pamojasana
@patelpmax9954
@patelpmax9954 4 года назад
Fire
@gipsonrobert8292
@gipsonrobert8292 4 года назад
Huyu jamaa anatisha sana
@manafecassamo2749
@manafecassamo2749 4 года назад
Ivy vyama vyenu vinatesa Saana waislamo
@shabaniddy1595
@shabaniddy1595 4 года назад
Yebabah
@jackngaku7449
@jackngaku7449 4 года назад
Ye baba
@dastanmsosa4661
@dastanmsosa4661 4 года назад
Kiba kama kiba
@wilondjabinyams5925
@wilondjabinyams5925 4 года назад
aki sijawai kuona msanii km kiba duniani anauwezo waki pekee
@cardinal0016
@cardinal0016 4 года назад
Magufuli haendi sehemu bila wasanii 🤣🤣🤣🤣
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 4 года назад
Ee ndio kawahida yetu ccm,mtakubali tu
@ricksonlyimo5594
@ricksonlyimo5594 4 года назад
Hapo sasa nishajiuliza kampeni za ccm ni za wasanii bila wasanii kampen aziendi ila masikin Tundu Lisu yupo yeye kama yeye
@ricksonlyimo5594
@ricksonlyimo5594 4 года назад
Kashaingila we uijui ccm kaa kimya
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 4 года назад
@@ricksonlyimo5594 wewe ndio ukae kimya maana huijui CCM,lbd nikujuze tu kuwa, ufatilia kampeni za ccm kwenye chaguzi zoote,uone kama waliwahi kuacha wasanii nyuma,sasasijui mmeliona leo,lkn kipindi Cha nyuma mliona kawahida tu,wasanii wengi ni wanachama wa ccm,na kingine,chadema bado haina ubavu wakupambana na ccm kwa Sasa,lbd baada ya miaka 100 ijayo,kizazi kingine ndio kitafanikiwa,lkn Bado ni lbd
@ricksonlyimo5594
@ricksonlyimo5594 4 года назад
@@fortidaskashaigili7496 yaan huna akili kabisa naweza kujikuta nabishana na kitoto kinachofurahia wasanii mimi cshoboki na wasanii we wafuraie nikikuuliza nn maana ya upinzani uwez ukanielezea nikikuuliza nn maana ya ccm uwez nieleza zaidi utabwabwaja tu na kusema umeona wasanii wanavyoimba amka toka ucngizini wewe
@omaryrashid3320
@omaryrashid3320 4 года назад
Tutaelewana tu taratibu
@sudiyahya9276
@sudiyahya9276 4 года назад
Ok
@katecaddy7556
@katecaddy7556 4 года назад
@frankcosmas3927
@frankcosmas3927 4 года назад
Arikiba nakukubal
@britishboytz3576
@britishboytz3576 4 года назад
Kesho fiesta mkoa gn
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 4 года назад
Mkoa aliotoka mama yako
@tatumohammed3472
@tatumohammed3472 4 года назад
😂😂😂
@abdulqareemseif9050
@abdulqareemseif9050 4 года назад
Shoo ya fiesta kesho sijui wapi broo vp kuhusu mkutano lini Broo naskia lisu yupo mikoani
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 года назад
Ama kwer mnateseka 🤣🤣🤣🤣Nanyie maboda boda watakua wapo mkoa gani kwer maana nanyie ndo wapiga debe wenu🤣🤣siasa bhana nikama mchezo wangumi tu
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 года назад
@@ahmednoor1412 🤣🤣🤣wanateswa na wivu tu hao
@davismaluli9852
@davismaluli9852 4 года назад
Fiester .. hahahaha
@suleymanisalum2361
@suleymanisalum2361 4 года назад
Kiba mtu hatarii
@hafidhujongo2488
@hafidhujongo2488 4 года назад
Wallah we no kipusa
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 года назад
Tukisema Wananchi hawa wanakwenda fiester bure kwenda kuangalia Wasanii na sio magufuli mnakataa sasa hii ni nini! Ila pamoja na yote tunahitaji siku tar 28 October haki itendeke tofauti na hivyo mtajuta mkifanya uhuni mtakao ufanya.
@paulkashinje930
@paulkashinje930 4 года назад
Ww utafaneje sasa...? Msiwe mnaongea kwa mkumbo tu kati hauna cha kufanya.
@lodrickmwambene6636
@lodrickmwambene6636 4 года назад
Ccm kampeni ni sherehe maana magu ndio raisi
@presseg.6362
@presseg.6362 4 года назад
Ccm burudani kwa sababu jembe letu LA ukweli Magufuli %%%%%@
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 года назад
@@presseg.6362 Kweli kabisa ni 0%%%%%% safi sana.
@lilianmyenda6331
@lilianmyenda6331 4 года назад
Kampeni ni nini?
@deborahassan1395
@deborahassan1395 4 года назад
Kiba hatar
@demasgattv6857
@demasgattv6857 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@alimairakoze3784
@alimairakoze3784 4 года назад
😂🤔
@rajabumapunda416
@rajabumapunda416 4 года назад
Dogo armonize kafunika
@olayo2556
@olayo2556 4 года назад
mchiz amepooza kinoma yahn. amekazana yoooo yebabaa.unatuboa shabiki zako bana ali
@monicanyefwe4808
@monicanyefwe4808 4 года назад
Yeeeeebabaaaaaa
@theafricanprincevivecongo8632
@theafricanprincevivecongo8632 4 года назад
Shabiki maandazi kamshabikie mamako😆😆ali the top in top
@cesiliamwapinga9291
@cesiliamwapinga9291 4 года назад
Kaponza km uzi wa mtoto kelele tu
@youngmasamah9864
@youngmasamah9864 4 года назад
Hujala bang ww
@freepublicmediatanzania549
@freepublicmediatanzania549 4 года назад
Si maneno maneno
@nashonotieno6524
@nashonotieno6524 2 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥
Далее
Alikiba & AbduKiba in Mpanda Katavi (CCM 2020)
10:49
Просмотров 58 тыс.
Слушали бы такое на повторе?
01:00
Хозяйка, скажи пароль
0:28
Просмотров 1,2 млн
ИСПЫТАЛ НА СЕБЕ (@fedevives7 - TikTok)
0:14