Тёмный

Show ya Mama Zuchu Hadija kopa awachamba watu live eti adui yako muibie mume tu 

BINGO ONLINE TZ
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
#bingoonlinetz
#sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@agbordorothy4901
@agbordorothy4901 Год назад
Great woman. Love you ❤❤❤❤❤❤
@mwabiawahadi6247
@mwabiawahadi6247 Год назад
Umependez Sana Sana Mam Zuch
@ashatomno3382
@ashatomno3382 Год назад
@mwabiawahadi6247
@mwabiawahadi6247 Год назад
Hongera Mama Mzaa Chema Mama Zuchuuuuu
@sifauseni6900
@sifauseni6900 Год назад
💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
@KhodorBaalbaki-o8u
@KhodorBaalbaki-o8u Год назад
Alijua kupendeza bi khadija😘😘
@louloubika8603
@louloubika8603 Год назад
Great job ❤❤❤❤
@zuwenaally6403
@zuwenaally6403 Год назад
Nakupenda mama
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
Mashallah hiyo mitumba ndio iliyovafanya Watu,Waliyowatu waonekane wamesitirika,Alhamdulillah.hawajimudu kununua zaidi ya chakula.....ALHAMDULILLAH TUSISAHAU
@saumurajab7542
@saumurajab7542 Год назад
❤❤❤❤
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Год назад
Daimond mama mke umepata kazi unayo
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Год назад
Nampenda khadja kopa mma
@mwanahamisimwinyi1040
@mwanahamisimwinyi1040 Год назад
khadija umekuwa mzee hachana na mziki urudi kwa mungu na huyo mtoto wako pia nyinyi ni waisilamu
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Год назад
Waislamu ndo nin acha uchiz
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Год назад
Halafu ww utalisha familia yake😂mnajikutakaga washauri huku ndiyo wasikilizaji wazuri wa nyimbo zao
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Год назад
@@rosemahenge9071 nmechekaa😂😂😂ila umemjibu vizuri❤❤ jibu hili lijengewe sanamu
@subirajohn728
@subirajohn728 Год назад
@@lilianestephanie7881 Kabisa jibu zuri sana😁😁😁
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Swali family yake utailisha jmn twende mbele na tukud nyuma kabla ya ki comment ufikilie
@dijahmriri523
@dijahmriri523 Год назад
Mama hana baya jamani i wish nikawe ata mfanyakazi wake tu nampenda jamn😂😂
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
Na ikiwa huna lmani ktk kuingia hall na KUIMBA bora uwe home,BODY GUARD ktk hall ktk kuimba...
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Год назад
Icho kidora macho juu
@teresianjoroge2112
@teresianjoroge2112 Год назад
😂 waumia bure kwa raha zao
@dianamsuya4854
@dianamsuya4854 Год назад
Nyie mama mrembo
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
Mahali yamejaa! Yanayofanyika sasa ni kupoteza vijanaa 😢
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Mama zuch ana upiga mwingi mno
@neemaabdu1091
@neemaabdu1091 Год назад
Oyoooo
@neemaabdu1091
@neemaabdu1091 Год назад
Kichambo cha mbwa mwizi
@neemaabdu1091
@neemaabdu1091 Год назад
Usidai taraka mume unamtaka oyooo
@pendofrancis3061
@pendofrancis3061 Год назад
Amenikela huyo mlizi anamshikia gauni utafikili kopa ni mtoto mdogo ataanguka
@akidajulius1581
@akidajulius1581 Год назад
HUYU mama kweli ni malkia ,sauti niileile ya Mwaka 1999 na leo nivilevile tu,
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
Huyo RAIS ni RAIS anainhia kusali msikitini na Wenziwe bila ulinzi kiliani
Далее
Salma Said - Sio Shida Zangu (Official Music Video)
7:35
MIPASHO YA MAMA ZUCHU KHADIJA KOPA USIKU WA TUZO ZA TMA
11:09
UTACHEKA  BABY ZUCHU  AFANYA BALAA  SHULENI KWAO
7:41
Просмотров 73 тыс.