Тёмный

SHUHUDIA SABAS AL-KUBRA AKIWA NENO KWA NENO LEO NA Muhammad Bachu KUHUSU MUNAQASHA WA TANGA 6/6/23. 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 65 тыс.
Просмотров 42 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 263   
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Год назад
Nimefurahi sana Leo mmechekeana na kuonesha walau furaha kwa wotee!! Iwe iweje lakini Waislamu wotee ni nduguu.. *ALLAH awaongoze wote Katika Njia ya khair na Hakki*
@allydaud117
@allydaud117 Год назад
Nakuonmbea kwa Allah akusamehe makosa yako na akuope afya njema na umri mrefu Sheikh. Tunakupend sana kwaajili ya Allah sheikh wetu
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Год назад
sahih kbc
@NoorAli-vj4gn
@NoorAli-vj4gn Год назад
Ameen
@user412
@user412 Год назад
Nimefurahi Sana! Allah atujaalie pale tunapokosea tueleweshane kwa hikma.
@nassibnassib5691
@nassibnassib5691 Год назад
MaShaa Allah Shekh Bachu Allah akufanyie wepesi ktk kila jambo na akulipe ktk uelimushaji wako na mapambano ya kuweka yadiyokuwa sawa ktk dini yetu.
@fatumachala4980
@fatumachala4980 Год назад
Allah akupe umri mrefu na afya njema nakupenda Kwa ajili ya Allah tunakusubiri vigoa chamazi
@rajabkelvin3842
@rajabkelvin3842 Год назад
From Guangzhou China tunawafuatilia vizur Allah awaongoze ktk Haq Amiin
@saidsalim8079
@saidsalim8079 Год назад
hata south korea tuko sambamba na tukio
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Год назад
SHUKRAN. ACHA TUSUBIRI INSHAALLAAH. JAPO UMEJITAHIDI KUREJESHA MJADALA WA MASHEKE NIMEFARIJIKA. ILA ALLAAHU NDO MJUZI . BASI MSILIONGEE HILI MAANA LINAANZA KUKINAI MWISHO LIKOSE NGUVU. ANZEN TU KUJIANDAA NA MATANGAZO
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Год назад
Nimefurahi Sana kwa maongezi yanu na vyenye mlivyo anza wallaih nawapenda kwa ajili ya ALLAH , MUNGU awaongoze na ajalie Niqasha iwe ya kheir na mafanikio kwa waislam wote wapate ilmu kwa kupitia niqashi hiyo amiin
@jumaahmadi
@jumaahmadi Год назад
Mashallah Sasa tunawafatilia vzr Allah ajarie kher
@ramamganga6440
@ramamganga6440 Год назад
Asalaam alaikum warahmatullah wabarakat, nakufuatilia sana sheikh wangu, NAMI nachukia sana bidaa tutashinda tu, inshallah, usife moyo, Sina lugha nyepesi kuelezea nisivyopenda sushi, ila nachukia
@HusseinAbdallahNgwema
@HusseinAbdallahNgwema Год назад
Maa shaa Allah, alhamdulillah- inafurahisha sana tukiwa sisi ni ndugu , Allah atubaarik
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 Год назад
بارك الله فيكم وجزاكم الله خير ا
@saidjuma4547
@saidjuma4547 Год назад
Assalam alaykum warahmatullahi sheikh Allah akusameh makosa yako inshaaallah juhudi yako tunaiona watanyooka tu hawa
@SalehSaleh-re1ud
@SalehSaleh-re1ud Год назад
Jambo la kuzingatia ni TAQWA . Kila mmoja amche Allah subhanahu wa ta'ala. Hakuna anayeweza kubadilisha nyoyo za watu ila Allah na hakuna anayeweza kuwaunganisha watu ila Allah. Allah subhanahu wa ta'ala atuongoze wote kwenye HAQI na ajaalie huu mjadala uwe na faida kubwa kwa jamii.
@mtagalalahmtagalalah1018
@mtagalalahmtagalalah1018 Год назад
Naam akhy 🥰 inshaAllah #maulif bida'ah
@mjedamjeda4734
@mjedamjeda4734 Год назад
ربنا يبارك فيك يا اخي العزيز استاذ محمد
@LabiloWabikongo
@LabiloWabikongo Год назад
Mashallah mungu mwemasana Allah ajaliyekher
@alawihamis5586
@alawihamis5586 Год назад
Huu ndo uislam ninaopenda Hadi raha mungu awajalie kila la kheri Kwa kutufurahisha na kutuunganisha mungu atujalie Kila lakheri inshallah
@abdusli-kl7vm
@abdusli-kl7vm Год назад
Assalamu aleyikum nimefurahi sana mekubaliana. mungu akipenda itakuwa mwisho wa maulidi na barazaji na ushirikina na wengi wasio kubali ukweli kuhusu barazaji na uongu ndani ya barazaji na ushirikina mungu akipenda siku siku ya munagashi hakuna mumini yoyote hapa duniani atasubutu kukata maneno ya ukweli kutoka kwa mola kama anataka Jana lazima akubali ukweli utabaki ukweli na uongo hauna nguvu mbele ya ukweli. iyo siku na isubiri kwa ham ya tarehe 16/-07/23 siku ya jumapili TUOMBE MOLA SOTE UTAJAALIE UZIMA NA AFIYA tushuhudie UKWELI
@dulaseif5001
@dulaseif5001 Год назад
weye bangi zinakupeleka maulid yameanz kusomwa babu mazalia babu yako hajazaliwa uje uzuie wewe eti maulid barzanj mwisho huyo barzanj unamfaham?
@AbdulHalim-gc1ut
@AbdulHalim-gc1ut Год назад
@@dulaseif5001 mm nilizani utasema maulidi yameanza kwenye zile karne tatu bora alizozisifia mtume kumbe hoja yko ww ni wazee vp ndugu ww?
@rashidkhamis8282
@rashidkhamis8282 Год назад
Mawahabi kitu alichowanyima Allah ni elimu na hekima na amewajaalia matusi na kujitakasa ALLAH AKUONGOZENI KWA REHMA ZAKE
@nassibnassib5691
@nassibnassib5691 Год назад
Hawa watu wa bidaa huwezi jua tatizo lao huwa liko wapi?!
@MuhammadKhamismohammed
@MuhammadKhamismohammed Год назад
@@dulaseif5001 kwakua wamefanya mabubu ndio limehalalika au,jee kama hao wazee walikua hawajaongoka
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 Год назад
Jazakumullahu khaira
@jamaldineali3228
@jamaldineali3228 Год назад
Wallahi nakupenda kwaajili ya Allah sheikh wango, sheikh Muhammad
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official Год назад
Na mm vile vile 😂😂😂😂❤❤❤❤
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Год назад
Masha'Allah nime penda kumbe hamna uaduwi❤ mna taniana na kucheka
@omarally6819
@omarally6819 Год назад
Nimeskiza mwanzo hadi mwisho. Baaraka Allaahu fiikum
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
MashaAllah inapendeza sana Allah awalipe kwa yote munayoyafanya kwa ajili ya Allah,Inapendeza kwa kweli
@allahakujazekheriwowww5694
@allahakujazekheriwowww5694 Год назад
Mola akupe umrimrefu sheikh wetu akukinge nabala zote
@kutafuna
@kutafuna Год назад
MASHA ALLAH. ALLAH atufikishe salama. Amin amin YARABI amin.
@Abduli-xl8iv
@Abduli-xl8iv Год назад
Ulisoma wap ww
@Abduli-xl8iv
@Abduli-xl8iv Год назад
Hakun hata mtume mmoja alielingania dani namna hiyo mzeee
@bintshariffmuhammad620
@bintshariffmuhammad620 Год назад
Assalam alaykum. Mashekhe Allah awajaalie wepesi na hio munakash tufahamu ukweli uko wapi
@rajabdanga8590
@rajabdanga8590 Год назад
Mmetufurahisha kabla ya munaqasha tunawatakia mwisho mzuri
@abubakarahyan9515
@abubakarahyan9515 Год назад
Alhamdullah mm nimefurahi kua waislam kua kma iv kupnd ana itikadi ikae pembeni huu ndio usislam sio kuchukiana kisa itikadi
@Nevershot
@Nevershot Год назад
Wa kwanza kutazama inshallah
@AliIbrahim-lv5cq
@AliIbrahim-lv5cq Год назад
‏الله يرضى عليك يا شيخ
@AbubakarMinya
@AbubakarMinya Год назад
Kwanza kabisa ninawapongeza sn wote, bila ushabiki shekh sabas unajua kujenga hoja.Allaah wabariki sn pia Allaah aendelee kuwasafisha nyoyo zenu
@musalymuhamed3989
@musalymuhamed3989 Год назад
Ally musiman kutoka Nampula tunawafatiliya vizurikabisa ishallah iweheri mnakasha ufanyike ujulikane ukweli hivyoo ndivyo dini itakiwavyo waislamu wafanyee.siokelele. twataka watu wajifunze Natunachotaka nikwa dalili.sikutoa vichwani. Kwakweli.nimefurahi.ishallah mungu atuafikishe sote tuushuhudie sikuhiyo amini
@HamicHamic-y2m
@HamicHamic-y2m Год назад
Link ya munaqasha maiqhwa
@SheikhMondbinamir26-px4ej
@SheikhMondbinamir26-px4ej Год назад
Nakuomba namba Yako sheikh
@imamuhamisi4421
@imamuhamisi4421 Год назад
Shekh Bachu naomba namba yako shekh wangu ya watsap kuna zawad yang nikupatie Shekh .
@omarally6819
@omarally6819 Год назад
Kwakweli, mimi nimefurahi sana kwa maongezi haya baina ya Mashekhe wawili.
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Год назад
hamn kit kizr kuw munafurah kwa pamoja mashaAllah Alhamdllh
@universitylink
@universitylink Год назад
Kazi itakuwa ngumu sana fanyeni sehemu moja tu bila kuhama hama ni gharama zaidi na masualla ya serikali kufuata vibali itachukua muda
@Alrisaalaturrahmahislamiccente
shekh Mohammad tuko pamoja na ww. Allah akuwezeshe kuwaelemisha hao wazushi. halufu huyo sabas anakosea kusema eti kumtete mtume dhidi ya bachu au mawahabi kwani sisi tunampiga mtume vita?????? bila shaka laa. yeye aseme anamtetea barzanji ndio itakua usawa
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Год назад
Assalaam alykum warahmatullah wabarakatuh... Mimi ningependelea huu mnaqasha baina ya waislamu ungefanyika kwa nyinyi wawili tu na muwe waadilifu kwa atakaeona ameshindwa haqqi na kila mmoja akiona ameshinda bas ndio record iwekwe hadharan ili watu wachague mbichi na mbivu
@allahakujazekheriwowww5694
@allahakujazekheriwowww5694 Год назад
Mashallah
@kassimbitogwa6992
@kassimbitogwa6992 Год назад
Nakupenda kwa ajili ya Allah.
@generalchumongafricanboy
@generalchumongafricanboy Год назад
😢❤
@shwalehally4400
@shwalehally4400 Год назад
Answari kachukuweni Sasa na maanswara mengine saudia wawasaidie kazi munayo Sasa ,ndege mjanja hugwiwa ni tundu bovu ,mumeingia Sasa kwenye mdomo wa mamba ,figisu figisu mpka mumeingia Sasa Muungu atufikishe inshaallah
@afiahamad5983
@afiahamad5983 Год назад
Alhamdulillah Allah afanye wepesi
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Год назад
Ma Shaa Allah Tabarakallah
@jumamasoud1188
@jumamasoud1188 Год назад
Me nadhani mkubaliane kwamba munaqasha uwe mkoa mmoja na Mada zote ziwe sehemu mmoja ili kuepusha ghalama kwakuwa wako watu watatoka mbali.
@khamisoothman5294
@khamisoothman5294 Год назад
Hio nikash mbona sijaiona imefanyika lini
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Год назад
*Nafsi yangu inaniuma sana sijui kwanini, Sheikh Muhammad Yamalizeni tuu haya mambo!! Tayari yanaanza kupoteza taswira njema!! Vipenzi vyako tuko hapa kwa ajili yako❤*
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. Год назад
Tunakwenda kuyamaliza inshaAllah ili watu wapate faida, kuna mengi watajifunza inshaAllah.
@sama-_8368
@sama-_8368 Год назад
Hapo ndipo ufahamu finyu wa Muhammad Bachu unakwenda kuonekana. Allah akufedheheshe Muhammad kwa sababu ya kibri ulicho nacho kwa wenzio, Aamiyn.
@kylesmeight4837
@kylesmeight4837 Год назад
​@@sama-_8368kibri unakjua?
@pablooo4197
@pablooo4197 Год назад
​@@sama-_8368 ww haya maneno yko ndo yenye kibri hujui ata usemalo jaahil mkubwa ww zingatia meneno yko
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Год назад
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. sawa sheikh Wetu tunasubiri😭!! Sisi tunakupenda sana kwa Ajili ya ALLAH tunakupenda mnoo mnoo sanaaaa❤❤❤! Na tunaamini Katika Neema ya Ilmu Allah aliyokupa!!
@ibrahimomar1073
@ibrahimomar1073 Год назад
Mombasa ni sawa
@mzaliwaseif7079
@mzaliwaseif7079 Год назад
Assalam Aleikum warahmatulah, hivi ndivyo inaitajika sio kurushiana maneno kwenye mitandao. Sheikh Muhammad kitendo chakumpigia SIM bila kumjulisha kuwa Una mrikodi Mimi kweli kimeniuzi .
@Athmani-hk1bq
@Athmani-hk1bq Год назад
Maashaallah
@sefuriyembe7864
@sefuriyembe7864 Год назад
Nyinyi mashekhe kama mmesoma ili mbishane, basi mtalipwa kea hilo, hapana shaka yeyote !!
@hamadali3231
@hamadali3231 Год назад
Sheikh Mohammed bin Bachu tunakuombeni mje Pemba
@Team-t6k
@Team-t6k Год назад
Yani mlichekeyana kama marafiki wa ndani lakini mkenda kwenye Channel zenu mnatukanana na kuitana majina ya kejele lakini kwenye sim mnaogopana Allah Akbar na ndo maana usisubutu kuwa shabiki wa yoyote katika dini ila uwe mwenye kufata haqqi angaliya jinsi alivyo wanaongeya kama ni wajama. Haya basi acha ni save date tu 📅 2023. In sha Allah 😅
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 Год назад
Nakupenda kwajili ya Allah ndugu yangu Muhammad Bachu
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. Год назад
@Niya Khalid Allah akupende na wewe
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 Год назад
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. Amiiiin thuma Amiiiin nakufuatilia kutoka Kenya sehemu kunaitwa Nanyuki
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. Год назад
@@niyakhalid5650 Tukija huko Inshallah tutakuja kunywa kahawa huko, tuandalieni...
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 Год назад
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. karibuni sana Sheikh
@yusufathman2478
@yusufathman2478 Год назад
​@@Muhammad_Nassor_Bachu_. naomba no. Zako sheikh
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Год назад
Assalam alaykum warahmatullah! Kwa hivo huu Munakasha ushafanyika?
@munnihussein9352
@munnihussein9352 Год назад
Waalykum Salam warahmatuLah wabarkatuH itafanyika 16 July 2023
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Год назад
@@munnihussein9352 barakallah fik, wajazakallah kheir🙏👍♥️
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 Год назад
Ofisi ya mufti inapaswa iseme kwañini imemfungia?
@swalehkombo-wc8nu
@swalehkombo-wc8nu Год назад
mm nasema mtoto wa bacho andaa zawadi ya shekhe sabas tena zawad ambayo hajawahi kuifikiria na kuiona umesema ww maneno hayo
@IDIAMINI122
@IDIAMINI122 Год назад
Jmn wenye simu kubwa msisahau kila mtu siku hiyo awe camera man wasijekututoroka hawaaaaaa😄😄😄
@hajimuhidini1903
@hajimuhidini1903 Год назад
sifurahii mijadalahii hainatija inazidisha ujinga wawajinga
@hijazhija316
@hijazhija316 Год назад
Pumzika
@omarali797
@omarali797 Год назад
Assalam alaykum Ustadh Muhammad Bachu unaona usumbufu huu, unampigia humpati. Lakini hata na wewe ulisema Kwa simu si rahisi kupatikana
@mgazamhina840
@mgazamhina840 Год назад
Weka namba ya kuchangia kabisa tuanze kuchangia
@MakameFadhil-fc6le
@MakameFadhil-fc6le Год назад
acheni kuwakama makafiri munachotakiwa kusimamia dini yetu ya kisilam isichezewe nyinyi ndo munaichezea au munatafuta pesa kiujanja kuna wakicrito tunatakiwa tuwalete katika usilam asa vyivyi waislam sijuwi munatafuta nn
@HalimaSalym-jl2ui
@HalimaSalym-jl2ui Год назад
Bachu ukizungumza kwa aina hiyo inapendez sana Usizungumzie kwa uchungu na JAZBA hata kama jambo linaukweli na linakukera
@seyyidseyyid9400
@seyyidseyyid9400 Год назад
ukweli utabakia ukweli sio jazbaa bali mengine yanakera Allah ampe Busara na hekma na Awape nguvu maulamaa ili waislamu wafaidike na dini yao
@blacknature3691
@blacknature3691 Год назад
Haikuwa na haja ya munaqasha kila shk afundishe alicho fundishwa yeye munaqasha ni uchochezi wa ugomvi na mfarakano
@allymnimbo4304
@allymnimbo4304 Год назад
Swalallhahu alaaaaaa muhammmad
@huseynmaingu6073
@huseynmaingu6073 Год назад
Alhamdu Lillah
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Год назад
😄 ukiishi utaona mengi.... Masheikh wetu haooo..... Akili kichwani mwako.... Kila mtu khatima ya yote ... utaenda kuulizwa ana kwa ana NA Allah juu ya Aqida yako na Yaqini yko ...... ole wako ufate mkumbo bila uhakika wako....
@MgangaMasudi
@MgangaMasudi Год назад
Sasa wewe ndiempuuzi Wa dhatikabisa
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Shehe ww unaongea vizuri bilayakejeri. Wakija wao vivuluge utasikia manenoyao. Ya mipasho malawakuvalishe misakaba malahivi. Hawa nimtihani. Munguatupe mwisjomwema na nikasji ifanyike. Watulie tushawachoka manenoyao ya vijembetu wanaumewazima mtihani
@JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc
@JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc Год назад
Mashaallah
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Год назад
Nyie kumbe marafiki na mnatuchezea tu sisi akili 😂😂😂😂😂
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 Год назад
ماشاءالله
@JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc
@JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc Год назад
Mashaallah
@swalehjamal4867
@swalehjamal4867 Год назад
Hao wahusika wakuuu wa Zanzibar wa dini pia ni wanafqi hao ..Kwann wamekukataxa kuongea kwa Sababu gani na Sisi huku tujue Kwani Kuna nn wengine wanaruusiwa naww huruusiwi?
@nassibnassib5691
@nassibnassib5691 Год назад
Kisha niwaombe waislam especial wale wa sunna, jamani tumuombee sana Bachu maana Unapopambana kuelimisha watu ktk dini na ukawa upo ndani ya ukweli basi unue utajaza maadui wasiokuwa na idadi miongoni mwao ni waisilam wenzio (wasiojielewa) wengine ni waislam (munafiq) lakini hapo kuna kundi kuubwa la wale wasio waisilam na wasio penda kabisa kusikia kitu kinachitwa uislam na waislam. Hivyo tumuombee sana shekh wetu kinana Allah Amlinde kwa kila njia InShaa Allah.
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 7 месяцев назад
Point kubwa sana akhy.Maa shaa Allah
@hassanambarakmbarak8759
@hassanambarakmbarak8759 Год назад
Huyo sheikh sabasi ni muoga huyo hiyo niqash iwe kando ya DARESLAM iwe mombasa watu wengi sisi ni wamaulidi namimi mi nayaacha
@AbuurabiuJuma-wn5il
@AbuurabiuJuma-wn5il Год назад
Hivi kunamaswahaba walifanyi majadiliano ya kutoana ktk dini? Kama hakuna nyinyi mmetoa wap hayo?nawashauli acheni mamboyenu mnatuaibisha
@pandungozi1072
@pandungozi1072 Год назад
Sabaaas Allkubra bin Munakashaaa😂😂😂👍
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu Год назад
Huyu shekh bachu ni hatari sana anatukana mashekh
@omarali-ut4do
@omarali-ut4do Год назад
Avutia tanga wawe vikanzu wengi wakatie vurugu na kuzomea,
@Logicentric
@Logicentric Год назад
Wewe bachu una matatizo... Unakosa hikma katika daawa yako. Unachokifanya ni kuongeza nyufa katika umma.
@MuzammilBakary
@MuzammilBakary Год назад
Kama wafatiliaji watafatilia kwa mtazamo wa kielim na falsafa ya elim watapata faida ktk pande zote 2 lakini wakifatilia kwa ushabiki wa mitazamo yao ya kimakundi watatoka patupu hasa wanaobeba jambo kibubusa bila ya elim
@adilhabib8988
@adilhabib8988 Год назад
Hapa shida ni kuto kua kitu 1 lkn kama watakua na mawasiliano hakuna mvutano
@OmarMohamad-alhatimy
@OmarMohamad-alhatimy Год назад
elimu ni amal si mujalada ww una takwa watafuta jina wala huna elimu n adhabu
@mahdsalim
@mahdsalim Год назад
Unajua Kilichomo ktk nfc y mtu
@chimbaboytv2937
@chimbaboytv2937 Год назад
@alawisoud665
@alawisoud665 Год назад
Ifanyeni Dar
@hajimuhidini1903
@hajimuhidini1903 Год назад
Nakuhadharisheni msiende bara mnaweza kufanyiwachochotehuko
@OMAR-se6rb
@OMAR-se6rb Год назад
😀😀hakuna shida acha uoga kitu gani watu wake tumejaa
@hamadfaki2503
@hamadfaki2503 Год назад
Inawezekana ww hujawahi kukanyaga kabisa hapa bara
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 Год назад
Inamaana bara wanakaa wanyama
@AbuuYusuph-f4z
@AbuuYusuph-f4z Год назад
Mashed ni wale wa zamani nyinyi ni wanafiq فى هذه الامة
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Год назад
Shekh Muhammad bachu mutufanyie mpango wa msikiti tandika bahana huku ni masufi. Na majadida wanamsikit wao .sasa nasisi tunatak kuona msikiti wa watu wenye msimamo wakati ma kati
@osmaniidrisa6290
@osmaniidrisa6290 Год назад
Hakuna uislamu WA Kati na kat
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Год назад
​@@osmaniidrisa6290 uislamu ni kati na kati usiegemee mambo. Udawa hauwi upande ysawa siku zote ni kati na kati. . Soma Quran Surat Baqara utaona
@osmaniidrisa6290
@osmaniidrisa6290 Год назад
@@suleymansalim5732 watu WA Sunna lakini hawategemei Rai ya mwanazuoni mmoja
@idrisamwaipaya459
@idrisamwaipaya459 Год назад
Kaswali pale tandika kwa masalafy acha utoto wewe, hakuna msimamo wa kati na kati, kuna msimamo ulionyooka tu!!!
@osmaniidrisa6290
@osmaniidrisa6290 Год назад
@@idrisamwaipaya459 ndipo nnaposwali
@Smart_jarm
@Smart_jarm Год назад
KUMBE SABAS ANAJUA KUKUITA VIZURI SHEIKH MUHAMAD BACHU NA SIO MTOTO WA BACHU? NILICHOGUNDUA SABAS NA YUSUF WANASHIDA 😄
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official Год назад
😂😂😂😂 akhy hapo nimecheka kwa suti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@experiencetours5037
@experiencetours5037 Год назад
Wakati wa kuitana kielimu kilammoja atamwitwa mwezake Jona Zurich is tukianza kuvuka mipaka ndio kila mmoja atajiona na kujivua kuna kila Dalil ya kibri kwambali sana Allah atulinde katka hilo.
@mgeninaima9866
@mgeninaima9866 Год назад
Nahiyo siku ya kupeana dadako pia muoneshe tuone insha Allh 😂😂😂😂
@salmaali7080
@salmaali7080 Год назад
C lazima mitandaaoni
@TheZanzibarstonetown
@TheZanzibarstonetown Год назад
Story nyingi , stick to the point ndio sunna
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Naomba utaratibu kwa wale ambao hawakujuw tanga kutoka hapa znz Tufanye vp na huko hatukujuwi
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. Год назад
@Pavillion Cry tutapeana taarifa Inshallah
@ashajumapili7148
@ashajumapili7148 Год назад
​@@Muhammad_Nassor_Bachu_.naaam ALLAAh awahifadhi mashekhe wetu tunawaombea kher
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 Год назад
Hahahaha, najua hapo kofia na kanzu zimeshaanza kukubana. Maana ulizoea kukosoa ukiwa na kamera tu na watu wanakusikiliza, sasa leo unakutana na vidume, na kamera zinashuhudia live, Alhamdulillah , hatimae Allah kaitikia dua zetu za kuwanusuru masheikh wetu wanaofanya kazi kubwa ya kusomesha dini, halafu wanavunjiwa heshima zao kila siku na vitoto visivyo na elimu . NGOJA UKANYOOSHWE SASA
@KhalfaniFarisy
@KhalfaniFarisy Год назад
WATU WA MAULIDI HAMNA AKIRI.
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 Год назад
@@KhalfaniFarisy Ninyi mnazo akili nyingi sanaaa, ila soon tutawafunga midomo yenu tu. Msijekukimbia mnaqasha tu
@KhalfaniFarisy
@KhalfaniFarisy Год назад
@@abujamalaalghammawiy7470 TATIZO LENU MNATAKA MUIONGOZE SHERIA, SIYO SHERIA IWAONGOZE NYIE. NYIE NA MASHA KITU KIMOJA.
@nyipindamlimited1629
@nyipindamlimited1629 Год назад
Salam alekum NIDHAM YA KUWASILIA NA MTU NA KUMUWEKA HEWANI WATU WAMSIKIE NI KUMUELEZA MWANZO WA MANGEZI KWAMBA UPO ON LINE NA WATU WANAKUSIKIA LIVE SIO WEWE UNAJUA KUWA MWENZAKO ANASIKILIZWA NA WATU ALAFU MWENZAKO AJUI HII SI NIDHAM HAJALISHI MNAONGEA NINI APO BACHU UMEMKOSEA MWENZAKO SHEKH
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Год назад
HIVI WEWE UNASIKILIZA VZR AU😂 IMEANZA TAREHE 2....INAREKODIWA ILIKUA VP LIVE⁉️⁉️ kisha kama nimakosa Nenda katika akount ya Yusuf Diwan utaikuta hii vlclip hapa. Kisha kumbuka maongezi yakwanza alirekod Sabas akiomgea na Katibu wa Bachu..kisha alisctranshort SmS baina yke na bachu. Sasa wewe tatizo likowapi . Watu hawataki kuzua mambo jionee mwenyewe. Hakukua na na Simu live hapana sikiliza vzr mida ilipishana mpaka mavaz huoni😂😂😂😂duh nimechoka kukuelewesha
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Год назад
Acha upumbavu ww,kosa lake nn kwani anatetwa mtu,kama huna cha kuchangia kaa kimya
@seyyidseyyid9400
@seyyidseyyid9400 Год назад
watu wanaongea nini na wewe unasema nini watu wanaongeea kitu muhimu wewe unajidai kukosoa kwani unajua hajui kuwa yuko live CHUKI NA FITNA HAZIFAI. Tunafanya makusanyo ya kuhesabu Nazi wewe unakusanya kokochi zilizoanguka
@seyyidseyyid9400
@seyyidseyyid9400 Год назад
wacheni chuki wataalam wa dini wanataka kuelimisha watuu kuhusiana na dini yao kumbe munapenda mashekhe kuwa na chuki waislamu wagombane sio dini Allah afungamanishe nyoyo zao na wafanikishe adhma zao ili iwe ni sababu ya kuwa kitu kimoja mashekhe wetu na sisi waislam "Shikamane na kamba ya Mwenyezi Mungu na wala musifareikiane"
@yusufathman2478
@yusufathman2478 Год назад
Venye nmemsoma sabas nkua hana mpango wa niqash hoja zake hazina mashiko. Cha umuhimu mohammad enda kwenye wataka hao niqash ikue
@AbuurabiuJuma-wn5il
@AbuurabiuJuma-wn5il Год назад
Ninaweza kusema nyinyi wasomi ndo mnasaidia makafiri kuwapa nguvu mnachokijadili ni jambo la kipuuzi kabisa ,mm nawauliza mnapojadili hayo ni Waislam au kuna kafir na mwislam? Ni aibu kubwa Waislam tunaandamwa na makafiri halaf nyinyi mnafanya ujinga Kama huu? Mtakuja kujibu siku ya kiama
@msafiridiary
@msafiridiary Год назад
Hili pira la Barzanji ilitakiwa aperekewe pale pale mlangoni kwake Alhatimy mwenye shuhuli yake..
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Год назад
😂😂Wallaah Hatimy kakimbia hakujibu Niqashi kbs .nawakati ye ndo alosema Bachu aende akamsomeshe. Na akawaambia camera men warekod vzr ujumbe umfikie😂😂😂😂
Далее
TAARIFA YA MJADALA || MUHAMMAD BACHU NA HAJI UPEPO.
17:24
ИСТОРИЯ ПРО ШТАНЫ #shorts
00:32
Просмотров 511 тыс.
Sheikh Naasor BACHU - KWENYE UZITO KUNA WEPESI
36:17
Просмотров 688 тыс.