Тёмный

Shuhudia Wadudu walivyonogesha Mei Mosi Arusha, wawavunja mbavu watazamaji 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@user-qz6gb8zi3c
@user-qz6gb8zi3c 4 месяца назад
Mei mosi ya wadudu hii nchi kazi kweli kweli
@user-ju2tp5dv6i
@user-ju2tp5dv6i 4 месяца назад
Yaan arusha hawaelew hata mbele ya nan wao ni wao tu , uhun mpaka mbele ya rais sjaona kitu Cha maana hapo
@jonasmbwambo3546
@jonasmbwambo3546 4 месяца назад
Nikweli hujaona kitu ila kumbuka kwa Dunia ya Sasa ukiwa na akilizako timamu kama ww hupewi hata nafasi ya kupita mbele ya Rais lakini wao na uhuni wao wamepita Tafakari alafu chukua hatua watu wanapiga hela hapo
@user-pz1xj9bg7u
@user-pz1xj9bg7u 4 месяца назад
😂😂😂😂😂 kazi kweli
@fortunatafelician5625
@fortunatafelician5625 4 месяца назад
Watu wapo serious na kikotoo mnaleta wadudu 😙😙😙😙
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 4 месяца назад
Makonda kazii anayoo😂😂😂😂😂
@SilvesterApolo
@SilvesterApolo 4 месяца назад
😂😂😂😂chuga ni nchi ya kipekee sana😂😂😂
@OswardPeter-gr9oi
@OswardPeter-gr9oi 4 месяца назад
Akhiii wadudu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 месяца назад
Wanazingatia maokoto yao 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AdamuAbdul-y3b
@AdamuAbdul-y3b 4 месяца назад
Arusha raha
@issamiyebo1046
@issamiyebo1046 4 месяца назад
Makonda the great miakili mingi
@NicholausLaurent-t6x
@NicholausLaurent-t6x 4 месяца назад
Duuuuh arusha kama sio Tanzania
@mishaelmethusela7809
@mishaelmethusela7809 4 месяца назад
Ila ARUSHA hahahaaaaaaa burudan sana😂😂😂
@hadijamshimbula7616
@hadijamshimbula7616 4 месяца назад
Washakuamaarufu
@isacksamuel5503
@isacksamuel5503 4 месяца назад
wadudu oyee
@janethnjau
@janethnjau 4 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ArushaKarate
@ArushaKarate 4 месяца назад
Kuna wadudu na kizaz Og mazee..
@josephlorri431
@josephlorri431 4 месяца назад
Arachuga ni kama nchi,rais wake makonda
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER Месяц назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
@teresiamgimba5498
@teresiamgimba5498 4 месяца назад
Du,
@deodatusmagagura6793
@deodatusmagagura6793 4 месяца назад
Hivi kweli wadudu ni watu wa kuwa promoted? Je vijana wa mikoa mingine wakibuni mambo ya ajabu ya aina hii kutakuwa na usalama?
@oam14l
@oam14l 4 месяца назад
Bahati mbaya sana huwa tunashabikia vitu ambavyo vinatutoa kwenye Mambo ya msingi. Watu walitaka kusikia ya kikotoo n.k.
@CarolKimei
@CarolKimei 4 месяца назад
Hiv mnawajua wadudu nyie
@zaiboris9696
@zaiboris9696 4 месяца назад
😂😂
@josephmmbando2899
@josephmmbando2899 4 месяца назад
😂
@bericcabanyari4815
@bericcabanyari4815 4 месяца назад
Huu ni ujinga wa kiwango cha juu, kuna watu wanatakiwa kuwa promoted lakini wamekosa nafasi kisa wadudu wa kijinga, kweli jamani kwa namna hii tutafika?
Далее
Что думаете?
00:54
Просмотров 514 тыс.
Cute
00:16
Просмотров 2,5 млн
Dulla Makabila - Tuzo (Official Video)
3:58
Просмотров 394 тыс.