Тёмный

SIKIA MFANYABIASHARA ALIVYOMTULIZA RC CHALAMILA KWA NONDO ZAKE KUPINGA SOKO LA SIMU 2000 KUPEWA DART 

MwanaHALISI TV
Подписаться 303 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Опубликовано:

 

31 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx 15 дней назад
Heri ya kijana masikini mwenye hekima, kuliko mfalme mzee Mpumbavu ambaye hajui tena kupokea maonyo
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 23 дня назад
Samia hawezi kuwasaidia chochote niamini mimi labda mnemgekuwa mnamshauli kuuza maliasili za tanganyika au kukopa au kusafili na ndege hapo angewaelewa
@sk-wj9or
@sk-wj9or 23 дня назад
Tatizo serekali inafikiria watanzania bado tupo mwaka 1985. Kila sehemu wanapewa wageni hata kama halina faida na wananchi. Raisi anacho kisema na serekali inavyo tenda havifanani!!! Swali nani anaiongoza nchi???
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 23 дня назад
Samia anateua takata maannhazimsaidii
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 22 дня назад
Kada kindaki ndaki wa chadema, anaitwa Mussa Ndile.. graduate wa ifm,,, IT
@BartonMwakyejo
@BartonMwakyejo 22 дня назад
Nime ipenda hiyo hichi kizaz ni cha ZAHABU tu amke haki haiji kiwepes
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 23 дня назад
Sheria kufuatwa ndio njia pekee ya kuleta maendeleo na amani katika nchi yetu.
@KarumeKindamba-lk1px
@KarumeKindamba-lk1px 23 дня назад
Ongela mkuu wa mkoa kwakufaham wamachinga wanaweza kuwa walipakodi wazuri kuliko wanaoitwa wafanyabiashara.Kwahiyo niwakati wakuwa na machinga city.Mji ambao utakuwa na huduma muhimu kama maduka ya jumla, kituo cha mabasi n.k.Kumbuka mmachinga haitaji kujengewa masoko ya ghorofa
@1961nungwi
@1961nungwi 23 дня назад
Sio haki kumvisha kila jukumu Mkuu wa Mkoa. Mambo ya Masoko yanaweza kumalizwa na Halmashauri zinazohusika. Wamuache Mkuu wa Moa afanye kazi zake nyingine
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx 15 дней назад
Kazi gani hiyo ndiyo kazi yake moja wapo
@shd12m55
@shd12m55 22 дня назад
Hamna haurudi tena wewe 😂 ndio tabia yako kutuacha njia panda
@kwisa4899
@kwisa4899 23 дня назад
RC Hii kazi imemshinda kazi yake ni porojo tu soko la mabibo limemshinda 😂😂😂😂😂 kabakia kuunga juhudi tu.
Далее