Yaani shekhe izo dalili ulizo taja yakwanza ni mimi kabsa naumwa kichwa xana upande mmja mbaka shingo cwezi kulala allha akupe maisha marefu uzidi kutufunguwa inshaallha
shukran sana shekh wetu nimesikiliza kisomo hadi mwisho kwakweli najihisi mwepesi sana sasa,,na ulipokua ukiendelea na visomo mwili wangu upande mmoja wa kushoto ulikua ukiingiwa na barini sn ,nashukuru niko sawa sasa,.. jazakal kheri ya shekh
Shukran sh.Othman Michael kwa Dua hii na kwa kutuondolea maradh haya Allah akulipe, Allah akufanyie wepes kwa Kila jambo lako unalofanya na ulalolihitaji InshaAllah Allah atupe mwisho mwema Amina
Na nahitaji unitibu shekhi kutuma❤ dawa Kenya pesa ngapi na hata saahi anasema wewe shekhi hutamueza hakuna atakaye ni azaa shekhi please please please 🙏🙏🙏 help me sehkii mimi fathiya niko na shetani wakunisawaza please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤