Toka nicheki kijana muuza maji yani Hadi now mmenifanya nisikauke online big up team donta nawish siku Moja ningepata nafasi kuwa miongoni mwa team yenu asee
😢Acha kwnza nianze na kuwatakia happy new year naona huyu mwaka vitu nivikali sana mungu aendelee kuwapa nguvu zaidi ya hizo na mzidi kutufurahish na kutupa mafunzo tofauti mbalIkiwe nawapenda sana lakini kelvi na love nawapend sana mnajua kunifurahisha snaa mbalikiw kw huu mwaka mpya