1 Siku moja mavuno yataisha kabisa, baada ya hayo hukumu. Jua litazimika siku hiyo ya mwisho, na hutasikia injili. [Chorus: Atakusanya ngano kwa furaha ghalani, bali makapi yote yatatupwa motoni. Rafiki, utakuwa wapi?] 2 Mahubiri na nyimbo za wokovu wa Mungu zitakaponyamanza huku, uliyelikataa neno zuri la Mungu, utakaa wapi milele? 3 Watu wote wa Mungu wafikapo mbinguni kukaa pamoja na Yesu, wataimba kabisa kwa sauti ya nguvu kumshangilia Mwokozi.
I can NEVER get enough of this song 🎶. Siku moja mavuno yataisha Kabisa 🎵. Great worship Team with such a powerful soloist ! Frank💃🏻💃🏻frank 💃🏻💃🏻🎤🎤🎤🎤🎤🔊🔊
Hi Frank i don't know your language so i am doing it in English. . Sometime last year i. was struggling in my dreams.. I was seeing someone messing at my work place like really messing making my work place filth. And one day i was just helpless in that bad dream i just see you raising your hands singing a song with a very loud voice. You where standing behind a ibig rock and the rock was in a shape of a wing a very big rock it was higher than you. like overlapping you .from that day am free . That time i i was thinking of resiniing from work the situation was bad . Thank you JESUS. May God bless you.
Glory to God. Every time I watch this song I feel my is spirits elevated to another level. I love the zeal and the energy portrait here. Frank and the team barikiweni Sana. Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hallelujah. Siku moja... and Jesus is able to keep us from stumbling and will joyfully present us in glory to our Father. This bit in Jude is a beautiful and powerful doxology
Nmefurah sanaaaah na nmebarikiwa mno❤❤❤ . 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Tunaomba ujitahd kutoa za kiswahili ili tubarikiwe Zaid Kaka yangu maana hats tukisikiliza za kilugha chenu Tunaomba uwepo Ila hatuelewi kinachoimbwa please tukumbuke na sisi nabarikiwa sanaaaaaaaaaah Sana na nyimbo zako huwa nkisikiliza naongeza level ya iman
Siku moja majivuno ataisha ,tuone uwo Yesu aliyetupenda 🙌 Hallelujah nakutakiya kuwa mbiguni ile Siku ili tuimbe pamoja nyimbo za kushinda kwa sasa tuvumiliye Yesu yupo nasi atatupiganiya♥️🇧🇮
Hi Frank you bought me back to life with your voice and your songs even if I don't understand most of them I was depressed and was about to kill myself when your song pop and I clicked it , it saved me
Look up there's a comment with lyrics and you can find a Google translation button right under the kiswahili lyrics. May God heal and keep you and show you His goodness!
Glory to Jesus ,I can't get enough of this song ,it remind when I was a child ,I use to sing this song .ooh my God you are always so faithful In our life🙏🙏🙏
kwa kweli siku yuaja, kristo atatupanguza machozi nakusema njoo ewe mwanangu umepigana vita vilivyo vizuri, mwendo umemaliza na imani kuilinda. Itakuwa ni siku kuu kwa sisi wakristo kupokea dhawabu.Amina