Тёмный

SIMANZI MBEYA AJALI YAUA WATU 12 WAKIWEMO WATOTO WAWILI RC HOMERA ATOA TAMKO ENEO LA TUKIO 

Site Tv Online
Подписаться 18 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws 9 дней назад
Kumbeee wamezimaaa kizibitiii mwendoooo doooo boss kaenda na maji
@raysalum
@raysalum 9 дней назад
Sahivi shetani ameinuka sana twapasa kuomba Kwa nguvu zote jmn .....Damu ya Yesu ifunike sana
@aishadaba7045
@aishadaba7045 9 дней назад
Innalillahi wainna ilayhi rajioun jamian poleni ndugu kwa msiba Allah Tabaraqa Wata'Alla Awatie nguvu na Awajaze subra wafiwa wakti huu wa huzni 😭😭😭
@MashanaMhoni-v6x
@MashanaMhoni-v6x 9 дней назад
Poreni sanawanandugu madureva punguzeni mwend
@kenethelius
@kenethelius 9 дней назад
Da inauma sana da😢😢😢😢😢
@tamumumajoka2641
@tamumumajoka2641 8 дней назад
Poleni ndugu na jamaa na marafika walio fikiwa majoz hii😂
@medaicetz
@medaicetz 8 дней назад
dereva alkua anapita kila mara hyo njia kwahiyo anajua pakoje hata wakiwek bango kubwa kias gan sio kwamba watu hawajui muhim serikali ipunguze mlima huo barabara ilekebishwe hyo S kona haiko vzuri japo madereva ni vizur kuzingatia mwendo mana mwendo wa kasi ni hatari sana
@mwaupinailejeyetu
@mwaupinailejeyetu 9 дней назад
Pole sana kwa maafaa haya mngu awatangulie wote wana familia mngu awe nao milele amina
@LucyMushi-i2c
@LucyMushi-i2c 7 дней назад
Nashauri madereva wakiwa 2 kwenye basi 1 wasiondoke kwa wakati mmojo watakuwa wamechoka wate, wapange kituo cha kumpokea dereva mwenzake, ili apokee gari akiwa na nguvu.
@SalumMtenje-f4b
@SalumMtenje-f4b 3 дня назад
Kowawaruvuma
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 7 дней назад
VIBAO HANITOSHI..Kilo 500 kwa Derewa 2 NI KIDOGO SAANA..BORA IWE ELF 1000
@AzizaVenansi
@AzizaVenansi 8 дней назад
Duh mungu tunusur
@neemamwocha2113
@neemamwocha2113 8 дней назад
Jamani magari ya mbeya tabora ni balaa.watu wanajazwa kwenye gari kama magunia jamani.alafu magari ni mabovu kweli kweli...
@nadiatanzania
@nadiatanzania 9 дней назад
Jaman kabila tuanze safar tuombe tuombe shetan amefunguwa mdomo kumeza watu wa Mungu 😢😢
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 8 дней назад
Inauma Sana poleni nyote
@SamsonSimon-x3i
@SamsonSimon-x3i 6 дней назад
Serekali ipigemarufuku mafasiyana
@SHABANIMATONGO
@SHABANIMATONGO 9 дней назад
Innalli llah wa innalillah rajuunny 🙏🙏🙏🙆
@mlekwa
@mlekwa 9 дней назад
Dah onauma sana😢😢
@JULIANADOMMY
@JULIANADOMMY 8 дней назад
Sio hivyo tu waweke na traffic barabara ya kutoka mbeya kuja Tabora watu wanajazwa sana kwenye bus af makondakta na madereva hata hawajari kabsa yan kiukweli inasikitisha
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 8 дней назад
Serikali iwe makini, mfano njia hii ya Tabora Haina vituo vingi vya kukagua mabasi, ndio maana unakuta dereva anaendesha gari anavyotaka yeye,pili mabasi haya yanajaza watu kupita kiwango.
@EmmyFesto
@EmmyFesto 9 дней назад
hadi yawakute ndiio muamke haya pole saaana dc
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 8 дней назад
Mbona huzungumzii kuhusu ufungaji mikanda
@MariamDeus-u8e
@MariamDeus-u8e 8 дней назад
Polen
@victorjames3730
@victorjames3730 9 дней назад
Ni maumivu Sana 😭😭
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 8 дней назад
Viongozi hatuko makini hasa traffic police,
@SalumMtenje-f4b
@SalumMtenje-f4b 3 дня назад
tunduru
@LambatyMbalamwezi
@LambatyMbalamwezi 8 дней назад
Sio mwendo tu Ata abilia wanajazwa kama magunia Ata Gali inakosa baransi jitahidini kuangalia balabala inayo toka chunya tabora mjionee
@JULIANADOMMY
@JULIANADOMMY 8 дней назад
Kumbe umeona waweke traffic barabara ya chunya yan ni balaa kwa sababu wanawajaza sana watu kwenye bus mnaambiwa tu meridian nyuma inasikitisha
@GidionMarijo
@GidionMarijo 9 дней назад
Wapumzike kwa amani
Далее
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Моя Бывшая - Зомби Вернулась!
24:45
KIPESILE   | 1 |
23:39
Просмотров 336 тыс.