Wasemaji wote mbele ya Rais Magufuli aliyetuondokea nimepatwa na Uchungu wa Machozi Rais wa Wanyonge pumzika kwa Amani Wananchi babo wanakukumbuka kwa wema wako
So now Magufuli had tojust leave us with tears. I hate to question my God, but God are we so cursed not to deserve such blessings of people like these ones? Kuna kipi tunaweza kifanya ee Mungu ili sasa adhabu yetu ifike tamat nasi pia tufurahie uongozi kama huu. Asante sana Tanzania kwa kutupa huyu ambaye Kenya na Afrika nzima tunamenzi sana.
Hakika Magufuli umetuachia majonzi makubwa. We really miss you. Tutakukumbuka daima. Haya mazuri hayazungumzwi ila wanatoa kasoro tu wamesahau kwamba hakuna mkamilifu isipokuwa Mungu tu. RIP Magu.
MHESHIWA MM NINA OMBI ..WAFUNGWA WAFANYE KAZI NA PIA WALIPWE MISHAHARA KAMA WANAOFANYA KAZI URAIANI, WASAIDIE FAMILIA ZAO NJE ..MAANA KUFUNGWA NI KUNYWIMA UHURU TU ,LKN TUKIENDELEA NA MATESO JERA TUNAPOTEZA NGUVU KAZI.
DAAAH WE MUNGU KAMA ALIKOSEA MAHALI UNGEMPA HATA NAFASI YA MWISHO, KAMA ULIVYOMPA EZEKIEL, HATA HIVYO TUNAJUA WEWE NI MUNGU, NA KILA UNALOLIFANYA HALINA MAKOSE, TUNAKUSHUKURU HATA KWA MUDA ULIOMUWEKA KUWA RAIS WETU, HAKIKA MENGI TULIJIFUNZA
Sasa mtu amekamatwa Kwa ishu ya mafuta, halafu anapewa kesi ya mauaji...hii imekaaje ndugu zangu watanzania!? Tutampata wapi mtu kama huyu, ambaye Mungu alikaa ndani yake?
Wakuu kazi nzuri, hizi title za video ingependea kama zingekuwa zinaakisi tukio husika ile iwe rahisi kuzitatuta kwenye mtandao, kuliko kuziita "Ikulu Tanzania Mubashara"