Тёмный

SIMBA WAJIBU MAPIGO KWA CHAMA|WASHUSHA KIUNGO WA MAANA HATUNA SHIDA NAE TENA 

SPORTS MAX
Подписаться 173 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

KWA HABARI NA MATANGAZO
TUPIGIE SASA
0753393036 CALL
0625466848 WHATSAPP

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@Mufti-g3x
@Mufti-g3x 3 месяца назад
Mm nimefurahi sana chama kuondoka kwani chama alishakua mzimu na hapa ndio mafanikio yatapatikana tukumbuke yanga ilikua inatafunwa na yanik fesali lakini walipojiona ni wakubwa kuliko klab waliachwa wote na ndipo yanga ikaanza kupata mafanikio kwaiyo na na uyo jamaa alishajiona nikama mfalme pale Simba hongereni uongozi hapo ndio mtajenga timu siimba more 🔥
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 месяца назад
NA NYIE ACHENI USHAMBA KWANI KUNA CHA AJABU GANI KUACHANA NA CHAMA? KM WACHEZAJI WENGI HUWA WANAHAMA SASA TUNASHANGAA NN CHA AJABU? VIONGOZI WA SIMBA HAWAKUMTAKA CHAMA MAANA KM WANGEMTAKA SIMBA BASI WANGELIONGEA NAYE MAPEMA.MAGOLI FANYA MAMBO BABA.
@MwajumaNgaruma
@MwajumaNgaruma 3 месяца назад
Umeona eeeeeee,,, aende2 atuachie Simba yetu,,
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 3 месяца назад
Na aende huko ataodoka kina mayele wako wapi wangoje kusalitiwa na wao acha wacheke itafika muda watalia
@juliusmbikilwa6928
@juliusmbikilwa6928 3 месяца назад
Itakuwa timu ya ajabu kukaa na wachezaji wake milele zote, kwani akina kibadeni wako wapi, Okwi na wengine si walikuwa wachezaji wa Simba na waliondoka wakaiacha Simba sembuse Chama, alikuwa wetu sasa hivi ni wa kwao. siyo ajabu.
@ZahorSalum-h9q
@ZahorSalum-h9q 3 месяца назад
simba haina mpango wakutafuta mchezaji yanga kwass .wandishi kwass Simba inalengo kubwa. sn.
@morrisabdon7881
@morrisabdon7881 3 месяца назад
Chama hangeweza soka la kocha mpya, chama hana kasi, kumbukeni kilichomshinda RS berkane
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 3 месяца назад
Mapigo gani waliyojibu😂😂😂😂. Hii nchi ni klabu ya Yanga tu ndo wakiamua jambo lao ni sawa na serikali yaani hakuna wa kuwazuia. Yaani leo wameinunua thimba nzima maana ndo alikua timu yenyewe yaani makocha wote wanaingia na wanafundisha kutokana na yeye anavyotaka timu icheze haloooo😂
@michaelmwaijande2561
@michaelmwaijande2561 3 месяца назад
Watu ni wa ajabu sana. Chama alisajiliwa kwa kujua siku moja ataondoka. Hatimaye baada ya miaka 7 aliyoishi na kufanya kazi Msimbazi anaondoka. Wapya watapatikana ndugu zangu !
@FelixisaacKalembo
@FelixisaacKalembo 3 месяца назад
Maamuzi mazuri saaaaana hongereni viongozi wetu, mwaujua mpira sana congraturations
@jumaMohammedi-rt2ys
@jumaMohammedi-rt2ys 3 месяца назад
Mm yang hawaniumiz kich mayer yuk wap hat yy atakuj kuikumbuk simb aend2 alip 2mikia2nashukul
@jumaMohammedi-rt2ys
@jumaMohammedi-rt2ys 3 месяца назад
Mm yang hawaniumiz kich mayer yuk wap hat yy atakuj kuikumbuk simb aend2 alip 2mikia2nashukul
@ernestkamata2555
@ernestkamata2555 3 месяца назад
Chama Simba asingeweza fanya maajabu yeyote.
@namtingakassim5529
@namtingakassim5529 3 месяца назад
Waandi wa mchongo kunaajabu gani chama kuondoka chama aende tu hana cha ajbu .na nyie mashabiki wa simba acheni stori za chama endeleni na maisha yenu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 3 месяца назад
FAMAU WA MATOPOLO MACHOGO FC KESHA TOWA MASHAIRI YA CHAMA KUTUWA JANGWANI WASHAMBA WALE
@MawazoKitumbo
@MawazoKitumbo 3 месяца назад
Saf chama anashida tuu Kila kocha anae kuja chama hamtak
@ChristopherSwenya
@ChristopherSwenya 3 месяца назад
Achana naye hana cha ajab mbn kina chasambi wako safi
@SMG-p2j
@SMG-p2j 3 месяца назад
Sasa ndo naamini kwanini mashabiki wa Simba tuliitwa mbumbumbu na Kadu, yaani Chama ndo amekuwa Simba kweli? Mchezaji anatusumbua kiasi hicho? Mbona ni mchezaji kama wachezaji wengine waliotangulia kutoka? Mbona hatukuhuzunika siku Boko alipopewa Thank you? Au kwa sababu ni mbongo mwenzetu? Tuache hizo, tutengeneze timu
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 3 месяца назад
Sasa naamini Simba mpya inakuja. Mnaposajili sajilini mashine za nguvu tafuteni wachezaji wenye Kasi, nguvu, na wanaomiliki mpira Kwa viwango vya juu.
@AllyKimeme
@AllyKimeme 3 месяца назад
Ulikua mlija wa nyuma mwiko
@mohamedkipara1315
@mohamedkipara1315 3 месяца назад
Msimu huu siamini kama simba tutasajili wachezaji wa ukweli maana kila msimu wa usajili unapoanza simba tunachongaaa mno kumbe mnawaleta kina jobe.sito amini usajili wowote wa simba hadi nimuone uwanjani.viongozi mnaleta ukatuni katuni kila mwaka wakagi watani yanga wanasajili vzr.simba tumekuwa timu ya kuchonga ngenga tu.tumeshachoka viongozi mnatuchosha sn😮😮😮
@zainiamohd6234
@zainiamohd6234 3 месяца назад
Sasa cha ajabu nini chama kwenda yanga tumeachana na wangapi huyu mmoja awatoe jasho huwezi NG, ang, ania mchezaji halafu badae aka kuletea shida
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 3 месяца назад
UKITAKA KUKENGA NYUMBA LAZIMA UKWANGUE ARDHI , UCHIMBE MSINGI NA KISHA UPANGE MAWE AMBAYO UMEYAYOA MILIMA MINGINE NDIPO NYUMBA ITAKAPOSIMAMA IMARA. MWACHE AENDE KWA AMANI KWANI SIMBA ITAENDELEA KUFANYA VIZURI.
@AbdurazackAbdul
@AbdurazackAbdul 3 месяца назад
😢😢😢😢😢😢😢
@AbdurazackAbdul
@AbdurazackAbdul 3 месяца назад
😢😢😢😢😢😢😢
@MADINAKITEMO
@MADINAKITEMO 3 месяца назад
Nawapongeza viongozi wangu wa simba kwa kumuacha sura ya mbuzi mtu mwenyewe chiba
@japhetpwiti9651
@japhetpwiti9651 3 месяца назад
Chama alikuwa ni MSALITI kila wanapocheza Simba na Yanga acha aende
@MarryCharles-rc6ei
@MarryCharles-rc6ei 3 месяца назад
Nampongeza sana Chama ameondoka wakat sahihi maana angejichanganya ajaendlea kuwepo nadhan angefifia zaid maana anamjua hicho chuma kinachoshushwa kuchukua nafasi yake, anamfaham vzr maana wanatoka nchi moja ni balaaaaaa! Kuliko awekwe bench ni bora akatafute mkate kwingne tu❤❤❤
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 3 месяца назад
Simba wanaakili chama yule alishaingia tamaa yaliyomkuta belkane hajajifunza
@Regina-hb5mi
@Regina-hb5mi 3 месяца назад
Mzee wetu Magoli tunakuomba uwe na hasila na usajil
@baheronganzi9240
@baheronganzi9240 3 месяца назад
Ss sio wachoma jezi kama walivtochoma yanionzima
@jumaali9243
@jumaali9243 3 месяца назад
Viongozi wametutia aibu
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 3 месяца назад
Kivip?? Mlisema wazee leo wameondoka
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 3 месяца назад
CHAMA NI CHAMA TU, ASANTE SANA CHAMA KWA MCHANGO WAKO, SOMA RAMANI SIMBA NI ILE ILE TU.
@emmanuelngelela
@emmanuelngelela 3 месяца назад
Mwache aende anakoenda alikuwa anajisikia sana
@zainiamohd6234
@zainiamohd6234 3 месяца назад
Me nawapongeza simba kwa uamuzi wao viongozi hongereni sana big up mo
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 3 месяца назад
Kwani chama ni nani katika team
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 3 месяца назад
Jamani acheni ujinga chama ni nani
@MakarotiKamugisha
@MakarotiKamugisha 3 месяца назад
Vyovyote saw 2
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 3 месяца назад
Pamoja Simba nlidude likubwa sana
Далее
Свадьба Раяна Асланбекова ❤️
00:12