Тёмный

MZEE MASATU:SIMBA HAWAJAWAHI KUKOSEA KUFANYA MAAMUZI |KWA HILI YANGA MTAJUTIA WENYEWE 

SPORTS MAX
Подписаться 171 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

KWA HABARI NA MATANGAZO
TUPIGIE SASA
0753393036 CALL
0625466848 WHATSAPP

Опубликовано:

 

30 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@MasterNicodemus-yw8tq
@MasterNicodemus-yw8tq 6 дней назад
Chama alikuwa mchezaji mzuri lakni kwa sasa simba hii itakuwa bora zaidi ya wakati alipokuwa cama
@abelimaganga417
@abelimaganga417 6 дней назад
Naamin mwanasimba yeyote Leo amefurahi kama anaipenda Simba
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 6 дней назад
Viongozi wamefanya maamuzi sahihi kumwacha Chama
@AmiryHamza-gs8pp
@AmiryHamza-gs8pp 6 дней назад
Nikweli mzee simba ni kubwa barani Africka chama mda wake umeisha kwa simba ngoja aangalie uko otopolo nyuma mwiko
@PetroNombo-ne9kq
@PetroNombo-ne9kq 5 дней назад
😮😮
@augustingodwin9758
@augustingodwin9758 6 дней назад
Chama sio Bora sana, kama angekuwa Bora sana na mkataba umemishia Simba kama angekuwa na Nia nae asingekubali atoke, chama ameshachemka litamkuta kama lililomtokea RS Berkane
@allymtanga8127
@allymtanga8127 5 дней назад
Makolo bana 😂😂😂
@MajidMajid-ll8mf
@MajidMajid-ll8mf 2 дня назад
Chama ameenda kulipwa fadhila kwa usaliti wake
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 5 дней назад
Me wa kwanza kufurah chama kuondka
@eunho9529
@eunho9529 5 дней назад
Katika vitu vyote uongozi wa Simba sc umeufanya ndani ya misimu mitatu iliyopita na kunifurahisha ni KUACHANA NA CHAMA.
@ushiwamarandu7433
@ushiwamarandu7433 6 дней назад
KWA KWEL HUYU MZEE hajielewi kabisaaa...!
@milikimbembela8670
@milikimbembela8670 6 дней назад
Wewe ndo unakaza fuvu
@ushiwamarandu7433
@ushiwamarandu7433 3 дня назад
@@milikimbembela8670 sasa mtaona kitu atakachowaonesha huyo CHAMA....!
Далее
Сумерки сасага🧛
11:41
Просмотров 1,2 млн
Happy 4th of July 😂
00:12
Просмотров 21 млн