Тёмный
No video :(

SIMBA WAMNASA ELIA MPANZU KIBABE KIUNGO MSHAMBULIAJI KUTOKA CONGO HAPA SIMBA WAMELAMBA DUME 

Maximum Tv Online
Подписаться 450 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@aniphamalandi4651
@aniphamalandi4651 Месяц назад
Nikwel simba imemusajili Elias mpanz au nimtandao2 ety
@JohnTendwa-gn1nl
@JohnTendwa-gn1nl Месяц назад
Kama mpanzu amepatikana Basi tupewe nafasi mashabiki juu ya Nani stole na sio Aubin cramo. Kura yangu iko kwa Michael kolblan huyu stole wabaki watanzania wakimsaidia mukwala.
@mwailwa4
@mwailwa4 Месяц назад
Fredy atoke abaki Aubin Kramo kama Mpanzu akisajiliwa
@lonesomekabora5547
@lonesomekabora5547 Месяц назад
Si anatoka Onana
@WistonAlex-o7q
@WistonAlex-o7q Месяц назад
Huu niuongo tuu kila cku mpanzu tumeshachoka
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le Месяц назад
Kwanza tumechoka na hizo habar za Elia mpanzu kila cku yeye tuuuu!!!
@EmanuelMwambu
@EmanuelMwambu Месяц назад
Pumbavu Sana kichwa Cha habari tofauti na maelezo eti Baki kisiki
@hawamkuzi8931
@hawamkuzi8931 Месяц назад
kabisa wajinga sana
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Месяц назад
Hawa waandishi uchwara watutake radhi, Eti Elie mpanzu tayari kasajiliwa kumbe nothing.
@RashdNdumbulaz
@RashdNdumbulaz Месяц назад
Huna maana kichwa na miguu tofauti
@nengaboy-q8v
@nengaboy-q8v Месяц назад
Uyo mpanzu kwel au miyayusho t
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Месяц назад
SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉❤❤❤
@user-mi7vj3jh6w
@user-mi7vj3jh6w Месяц назад
Hivi jaman kibu yupo?
@user-qw4pm2xe4j
@user-qw4pm2xe4j Месяц назад
Kramo abk atoke onana
@user-co4dx6lo9x
@user-co4dx6lo9x Месяц назад
Tulia wewe
Далее