Nduku ,kaka na ,madada ni mwaka mpya 2023 mwezi wa pili tarehe 13 saa 9.35pm...Hii nyimbo naisikiliza na kwa kweli natamani nyimbo zenyee ujumbe kwa Jamie.#FOREVER AND EVER KALAJEREMIAH NTAKUTAMBUA
Nimetafuta hiki kibao kwa muda.. Lakini kwa sasa nashukuru sana maanake technolojia imeniwezesha... Asante #bongohiphop.. Dj AD Mafuvu... Nakufagilia sana huku +254 kenya... Holla!
Vizuri sana kaka jeremaya! Wakati mwingine watu ni wengi wanaotendewa mambo mazuri sana tena wakiokolewa kutoka ktk maisha ya chini kabisa, lakini badae husahau kabisa walilowasaidia.