Тёмный

SIMULIZI YA MAMA WAWILI KUMGOMBANIA MTOTO,MTOTO AONGEA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Hili ni tukio lililotokea Mkoani Arusha ambapo akina mama wawili wamemgombania mtoto anayefahamika kwa jina la Happy huku kila mmoja akidai ni mtoto wake baada ya mama anayefahamika kwa jina la Neema Mathias kufika kwenye shule anayosoma nakudai kwamba ni mtoto wake.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 175   
@aishaddddhh6272
@aishaddddhh6272 2 года назад
Subhana Allah jmn mtoto afe afufuke mhhhhhh huyo somtu mzuri kuwa makin namtoto wako mama
@aishaukuthymwanachahaya4511
@aishaukuthymwanachahaya4511 2 года назад
Nikwl nimuongo
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 2 месяца назад
Mwandishi mimi nakupatuzo uko vizuri unatuletea habari za marimwengu, hihi hajanza Leo kugombania mtoto ipo kwenye mandiko matakatifu,kunawamama wawili walikuwa kugombania mtoto,ndio hawa Sasa hyu mama mtu mzima mwongoo 😂😂😂
@neema_mollel
@neema_mollel 2 года назад
Daah hii ni bangii
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 2 года назад
Angekutana na mm uyu mshenzi ninge mpa vichwa akili ingemkaa sawa...mtoto wangu huseme wako mamaeee zao
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 2 года назад
Mama ntilie muogope mungu mwizi mkubwa
@isayayohana6341
@isayayohana6341 2 года назад
Uyu mama ntilie ana karoho kanamsumbuwa uyu aangaliwe vizuri jamani ikiwezekana apimwe akili
@isayayohana6341
@isayayohana6341 2 года назад
Alafu na hatua za kisheria achukuliwe maana ayo ni mazoeya mabaya jmn
@SophieJohn-p5m
@SophieJohn-p5m Месяц назад
Mtt anaakil sana❤
@mohamedkisenga6654
@mohamedkisenga6654 3 месяца назад
Chiz kweli huyo mama mweupe
@sinailarajabu6111
@sinailarajabu6111 2 года назад
Mama hepi angalia sana uyo mdad ni mizi kabisa mtoto kuomba maji tu ndio awe mtoto wake ana wazimu uyo
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 huyo mama akapimwe akili sibure
@sophiakasana2937
@sophiakasana2937 2 года назад
Huyu mama lishe anataka kutoa tu kafara yamtoto kungangani mtoto wa mwenzio nn inamaana kafufukia tumboni kwamtu maisha haya
@stellaMwakatulie
@stellaMwakatulie 6 месяцев назад
Kuwasumbua asikari uyu mama mwenye kofia muongo😅😅
@aikalucky5747
@aikalucky5747 2 года назад
Huyo mama mweupe sio kosa lake,,afya ya akili haiko salama
@SalvinJastin
@SalvinJastin 3 месяца назад
Kwakweli asamehewe maan hata anachokiongea sijui kitu gan
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi 2 месяца назад
Umeonaee mara alikufa mara nini aisee duniani kuna mambo eti!
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 15 дней назад
Lipo jambo limejificha hapa mungu aingilie kati
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 года назад
Subhanallah 😳 kazi kubwa 🚶🚶🚶🚶
@HappynessJose
@HappynessJose 2 года назад
Hapana wewe neema muongo
@sunherybabie1472
@sunherybabie1472 2 года назад
Huyu neema wakamcheki akili
@BEATRICENYONGOLE
@BEATRICENYONGOLE 3 месяца назад
Jamani mhhh
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 года назад
Mama ntilie huo uso Sasa makrim plus moto kazi ipo mwizi wa watoto
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 2 года назад
Hahaha eti kafa akafufuka, kaona achukuwe mtoto wa mwenziwe
@MauaQueen
@MauaQueen 9 дней назад
Akili Aiko sw huyu mama mwenye matambaa
@kabintmpase1544
@kabintmpase1544 2 года назад
Neema anazingua sanaa🤣🤣
@khadijangitu8360
@khadijangitu8360 2 года назад
Nanyinyi watangazaji hamna kazii. Ivi hamjuwi uyo ni mweuu. Umli anaotaja kuusu hao watoto na uyu mtoto mbona tofauti. Mnatuchosha
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 2 года назад
Wanatufundisha tuijue dunia hii Sasa ilipofikia
@minatto12
@minatto12 3 месяца назад
😂
@judiehance1736
@judiehance1736 2 года назад
😂😂😂arusha hakai fala ,*eti nivokunywa apo maji tu akaanza mazoea na mimi*
@DianaNyagawa-b7y
@DianaNyagawa-b7y 2 месяца назад
Huyu mtoto ana kitu sio bora
@fatumakassimu5923
@fatumakassimu5923 2 года назад
Huyu mama ntilie mwizi aliona wapi mtu akifa anafufuka ..mwizi mkubwa ..kwanza hata kuongea anaongea uwongo
@aishaukuthymwanachahaya4511
@aishaukuthymwanachahaya4511 2 года назад
Nakwmbia
@estertiffathomas5651
@estertiffathomas5651 2 года назад
Hyoo mama mweupe mnala busy
@jenniferzakaria3884
@jenniferzakaria3884 3 месяца назад
Kweli dunia ina mambo,alikufa akafufuka na kuja kumtafuta mamaake neema,ya mungu mengi
@lucysanga4941
@lucysanga4941 2 года назад
Anichekesha huyu mwizi jamani hili nikarai limeyumba
@WinnieKevoo-ot2tv
@WinnieKevoo-ot2tv 7 месяцев назад
Uyu mama ntilie ninge mpiga vichwa asinge aminii uwiiii 😢😢😢
@marygaspar6429
@marygaspar6429 2 года назад
Huyu mama mweupe ni mwizii !
@HappynessJose
@HappynessJose 2 года назад
Mary Gaspar Ata mimi nimemuona na macho yake makavu mno mtoto afe Tena apotee alafu na mzazi mweza ajui alipo nikajambaz hako keupe ujajaujaja mwingi nimeona
@annamlozi4538
@annamlozi4538 2 месяца назад
​@@HappynessJosekachawi tena, kawalete hao mapacha waliobaki kama wafanana na huyu.
@annamlozi4538
@annamlozi4538 2 месяца назад
Tena kakamatwe kawekwe ndani kanaonekanana ndio wezi wa watoto hao, MUNGU anawonyesha wazi sasa
@baysuraoman7910
@baysuraoman7910 2 года назад
Mtihani
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 2 года назад
Ningempa kichapo huyo mama asingesahau maisha yake yote yaliobaki yn asingenisumbua hata kdg mtt wa miaka 5 atasoma darasa la 3? Yn yy ndio angenipeleka polisi manina zake anatafuta kafara
@happynkya9770
@happynkya9770 2 месяца назад
Pamoja na kumficha happy lkn happy kafanana sana na huyo mama mweusi, sasa mama kama mtoto wako alishakufaaga huyu ww unaswma ni mtoto wako??
@rokoowilfred2318
@rokoowilfred2318 2 года назад
Mnatumalizia mb kwa ujinga
@aishaukuthymwanachahaya4511
@aishaukuthymwanachahaya4511 2 года назад
Hyo mamaa nimuongo
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 года назад
Sasa huyu mama ansema kamzaa 216 na mtoto anaoneka mkubwa kwa 2016 saivi atakuwa namiaka mitano nauyo nizaidi ya mitano . Huyu mama antia shaka isijekuwa anataka kumuiba
@samsonkeheye1996
@samsonkeheye1996 2 года назад
We Neema unatakiwa ukapimwe akili kwanza ndo mambo mengine yafate
@gracebuhatwa6359
@gracebuhatwa6359 3 месяца назад
Huyo mama mwingi anataka kuchukua mtoto WA watu
@makondorshimora5017
@makondorshimora5017 2 года назад
Huyu mama ana tatizo la afya ya akili, hivi Mtoto afe halafu afufukie kwa mama mwingine?
@HelenaMasele-ug3hi
@HelenaMasele-ug3hi 3 месяца назад
Hao watu wanaoiba watoto Mungu anawaona hata Mimi hill tukio limewahi Nikita nikiwa mdogo mwanaume mmoja alitukuta tunachezs akanishika na kuning'ang'ania akidai Mimi ni mtoto wake
@nasrasway7143
@nasrasway7143 2 года назад
Jaman
@barakabukula5675
@barakabukula5675 2 года назад
Mambo y kale kwnye ufalme wa Solomon yanajirudia tena😲
@hanifamasudi9732
@hanifamasudi9732 Месяц назад
Huyu mama lishi anaujinga kuna DNA 😂
@jessicanchimbi9419
@jessicanchimbi9419 2 года назад
Mtoto hatak mazoea na wanawake wenye vivhaa vya ndoa
@azamajid9530
@azamajid9530 2 года назад
Mwizi huyo na watoto wache kupokea vitu cha watuu
@EK-kp2np
@EK-kp2np 2 года назад
INACHANGANYA, LAFUDHI YA HAPPY NI YA MTOTO WA MIAKA 5, bado anaongea kitoto sana. DNA ndiyo jibu. Na huyo Neema anachanganya watu pia, kama mtoto alikufa, “alifufuka lini”? Yaani ni mauza uza hapo🤔
@upendokashaija5970
@upendokashaija5970 2 года назад
Huyo MTT n sawa kuwa na miaka 9, watt wa arusha ndio uongeaji hao huo, ukikuta wanaokaza n wachache
@MaedaMm
@MaedaMm 8 месяцев назад
Niongea ake tu hata wa kwangu wa mwaka 2012 lkn anaongea kwa Madeko mno yaani karefu lkn.kanaongea kitoto
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 3 месяца назад
Jamani 😢😢😢😢😢
@ireneassey753
@ireneassey753 2 года назад
Hhaha uyu mama atakua na msongo wa wa mawazo ataftiw daktar
@linahmacha370
@linahmacha370 Год назад
Huyo mama ntulie police achunguzwe zaidi kama hana afya ya akili basi kuna siri anayo ndani yake haiwezekani kuna kitu mtakuja kuniambia na itakuwa kashachua watt wengi
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 3 месяца назад
Hamna story naona si wapelekeni wakapime DNA?
@magrethmallya7728
@magrethmallya7728 2 года назад
Dishi nyeupe halijakaa sawa.
@pjmaarifa3528
@pjmaarifa3528 3 месяца назад
Foundisha watoto kutopokea zaqadi na kula , hatariiiiii
@mrgeorgeisdory5277
@mrgeorgeisdory5277 2 года назад
Huyu Neema ni Mtu mbaya na alitaka kumuiba huyu mtoto Hyo mtoto nikubwa Wakwake 2016 Wala haendani na hyo mtoto huyu mama ni wakumfunga kabisaa
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 года назад
Uyu mama luungo anapewa pole hapokei mbona jamani mama kilaza uyu
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Месяц назад
Huyu mama ukute kufiwa na mtt wake akili imeruka
@fettyramadhan622
@fettyramadhan622 Год назад
Mama ntilie ni mwizi
@happykipeya8516
@happykipeya8516 2 года назад
Happy wajina 😍
@hannanommy302
@hannanommy302 2 года назад
Sikuna DNN jamani, hivi Tanzania 🇹🇿 mmerogwa na nani?watu wanagombea mtoto na hospital zipo
@fanjafanja4022
@fanjafanja4022 2 года назад
Sura imekukomaa muizi mkubwa ww NA uwo wanja kama mwari wa kiarabu
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 года назад
🤣🤣🤣
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇦🇪
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 года назад
😂😂😂😂
@issayaahimidiwe9681
@issayaahimidiwe9681 2 года назад
😀😀😀
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 года назад
😂😂😂😂
@halimaa9367
@halimaa9367 3 месяца назад
Sasa kashakufa karudje tena jeman
@esterkilleo2638
@esterkilleo2638 2 года назад
Yani huyo mwizi wa mtoto uso umeshupaa hata aibu hana mtoto anauma ww siowakugawana kamakaranga anahaya.
@rosemsaki1111
@rosemsaki1111 3 месяца назад
HUU NI UTAAHIRA SI MKAPIME DNA!!!!
@rahimaan6481
@rahimaan6481 2 года назад
Eti kaja kunitafuta looh moto wako unajadiliwa na malaika 🤣
@lucyaugustine4449
@lucyaugustine4449 2 года назад
🤣🤣🤣
@happydavid6708
@happydavid6708 2 года назад
Wakapime DN
@upendosr
@upendosr 2 года назад
Haa sasa mtoto alikufa afu imekuwaje tena 😄😄😄😄
@Rehema-h6t
@Rehema-h6t 2 года назад
Heeeeeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyo mama apelekwe milembe sio
@captaindunga.5849
@captaindunga.5849 2 года назад
Huyo mama wa 2 akapimwe akili pengine anatumia kuni za bange kwenye mapishi yake.
@eugenurasa5272
@eugenurasa5272 2 года назад
😂 et kuni za bange
@enockmaige8936
@enockmaige8936 3 месяца назад
😂😂😂
@annaluganha7021
@annaluganha7021 2 года назад
Huyo mama hana akili nzuri
@lusekelojorammwakyalabwe6277
@lusekelojorammwakyalabwe6277 2 года назад
Daa ila kuna watu vichaaa huyu mama akapimwe akili sio mzima
@WinifridaEvarist-oc9tb
@WinifridaEvarist-oc9tb 3 месяца назад
Huyu mama mweupe nimwiz anatakata mtoto wabule anapgopa uuchugu
@neziasangiza5393
@neziasangiza5393 2 года назад
MILADY HUYO NI MAMA ANGU MDOGO KABISA TUKO KIGOMA BABU YANGU NDO AMEMZAA HUYO AMECHANGANYIKIWA JMN MUACHENI NI MGONJWA WA AKILI
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 года назад
Uyu mama akapimwe .mtu age alafu afufuke ee mungu
@pendoyese4452
@pendoyese4452 7 месяцев назад
Mtoto anaongea kichuga mbona jamani au wanaiahi arusha
@joycekalago532
@joycekalago532 7 месяцев назад
Et ni mtoto wangu lakn amenikana hili jimamantilie lina akili gani? Wakati limesema alikuja mgahawani kukutafuta,kama aliweza kuja kukutafuta iweje akukane tena
@mnyangabejowrlicecy1747
@mnyangabejowrlicecy1747 2 года назад
Huyo mama muuza chakula mwizi
@blessingrajabu2519
@blessingrajabu2519 Год назад
Uyo mama anataka kuiba mtoto wawatu wake kafa kwahiyo ndo akafufuka tena
@faridaaloyce4330
@faridaaloyce4330 3 месяца назад
Macho yako tu mama ntilie yanazungumza uwongo
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 2 года назад
Kichaa mkubwa!
@maryamuabdul1535
@maryamuabdul1535 2 года назад
Dunia simama nishuke. Huna haya mwanamke sura imekomaa mtoto wa 2016 anakua mdogo sas huyo nimkubwa huon kuwa ww nimwiz na sur yako ilivo kukomaa kama jiwe la kusuguli miguu
@ramamasenda6637
@ramamasenda6637 Месяц назад
Wewe mamantilie muongo
@sakinaramzu2878
@sakinaramzu2878 2 года назад
Huyu mama lishe sio mzima hahahahahhaa
@laymashabani832
@laymashabani832 2 года назад
Mama ntilie vituko vingi 🤣
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 4 месяца назад
Kwa hiyo D N A ifanyike ao mtangazaji mpeleke kwa Nabii kiboko ya wachawi Buza mgogoro utaisha
@FelisterMunissy
@FelisterMunissy 8 месяцев назад
Ww mama unaukimwi wa kichwa mbwa ww acha mtoto wa mtu mchawi ww
@mligosandrah7851
@mligosandrah7851 2 года назад
Huyu mama mwenye eplon sio mzima
@zulfaahmad5588
@zulfaahmad5588 2 года назад
Hili limama halina ata aibu muone midomo yake ilobinuka kwakuongea uongo muogope mungu wemama nahilo likofia huoni aibu ktt hamfanani mwehu wewe mama
@neemazee1864
@neemazee1864 2 года назад
Uxeeenge tu
@liberiakimario2742
@liberiakimario2742 2 года назад
Uyu mam mweup mtot sio wake
@VumiliaOktavian
@VumiliaOktavian 11 дней назад
Ila we mama kichaa kwer huon utofaut
@gladnesswaziri2727
@gladnesswaziri2727 2 года назад
Wiz wa kimachomacho ....huyo mama ntilie n mwehu uso umemkoboka
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 2 года назад
Mama ntilie Kuna muv unataka kutoa nn Mana c kwa uongo huo et umemza mwaka 2016 mtt anaonekana mkubwa 🤣
@piscusikilembo1630
@piscusikilembo1630 2 года назад
Huyo mama ni mshilikina tena mchawi hana hayakabisaa
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 2 года назад
Anaonekana tu sura lake
@zamzamhassan4159
@zamzamhassan4159 2 года назад
Muone kwanza alivyojichubua km kiumbe kilichofia kwenye maji nakuoza
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 2 года назад
🤣🤣🤣
@hellenpatrick3041
@hellenpatrick3041 2 года назад
Mmh! Huyo mama ntilie eti mtoto kamkana sa mtoto atakukana vipi kama amekuja kukutafuta
@hamidaala2832
@hamidaala2832 2 года назад
EtiAlikujakunitafutazheeMakubwa
@ladyt1471
@ladyt1471 2 года назад
Mama acha uongo si ulimzoeza kumpa vitumbua na chai ya maziwa nendeni DNA
@Emmamusiccmb
@Emmamusiccmb 2 года назад
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA🇰🇪💥🔥🔥💥💥🔥💥🇹🇿*
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 года назад
Atutaki 😂
@gracejohn903
@gracejohn903 2 года назад
Ulimpa kitumbua cha uchawi
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 года назад
Si wapime DNA
@shirahkayeba6112
@shirahkayeba6112 2 года назад
Mtoto anasauti nzuli
@maryamdunga3896
@maryamdunga3896 2 года назад
Ndo maana me mama angu hatakagi tupite sehemu kula hovyo muwafuze watoto kuto kula kwawatu
@a.856
@a.856 2 года назад
🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
@halimarahma7450
@halimarahma7450 4 месяца назад
Hii ndo afya ya akili kwakweli
Далее