Tuombe jamani tutoe zakana sadaka lakini tukumbuke kwamba marco aliimba wimbo wamungu ni daktari wa moyo wake ila alivyoambiwa kwamba anaugojwa wa myo angeacha kufanyiwa upareshen akajikabidhi kwa mungu kwa maombi zaidi na mapastar wakamwombea kwa sababu alisema yesu ndiyo dakari wa moyo wake angeomba tu sana akaacha kufanyiwa uparesheni angepona
Mungu atusaidie maana hospitali nyingi madaktari na manesi wanatumiwa sana katika ulimwengu wa giza, unatengenezewa ugonjwa na wanakuelekeza hospital yao naumia sana juu ya marco moyo wangu unashindwa kuamini😭😭 kama Kamwita kwa wakati huu ila sina budi kumwachia Mungu hili
Kweli kabsa Pastor bila maombi, do silaha pamoja na fungu la kumi inakulida wachawi watakutengea mitengo lakn Haitafaulu juu yako,toa fungu lakumi Mungu atakutetea sana,sana
Tusimame na Mungu nakumtafuta Mungu kwakuwa anapatikana, na ansema tumtafute yeye na nguvu zake sasa haya ya Mchunguja nikweli kabisa tusilewe sifa shetani na mawakala wzake wapo kazini na vita nikali. Na hicho kitengo cha uimbaji ilikuwa nisehemu yake sasa atakubalije ufunguwe watu kwa nyimbo lazima atakushambulia tu, sasa hapo ndio utakapoitafuta madhabahu na baba wa kiroho mwenye nguvu za Mungu wa kweli. Kila hatua ina bita yake na maadui wanaanzia ngazi ya familia kama ilivyoandikwa adui waakaribu niyule wa nyumbani kwako, sasa hapa Mungu akupe macho yakumjua adui na kushughulika naye rohoni. Maana ukizijua silaha zake na mbinu zake ni rahisi kushinda sasa makanisa menngi haya ya kwetu mambo yenye nguvu ya roho mtakkatifu hawataki wanadai kanuni, sasa watu wanaangamia kwa kukosa
It's true that he acts in a hospital. It's good to sing songs that worship ano and praises God. I don't see why should the the singers sing other things other than the worship of God.
Kifo ni ya Mungu....let us allow God to do His will....it is sad but God allowed it for a reason. Kwani wachawi wana nguvu kushinda Mungu? Acheni kupoteza watu
@longliferose5905 Life is in God's hand....He is the creator of life. Jesus died when he was only 33 years ....but he had accomplished what he came to do. You can live for 100 years and still die without knowing your purpose in this world. God is the beginning and the end...Alpha and Omega....so instead of questioning God, we need to thank him for the gift He gave us while remembering that we are also on our way to the grave.
Waimbaji waangalie sana wanyenyekee chini ya mkono waMungu maana hata shetani alikuwa mwanasifa m,Zurich waombe sana kwa sababu shetani hafurahii huo uimbaji ambao upo ndani yako waimbaji wamtolee Mungu sadaka na waombe Mungu awaonyeshe madhambahu halisi inayo toka Kwa Mungu
Kiroho ile kuaga dunia siku 9 baada ya mkuki wa giza (shambulio la ghafla) kumdunga kifuani kumeniacha natafakari kama waliomuombea walilifukuza pepo la mauti na kumtamkia uhai kinabii! Nakumbuka nilipowaombea kinabii ndg Rugemalira na Kaka Mbowe mahamani kisha gerezani kilichofungua milango ni nguvu neno la kinabii. Sijawasahau Mo Dewji wakiwa na Babra, pia binti wa Alice John aliyekuwa anaishiwa damu kipepo pepo. Kwa hekima ya kishauri na neno la kinabii lilitimia. Miujiza na shuhuda ni nyingi siwezi kulimaliza. Naamini Zablon walipaswa kuwa wazi haraka na kutangaza ugonjwa wa Marko maana ufahamu na ujuzi wa kiroho hutofautiana. Nilizaliwa Msabato ila nimejifunza mengi, kimaombezi kutoka kwa baadhi ya walokole wakweli. Sio kila siku tuombe kinyonge nyonge na kusimama ukingoni Kingoni (njia panda) "... Wawezeshe madaktar....Kama ni kupenda kwako aishi basi aishi... Amina" Amini nakwambieni mfalme Hezekia hakuomba hivyo, angeomba hivyo angefariki. Kosa la madaktari lilikuwa kumjulisha Marko hali yake. Ni maadili yao ila kwa kufanya hivyo walimvisha vyazi la umauti kwa hofu bila kufahamu. Naiamini sayansi ila mara nyingi ninapokuwa nimejulishwa kumuombea mgonjwa aliye mahututi huwa sizisomi wala kuzizingatia sana tarifa za madaktari! Kama mhusika ni kijana au mtu anayehitajika sana kijamii / kiroho huwa naitisha uhai tu na kufukuza giza! Wengi wameishi kwa maombi bila gharama ! Na nashukuru wengi wao hata sadaka za shukrani kwa Nabii / mtumishi hawakukumbuka kutoa. Utumishi wa ukweli una majaribu yake. Simu +255746450753 Whatsapp +255782886744
Na alikuwa na nyota kubwa imbayo imekuwa imeengaa ilikuvunja nguvu za Giza,Sasa madhabahu ya mwovu iwezi furahiya hayo,badi turudi kwenye misingi ya Imani, ili maombi ya kwa wingi.Itampendeza Mungu
So sad 😢 and my condolences to Zebron Singers and family of late and pray God to give them all comfort and strength during this time of mourning. God rest his soul in eternal glory and peace 🙏🏼😭!
Wakati wa mungu huwa ni wakati sahihi mungu ajawahai kukosea wewe unafikili Mungu hakusikia maombi ya huyu Mrco au kupitia ndugu walokuwa wanamuombea unafikili Mungu akusikia kilio chawatu wake wakati wa mungu ukifika umefika hata yesu hata kama yuda asingemsaliti ili abaki hata kupasuka angepasuka tu mpaka agano lake litimie
Anaweza asiwe amerogwa ila kuna familia mtu akifika umri fulani akapata mafanikio lazima afe....ndio mana tunahitaji kuomba sana na kujitoa kwenye madhabahu zinazotufatilia za kiukoo
Tupo kwenye ulimwengu mgumu sana uliojaa wivu, chuki na kukomeshana. Mungu atupe ulinzi sisi ambao yameshatuguza haya tunaelewa huyu mchungaji anachosema. Wachawi wanapenda sana kuuwa nguvu kazi yani vijana
Ulikuwa wapi muda huu wote haukuwambia kuhusu madhibau na tunajua walikuwa wanaimbia mungu pamoja na wewekunisaidia watu wamungu kenya kabla ya kufa wakawajengea vizima vya maji na jakula na mungu ana sema kadili muwafanyiapo mumuja wenu anaye shida tunamufanyia mungu je hiyo si ni matibau
Una ujumbe mzuri kwa waimbaji na naamini huja maanisha Marco ameuwawa na wachawi. Kikubwa tujikite kwa Mungu tu. Mitume wakubwa waliuwawa hadharani wengine waliugua lakini haikumaanisha hawana Mungu nooo!! NI HERI TUFE KATIKA KRISTO
Mchungaji kifo ni Cha Mungu na ndiye anaye amua uishi au ufe, pia usiendekeze sana habari za kichawi maana Mungu akitaka Uishi utaishi tu hata kama utarogwa vipi maana Mungu akitaka Uishi utaishi na akitaka Ufe utakufa hata kama Utaomba au Ujigange vipi. Kifo Kiko mikononi mwa Mungu mwenyewe na ndiye anaye amru kufa kwa Mwanadamu. Pia mchungaji kusema Madaktari wa Tanzania hawana utaalamu wa kutibu na Elimu zao ni duni hilo nalo ni kudharirisha taaluma za Madaktari wetu na ni dharau na tusi kwa nchi. Nadhani Mchungaji jitathimini na Uchungaji wako maana nawewe nimekuona mpenda pesa na kujisifu sawa tu na hao waimbaji. Nakushauli Unapo ongea Chagua maneno ya Kusema.
Umesema tu ukweli hakuna uchawi wala shetani aliyo na uweza wq kumtoa MTU yeyote uhai kama Mwenyezi Mungu hajapanga sijui watu husoma bibilia gani .mbona akina Rose muhando ,kyade na wengineo bado wako hii Tania ya waafrca MTU akifa had I ako na sababu no vyema tuache kwanza wanaojiita wakristo bibilia inasema mambo yote yanatendeka kwa wema kwa watoto was Mungu
Ukuei kabisa mtumishi kifo ya Marco imeshtua watusana..hata ukiangiangalia ile video yenye alifanya Akiwakua denge.akirudi zake Tz..Alikuamzima wa Afia..huyu walimronga..kupitia maungojua ya moyo..😭😭🕊
Asante KWA kutukumbusha KWELI kwa Sasa HIV, tuombe San maisha yanatisha mmmmm mwanadamu WA Sasa nawaogopa kama ukoma ubarikiwe kwa KWELI MUNGU akupe maisha MAREFU amina.
Iyo ni kweli kabis nawaza kira mwenye kuimba nyimbo za MUNGU wawe macho Sanaa KAMA MUNGU anahinuwa sana na njo gisi shetani naye anahinuka tunaitaji Maombi sana
Jamani mbona mtumishi wa Mungu kapondea sana madaktari wa tanzania kwamba elimu yao ni ndogo Eti ujuzi wa mdogo ,hii imenisikitisha sana Mtumishi wa Mungu kudharau madaktari wa nchi isiyokuhusu,binafsisimwelewi kabisa utumishi wake
Ni kweli, huyu mchungaji anapaswa kuomba radhi kwa kudharau elimu ya madaktari wa Tanzania. Kwani hapo Kenyatta hospital wagonjwa wa opereseheni ya moyo hawafi kabisa!!?