Kama wangu moyo umeumizwa kwa namna hii mimi ambaye sikuwa wa karibu naye,je ni kiasi gani umeumiya kwa aliyekuwa naye kwa mda wowote?? Poleni sana jameni na hasa kwa mkeo mpenzi, Mungu Akutiye nguvu dada yangu
Hakuna ugonjwa MUNGU WA MBINGUNI hatibi,watu wa Mungu msiwemnakimbilia upasuaji bali maombo ndo uponya. IMANI ya mtu nfo inamponya, mm nimeshuhudia mwenyewe.
Oh so sorry for bro Marcos. May his soul rest in eternal peace. Amen. Please kwa Zabron singers, marafiki na Familia. Bro Marcos will be missed very much especially his singing.