Тёмный

SIRI YA KUMILIKI KIWANDA KWA MTAJI WA KUANZIA MILIONI SITA 

TanTrade Tanzania
Подписаться 2 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@ednalushaka6228
@ednalushaka6228 Год назад
Asante kwa kipindi kizuri. Je mnatengeneza mashine za kuchakata mihogo
@felicianfrancis9895
@felicianfrancis9895 7 месяцев назад
Asante kwa kutuonesha fursa
@PatianKashubi
@PatianKashubi 7 месяцев назад
Naitaji machine ya kusindika zao la parachichi hili kupata mafuta ya parachichi ni kobukiba naomba majibu
@samuelmajule54
@samuelmajule54 3 месяца назад
Engineer Kahimba big up brother
@LothSilungwe
@LothSilungwe Месяц назад
Je hiyo mitambo mnakopesha
@Joshua-j2n8d
@Joshua-j2n8d 4 месяца назад
Nataman sana kuwa na kiwandaa jmn Nina mtaji wa m 20 nishaulini jmn
@godfredkimaro3292
@godfredkimaro3292 5 месяцев назад
Hawawekagi mawasiliano
@MasanjaJames-q1b
@MasanjaJames-q1b Месяц назад
Nahitaji mashine ya kuranda mbao na kuchana nitaipataje Niko mwanza
@mudyfogo674
@mudyfogo674 4 месяца назад
Nataka mashine ya ku chakata misumari
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 7 месяцев назад
KIWANDA AU MASHINE NDOGO TU? HIVI MASHINE YA KUKUSAIDIA KUKATA NYASI INALETA HADHI YA KUITWA KIWANDA? NI SHIDA TU.
@thtuthtu2883
@thtuthtu2883 Месяц назад
Muhimu ni kuwa na mtazamo chanya na utayari wa kuanza kidogo kidogo,nilichoelewa kuhusu nyasi lengo ni kuwa na kiwanda cha kuzalisha nyasi zilizofungwa vizuri na zinazoweza kuhifadhiwa kwa matumizi ya baadae. Hivyo mashine ya kukata nyasi ni sehemu tu ya mitambo/mashine katika kiwanda cha kuandaa malisho ya wanyama. Ukiwa na rasilimali majani na mashine za kuchakata majani (malisho ya wanyama) na kuyafunga, bila kujali sana kiwango cha teknolojia basi utaweza kuwa na kiwanda kitakachoweza kukusaidia kupata kipato kwa kuuza malisho ya wanyama kwa wakulima.
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 9 месяцев назад
Bila kuboresha umeme wa kutosha nchi nzima mtapata wawekezaji mchwara tuu
@kanoleausi4204
@kanoleausi4204 3 месяца назад
una kiwanda?
@ConfusedHardHat-oi8ic
@ConfusedHardHat-oi8ic 8 месяцев назад
Yamuusika w
@ConfusedHardHat-oi8ic
@ConfusedHardHat-oi8ic 8 месяцев назад
Yunaomba amba yasimu
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 9 месяцев назад
Nchi haina umeme wa kutosha kufanya wawekezaji kuweza kufanya biashara.
@birianination7097
@birianination7097 6 месяцев назад
Kina Bakhresa si waliekeza wakati mbaya na wakakua, sasa wewe lalama badala ya kutenda
@makenebartazary2236
@makenebartazary2236 2 года назад
Hayo maonyesho yapo 77 au tunakumbusha ya nyuma
@dagobertkahanda682
@dagobertkahanda682 Год назад
yapo sabasaba ndio karibu sana
@josephlaizer9856
@josephlaizer9856 7 месяцев назад
Nitapataje mashine ndogo ya kusaga kokoto
@emmanuellukololo4427
@emmanuellukololo4427 7 месяцев назад
Machine ya kusaga kokoto umeipata?
@bashirsalimin4948
@bashirsalimin4948 7 месяцев назад
Hyo mashine ya kokoto kama ipo tusanuane wadau
Далее
#TBC1: HII HAPA SIRI YA UWEKEZAJI BILIONEA WA MANYARA
31:10
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24
BEI YA MASHINE AU MTAMBO WA KUZALISHIA SABUNI
10:38
Просмотров 2,3 тыс.
FAHAMU HATUA ZA KUSAJILI KIWANDA
14:10
Просмотров 1,5 тыс.