Mami hajra watu husema wanawake hawasifiani ila dada nakupenda kwa ajili Allah mavazi yako yanaony3sha kabisa ww n8 msichana unae jiheshimu na kuheshimu dini yako kongole dada Allah akulinde na akuongoze uw3 mfana wawanawake wote wanao cheza sanaa ❤❤ from Kenya daer r
Stevu ee mim n fans wako lkin mzee baba hizo nywelee zinaboa nyoa tu vizur kama vile mwanzon au tafuta mtindo mwingine afu mkiwa na ndaro mnauwaga hatariii unyama ni mwingiiii💯💯
Naomba ushirikiyano ndugu zangu wa dar es salamu nimemis kuigiza Kabisa naomba viongozi zangu napenda kuigiza Kabisa naomba viongozi zangu napenda kuigiza Kabisa