Kama wew ni mshabiki wa ndaro na Steve mweusi basi wew gonga like hapa twende mbele. STEVE MWEUSI and NDARO MJESHI KIKOFIA mbele daima nyuma mwiko ❤❤❤❤
Jamaa ulikuwa comedian tangu luiche sec...Kuna siku nilivaa buti kubwe ulinicheka mpaka nikataka kuzichapa na mbwa wewe😂😂😂Masatu Amoni, , , Superstar from Machazo✊
Ndaro nimtu wa kigoma na lugha ya kigoma kiha ndo lugha ya Burundi 🇧🇮 sema kinachotofautisha tu kigoma nitanzania ila waha na warundi tunazungumza lugha moja na tunaelewana