Kama omary kopa angekuwa hai TAARAB isingekuwa imekufa kama ilivyokufa. Huyo ndiye hasa angeshindana na mzee yusuph. Kama unakubaliana na mimi gonga like
Daa wakati anaimba wimbo huu ndo alikua anaumwa masikini nakumbuka siku hiyoo mama yake aliimba wimbo wake omari akiwa hospital magala zakhem enzi hizo aliimba huku analia pole sanaa mama sisi sote wapitaji
May his soul r ip...i used to love him..i loves his songs till today..his voice was good anaghani sijasikia saut yake labda kwa ahmed Mgeni may his soul rip too for now hakuna...wanaimba no kughani na mahadhi...
Nyimbo imepangika vizuri sana. Mtunzi, aliyetia muziki na aliye imba ni yeye mwenye, kwa hiyo ladha imekoleya. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
Kifo chake nililia sana. Nikiwa na mimba 2007. Nilitaka kwenda Tanga lkn jamaa nyumbani walinigombanisha sana. Nitoke Mombasa keenda kumzika mtu hata sio jamaa ya gu. Nyinmbo zake zilinijaza mapenzi sana. Mpk leo huwa naskiza