Тёмный

SICHAGUI SIBAGUI - ZANZIBAR TAARAB 

Bin Seif
Подписаться 178 тыс.
Просмотров 1,1 млн
50% 1

Видеоклипы

Опубликовано:

 

4 окт 2011

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 325   
@miss_j224
@miss_j224 Месяц назад
Mjomba kaaga na ametupa uchungu sana nyumbani, baba kaniimbia huu wimbo ndio maana Niko hapa.. Atakaye kuzika humjui.. 🇰🇪🇰🇪...❤️❣️
@silvestermogaka5126
@silvestermogaka5126 10 месяцев назад
Shairi limetungika mashalla, Nina niasafi sichagui sibagui siku nikafa nitakuepo kweli kujua mwenye alinizika Kwangu kutenda mema tu naenda zangu. Taaaamu 2023 nipo watu wa mkwiro, wasini Funzi islands kamata ngoma munje pwani subira salamu sikiaza mama
@ItihamuZaharani
@ItihamuZaharani 2 месяца назад
Still listening this so 2024 tujuane jmn
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 месяца назад
Asili haipotei nazikumbuka nazipenda nyimbo zote za East African Melody. Pia nawakumbuka Haji Moh’d, Lamania Shaaban, Zuhra Shaaban, Rukia Ramadhani na wengine nyote mlioshiriki kwenye sanaa hii tamu asanteni sana. 2024.
@lovelaynajimilove8096
@lovelaynajimilove8096 2 месяца назад
2024 kama mpya zamani hairudi❤
@rayjay7017
@rayjay7017 4 года назад
Jamani wa miaka ya 2000 mpo wapi enzi za abdhallah makame wa sauti ya Zanzibar masaa ya saa nane kwenye mirindimo
@RioIpo
@RioIpo 3 года назад
Ilikuwa mida ya chuoni ile dah mida inaenda
@yerikazungu1866
@yerikazungu1866 2 года назад
Nayabeba yote mabaya na mema,2022 bado zavuma, old is gold 💛👌💛
@salumramadhani5566
@salumramadhani5566 3 года назад
Ujumbe mzuri, na bado tunaendelea kuburudika mpaka leo hii 2021
@ferouztell5918
@ferouztell5918 5 лет назад
Jamani zamani raha sana nani anackiliza hii ngoma 2019 😀
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 лет назад
Mimi apa😂😂🤣🤣😄😃😉🤗😍😍
@tumajuma6917
@tumajuma6917 5 лет назад
🙋
@azizaabdi1265
@azizaabdi1265 5 лет назад
Nipo hapa nasikiliza saa hii tareh 17 /3/2019 🎧🎵🎵🎵
@priscalyimo5804
@priscalyimo5804 5 лет назад
Ferouz Tell mie kifua nnacho cha mbele na nyuma nyabeba yote na naamini mola yu pamoja nami ninaesubiri hahaaa yenu nayavumilia maneno hayachubui weee maneno kuntuuu apana chezea zamani weee
@yusrayusrat6916
@yusrayusrat6916 5 лет назад
Ferouz Tell namm npo
@latiphakasimu6481
@latiphakasimu6481 4 года назад
Haiwi baya moja lifute mema elfu moja ha hah aaa kaz kwenu sichagui sibagui ataenizika simjui kama bado unasikiliza hili goma kaliii xana 2020 gonga like hapo team sabaha salumu
@AmenyeMwampembwa
@AmenyeMwampembwa 6 месяцев назад
Iko poa sana
@user-er4tv6yv4i
@user-er4tv6yv4i 5 месяцев назад
Namkumbuka sana mama yangu kipenzi marehemu doto rashidi makangamka mpogoro hapo anavua nguo nguo zake❤
@mwanaherimohamedy6978
@mwanaherimohamedy6978 6 лет назад
Aiwi baya lifute mema elfu moja aiwi nikipanda mbegu ya wema mnaivunja, wenzangu amshangai nikiwatusi siumii jamani haaa amnisumbui mnayotaka hayawi jamani👌👌👌👌👌👌
@mariampetro2222
@mariampetro2222 6 месяцев назад
Wimbo mzuri sana 2024
@nyabisemaro2095
@nyabisemaro2095 6 лет назад
Viumbe Mnaninieeeee Aaaah nawaasa duniaa niyakupitaa Zuhura Shaaaabani kiukweli ulikuwa unaimba nyimbooo zenyee ujumbee unaoo dumuu Milelee Mfano hiii na ile ya Wema kama wema unaunzwaaa Ubarikiwe sanaaa
@iddikessi9300
@iddikessi9300 Год назад
I'm still listening this song in 2023
@aisherkhamis8268
@aisherkhamis8268 3 года назад
Piga kelele kwa wazee wa sasa wasichana wa zaman...!kifua nnacho cha mbele na nyuma maneno kuntu km 2po pamoja like
@ibrahimsuleiman2183
@ibrahimsuleiman2183 5 лет назад
Laiti nyimbo km hizi zingelitumika kama dua'u mawaidha. Basi binaadamu tungelistarehe ! Ah lkn whapi!
@mariamkanyungu3150
@mariamkanyungu3150 4 года назад
Ibrahim Suleiman
@missmuunasharifu2323
@missmuunasharifu2323 7 лет назад
"EWE MOLA WANGU NIZIDISHIE IMAANII"
@missmuunasharifu2323
@missmuunasharifu2323 7 лет назад
Nia safi ninayo sababu nimekinahi👌👌👌
@suleimanmohamedramadhan3370
@suleimanmohamedramadhan3370 2 года назад
Old never get a crack take me back on 2002 on my childhood memories 🤗🤗🤗
@bashirmkambala2407
@bashirmkambala2407 Год назад
Is true @suleiman Mohamed ramadhan
@mwanaidiatieno1260
@mwanaidiatieno1260 2 года назад
Old is gold taking me back Babu wangu mzee Ali Alma's alipenda sana Allah amlaze Pali pema
@zulachama1067
@zulachama1067 5 лет назад
Zilipendwa hapa kazi kwenda mbele 2019 bado tuna watch tu
@jumaforodha2567
@jumaforodha2567 5 лет назад
Nyimbo za zamani ndio mnzuri sana
@awadhmasud3150
@awadhmasud3150 5 лет назад
Wema hakupata nyuki mwenye asali nitapata mimi dhalili
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 3 года назад
Nani Anasikiliza mwaka mpya tena tarehe 2 January 2021🎶🎶🎶🎵🎵🎵📢📢
@simsal8628
@simsal8628 4 года назад
Kweli mwana dada hii wimbo imenivutia sana. Ni raha sana.
@saidikivugo960
@saidikivugo960 4 года назад
2020 mko wapi picha nnayotendewa haaaa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 года назад
Huu Wimbo wankumbusha nkiwa mdogo 😙😙😙😙
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 лет назад
Asante Zuhura kitamu hakiishi hamu.
@paulmkude7037
@paulmkude7037 Год назад
hizi ni nyimbo ambao zilo kuwa na maadili HUWA hazichuji kabisa nzuli kusikiliza watu ni walikuwa naakili ya kutulia nakifikilia.miziki mzuli hawa wasasa kazi yao kufikilia maungoooo ya wanawake tu hakuna mwanamziki wa sasa atawezakutungamziki kama huuu
@leilashaban3519
@leilashaban3519 5 лет назад
NASTAMILI VISHINDO NA VIHIMILI MIE KIFUA NINACHO CHA MBELE NA NYUMA NAYABEBA YOTE MABAYA NA MEMA
@tumajuma6917
@tumajuma6917 5 лет назад
Aahaa kazi kwenu nategemea Karima....old is gold❤💣🎧🔥
@hassantego8276
@hassantego8276 2 года назад
Ok
@NeemaKaifa
@NeemaKaifa Месяц назад
2024 haliwi baya moja lifute mema elfu moja
@ummymtema1750
@ummymtema1750 8 лет назад
kazi kwenu napata miye ckosi...ewe mola wng nizidishie imani
@aishayusuf4318
@aishayusuf4318 7 лет назад
wakat Taarab music ilikuwa taarab kweli👌
@zuleikhaahmed7220
@zuleikhaahmed7220 2 года назад
Sichagui sibagui atakaye ni zika simjui!!! 💖💯💖
@khadijabeib181
@khadijabeib181 9 лет назад
Wallah hii nyimbo inanikumbusha mbali Sanaaa sichagui sibagui wallah
@bebyrux1224
@bebyrux1224 7 лет назад
Nambari moja .Baraka fm 95:5 with habiba matano kila jumamosi .i miss those days😍
@mwanamisikibumi42
@mwanamisikibumi42 4 года назад
Pauline Matano
@kinginickson3750
@kinginickson3750 4 года назад
Vindonge kumi moto zamani hairudi
@rashidmaganga8548
@rashidmaganga8548 2 года назад
nakumbuka Pauline matano chombeza time.
@fwzehfwfw1520
@fwzehfwfw1520 9 лет назад
kweli dunia niya kupita kibri siungwana
@ashurakambangwa2087
@ashurakambangwa2087 7 лет назад
mkinitusi siumii wenzangu
@faridwawili4922
@faridwawili4922 6 лет назад
aaaa kazi kwenu punguzeni ubnfsi nastahamili vishindo navihimili''''''''''''''''hahaaaaaàa. ... asante sana zuhura shabani nakumbuka mbali sanaaaaaaaaa
@carolyneogutu6489
@carolyneogutu6489 5 месяцев назад
2024 🎼📷🎶tamu Sana🥰
@abdulrashidi9110
@abdulrashidi9110 5 лет назад
kitu hichooo wacha weee ....always old is gold ....mamy zuhura Shaaban I miss u mom its long time bt still sweet song
@salumsuleiman7867
@salumsuleiman7867 2 года назад
@coronakundi8650
@coronakundi8650 6 лет назад
Zuhura baby,uko wapi now days.sauti yako isipotelee huko.
@akimomonhimodo7522
@akimomonhimodo7522 4 года назад
Ziripedwa kazi kwedabere na wapenda
@iamlavalava
@iamlavalava 11 месяцев назад
Old is gold
@milhatbela7306
@milhatbela7306 8 лет назад
sichagui cbagui atakae nizika cmjuii ❤naa amini mola yuko pamoja namii
@leylasaid355
@leylasaid355 5 лет назад
Wallah hii nyimbo haishi utamu duuh!!
@lailahasan2200
@lailahasan2200 4 года назад
Hakunaga mfano,, old is gold 2019
@nyabisemaro2095
@nyabisemaro2095 7 лет назад
Jamani kusema kweli Miziki ya Zamani ilikuwa miziki naipenda Sana hiiii Miziki ya Zamani
@mwanaidymussa8937
@mwanaidymussa8937 5 лет назад
Good #haijunzwi tazwil lil walmwengu nimefudhu sinun tabia yangu
@khadijaahmed6420
@khadijaahmed6420 Год назад
2023 Naamini Mola yuu pamoja nami ninayesubiri!!!swadakta
@issahabunu197
@issahabunu197 Год назад
❤️
@nellyndowa5642
@nellyndowa5642 3 года назад
Mungu niwekee mie hili jimbooo tulicheze tarehe hyooo 👌👌👌
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 Год назад
Mungu amlaze shem wangu maali pema pepon amin,mama mosi alipenda sana wimbo huu.
@georgenjuguna4957
@georgenjuguna4957 8 лет назад
Nikisha kufa,huzuni kwenu mimi nishapumuzika. Hofu kwenu msiponizika mie shughuli sina.
@zuhrahalima5987
@zuhrahalima5987 8 лет назад
haha kiswahili mufti pongezi.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 года назад
Hapo cha-cha
@sherrysalim50
@sherrysalim50 3 года назад
Hahahahaha
@abuudhabi8949
@abuudhabi8949 7 лет назад
Peace and love usichague ucbague atakae kuzka humjui
@sitibora4942
@sitibora4942 7 лет назад
abuu dhabi 👌👌👌👌👍👊❤
@azizaabdi1265
@azizaabdi1265 5 лет назад
Swadktaaa
@zuweinafahmiy2331
@zuweinafahmiy2331 5 лет назад
Upo kaka?
@leilashaban3519
@leilashaban3519 5 лет назад
Nia safi ziondoei sababu nimekinai
@khadijagunyu1566
@khadijagunyu1566 5 лет назад
Hapo sasa sibaghui wala sichagui
@khadijanyevu5866
@khadijanyevu5866 2 года назад
Nyimbo zilizokua na maadili sio hizi za sasa fujo tu...niliipenda na bado naipenda
@user-mt1rm1hk5l
@user-mt1rm1hk5l 6 месяцев назад
Hata Mimi uyu mwimbaji wa shairi hili la sichagui sibagui,,aki Linanipa amani katika maisha yangu kuzidi kua na subra wallahi
@sabuhassabah7636
@sabuhassabah7636 5 лет назад
Nikweli Cjui Nani atanizikaa mm lazma nikuwe mzuri tabia Roho safi cz nikifaa mm najuwa kila mtuu atanikumbuka mm aunty mzur clean heart 👍😊😂😘
@FatumaKondo-qg5fz
@FatumaKondo-qg5fz Год назад
Napenda Sana mie jaman hizi nyimbo zazamaman❤❤❤
@user-sg5rn6su8m
@user-sg5rn6su8m 6 месяцев назад
Nyieeee 🤸 naamini mola yupamoja nami ninae subili 👌
@silasodongo9334
@silasodongo9334 7 лет назад
Inanikumbusha mwaka wa 2006 tukiwa na ndugu wangu jamu , na marehemu Omari.
@mwisakihaji3782
@mwisakihaji3782 2 года назад
Hizi ndizo nyimbo bora kabisa hazina matuzi hutokwi jasho ukitaka kucheza ni mwendo wa ku enjoy tu hakuna karaha 2021
@latifayash3679
@latifayash3679 5 лет назад
nia safi siondoi sababu nimekinaiii
@salmamasoud6055
@salmamasoud6055 7 лет назад
Asante mamy zuhra shabanii hiyo sauti ya kumtoa nyoka pangonii
@fatmamajora7230
@fatmamajora7230 5 лет назад
maneno kuntu yanaishi miaka mia aaa kazi nategea karima
@hamza89945
@hamza89945 5 лет назад
salma masoud whatsapp +447507409996
@veronicamaganga8737
@veronicamaganga8737 4 года назад
Huu wimbo hauwezi kuchuja hata siku moja, kweli mlifanya kazi sana
@konamiboyfool
@konamiboyfool 2 года назад
Hiyo instrumental iko sawa sana
@ricardoortizqomboc2184
@ricardoortizqomboc2184 Год назад
Surely old is gold it never rust , It reminds me mwenge Daresalaam when I visited my brother
@ricardoortizqomboc2184
@ricardoortizqomboc2184 Год назад
Am in Nairobi listening
@sebastiansalamba8236
@sebastiansalamba8236 6 лет назад
Watoto was Zanzibar bwana si haba
@user-ht7wl6jr5p
@user-ht7wl6jr5p 4 года назад
,aamnalenu ambalo linawachoma dah kitambo sn lkn aiishi hamu nakupenda sn zuhura shabani
@user-mt1rm1hk5l
@user-mt1rm1hk5l 6 месяцев назад
Mungu amzishie uyu mwana dada kipaji hicho Cha maneno mazito ya utu
@mariampembe604
@mariampembe604 3 года назад
Tunaoskiliza 2021 tujuaneeeee
@fwzehfwfw1520
@fwzehfwfw1520 9 лет назад
kweli dunia niya kupita
@abdallahkhamis2639
@abdallahkhamis2639 Год назад
Yani aloimba hii nyimbo cjui alikutwa nanin cjui duhh mana kaipa kweli
@abdallahkhamis2639
@abdallahkhamis2639 Год назад
kwan huyu muimbai anaitwaje jmn
@ashahajji1533
@ashahajji1533 7 лет назад
Mwaaaaaaah miss sana
@mudhengitomkahindi8198
@mudhengitomkahindi8198 9 лет назад
Sina lakusema muhogo semeni nyinyi vitunguu kwa kweli sichagui sibagui! I love this song.
@kisanganyakiswanta1379
@kisanganyakiswanta1379 8 лет назад
dah hakika maneno kuntu hayo
@latiphakasimu6481
@latiphakasimu6481 4 года назад
Wa pwani wenxangu
@fahadabubaker7007
@fahadabubaker7007 8 лет назад
Haiwi baya moja lifute mema elfu moja
@fatumaathumani6676
@fatumaathumani6676 3 года назад
Naamini molanguzo ya subira ina malipo ndy maana ndugu zangu mkitafuta shari kwanguhaipo
@salmaxalmesaid2251
@salmaxalmesaid2251 4 года назад
This song's are sweet than the present songs
@mudyboko2567
@mudyboko2567 4 года назад
ppppp0000000p6plp0pp0ppp0ppp0pppppppp000poppppppppppppp0000000p6plp0pp0ppp0ppp0pppppppp000popppppppppppppppppppppp6p5ppppppp5ppppp55pp5popppo7ppppp55opppppppp5p55pp5p555ppp5p5pp5p55p5pp5p5p5pp5pp5556
@mudyboko2567
@mudyboko2567 4 года назад
5
@leilashaban3519
@leilashaban3519 5 лет назад
NIZUSHIENI UONGO PEMBENI NISENGENYENI MDOMO SIFUNGUI MOYONI SINA KINYONGO ATA HUKUMU MANANI ASIYEZIDI WA LAI NALIJUA LENU LENGO AMTHAMINI ITHANI MWACHEKA NAMI KWA TUMBO BAYA LENU NI LOHONI
@mussaliponda9222
@mussaliponda9222 4 года назад
Asiyepigiwa Ramli
@hatibuali7673
@hatibuali7673 3 года назад
Zamani kulikuwa kuna taarabu sio has a hizi
@user-jq4to6kn3w
@user-jq4to6kn3w 2 месяца назад
Sisemi kitu #
@thumuumohammed7484
@thumuumohammed7484 7 лет назад
😍😍😍zama hizooo
@mohamedmasanga9134
@mohamedmasanga9134 5 лет назад
Sauti tulivu ikisindikizwa na ala zilizopangika aah hongereni Sana hatuna mamlaka ya kurudisha siku zilizopita basi tumebaki na machozi machoni enzi hizo DUNIA imepowa
@hawamabuka6122
@hawamabuka6122 3 года назад
Sanaaa
@taturamadhani6776
@taturamadhani6776 3 года назад
2021 twende sawa kama mnasikiliza
@bashirmkambala2407
@bashirmkambala2407 4 года назад
Yakale ni zahabu, kama unaikubali hii nyimbo na bado unasikiliza 2020 gonga like yako hapa ili tuwe pamoja
@amrimchambuka5342
@amrimchambuka5342 4 года назад
Tupo pa1 nasikiliza 2020
@bashirmkambala2407
@bashirmkambala2407 3 года назад
Fresh Amri mchambuka tupo P 1
@maryammaryam-jp2zg
@maryammaryam-jp2zg 7 лет назад
naipendaga hii jomoni ₹₹👌👌 wenzangu hamshangai wenzangu.... mkinitusi siumii wenzanguuuu
@mwanawetu2168
@mwanawetu2168 5 лет назад
Sibagui sichagui kwangu naona cheo naona kimoja tu
@happyjohn6408
@happyjohn6408 5 лет назад
Nice song
@hadijawere2789
@hadijawere2789 6 лет назад
Cbagui c chagui atakaenizika c mjui ,swafi
@stephenchasia45
@stephenchasia45 21 час назад
Haiwi nikipanda mbegu ya wema mna😂😂😂
@user-ve5le4yi7r
@user-ve5le4yi7r 5 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉 wimbo nzuri sichagui waaaaaa ❤
@mamaanuary4686
@mamaanuary4686 5 лет назад
Napenda sana tarabu zazamani
@alizaidi7075
@alizaidi7075 4 года назад
Maneno matamu Mashallah baya moja lìsifute mema elfu moja
@sakinabakari53
@sakinabakari53 5 лет назад
Hii nyimbo inanigusa mnooo
@hassanmasoud2181
@hassanmasoud2181 3 года назад
Maneno mazima hsyo
@user-em4ov5uh9p
@user-em4ov5uh9p 6 лет назад
Aaanaaumia kwetu zenj Nipo Oman nikiskia Nyimbo kamaizi Natamani kwetu
@halmakinty962
@halmakinty962 6 лет назад
نصرى عبدالله siku zita fika inshaalah mola akulinde niko kama wewe
@halmakinty962
@halmakinty962 6 лет назад
Naamini Rabi kweli subira ni ngumu mkinisuza skosi wakunizika jamani thanks for the upload hongera dadayetu kwa shairi la maana
@teefahbaby352
@teefahbaby352 6 лет назад
نصرى عبدالله mm. mwnyw npo nyumbn 2stahml inshllh 2tamlz 2trd nymbn
@mussaismailbadawy2686
@mussaismailbadawy2686 4 года назад
Assalaam alykum dada
@Mhg-p5h
@Mhg-p5h 14 дней назад
Nyimbo nzuli sana
@jumakhamis5053
@jumakhamis5053 6 месяцев назад
Nikisikiliza hizi nyimbo zinanikumbusha mbali sana
@mwajumaally2918
@mwajumaally2918 4 года назад
Yani hii nyimbo naweza nikailudia atamalakumi kwasiku
@user-xd2tg8eq1h
@user-xd2tg8eq1h 6 месяцев назад
Nyie acheni tu hii nyimbo ni funzo kubwa sana walahi vile
@tabiaiddy2863
@tabiaiddy2863 6 лет назад
Picha ninayotendewa maovu yalostawi kisa sikijui
@ahmednjemba329
@ahmednjemba329 8 лет назад
ikifikia hapo sisemi kitu
@user-ht7wl6jr5p
@user-ht7wl6jr5p 4 года назад
Nastahamili vishindo navihili 2020 naisikiliza mdani ya oman
@chidmashine6115
@chidmashine6115 5 лет назад
Daaa nakumbuka siku ya harus yangu ziligongwa twaarab izi hatar 1999
@RioIpo
@RioIpo 5 лет назад
Chid mashine Ila nyimbo hii imetoka miaka ya 2000's
@martinlutalala4010
@martinlutalala4010 4 года назад
Hapo ndio mwazo wapenzi.mtaelewa.
Далее
LANGU JICHO - ZANZIBAR TAARAB
15:18
Просмотров 523 тыс.
Taarab: Siadhiriki
14:21
Просмотров 1 млн
Кто быстрее? (GTARP)
19:19
Просмотров 453 тыс.
Nikumbatiye/Seleleya by Rukia Ramadhan (new version)
12:42
Nimekinai na Umaskini wangu - Mwanahawa Ali
15:13
Просмотров 606 тыс.
Utalijua Jiji Full Song
18:13
Просмотров 2,7 млн
Sabah Salum Mithili Yako Hapana@al ghafri
17:54
Просмотров 666 тыс.
Taarab: Fisadi Kiwembe
18:48
Просмотров 412 тыс.
UTAKUFA NACHO KIJIBA CHA ROHO... JOKHA KASSIM
17:35
Просмотров 114 тыс.
Fumbo Mfumbie Mjinga -
13:50
Просмотров 470 тыс.
KIZARU - OBUZA
2:25
Просмотров 270 тыс.
Be Mine
3:28
Просмотров 1,3 млн