Тёмный
No video :(

SMART TALK (1): MC Luvanda, MC Gara B na MC Linah na changamoto za kazi yao ya USHEREHESHAJI (U-MC) 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Anthony Luvanda - MC Luvanda, Adeline Mushi - MC Linah na Godfrey Rugarabamu - MC Gara B, ni moja ya washereheshaji maarufu zaidi nchini Tanzania. Walianzaje kazi yao? Ilikuaje wakaichagua kazi hii inayoonekana kwa wengi ni ngumu sana? Nini baadhi ya changamoto za kazi hii? Kwenye #SmartTalk wanafunguka mengi yatakayofumbua macho kuhusu kazi yao

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@jamiiboltmedia5649
@jamiiboltmedia5649 5 лет назад
USHAURI: Kuna rangi hapo inaharibu picha... SOLUTION 01. Kubadilisha colour ya ukuta. SOLUTION 02. Kuacha distance ya kutosha kati ya objective (anayehojiwa) na huo ukuta. SOLUTION 03. Kama kubadilisha ni process kubwa, zipo sticker zenye zangi sahihi zitakazo kuwa rafiki na lights + camera + object mkazibandika kwenye huo ukuta. SOLUTION 04. Mfanye mprint banners mbalimbali za programs zenu na mzibandike kwenye huo ukuta ili kuua ukawa wa iyo colour. Nawakubali Sana... Najifunza kupitia nyie.
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 5 лет назад
Asante sana kwa ushauri chanya.. Tutaufanyia kazi
@shamilajumasalum2023
@shamilajumasalum2023 3 года назад
napenda sana kpnd chako. hii interview nmeikuta facebook as clip shared na mwalimu wang nkaipenda ikanbd niitafute huk il niiangalie full. Ur so Gud sky
@naimamwambe8083
@naimamwambe8083 4 года назад
Nimejifunza mengi kupitia nyie Asanteni sana, ni mengi nimepitia ktk maisha yangu but kupitia nyinyi napata pumnzi mpya nawapata vizuri kutoka Oman 🇴🇲
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 5 лет назад
Luvanda you're my inspiration
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 лет назад
ivo!
@noahfilimoni4703
@noahfilimoni4703 4 года назад
Niko nafuatilia kwa makini sana
@emmanuelndumukwa7484
@emmanuelndumukwa7484 5 лет назад
Full package...sky go!go!go!
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 лет назад
Nawapenda mnoo
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 5 лет назад
vile was checking kila saa kama umeupload hii interview... 👌👌👌👌👌
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 лет назад
duu kwmb ulishaisikia kbl!
@maryamm7765
@maryamm7765 5 лет назад
Safi sana 👏👏👏
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 лет назад
Nakubali watu Wngu
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 лет назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥nawakubali
@salomemattanga7633
@salomemattanga7633 5 лет назад
MC Lina nimekupenda buree
@tabithaerastoshukrani.90
@tabithaerastoshukrani.90 4 года назад
🤗 Yaan imenibid nicheke hata mie😅😅
@ndossiadventurestz.6796
@ndossiadventurestz.6796 5 лет назад
Me rangi ndo tatizo lang pls fanyeni bhac kuweka Quality kama ilivyo wasafi au shida kamera cause rangi ya ukuta inaakisi sana.
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 5 лет назад
Ndio maana wao wanaitwa Wasafi, sisi ni SnS. Kila mmoja ana style yake. Ikiwa unavutiwa zaidi na ubora wao ni sawa, lakini hatuwezi kuwa kama wao ili kukufurahisha wewe
@ndossiadventurestz.6796
@ndossiadventurestz.6796 5 лет назад
Sawa sikatai ila comment tu ya kwangu kufanyia kazi sawa au kuto kufanyia kazi sawa pia cause haufanyi kwa ajili ya kunifurahisha ila kwa sababu sisi tumekipenda kipindi ndo maana tunapenda kiboreshwe kiwe kwenye quality nzuri tuzidi kufurahia na kuenjoy kipindi chetu....Mawazo tu kwangu mm.🙏
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 лет назад
@@ndossiadventurestz.6796 nfkr ni rangi yakukera zaidi uszmz lkn mbn iko sw lbd kidoogo wfnye maboresho
@ndossiadventurestz.6796
@ndossiadventurestz.6796 5 лет назад
@@mnzavachris5423 Yap waweke tu iwe kwenye mn'gao mzuri iwe haina kufubaa kwa iyo rangi ya njano....By the way sauti nzuri na maojiano safi hadi inapendeza sema wakiweka rangi ikae kwenye mn'gao mzuri....Itakua ni bonge la online chanell.
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 лет назад
@@ndossiadventurestz.6796 ndo narudia sema nafkr rangi ni ww imekukera lkn bado naona kama co mby kama waitazamavyo, kwn hata nikikwmbia rangi uitakayo ww hutacheza mbali na ambazo ni maarufu na zijulikanazo tyr.,na hiyo ni angi ya chungwa co njano
@nuratndyetabura2689
@nuratndyetabura2689 5 лет назад
wow, this is really nice 😂
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 5 лет назад
Muendelezoooo 😣😣😣
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 лет назад
nusu saaa haijatosha!?
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 5 лет назад
Achia nyingine
Далее
MALENGO (Goal Setting) - Anthony Luvanda.
38:28
Просмотров 1,3 тыс.
Аруси Точики ❤️❤️❤️
00:13
Просмотров 253 тыс.
3d printed demon core vs real
00:24
Просмотров 7 млн
S02 EP11 - MAMA TERRY NA MC LINAH
31:29
Просмотров 6 тыс.
Kaunti ya Lamu na Garissa wazozania mpaka
3:50
Просмотров 5 тыс.
Uwezo wa UTHUBUTU (Risk Taking) - by Anthony LUVANDA
35:43
Аруси Точики ❤️❤️❤️
00:13
Просмотров 253 тыс.