Тёмный

SNAKE BOY | ep 14 | SEASON TWO 

CLAM VEVO
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 707 тыс.
50% 1

Follow Me On Instagram
/ clamcris_
Tiktok:
/ clam_cris
Facebook:
www.facebook.c...
#clamvevo

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,9 тыс.   
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina 4 месяца назад
kulu kutanta mantentereee namkubali sana huyu mtu mwinyimkuuu kuigiza kama mganga anajua sana
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 4 месяца назад
Yaani ww clam utafika mbali kwa ivo vichwa ulivoviingiza nakuombe kwa Mungu like from Oman 🇴🇲 ❤
@SobiTz
@SobiTz 4 месяца назад
Kabisa 💯
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 месяца назад
Kabisa yn❤🎉
@KareemMkobe
@KareemMkobe 4 месяца назад
Nitumie namba yako me pia 0mani❤
@SobiTz
@SobiTz 4 месяца назад
Tupeane connection jaman ,uko Oman 🇴🇲 mnafikaje fikaje 🙂
@Riva57902
@Riva57902 4 месяца назад
Mnajipea like kujuana Mimi sijulikani lakini naomba tuh like 20 from Kenya Ke Ke
@dicksonmartin1992
@dicksonmartin1992 4 месяца назад
CLAM wewe ni Mbadala wa Kanumba.. Elendelea na vitu Baba Mtaani Unazungumziwa wewe tuu💯💯💯
@machozimukucha
@machozimukucha 4 месяца назад
Nakupenda sana clam❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@MwanamisiBakari-xh3jo
@MwanamisiBakari-xh3jo 4 месяца назад
Kenyans lets gather here and support our fellow Tanzanian vevo for entertaining us let show him some love ❤❤❤❤
@rj_tr._ref._cfcfan.
@rj_tr._ref._cfcfan. 4 месяца назад
Haya nimefika japo nimechelewa kidogo tu,kijana nyoka wa hapa jirani Kenya 🇰🇪 naona wengi mmemezwa tayari. One love. ❤
@JayproMedia-gs7ql
@JayproMedia-gs7ql 4 месяца назад
Kurukuntanta mantentere waaachaa!!!! Naku kubali mzee ulikuwa wapi mdaa wote huu haki ya nani una nikubalisha kutoka congo DRC mimi ni shabiki🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@JayproMedia-gs7ql
@JayproMedia-gs7ql 2 месяца назад
Ni chili ame kuwa munene siku weza mtambuwa tena dah! Na elewa kwanini ni mkali mi ni shabiki tangu mwizi wa kuku
@richardharuna2118
@richardharuna2118 4 месяца назад
Wa kwanza na cjawai pata likes ata wakat nikishika sim ya mtu na subscribe kimya kimya kwa clam😅😅😅
@ukhutymamuu7470
@ukhutymamuu7470 4 месяца назад
😂😂😂
@zenapius3796
@zenapius3796 4 месяца назад
Like zinawasaidia nn
@richardharuna2118
@richardharuna2118 4 месяца назад
@@zenapius3796 umelike kwanza 😅😅😅
@ashelimwamlima602
@ashelimwamlima602 4 месяца назад
​@@zenapius3796huwa najiuliza huwa wanafanyia nn hzo like maana kila mtu Anaomba LIKE
@itsTubwa
@itsTubwa 4 месяца назад
SNAKE BOY💥
@homebest9258
@homebest9258 4 месяца назад
Kazi nzuri sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tunaomba muwalete wote wale wa sani nguli wote pia muendeleshe hizo episodes. Alafu Mwakadobe amekutana na mwengeni muchawi mkubwa kuliko yeye na huyu jama anafahamu sana kazi natumaini wote pamoja na Mwakatobe wataacha historia kubwa katika episodes hizi.
@RaimamomedSaidi-wz1yu
@RaimamomedSaidi-wz1yu 4 месяца назад
Kakoso kazi nzur tunakukubal sana like zako mia leo kwangu tu
@IssaAlly-iu6ut
@IssaAlly-iu6ut 4 месяца назад
Vevo unazingua kaka em kama upo serious n maisha na mashabiki zako toa vipande hata viwili tu kwa siku sio hiki kimoja unakaa wiki nzima inakata stim
@NuruJara
@NuruJara 4 месяца назад
Jamani like za pole basi naomba Jana tumepoteza zaidi ya watu 80 Kwa maafuruko huku Kenya shehemu 3 tofauti 😭😭😭 tumepoteza ndugu jamaa na marafiki
@nasraemmanuel
@nasraemmanuel 4 месяца назад
Poleni sana mungu awemfariji wenu
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 4 месяца назад
Poleni sana ndugu zetu poleni sana 😭😭💔
@veronicawilliam7436
@veronicawilliam7436 4 месяца назад
Poleni Sana wapenzi.... Mungu awafanyie wepes insha'Allah
@itsmelatz
@itsmelatz 4 месяца назад
Poleni sana
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 4 месяца назад
Poleni sana
@Craypotter
@Craypotter 4 месяца назад
From CANADA I like the way this guy clam is performing Congratulations boy 👏👏👏
@OREDI401
@OREDI401 4 месяца назад
❤❤atuja Kupinga kaka kwa Kazi Yako ✊🏿✊🏿✊🏿 Respect Clam Kila Ngazi✊🏿✊🏿
@SaidMohamed-d9k
@SaidMohamed-d9k 4 месяца назад
Clam vevo bro wwe ni mkubwa sna katika vijana wanaingiza uko juu na tena unajua mpka umetuletea mzee chilly kwenye movies mzee nakupa salute unanikumbusha *maneno ya kuambiwa*dah ilikua noma snaa mzee mwinyi mkuu
@ramakinjoi4063
@ramakinjoi4063 4 месяца назад
Chaupele mtundu sana...utundu wake umeongezeka,huko nyuma hakuwa ivyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 месяца назад
Namkubali sana chili na huyu mzee pia yumo wee clam kiboko❤❤❤🎉🎉🎉
@Mkobabababunga
@Mkobabababunga 4 месяца назад
chiriii jamni ni kamuwest mkubalini bas anhaaaa like bas
@fatmasaid4806
@fatmasaid4806 4 месяца назад
Yaan hum mnakera sana sio vzr mwenzenu kataarsha kaz ili kupata comment zetu za vzr aongeze bidii au mbaya asahihishe lkn mnaomba like asilimia kubwa ya watu hamcomment kumpa moyo na kumpa nguv mnaomba malike ya kaz gan kwa zinaliwa izo like clam umejitahd sana mungu azd kukuongoza vzr sana nmefurah ulivomueka huyo chili mganga yupo vzr nae kabisaa hongera zako
@aminamchoya-yk4iu
@aminamchoya-yk4iu 4 месяца назад
kweli kabisa wanakera sana
@RajabuHayyan
@RajabuHayyan 4 месяца назад
Kama misenge kama wa kwanza si kwa faida yake inakera
@dangomc_niger
@dangomc_niger 4 месяца назад
wee hujui hiyo ina maana kubwa mno mfano mimi siwez kwenda kuvew video alafu nisiipende eti niombe like alaf pia watu wanafanya ivo soo kwa ubaya mtu anasema KM UMIPENDA HII EPPISOD LIKE APA yee mwenyewe clam akiona watu wamemlike anaenjoy ni moja pia ya surpot kwahyo mm sion km kuna ubaya
@fatmasaid4806
@fatmasaid4806 4 месяца назад
@@dangomc_niger Shda ni kwamba kila mtu alaf anaomba like kwa kuwa wa kwanza c km anasema ameipenda angesema km umeipenda hii movie like hapo unaelewa lkn eti wa kwanza naomben like ndo nn kila mtu hii sio poa inaboa walete comment zinacfia kaz au kutoa ushaur wa kurekebsha au kuongeza ktu bc ni vzr zaid
@Ellywangu
@Ellywangu 4 месяца назад
Yanakera kbsa umeongea kwelii Kila MTU wakwanza😂
@shadyarif653
@shadyarif653 4 месяца назад
Number 1 leo naombeni Likes watu wa kenya n TZ na East africa yote Please.
@IsackMwagisa-km2mm
@IsackMwagisa-km2mm 4 месяца назад
Izo like utapikia watoto
@Ubahalpha
@Ubahalpha 4 месяца назад
Ovyoo
@muhindoYouri
@muhindoYouri 4 месяца назад
Wa kwanza Ku toko DR CONGO 🇨🇩 naombeni likes zenu jamani.
@Pablowakama
@Pablowakama 4 месяца назад
Wakwanza Leo from Congo DRC to Zambia 🇿🇲🇿🇲
@user-hj4uw5pp2w
@user-hj4uw5pp2w 4 месяца назад
Yaani ukitazama tamthilia za nje huwezi kuona haya mambo ya sijui naombeni like sijui mimi wa kwanza, yani kuna watu wanakimbia hapa kuja kusema tu naombeni like hata hajui anafanya nini hapa majitu mengine yani mungu tusamehe
@JohnJuma-bk5lc
@JohnJuma-bk5lc 4 месяца назад
Duuuuh wat wap chap dk 2 mmeniwah naomben like zen bc ht kam sijaw wa 1
@MarryMichael-gf7dc
@MarryMichael-gf7dc 4 месяца назад
❤❤❤❤❤❤
@user-pg8hy8tx8l
@user-pg8hy8tx8l 4 месяца назад
Ukipewa unazila
@aronlameck-vc5dr
@aronlameck-vc5dr 4 месяца назад
Una lala saana ss tumelala nayo hiii nhoma
@djggghgdd-fq8pr
@djggghgdd-fq8pr 4 месяца назад
Nawaangalia nikiwa saudia jamani naombeni likes 150 tuh washirika wenzangu wa team vevo❤❤❤
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 4 месяца назад
ZINGA NI KITUKO KAMUONGEZA MAKALIO MWENZIE. HA HA HA 😂😂😂😂😂😂😂
@fundiseif1096
@fundiseif1096 4 месяца назад
Snake boy inazidi kua balaa clam vevo umetisha sana 🔥🔥🔥💪
@zamirhassan81
@zamirhassan81 4 месяца назад
Hii kitu ya moto sana kwa kweli 😂😂😂
@CharlesDani-ff7xe
@CharlesDani-ff7xe 4 месяца назад
Hii ni zaidi ya move iko pw sana
@judithpendo9985
@judithpendo9985 4 месяца назад
Team strong hoyeeeeeeeeee 😂🇸🇦🇰🇪 wap like zangu km wape snake boy love you all
@ASAS-q9u9e
@ASAS-q9u9e 4 месяца назад
Hoyeeee tupp kama kawa❤😂😂😂
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 4 месяца назад
TUPO❤❤
@mwanaisha1998
@mwanaisha1998 4 месяца назад
Tupoo love you 2 dear❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@janetkyumbe7154
@janetkyumbe7154 4 месяца назад
Tupo watu WA team strong 💪💪💪💪
@mariaakai9859
@mariaakai9859 4 месяца назад
Tupo💪🏾
@aronlameck-vc5dr
@aronlameck-vc5dr 4 месяца назад
Basi Kaz nzur saana nime kuwa wamwisho mm nikotofaut naomben kalingulila
@mangasoz
@mangasoz 4 месяца назад
Kwann Kila mtuu anaomba like baadala ya kutoa maon juu ya Kaz iliyotolewaa😮
@levaniawilliam7969
@levaniawilliam7969 4 месяца назад
Mm ndo wananiachgaa hoi comment wanaomba wao kwa kazi gan
@mangasoz
@mangasoz 4 месяца назад
Daaah bongo kivyetuvyetu
@KhamisJuma-ni1vk
@KhamisJuma-ni1vk 4 месяца назад
Aisee Na Chelewa Lakn Niko Ndani Good Job Next time Achatuone Mwalimu Na Mwanafunzi Nani Bora
@Kashindijohn
@Kashindijohn 4 месяца назад
Tume wai leo like wapi congratulations sana clam ❤❤❤❤🎉🎉
@mayeka66
@mayeka66 4 месяца назад
Acheni ujinga, kila mtu wakwanza yeye,.. Mara nipeni like zangu,... Toeni maoni kwa wasanii hawa tunaowatazama kwenye kazi zao ili maoni hayo yawajenge na kuwa bora ili waendelee kufanya kazi kubwa na bora zaidi.
@NicksonMushi-eo9yy
@NicksonMushi-eo9yy 4 месяца назад
Nice series kaka ila idea ya chain ya waganga na wachawi imekuwa kubwa sana,jaribu kuleta content yenye kisa kizur kama ile ya mwanzo ya chief kutaka kutawaliwa na wachawi ww kuja kuokoa imaya na kulipa kisas waliomuua mama yako iliteka sana watu ayo ni maoni tu kwenye kuboresha asante
@natashanoelle8
@natashanoelle8 4 месяца назад
It's getting interesting on each episode yooooh man I salute this guy🤝🙌❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@NobertHenry
@NobertHenry 2 месяца назад
Yeah he is doing well 😂😂😂😂🎉🎉🎉
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 4 месяца назад
ZINGA ANATAKA KUMGEUZA MWENZIE CHAKULAAAAAAA. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-oe5ze5uq8m
@user-oe5ze5uq8m 4 месяца назад
Mwenye anamukubali mwakatobe asipite APA bila kuatcha like moja
@IssaMangala
@IssaMangala 4 месяца назад
Aise wata Wana sumbuwa saaana Ku omba like djamani like siyo muhimu saana Kuliko Ku wa sifiya kwa Kazi nzuri ambayo timu nzima inalo Li Fanya ongereni saana Team Clam vevo kwa Kazi Zuri Mimi ni mukongomani 🇨🇩 from Dubaï🇦🇪
@kgchippy
@kgchippy 4 месяца назад
Izi like zawaseidia nini?😢 isije ikawa mwafaidi😂
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 4 месяца назад
Sijui ni ushamba au nin mim wana nikera like wanaona kama dhahabu 😂😂😂
@elizabethmyombe7375
@elizabethmyombe7375 4 месяца назад
Yan wanaboa
@user-gg8kt2jm5y
@user-gg8kt2jm5y 4 месяца назад
Wana upuuzi sana badala kujadili kipindi niwakwanza tu,,hao wanaowapa pia hawana akili wangeachiwa mmi mbona wangekoma😏😏😏😏😏😏😏
@annandajilo2831
@annandajilo2831 4 месяца назад
Kam wehu😂
@nyagabonamisana5400
@nyagabonamisana5400 4 месяца назад
KAZI nzuri saaaaana Kumbe zinga ni MUASI KAMA M23 Wa Kongo
@mrsabdul-mz8hh
@mrsabdul-mz8hh 4 месяца назад
Mimi cku hizi Wala sicomment nimtu wakusoma comemment tuu huku nikii injoi na *SNAKE BOY❤* maana nikicomment iyo comment YANGU watu wanavyoupita najua mwenyeweee😂😂😂😂😂😅
@aysha9932
@aysha9932 4 месяца назад
😁😃😃😃
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 месяца назад
😂😂😂
@GloireGlodes
@GloireGlodes 4 месяца назад
Merci beaucoup clam vevo snake boy roule très bien
@user-sk5iw3dj5h
@user-sk5iw3dj5h 4 месяца назад
Wa pili Ku toka congo-goma
@swahabahusein23
@swahabahusein23 4 месяца назад
Wapo like zangu niko kenya 🇰🇪
@GriphineJonesGriphine
@GriphineJonesGriphine 4 месяца назад
Wangapi wanamkubali huyu mwamba tokea Kenya nione kwa likes ❤❤
@amilyabdu1563
@amilyabdu1563 4 месяца назад
Yupi
@user-kd6gi9pp4n
@user-kd6gi9pp4n 4 месяца назад
Clobal 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦ndabasavye abarundi muri Saudi muduze ibiganza Liké munipe jamani naomba
@IrakozeInnocent-g4s
@IrakozeInnocent-g4s 4 месяца назад
Weho ndabona uhanzwe na like gusa
@MwetaminaZaburoni-mv7iu
@MwetaminaZaburoni-mv7iu 4 месяца назад
Wakwanza kutoka monzambique naomba nami mauwa 🎉. Aqui monzambique tamos jutos.
@alphablondponera2367
@alphablondponera2367 4 месяца назад
Mwiny mkuu anapiga punch za kichawi hapigi makelele ndio maana miaka yote hatoki kwenye ubora .. mwakatobe apunguze makelele apige punch
@CycyConstaOg
@CycyConstaOg 4 месяца назад
Jamaa kaongezewa makalio😂😂😂😂😂tieni basi 👍👍
@user-nz3du9mh3j
@user-nz3du9mh3j 4 месяца назад
Nimekuwa Wa kwanza from Dr congo nipe like zangu kama unamkubali vevo ❤❤ nipe ata like tano
@ShaikhulMuaswara
@ShaikhulMuaswara 4 месяца назад
Kwani kila mtu akiingia asema mm wakwanza
@JoelSchadracksyatsema-is3km
@JoelSchadracksyatsema-is3km 4 месяца назад
Boss🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@zuhurarashid958
@zuhurarashid958 4 месяца назад
Kazi ft sana vevo more love from kenya
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 4 месяца назад
Mimi ndo wa kwanza na mkukosa kunipa like basi sito comments tena manionyongeaga saan kila nikiwa wa kwanza🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@perajiampipi4473
@perajiampipi4473 4 месяца назад
We una matatizo😅 kwamb unakulag izo likes,, na usipocomment unahc unamkomesha nan
@MwanasitiSalim-y5c
@MwanasitiSalim-y5c 4 месяца назад
Kwan unataka kuzipika au 😂😂mbna umefanya kununa😂
@perajiampipi4473
@perajiampipi4473 4 месяца назад
@@MwanasitiSalim-y5c 😅😅😅😅yaan awa watu
@Kadzo-yf2yc
@Kadzo-yf2yc 4 месяца назад
Hii kali😊
@user-sm1zu2mo4b
@user-sm1zu2mo4b 4 месяца назад
Hiki ki song nimekipenda
@rogynee8135
@rogynee8135 4 месяца назад
CLAM UNAJUA MNOOOOOOOOOO YANI SANA HII MOVIE NI NZURI MNOOOOOOOOOO🎉🎉🎉🎉🎉🎉. SANA HONGER MUNGU AKUTANGULIE AKUPE NA NAISHA MAREFU
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 4 месяца назад
10:40 😅😂😅 Kajaribisha elimu kwa kuongeza Makalio ya mwanafunzi mwenzake! Zinga bhana!😅 😂😅
@user-yd9ni1lt3l
@user-yd9ni1lt3l 4 месяца назад
Mwakatobe punguza sifa uko na sifa nyinyi mpaka wasinya
@user-zp4zc2ln2n
@user-zp4zc2ln2n 4 месяца назад
Walai mpka anaharibu sasa
@xavieramandiocristovao8286
@xavieramandiocristovao8286 4 месяца назад
Leo wakwanza mimi uku🇲🇿🇲🇿
@mwanaziararajabu7718
@mwanaziararajabu7718 4 месяца назад
Ooh jmn clam unajitahid sana lkn tuongezee dakika au toa mfuliliozo co leo ad cku 3 tena ndyo kingne kidogo ❤❤
@BahaDePrince
@BahaDePrince 4 месяца назад
Fist to watch in Kenya wapi like zangu za uku kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 please Leo s mnipe tu like
@MellanierChristian-wn9mw
@MellanierChristian-wn9mw 4 месяца назад
Hi
@BahaDePrince
@BahaDePrince 4 месяца назад
@@MellanierChristian-wn9mw hi too
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 4 месяца назад
dah wenzetu mnarauka kwaclam vevo mm ndio uchelewa hadiraha clam vevo❤❤
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 4 месяца назад
😂😂😂😂😂Watu mko vzr mmmmh sio kwa kukimbizana huko
@ALEXISMTB-xl5tv
@ALEXISMTB-xl5tv 4 месяца назад
Wakwanza natokeya Burundi 🇧🇮 naomba liké zangu
@festuspromoter3376
@festuspromoter3376 4 месяца назад
Burundi tunaifatilia hii tamtilia mwanzo hadi mwisho🇧🇮🇹🇿
@zainabuberkhbuthellez4725
@zainabuberkhbuthellez4725 4 месяца назад
mwaka wako ...wala usijali sisi tuko pamoja na wewe uwezi amini wananchi wote wanakusubiri vipande vyako vinasisimua hakuna mganga juu ya mungu wewe mungu ameshakufungulia kazana toa msada wako kwa wasinii waliopotea kwenye tasnia za filam wanakuombea na baraka zako zinakuwa juu Akram ...yani hiyo ni comedy mixer sirius episode umeweza ndugu yetu kula mb zetu ni zako
@villa499
@villa499 4 месяца назад
Safiii clam.na kukubal mdogo wangu..pesa na akili ndio umenizidi
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 4 месяца назад
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
@directorkakoso
@directorkakoso 4 месяца назад
Yap yap mambo ndio yana anza 💪
@Abdul24895
@Abdul24895 4 месяца назад
Kama unamkubali chili gonga like ❤️ wewee
@MangasiMani-kw4kn
@MangasiMani-kw4kn 4 месяца назад
Vevo nakimu Nawapendasana🇧🇮🇧🇮
@PETERYEmma
@PETERYEmma 4 месяца назад
Kweli anafanya kazi nzur hongera sana Mr cram unajitahidi sasa wew ndo king wa bongo movie
@gabrielnjuguna8172
@gabrielnjuguna8172 4 месяца назад
Clam the great acter ….first to comment from gulf ❤❤❤❤ likes my friends
@romaeedward4723
@romaeedward4723 3 месяца назад
clam unachelewa sana kutoa mwendelezo ad uhondo wa kuangalia unaisha kabisa! Yan ad mtu anasahau alipoishia!!!!!!
@ShabaOmary
@ShabaOmary 4 месяца назад
Nakubali brother vevo
@OmarOmar-ob9tb
@OmarOmar-ob9tb 4 месяца назад
Nimegundua mafans wngy w clam n w kenya my fellow Kenyans naomb likes tujuane
@MaryamSafi-vm6or
@MaryamSafi-vm6or 4 месяца назад
VEVO upewe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kazi nzuri San ubahatish
@mauricemadilugerson5933
@mauricemadilugerson5933 4 месяца назад
Whao hata kama CLAM VEVO alikwepa kuja MISISI 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ila familia ya MISISI Tuko nyuma yako 💪💪💪 ongera sana kwa hiki ambacho mnazidi kujifanya pamoja na SUPER DIRECTA wetu KAKOSO 🤝
@carlpsonmunisi7315
@carlpsonmunisi7315 4 месяца назад
Kazi nzuri bro
@isayajoseph14
@isayajoseph14 4 месяца назад
Katika comment zote ww ndio ulie na busara maana umempa moyo na kumpongeza msanii.. wengine wote wanalilia kuwa wa kwanza sijui wanafaidika nn??? Kizazi hiki shida tupu.Ongera sana ndg
@willykijanaa
@willykijanaa 4 месяца назад
​@@isayajoseph14Kweli kabsa muhimu ni kumpongeza Clam na tim nzima ya SNAKE BOY ila sio kuomba like.
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 месяца назад
Ni kweli kabisa
@carlpsonmunisi7315
@carlpsonmunisi7315 4 месяца назад
@@isayajoseph14 shukurani kaka 😎👍🏽 Pamoja sana .....
@carlpsonmunisi7315
@carlpsonmunisi7315 4 месяца назад
@@willykijanaa bora umeona 👍🏽
@user-zy6vq6lz7z
@user-zy6vq6lz7z 4 месяца назад
Leo nimechelewa jaman like hata moja jaman
@mmungakiza
@mmungakiza 4 месяца назад
Jamani wa kwanz leo nipeni hata like 100 tu
@aronlameck-vc5dr
@aronlameck-vc5dr 4 месяца назад
Umeomba 100 umepew 15 5 hatuna baya
@mmungakiza
@mmungakiza 4 месяца назад
Asanteni sana kweli amna baya
@3malis
@3malis 4 месяца назад
Mwanafunzi anaweza kua bora kuliko mwalimu 😂😂
@ToshaEme
@ToshaEme 4 месяца назад
Nimekuwa wakwanza Leo like zangu wapi ❤❤❤❤congratulations clam vevo kitu kizito
@shaiburajabumrope8113
@shaiburajabumrope8113 4 месяца назад
Tumpe support clam jmn like zot ziende kwake
@shabanisaidi6692
@shabanisaidi6692 4 месяца назад
Yp vzr
@hunterpictures3549
@hunterpictures3549 4 месяца назад
Wakwanza kutoka burundi naomba like zng
@Mbalason
@Mbalason 4 месяца назад
Like zako ulimpa nani?
@VicentMkude
@VicentMkude 4 месяца назад
Choko weh😅😅😅😅
@abduliashiru9394
@abduliashiru9394 4 месяца назад
Iko pw sana mwanetu ni full mamzuka
@abduliashiru9394
@abduliashiru9394 4 месяца назад
Iko pw sana mwanetu ni full mamzuka
@user-mk1lj1vz3u
@user-mk1lj1vz3u 4 месяца назад
Tupo wengi wa Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ezrommussamusssa2540
@ezrommussamusssa2540 4 месяца назад
Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusema.
@Online_media_nation
@Online_media_nation 4 месяца назад
Niko ndani Leo...nipeni likes za clam❤🎉🇹🇿🇺🇬🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jozzytozo
@jozzytozo 4 месяца назад
Xja wahi Leo nipeni hats moja
@charlessamson6625
@charlessamson6625 4 месяца назад
Naombeni na mimi like jamani mbona sipati like
@user-lj9nl3iv6j
@user-lj9nl3iv6j 4 месяца назад
Leo na Mimi wa kwanza jamani naombeni like hata 10000 kama tunao mkubali mwakatobe
@barakae.n6418
@barakae.n6418 4 месяца назад
Nimechelewa kidoogo sana ✊🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇨🇩🇸🇸🇷🇼
@Professor.Irene95
@Professor.Irene95 4 месяца назад
Movie kali sana hii mwinyi mkuu katisha tunamkubali mwinyi mkuu like apa wakanza kutoka dubai teem strong leo nmewawai😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
@dadychaps7527
@dadychaps7527 4 месяца назад
Zoezi ya speedy 120, kwa kona shwaaa😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🙌🙌
@MAYUNGAOfficial
@MAYUNGAOfficial 4 месяца назад
Mimi wa kwanza from IRINGA naombeni like zenu hapa wakuu 😅😅😅
@aboubakaraliy2748
@aboubakaraliy2748 4 месяца назад
Iringa Mtuwa apa
@ashelimwamlima602
@ashelimwamlima602 4 месяца назад
Unaenda kukatia miti hzo like😅
@joynessmichael1824
@joynessmichael1824 4 месяца назад
😂izo like unataka za kugemea ulanz
@shedrackkahise4745
@shedrackkahise4745 4 месяца назад
Home boy
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 4 месяца назад
Nipen like chil mwa wasos anazid kukiwasha zaidi🙋🏻‍♂️saluuut sana kwa vevo
@RaimamomedSaidi-wz1yu
@RaimamomedSaidi-wz1yu 4 месяца назад
😂😂😂zinga we mswahil sana ndio kupiga magoti ivo,hongeren kazi nzur kupita kiasi.
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 4 месяца назад
Much love from Kenya big up bro clam
@giftelinazi3487
@giftelinazi3487 4 месяца назад
imekuwa bora zaid ntanzi waooh usichelew sana kutoa next
@hammyboyofficial885
@hammyboyofficial885 4 месяца назад
Nzr japo tulichotegemea sio tulichokikuta Clam
@AbubakarNassor-vo5up
@AbubakarNassor-vo5up 4 месяца назад
Naombeni likes hata kumi jameni tangia nianze kufuatilia sijawahi kupata hata likes kumi naombeni jameni 😢😢😢😭😭😭🙏🙏🙏🙏 na mungu awabariki
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq 4 месяца назад
Ucwaze blaza
@amergolil-pump6
@amergolil-pump6 4 месяца назад
Leo nilikuwa busy nahomba like zangu
@seifkagawa6918
@seifkagawa6918 4 месяца назад
Daaah nilizani nimeeewahi 🤔🤔nikahis ntakuw wa kwanz leo 🤦‍♂️but noway I'm the first nchini kwang 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮naomben like kazaaa tu🤗🤗
@astkasunga8995
@astkasunga8995 4 месяца назад
Pooeni ndg zetu wa Kenya kwa madhara ya mafuriko. Nimpongeze sana story creator wa Snake boy, hakika he's so creative, pongezi pia kwa director ba steering mwenyewe Clam vevo. Amazing work
Далее
SNAKE BOY | ep 15 | SEASON TWO
15:07
Просмотров 702 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /37/ #love
40:20
Просмотров 222 тыс.
Куда пропали ЗДРАЙВЕРЫ?
11:38
Просмотров 599 тыс.
SHETANI |Ep 1|
23:30
Просмотров 293 тыс.
MISTAKE | 7 |
17:59
Просмотров 562 тыс.
SNAKE BOY | 16 |
27:04
Просмотров 1,8 млн
MISTAKE | full movie |
2:05:58
Просмотров 508 тыс.
EDAAME   FULL MOVIE FROM YUNUSU IGWE
44:54
Просмотров 300 тыс.
Куда пропали ЗДРАЙВЕРЫ?
11:38
Просмотров 599 тыс.