Тёмный

SNAKE BOY | ep 29 | SEASON TWO 

CLAM VEVO
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 807 тыс.
50% 1

Follow Me On Instagram
/ clamcris_
Tiktok:
/ clam_cris
Facebook:
www.facebook.c...
#clamvevo #comedy

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2,3 тыс.   
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 2 месяца назад
Wangapi tumependa mjomba mfupi alivomaliza ugali wote akanywa na maharage , 😂😂😂
@dominicomari7040
@dominicomari7040 2 месяца назад
N WA ngapi wamengojea hii series mbaka kuwa tumechoka kufutilia mahali tulikuwa tumeanjia ❤❤❤😂😂😂❤
@Kib-jsanley
@Kib-jsanley 2 месяца назад
Like🎉🎉❤
@saudasada6379
@saudasada6379 2 месяца назад
Naomba likes zangu leo wa mwisho kazi nzuri sana clam naipenda sana snake boy kutoka 🇰🇪 kenya❤❤❤❤
@PrinceAmos-y8t
@PrinceAmos-y8t 2 месяца назад
Movie nzuri sana master ❤❤❤😂😂🎉🎉😢😢😮😮😅😅😊😊😊
@YoungblackPeople-qf7vx
@YoungblackPeople-qf7vx 2 месяца назад
Siku nyingine tena tuna kila sababu ya kumushukulu mwenyezi munguuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@VivaryGodlove
@VivaryGodlove 2 месяца назад
Amina🙏
@KapendFiston
@KapendFiston 2 месяца назад
Clam Vevo kwa kweli wewe pamoja na timu Yako muna juwa kazi nzuri sana ongereni
@NatureMw155
@NatureMw155 2 месяца назад
Clam tumemisi comedy zako umenifuilasha ulivyo sema nimzunguka nikatokea hapa😂😂😂😂😂😂
@andrewkasiga
@andrewkasiga Месяц назад
Jamaa kila akitoloka ana rudi pale pale
@SalimaJaribu-tw9qf
@SalimaJaribu-tw9qf 2 месяца назад
Good clamkwaunavyovifanya munguakuzidishie palepalipo pungua naakuepushiena viinimacho vyawaja mwisho mi nimgeni kwaiyo naombeni leik hatamoja tafanzali watanzania
@Kib-jsanley
@Kib-jsanley 2 месяца назад
Nipe like🎉🎉❤
@SalimaJaribu-tw9qf
@SalimaJaribu-tw9qf 2 месяца назад
❤❤❤​@@Kib-jsanley
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga 2 месяца назад
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo
@vee4296
@vee4296 2 месяца назад
Hivi nyie mnaoomba like kwan nyie ndo mmegiza .....asante clam kwa kaz nzuri❤
@FaridaHaidari-d3l
@FaridaHaidari-d3l 2 месяца назад
Kazi nzuri sana mungu aendelee kukubariki na kukufanya uwe juu zaid
@modex_0376
@modex_0376 2 месяца назад
Wa KWANZA Leo Kutoka kenya naomba like zenu Tafadhalii kma nishabiki mkubwa wa Snake Boy
@princejonasgeorge5836
@princejonasgeorge5836 2 месяца назад
Mnachelewa Sana kutoa muendelezo basi jitahidini kipande kiwe kirefu DK hata 50
@SiviriSuisse-yz2sp
@SiviriSuisse-yz2sp 2 месяца назад
kz nzuri sana, wanao mkubali clam wekeni like apa tujuane
@tonydancer1111
@tonydancer1111 2 месяца назад
Mungu awabaliki awawote walie cheza move hii awape maisha marefu na yenye mafanikio amen
@DorcasKadama
@DorcasKadama 2 месяца назад
Yeeeee nimewahi team strong kujeni nimewawakilisha vizuri leo❤❤❤❤❤kazi nzuri sana Vevo❤❤😊
@judithpendo9985
@judithpendo9985 2 месяца назад
Oyaaa unategea snake boy ukiwa mm Niko apa Riyadh 😂🇸🇦🇰🇪 alafu mmesahau saaana big boss 😢😢bana mnaboo n mnatoa ham mkieka bihide scene bana nawapenda Genz 👊 team strong hoyeeeeeeeeee ♥️♥️♥️♥️
@AkimanaHawa-w1s
@AkimanaHawa-w1s 2 месяца назад
Jirani Mambo nipo Riyadh pia🇸🇦
@azizahmohamed3495
@azizahmohamed3495 2 месяца назад
Ubaya ubwela kwa tanu jamani,,,n uyo jamaa ambae mkewe anapigwa dana dana ni mpuuzi tu kwanini tangu mala y kwanza kwa mgaya asimwambie kuwa yule ni mkewe n badala yake akamwambia kuwa n dadaake
@AloyceBeda-d4y
@AloyceBeda-d4y 2 месяца назад
Tanu nimuoga sana but hajiamin
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 2 месяца назад
Hiko kiandunje kinakula ugali maharage sekunde tu 😂😂😂😂😂😂
@jamesmligo8878
@jamesmligo8878 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@Bongo_football-kzi
@Bongo_football-kzi 2 месяца назад
Double tap🎉 uone maajab ya ujumbe wang snake boy kabsa
@OmegaThreads
@OmegaThreads 2 месяца назад
Jamani Huyu VEVO na team yake wamedhamiria kufanya makubwa kwenye hii tasnia TUMPE nguvu hatutajutia, jamaa wanajituma yaan Hadi kufikia hii episode stor haijaharibika na Bado wanaonesha Energy Ile ile. Big up Team VEVO..
@Zainabu-q7v
@Zainabu-q7v 2 месяца назад
Bora ww umetoa ushauri siyo hao wanaopambana na like❤
@mushi6879
@mushi6879 2 месяца назад
Hii ndo shida ya kumiliki demu mzuri alf huna pesa mzee utapitia changamoto nyingi sn km una moyo mdogo mbona wanakuzika
@siamejerry9239
@siamejerry9239 2 месяца назад
I love the way clam is combining the actors
@MsomaliBeka
@MsomaliBeka 2 месяца назад
Tunao miss kumuona zinga goga like 😄 😆
@User7700
@User7700 2 месяца назад
Yaani movie bila zinga hata ainogi dah😢
@MsomaliBeka
@MsomaliBeka 2 месяца назад
@@User7700 kabisa ...
@PatrickkazadiAcess
@PatrickkazadiAcess 2 месяца назад
Nani aliye mu wa
@MayengDulu
@MayengDulu 2 месяца назад
Mnatufulaisha sana wakaka na madada fanyeni kazi❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@clemensiadaniel8479
@clemensiadaniel8479 2 месяца назад
Toka lini ugali na maharage vikaisha mapema jaman hapa kitu kizito🤣🤣🤣
@BrunojnrMz
@BrunojnrMz Месяц назад
Duh! Umeona?
@ibrahjokes5055
@ibrahjokes5055 2 месяца назад
Nasema clam asipomla huy Dem hata kweny kuigiza najiua😢😅😅😂🎉
@liliy-u3n
@liliy-u3n 2 месяца назад
😂 hatari
@rosemarenga832
@rosemarenga832 2 месяца назад
Uy Dem mwenyeanajifany anamchukia lazimaliwe ikibid walwe wot😅
@mariethachitema
@mariethachitema 2 месяца назад
😅😅😅​@@rosemarenga832
@PurieMakena
@PurieMakena 2 месяца назад
Watching from Kenya 🇰🇪 any Kenyan here gonga like tukisonga nawapenda Bure ❤❤❤
@favourfuraha
@favourfuraha 2 месяца назад
We love you too
@wambuikimani8441
@wambuikimani8441 2 месяца назад
Kenya 🇰🇪
@PostaMoisesinyeri
@PostaMoisesinyeri 2 месяца назад
Mimi na tokeya congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩na taka like❤5 tano tuh !
@jescawadelanga8657
@jescawadelanga8657 2 месяца назад
Nikatokaa kushangaaa yaaan mbona mapenz mahaba hamnaa umuu kumbee yapooo😂😂😂😂
@nationaltrendingmedia4603
@nationaltrendingmedia4603 2 месяца назад
Wa Mia tisa. Kama umekuwa hapa tangu ep 1 nipe like
@TatuBaya-jy8jl
@TatuBaya-jy8jl 2 месяца назад
Hii snake boy n moto Zaid y 🔥🔥🔥🔥sijui kwa nin huag mnachlewa kutuletea mpka tunaisahau ila hongereni kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ibrahjokes5055
@ibrahjokes5055 2 месяца назад
Shisha ooh lala ola ola lala Shisha ooh lala ola ola lalaa Nan anapenda nyimbo
@nickluca1512
@nickluca1512 2 месяца назад
Sema unapenda shishaa acha kujifanya unapenda nyimbo 😂😂😂
@fey-ge9pm
@fey-ge9pm 2 месяца назад
Na Mimi naipenda sana😂😂
@MiriamKolagwa
@MiriamKolagwa 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@ZainaIsihaka
@ZainaIsihaka Месяц назад
​mimi. appa. napenda. kuwa. msanii. kwelikweli. bye❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉😢😮😅😊
@ATHUMANSALIM-c3v
@ATHUMANSALIM-c3v 2 месяца назад
🎉,❤ kazi nzuri kutoka kenya
@MerryAlly-s8p
@MerryAlly-s8p 2 месяца назад
Zumba zumba nakuhisi jambo kijana wa hovyo sana😂😂😂n'a clam utagombanisha watoto wa shahidi😅ani moovie kila sik utam unazidi❤mnajua bhana🎉mauwa yako clam n'a. Team.yako kwaujumla🎉🎉🎉🎉from burundi❤
@ChedeBou
@ChedeBou 2 месяца назад
Jamani jamani leo mm wakwanza naomba lakes wapendwa
@mrambastephen5
@mrambastephen5 2 месяца назад
❤❤❤ vevo kazi zako nazikubali kabisa salimia darector kakoso hongera
@titochakaya3357
@titochakaya3357 2 месяца назад
Nimekuwa wa Kwanza Leo big up wapy like yangu jamen
@EstasiusBahama
@EstasiusBahama 2 месяца назад
mnazingua sanaaa nyie muv mnacherewesha kam kitu gan
@mariethajoseph6538
@mariethajoseph6538 2 месяца назад
Kutoka @TABORA nawapongez @clam na kundi lake lote🎉🎉🎉
@Heis_Chudo_boy
@Heis_Chudo_boy 2 месяца назад
Bila kusahau like za clam vevo zote ziwekwe hapa jamani sijawai kupata hata like 1k Kazi nzuri clam vevo tupo nyuma yako bro...🫶💪💪 Tuzidi kusapot kazi ya kijana wetu 🥰
@zackmen-ol3yj
@zackmen-ol3yj 2 месяца назад
Kweli kwel
@CalivinNjau
@CalivinNjau 2 месяца назад
Kuku ww
@SalimaJaribu-tw9qf
@SalimaJaribu-tw9qf 2 месяца назад
Naombalike😂😂namimi🎉🎉 😂😂
@FedrickPaskal
@FedrickPaskal 2 месяца назад
❤❤❤
@Joramkatana
@Joramkatana 2 месяца назад
Nasemaje...am very happy comrades.This is the best series ever on this planet... Congratulations to Ntanzi,Kakoso, Famau..and all the actors and actresses. •Zumba impregnanted Kim. •Tanu killed kapera's wife. •Kapera revenged back by killing Tanu's children. •Ntanzi loves Sanura. ° .......🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@annaedwardrobert6778
@annaedwardrobert6778 2 месяца назад
Noma sana
@luidhaldanjawa
@luidhaldanjawa 2 месяца назад
Sanura loves ntanx
@nicholausmissana2018
@nicholausmissana2018 2 месяца назад
Wakwanza leo naomben maua yangu
@AbdulMussakabagambe-qd6lv
@AbdulMussakabagambe-qd6lv 2 месяца назад
Clam sehemu hii umenichekesha sana hadi mikono haitaki kutoka kwenye suluari mh unaweza sana bwana clam🤣🤣🤣🤣🤣👍👍👍👍💪💪💪💪🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 2 месяца назад
😂😂😂😂😂Kua makini inaonekana una maadui wengi sana 😂
@TheladyKhadija
@TheladyKhadija 2 месяца назад
Clam hi leo wakwanza like zangu nuchemshe nile sapa
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 2 месяца назад
Nishatokea jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😮❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@WillyA4
@WillyA4 2 месяца назад
good
@Tariqgandu
@Tariqgandu 2 месяца назад
Watu badala ya kuangalia muvi wanawaza kutafuta like ukichunguza comments nyingi sanah za snake boy watu wanaomba like 😂😂😂😂
@mwanashamwalim-dx6wb
@mwanashamwalim-dx6wb 2 месяца назад
Tuko kumoja 😅😅😅
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 2 месяца назад
Na sijui ht hizo like zinakua na mtaji au vp maana wamezid
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 месяца назад
Kabisa yn wanaboa asa
@goshenaman
@goshenaman 2 месяца назад
Ata ww umeandika ivyo ili upate like
@goshenaman
@goshenaman 2 месяца назад
​@@B.M-ix4rzmtaji ni bilion ndomana haujapata ata moja
@wakunigeriafather
@wakunigeriafather 2 месяца назад
naombeni hii snake isifike mwisho iendelee mole daima🎉
@DelachanceKiza
@DelachanceKiza 2 месяца назад
Mimi nimekuwa wamwisho ss kwasababu kilamutu yee wakwaza 😂😂😂😂 congratulations Brother 🎉🎉 VEVO 🎉
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv 2 месяца назад
Leo nimekuwa wa mia tatu na 33 😅😅😂😂 Em naomba nisaidie likes zangu please tuzidi kusupport snake 🐍 boyyy
@KuruthumuMfaume
@KuruthumuMfaume 2 месяца назад
@susanachieng6966
@susanachieng6966 2 месяца назад
Naomba munipitie pia ndugu zangu 🙏 huwa nafwatilia kutoka nchini Kenya nikiwa mjini Mombasa ❤❤❤
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 месяца назад
❤❤❤
@jocktanmliga12
@jocktanmliga12 2 месяца назад
😅😅😅
@Amidaqueen-p9l
@Amidaqueen-p9l 2 месяца назад
Tunaho Isi aliye mbaka kim ni zumba gonga like apa 😂😂😂
@hp2623
@hp2623 2 месяца назад
Ta mimi nahisi hivyohivyo
@GodfreyMrema-ld7hk
@GodfreyMrema-ld7hk 2 месяца назад
Mambo
@Amidaqueen-p9l
@Amidaqueen-p9l 2 месяца назад
@@hp2623 ni yeye uyo 😂😂
@Amidaqueen-p9l
@Amidaqueen-p9l 2 месяца назад
@@GodfreyMrema-ld7hk Poa
@GodfreyMrema-ld7hk
@GodfreyMrema-ld7hk 2 месяца назад
@@Amidaqueen-p9l mzima wew
@Linus-kn7tj
@Linus-kn7tj 2 месяца назад
M wa mwisho nataka like 1 tu
@AllenMwalimu
@AllenMwalimu 2 месяца назад
Snake girl ipo vizuri mnazingua sana
@MohaChai
@MohaChai 2 месяца назад
Safii jamaa zangu tuendelee kusapot🔥🔥
@MayaOuthman-bd8bg
@MayaOuthman-bd8bg 2 месяца назад
Jamani Vevo mungu Amlipe maan sio kwa Mafunzo haya❤❤
@KaisiMwakyusa
@KaisiMwakyusa 2 месяца назад
Jaman kwa ivi vifo si wataisha wote gonga like apa from mbeya kyela
@beatricesamwel9133
@beatricesamwel9133 2 месяца назад
Nimezunguka sana msituni nashangaa natokezea Tena hapa hapa😂😂😂
@jiiwolf2900
@jiiwolf2900 2 месяца назад
😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 месяца назад
😂😂😂
@bensonmgaya5693
@bensonmgaya5693 2 месяца назад
We chizi nini 😂😂😂😂😂 Nawasubiri finally mtakavyo haribu
@LysonMshan-kf7rg
@LysonMshan-kf7rg 2 месяца назад
kua makinii inaonekana unaa maadauii mengiii 👍👍👍👍
@HamisiSalimu-d1n
@HamisiSalimu-d1n 2 месяца назад
Awa machifu nimegundua wote Malaya 😂😂😂 ndo mana mipango Yao yafeli mizimu aitaki uchafu😅😅🎉🎉
@claudepascal2290
@claudepascal2290 2 месяца назад
😂😂wote ni malaya 😂
@PASCALSAMWEL-r1h
@PASCALSAMWEL-r1h 2 месяца назад
Oya mdogo wangu kipenz upo vizuri sana💪💪
@Samwel486
@Samwel486 2 месяца назад
wakwanza gusa like zangu hapa nyingi sana dondosha
@ClaudeDagiri
@ClaudeDagiri 2 месяца назад
Tanu anaiweza siasa✍️
@RaymondMwasembe
@RaymondMwasembe 2 месяца назад
bonge mov xnek boy ama
@paullluhanyapaullluhanya2446
@paullluhanyapaullluhanya2446 2 месяца назад
Mnachelewesha Sana mpaka tunasahau tulipoishia
@traviegrey3434
@traviegrey3434 2 месяца назад
Kama umegundua hua na like nisisahau kua episode hiyo nishaiona twende pamoja😂😂
@ChristopherKayombo-o5m
@ChristopherKayombo-o5m 2 месяца назад
Cram acha umalayaa😂😂😂cc jamii ya nyoka hatupendagii
@annaki318
@annaki318 2 месяца назад
Clam cris ni wa motomoto🎉🎉🎉🎉
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 2 месяца назад
Daaah ebhn nimechelewa sn kwasabab ya bando nipo porini congo kifurushi kimeisha hapa nimeomba wifi kwa mwana nimeburudika aswaaa niombe angalau like kazaa wandugu 🤝🙏
@avelynbetty1680
@avelynbetty1680 2 месяца назад
Umejieleza😂
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 2 месяца назад
@@avelynbetty1680 aloo acha tu ndugu yangu 😂
@NelsonMandela-c8e
@NelsonMandela-c8e 2 месяца назад
🇨🇩🇨🇩🇨🇩Congo. liké zangu clam criçe 🎉🎉🎉
@kitulelimwembe2157
@kitulelimwembe2157 2 месяца назад
Mimi huyoooo
@fundiseif1096
@fundiseif1096 2 месяца назад
Snake boy 🐍 inazidi kupamba moto 🔥🔥🔥 umetisha clam vevo 💪
@FredKe-xb4bo
@FredKe-xb4bo 2 месяца назад
Moto Sana wakwanza Leo kutoka Kenya
@NtakarutimanaHassan-q9l
@NtakarutimanaHassan-q9l 2 месяца назад
Clam utapokuja south africa nipo hapa naomba unishirikishe kwenye movie yako ya big boss mimi naishi hapa south africa
@AbdulkareemMtinge
@AbdulkareemMtinge 2 месяца назад
Mm jamani Sina ata like 1 wapenzi wa snake boy
@jakeed2594
@jakeed2594 2 месяца назад
Number 1 like nyingi sana🔥🔥🔥
@Ammary-
@Ammary- 2 месяца назад
Unaye soma koment hii muda huu mola mwenyezimungu akubaliki ww na kizazi chako inshaallah
@NajmaRajabu-y8b
@NajmaRajabu-y8b 2 месяца назад
Amiin naww pia🤲
@Lulukitelehassan
@Lulukitelehassan 2 месяца назад
Amen atubark sote inshallah
@HassanAhmed-if1bb
@HassanAhmed-if1bb 2 месяца назад
Amiin Nawe Pia
@AngelaEmmanuel-b1f
@AngelaEmmanuel-b1f 2 месяца назад
Amin Inshaallah Mungu akubariki na ww
@nururama
@nururama 2 месяца назад
In shaa Allah
@isharaganechi6616
@isharaganechi6616 2 месяца назад
Leo ni mimi wa kwanza kama unampenda klamvevo gonga linki hapo namina toka congo 🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿
@PierreHeriIlungu-ks1mr
@PierreHeriIlungu-ks1mr 2 месяца назад
Tatizo clam unakawiza sana bana Yani watu tunasubiri Hadi tunasahau kama Kuna eps tunayo Fata kuweni Fasta bwana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@fredytv8177
@fredytv8177 2 месяца назад
Kakoso fundi aise...naona mnacheza na akilo yetu tu. Movie imekuwa tamu mnoo🎉🎉🎉
@covertv8081
@covertv8081 2 месяца назад
Mimi nimependa hy ngumi
@MohamediMuome
@MohamediMuome 2 месяца назад
Wakwanz nipen like zangu
@fathymosscooking6755
@fathymosscooking6755 2 месяца назад
Wanawo penda kazi za Clam gonga like APA nakomenty Niko🇫🇷 wewe uko wapi
@AyoubHaji-g4t
@AyoubHaji-g4t 2 месяца назад
Sasa nan kakuliza ulipo acha ushamba
@EpimackLohayMatle
@EpimackLohayMatle 2 месяца назад
Nip zanzibar
@jeremiahngao4846
@jeremiahngao4846 2 месяца назад
Na muache kuwauwa watu wenye moyo.. bwayu mzee,, farasi,,, adamu sistake shasha
@chrisitineamutala2043
@chrisitineamutala2043 2 месяца назад
😢😢 ntanzi ameanza kupendana oooh😂😂😂😂❤
@ramsboyasingemambagang3966
@ramsboyasingemambagang3966 2 месяца назад
Waoooh! Wakwanza toka uganda munipe laik zangu hapa alafu muni folllower please kwasapoti yenu
@susanachieng6966
@susanachieng6966 2 месяца назад
Nipitie ndugu yangu pia nitarudisha mkono 🙏
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 2 месяца назад
Nimekua wa mwanzo plz like zenu from Oman 🇴🇲
@AyoubHaji-g4t
@AyoubHaji-g4t 2 месяца назад
Mimi pia nipo Oman tutafutane
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 2 месяца назад
Wapi upo
@AyoubHaji-g4t
@AyoubHaji-g4t 2 месяца назад
@@Rizikialiamechannel763 Souk haram
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 2 месяца назад
@@AyoubHaji-g4t yaan kazin au
@AyoubHaji-g4t
@AyoubHaji-g4t 2 месяца назад
@@Rizikialiamechannel763 Ndio kazi natoka Unguja Zanzibar
@okwomacomedy
@okwomacomedy 2 месяца назад
Wakwanza kutoka KENYA nipe like jamani😂😂
@holykidke
@holykidke 2 месяца назад
❤❤kenya tuko ndani
@YusratSalum
@YusratSalum 2 месяца назад
Em skizen jmn toen maon kuhus mnachoangalia me binafsi vita ya Tanu na Kapela daaah ni nzitoo mnoo wauwaji n wao wenyew lakin wao wao pia wamepewa kazi ya kuchunguza muuaji 😂😂😂 halafu kapela akarudisha msemo aloambiwa "Kuwa makini unaonekana una maadui wengi 😂😂😂" Big up sanaaa Clam ❤❤
@MaendaEca-j6s
@MaendaEca-j6s 2 месяца назад
Kazi nzuri sana kweli watching from USA Illinois
@TightnotChome-fn2jy
@TightnotChome-fn2jy 2 месяца назад
Kiroho kinamuuma eti si nyoka 😂😂😂😂
@Patricelasway
@Patricelasway 2 месяца назад
Kazi nzuri Ila zhumba ndo mbakaji Afu sijapenda odama kufariki embu mfufue clam 😅😅😅
@sarahnjeri-tz8eu
@sarahnjeri-tz8eu 2 месяца назад
Team Clamvevo wenye hatuchoki kufuatilia hii tamthlia mpo,hongera kwa wahusika wote🥰🥰🥰
@officialjeazy1458
@officialjeazy1458 2 месяца назад
Mnavyolilia kila mtu ni wa kwanza mnanikumbusha wazee wa zamani ambao kila mzazi anasema yeye alikua wa kwanza shuleeee, sasa cjui wa mwisho nani ukiniacha mimi😅😅😅
@chrisitineamutala2043
@chrisitineamutala2043 2 месяца назад
Hiyo mimba n ya zumba😢😢😢
@Steve.3175
@Steve.3175 2 месяца назад
Huku snake boy huku komasava mnatumalizia bando jmn😂😂😂🤣
@Aloysdotosindiho-mb1mb
@Aloysdotosindiho-mb1mb 2 месяца назад
Wakwanza kutoka Lusaka zambia naomba like zangu jamani
@Hassan-gq3ft
@Hassan-gq3ft 2 месяца назад
Mapema sana nipeni like zangu watu wa Burundi
@monicahkaruru2518
@monicahkaruru2518 2 месяца назад
Tuko bro nivile tuka impande zitandukanye
@mohdsaad2736
@mohdsaad2736 2 месяца назад
❤❤❤❤❤😊😊😊😊
@widebrainclassic
@widebrainclassic 2 месяца назад
Nimeona wakwanza wengi . Haya me wapili nipeni likes😂😂
@ronaldomorata8528
@ronaldomorata8528 2 месяца назад
Kakoso ataliwa lini mzgo jamani au kwasababu yeye ndo director 😮
Далее
SNAKE BOY | ep 30 | SEASON TWO
38:59
Просмотров 874 тыс.
PLAN B _ Episode 21
1:00:01
Просмотров 31 тыс.
БАБУШКА ВСЁ ИСПОРТИЛА #shorts
00:24
Просмотров 602 тыс.
КЛИП ЛИСА УЖЕ ВЫШЕЛ!
00:16
Просмотров 422 тыс.
SEX PHOTO | FULL MOVIE |
1:08:19
Просмотров 453 тыс.
SNAKE BOY | ep 32 | SEASON TWO
41:00
Просмотров 875 тыс.
KIBANZI CHANGU FULL MOVIE (SWAHILI MOVIE)
1:44:22
Просмотров 1,1 тыс.
SNAKE BOY | ep 38 | final mwisho | SEASON TWO
26:41
Просмотров 601 тыс.
KINYOZI MPUUZI
8:16
Просмотров 2,1 млн
MWANAFUNZI WA AJABU Full Movie /Bongo Movie
4:14:23
Просмотров 653 тыс.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
Просмотров 708 тыс.
БАБУШКА ВСЁ ИСПОРТИЛА #shorts
00:24
Просмотров 602 тыс.