Atasaidiwa nanani huyu mm nisaidie mwanamuke mwenzangu ana Miko anamiguu huna ulemavu wowote chapa kazi ulee mtoto wako sikuhizi hakuna kutegemea mwanaume upo mama
Aki huyu dem nimuongo we si mjaluo pekeako Mila gani uwesi peleka mtoto asike babake my dear unipenda mtu ata akue boyfriend utaenda na mtoto familiar wamuone Wacha kubeba watu ufala