Тёмный

STEP MOTHER | FULL MOVIE | New Bongo Movie 💞 

Donta Plus
Подписаться 107 тыс.
Просмотров 455 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 418   
@rukiahassan7001
@rukiahassan7001 3 месяца назад
Pole Yako Vicky ndipo uliamua kutuonyesha umalaya ndipo kwa kila series hutosheki na mmoja wewe dada.ata km ni series lkn vicky ulijishusha huo uhusikia uliouvaa ni wa tina lkn km uliungangania itabidi tukueke group moja wewe na tina ndipo
@VictoriaMwigani
@VictoriaMwigani 3 месяца назад
Mimi nimsanii nikilaka ivyo popote inabid nicheze Kam story itaniitaji
@RoseSoni-fv7uu
@RoseSoni-fv7uu 3 месяца назад
😂 Kweli ​@@VictoriaMwigani
@MwanajumaMwadudu
@MwanajumaMwadudu 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂​@@VictoriaMwigani
@HawaBeka-t4c
@HawaBeka-t4c 3 месяца назад
😂😂😂😂😂Yani mtu amekazana anaandika kuwa ume amuwa kufanya umalaya waziwazi hiv hawajuwi kuwa hayo nimaigizo wanatufundish kweny maisha yetu ya uharisia Kam yapo tuyaache au tujifunze huu ni michezo tu ya kuigiza hakuna uharisia wowote na mtu akipewa kitengo Cha uwaji bas atakuwa kuwa kweli akipewa kitengo aigize Cha umalaya atakuwa maraya kweli wew umeona hapo wamelala shuka moja dk mbili tu wakish chukuliwa kipande wanaamk na wapo watu tele mbele yao nakushangaa sana wew dada ulie comment hivyo kuwa Viki kawekwa kwenye kundi la Tina asa tuna malaya au kaigiza kimalaya?​@@VictoriaMwigani
@MamyLily-f2i
@MamyLily-f2i 3 месяца назад
Aliwekwa kwenye mwanasheria aliweza mnooo
@HildahOduor
@HildahOduor 3 месяца назад
Mnafanya kazi nzuri sana.... I'm from Kenya 🎉🎉🎉🎉nawaombeni likes from Kenya
@CollenKabanze
@CollenKabanze 2 месяца назад
Huna ayibu yakuomba like😅
@JeriahOrenge
@JeriahOrenge 2 месяца назад
Ni kweli ni ngumu kulea watoto wa mama mwengine sanasana akiwa hai heri ambaye amekufa
@EnockWilson-e9k
@EnockWilson-e9k Месяц назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@HusnaOmarry
@HusnaOmarry 3 месяца назад
🤣🤣eti alikuja kutengeneza Chaga usingizi ukampitia kweliiii
@nafsajuma6269
@nafsajuma6269 3 месяца назад
Hahahaha 🤣😂😂😂😂😂 kutengenz chaga tu kufumaniwa aaaaaah
@TIRAVISIONTV
@TIRAVISIONTV 2 месяца назад
​@@nafsajuma6269😂😂😂😂😂😂
@VeronicahOtwori
@VeronicahOtwori Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kutengeneza chaga usingizi ikapita 🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂
@dianapyuza7832
@dianapyuza7832 Месяц назад
😅😅😅😅😅😅😅
@sumaidazuraiyh
@sumaidazuraiyh 3 месяца назад
uyo mtoto khailat ana umri gan maana anatoa maneno abayo mm mkubwa siwez kuyatoa😂😂😂 kazi nzur sana wana donta tv
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 3 месяца назад
😂😂khailat noma
@kibibiabdalla1451
@kibibiabdalla1451 3 месяца назад
Mm mwenyewe nimempenda❤❤..kipaji anacho mtoto MashaAllah
@khaney-de-joance
@khaney-de-joance 2 месяца назад
Khailat is typing.......
@HappyDaudi-ub4hw
@HappyDaudi-ub4hw 3 месяца назад
Nelly kila move unafumaniwa tu 😂😂😂 love you so much donta family ❤️❤️❤️
@EvalineKadogo-eb5xr
@EvalineKadogo-eb5xr 3 месяца назад
Kazi nzuri sana wana donta tv hongera kwa loveness kwa kumpenda mtoto wa mkemwenza,kuwa mama ni lazima uwe na adabu hata mbele ya mtoto wako la sivyo hakuna vile mtoto atakuheshimu,unaeza kuwa unamfundisha uongo ila kuna siku ataerefuka na kujua ukweli
@FabianoJumanee
@FabianoJumanee 2 месяца назад
nimekukubali ailati una maamuzi magumu na ni mazuri sana ongela kazi nzuri donta tv
@irenemosha962
@irenemosha962 3 месяца назад
Na mimi nimewah naomben like zang
@OmbasaErick
@OmbasaErick 2 месяца назад
Fantastic👹❣️♥️♥️♥️💟💟💟 37:03
@GivenessJamal
@GivenessJamal 3 месяца назад
Daaah dada Viki jmn uhusika wa Sasa haukufai lakin mnafanya tujifunze kitu 🎉🎉🎉
@edithrwechungura2768
@edithrwechungura2768 3 месяца назад
Huyo mtoto ni noma.... ila ukifanya siri na mtt fanya siri za mana ili ht zikifunguka usidhalilike...we Vick weweee
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 3 месяца назад
Uyu mtt anaweza sana🔥🔥💯
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 3 месяца назад
Kiboko nakwambia
@Kaske-bleumartin
@Kaske-bleumartin 3 месяца назад
Jamani tujitaidi iyo mov ifikishe 3M iyi muvi inafundisha sana from merekani
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 месяца назад
Ndiko wapi uko merekani 😂😂
@VeronicaDamas-in9yx
@VeronicaDamas-in9yx 3 месяца назад
Kazi nzuri wana donta tv m/ Mungu awabariki❤❤❤❤
@DianaDiana-ej6fn
@DianaDiana-ej6fn 3 месяца назад
Kazi nzuri❤❤❤ much love from Kenya
@ZAHARASALUMU-l6m
@ZAHARASALUMU-l6m 3 месяца назад
😅😅haylat umenifurahisha sana 😂😂😂😂😂
@SarahTete
@SarahTete 2 месяца назад
Short and clear kazi nzuri sana🎉🎉❤
@Gift-kijiti
@Gift-kijiti 2 месяца назад
Ila dada unakipaji kweli kweli 😂😂😂kila move ni wewe tu na kupendwa hadi ufumaniwe ila hio ya siku moja kabla ya ndoa 😂😂😂😂ulivunja record😂dada
@STANLEYKINYILI
@STANLEYKINYILI 3 месяца назад
Kenya Watching, mko vizuri
@JuliethPhilipo
@JuliethPhilipo 16 дней назад
Jaman nimeipendaaa Tina kibok sio kwa uo uongooo ety
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 3 месяца назад
Victoria eti unajitetea wakati unamakosa mwanamuke hufayi kbs 😅😅😅
@hucky-lh5mr
@hucky-lh5mr 2 месяца назад
Hongeraa sanaaa lovenes,, ni bonge la movie na inafundishaa sanaaa🥰🥰🥰mtafika mbali wapendwa nawapendaa,,, still naona kila mmoja ana kipaji cha kuigiza na kutunga story nzur sanaaa,, 🎉🎉🎉nawapenda zinatufunza sanaaaaaaaaaaaa🥰🥰🥰
@IssaBigiribimana
@IssaBigiribimana 2 месяца назад
Uyo mtoto anaonekana kama mtu mukubwa wa miaka ishirini n'a tisa😂😂😅
@StephenKozgei
@StephenKozgei 3 месяца назад
Vicky unaweza kweli ❤❤❤❤❤ ati strory nilikua napiga itakiwi uskiea ww mdogo😂😂😂
@AgnesMwende-p9w
@AgnesMwende-p9w 3 месяца назад
Victoria na Nelly mmekuwa watu wa kucheza umalaya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉anyway mko poa🎉🎉🎉pokeeni maua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@salmaabdallah9598
@salmaabdallah9598 3 месяца назад
Uyo mtoto ni hatari.ni moto wa kuotea mbali.bonge la kipaji.❤ Good job 👍
@ManoAnsso-up6ib
@ManoAnsso-up6ib 3 месяца назад
Mimi Kutoka Mozambique Nimewahi Nipeni Like Zangu
@MilkaWambui-l7k
@MilkaWambui-l7k 3 месяца назад
Kazi nzuri sana....nimependa mtoto mzuli🎉🎉🎉
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 3 месяца назад
Yan vicky hauna bahati kabisa 😂😂😂😂but much love from saudi
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi 3 месяца назад
Jamani vik ata upendezu na tabiya mbaya 🎉🎉🎉
@MRS-g2m
@MRS-g2m 2 месяца назад
Wazazi mjifunze kulea watoto vizuri ona sasa mwana kamkataa mama kampenda mama wa kambo 😂😂😂😂😂😂😂😂
@janetLeon-tx3ux
@janetLeon-tx3ux 2 месяца назад
Hii nayo amezidi weeee movie TAMU n iko n mafunzo kw generation z sai❤
@Christina-i6c
@Christina-i6c 3 месяца назад
Like zangu jamani nimewahi
@BeatriceBwisemene-fq6ik
@BeatriceBwisemene-fq6ik 3 месяца назад
Laiki uzipeleke wapi wewe kuliko ku towa mahoni ya movie ulie hona
@Christina-i6c
@Christina-i6c 3 месяца назад
@@BeatriceBwisemene-fq6ik mahoni ndo nini
@Linetmokogoti
@Linetmokogoti 3 месяца назад
Nimependa sana wow❤❤❤❤❤❤❤
@victoriangasa
@victoriangasa 3 месяца назад
❤❤❤🎉🎉 ila vicky na nelly 😂😂
@PuritySalama-yv6to
@PuritySalama-yv6to 3 месяца назад
Hapo mamakambo umenena😂nakupenda love🎉❤ila Vick simpendi yaan amenikera mtot analala nje kisa mume😢
@AlvinaMalekela-s6u
@AlvinaMalekela-s6u 3 месяца назад
Khailat wangu sijuh nimpe mbinu😂😂😂 naee
@Linetmokogoti
@Linetmokogoti 3 месяца назад
Watano leo napenda mufi zenu❤❤🎉🎉
@MaishaMedstz
@MaishaMedstz 2 месяца назад
Kazi nzuri
@KalimboKombo-ph2su
@KalimboKombo-ph2su 3 месяца назад
Loveness anajua mapenzi walai
@Nadzuwamangale
@Nadzuwamangale 3 месяца назад
Haaa jmn huy mtt balaaa kma mamake 😂😂😂😂😂😂😂😂
@JAMESRAPHAEL-v9i
@JAMESRAPHAEL-v9i 23 дня назад
Sema we dad Kila movie lazima ulie jaman mbona wanapenda kukuweka kwenye vipngere vya mateso siku nyingine wakupe kwenye furaha bhna
@IlhamShaban-vq3kx
@IlhamShaban-vq3kx 3 месяца назад
Kiukwel dogo ameweza mpka kaweza tena
@DorcasJohn-ex9op
@DorcasJohn-ex9op 2 месяца назад
Loviness nakupenda kwa upole wako❤❤❤❤❤❤❤❤
@AnnamaryAtulinda
@AnnamaryAtulinda Месяц назад
Jmn huyu mtoto 😅😅lovness unauvumiliv👏👏 Kaz nzur San mtafk mbali❤️
@MayengDulu
@MayengDulu 3 месяца назад
Kazi poa sana
@AshaBakari-h6r
@AshaBakari-h6r Месяц назад
Sijawahi kusikia mm anamsahau mtt wake😊😊😊 jmn amakwel mapenz nishid
@NdikumaaAisha
@NdikumaaAisha 3 месяца назад
Laveness nakupenda ga hatar❤naomba namb yak kipenz
@TinaEmanuel
@TinaEmanuel 2 месяца назад
Asant kipenz lov ness umejitoa kuleaa mtoto abay siyo ata mwanao 🎉🎉🎉🎉 hongera dada angu
@Salama-df2uu
@Salama-df2uu 3 месяца назад
Vicky😂😂😂ety ukilala uwe waniota mwanangu
@MariamRashid-r5m
@MariamRashid-r5m Месяц назад
Mtoto wko mwenyew lakin wamlaza nje juu ya mapenzi ungedhani ni mtoto wa kambo😂😂😂😂
@LoiceKatana-ci1tx
@LoiceKatana-ci1tx Месяц назад
Nakubali wana Donta kazi nzuri nimependa venye imeisha uko mwisho🎉🎉🎉❤
@VeronicahOtwori
@VeronicahOtwori Месяц назад
Huyu mtoto apate soda kwa bill yangu 😂😂😂😂😂😂nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉nipe like ata tano t😢😢
@JosianeMaombi
@JosianeMaombi 2 месяца назад
Munatufindisha ka tunawapenda Sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jobsimpamba71
@jobsimpamba71 3 месяца назад
Vizuri sana mutoto umenifulahisha sana❤
@JacklineMniko-d4u
@JacklineMniko-d4u Месяц назад
Very nice ❤❤
@joycemuenimutua4506
@joycemuenimutua4506 3 месяца назад
Kazi zuri, congratulations 👏 much love from 🇰🇪
@KuvunaGonda
@KuvunaGonda 3 месяца назад
Jaman mnafueahisha mnoo❤
@AlidimussaAlidmussa
@AlidimussaAlidmussa 3 месяца назад
Nampenda kendy
@mwinyishomary4510
@mwinyishomary4510 2 месяца назад
Kaka unajuwa nawapenda Sana team donta
@shukransadala
@shukransadala 3 месяца назад
jamani linah mbona anakaa kwenye uigizaji sehema ambazo hazimfai 😭😭
@liliy-u3n
@liliy-u3n 3 месяца назад
😢 zinafaha Tina
@WittyErnext-xy2tj
@WittyErnext-xy2tj Месяц назад
Sema nawapenda Sana japo huyo mtoto cjui Kama anasoma jamani Ila Kila mtu Ana kipaji chake jmn hongereni
@dodoalmusawi2589
@dodoalmusawi2589 5 дней назад
MashaAllah 🥰💗🥰 kazi safi saana I'm from kenya naomba part two👌👌mungu awazishie ujasiri haswa huyo mtoto kanimaliza mimi 😅😅
@Marem-nl3tf
@Marem-nl3tf 2 месяца назад
Nelly Kila move unafumaniwa tu😂😂😂😂 you so much donta family❤❤❤
@Z-te9km
@Z-te9km 2 месяца назад
Wow watching frm kenya ❤❤❤
@malikahiribae
@malikahiribae Месяц назад
Nimependa sana ii movie aisee much more love
@samiraKassimu
@samiraKassimu 3 месяца назад
Ni kwel da vick anaigiza t sehem yoyot atakayopangiw anatakiw aichez wala asipinge anaiweza 😅😅😅😅
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Месяц назад
demu wangu loveness anaushauri mzuri sana
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x 3 месяца назад
Wakwanza❤❤❤❤❤❤❤
@MariamRashid-r5m
@MariamRashid-r5m Месяц назад
Kazi nzuri khailati😍😍
@Lucy001-j2g
@Lucy001-j2g 3 месяца назад
Kazi poa kwenu❤❤❤
@CarolineImbwaga
@CarolineImbwaga 2 месяца назад
❤❤❤😊😊😊🎉🎉🎉 ikonama fuzo mengi
@RaheemaOmani
@RaheemaOmani 2 месяца назад
Hailati nimekupenda Bure umeiguza vzr sana❤❤❤❤❤
@Gracekadzo-ix4zt
@Gracekadzo-ix4zt 2 месяца назад
❤❤❤ katoto kana maneno makali saana
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 3 месяца назад
Mbona nahisi kama hii ndo tabia yake Lina 😂😂😂alf huyu ni mtoto ama MTU mzima she is wise nmempenda sana love you team james❤❤
@ChrisNini-ot3bl
@ChrisNini-ot3bl 3 месяца назад
Mi Pia Naogopa Kbsa Hata Kama Ni Movie
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 3 месяца назад
@@ChrisNini-ot3bl katoto haka kanaeza nifanya nichukie chakula 😂😂
@TantineZuzu
@TantineZuzu 3 месяца назад
Mungu azidi kuwaweka wana Donta tv Nyote na ❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Saripa234-u7g
@Saripa234-u7g Месяц назад
Nakupenda cn jemsi unajua cn yn mpk unakera ❤❤❤❤❤❤❤
@DennisMarega
@DennisMarega 3 месяца назад
Huyu mtoto mlimtowa wapi😂😂😂😂 ni mtu mzima huyu😢
@MarthaMkulo
@MarthaMkulo 3 месяца назад
😅😅😅
@HappyProtas
@HappyProtas 2 месяца назад
𝘞𝘢𝘻𝘢𝘻 𝘫𝘮𝘯 𝘵𝘶𝘭𝘦𝘦 𝘸𝘢𝘵𝘰𝘵 𝘷𝘻𝘳 𝘵𝘶𝘢𝘤𝘩𝘦 𝘬𝘶𝘸𝘢𝘫𝘦𝘯𝘨𝘦𝘢 𝘤𝘩𝘶𝘬𝘪 𝘬𝘢𝘮 𝘷𝘪𝘤𝘬𝘺 𝘯𝘢 𝘸𝘢𝘻𝘢𝘻 𝘸𝘢𝘢𝘤𝘩𝘦 𝘶𝘮𝘢𝘭𝘢𝘺 𝘫𝘮𝘯..𝘬𝘢𝘮 𝘷𝘪𝘤𝘬 😅😅
@sakina5550
@sakina5550 2 месяца назад
Mtoto kafunzwa maneno na mama ake duuh hatari sana
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 3 месяца назад
Jamani mnajuwa 🎉🎉🎉
@MargaretPendo-t7w
@MargaretPendo-t7w 3 месяца назад
Aky hii movie nimependa sana hongera ❤❤❤❤🎉🎉 from kenya 🇰🇪
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi 3 месяца назад
Jaman watoto wingine jaman mmmmm😢😢😢😢
@noel22265
@noel22265 2 месяца назад
Hongera mtoto Hailati ❤❤ Kazi nzuri
@JoyceMpata-l7c
@JoyceMpata-l7c 2 месяца назад
hongereni kwa kazi nzuri sana donta , ila uyo mtoto ni nyoko😊😊😊
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 2 месяца назад
Mmeweza sana watu wangu pokeni mauwa yenu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Doricuswekesa
@Doricuswekesa 3 месяца назад
Kazi poa kaka
@akimanamariam4451
@akimanamariam4451 2 месяца назад
Mutoto uko vizuri sasa nimeyipenda❤❤❤
@RaudhwaAbdallah
@RaudhwaAbdallah 3 месяца назад
Huyo mtoto nikama anasoma mhl😂😂❤❤ mumeweza lkn ❤
@kibibiabdalla1451
@kibibiabdalla1451 3 месяца назад
Kazi nzuri sanaa❤
@PrettySalmah-tt8bh
@PrettySalmah-tt8bh 3 месяца назад
Khairat alivyoshika kiswaswadu sas🤣🤣🤣🤣il da vick change your behavior mtoot anakwambia maneno ya maan et katumw n shangaz zake🤣🤣🤣🤣🤣but congratulations James umeigiz vyema pia bil kusahau Loveness 🌹🥰khairat kuwa n heshim ila wew pia congratulations kwa kugunduw kuw mamdog Loveness kuw han hatia
@JamesLeo-ui5xz
@JamesLeo-ui5xz 3 месяца назад
This is a beautiful movie... ninaipenda sana lakini sielewi Kila kitu wanaongea cause I'm from Zambia... Keep it up!!
@HadijaHusen-od2bw
@HadijaHusen-od2bw 3 месяца назад
Kazi nzuri
@HannahWachera-b1e
@HannahWachera-b1e 2 месяца назад
Mtoto akiniambia ivo aah anakula Kofi 😂😂😂
@fellst4159
@fellst4159 2 месяца назад
Nelly na Victoria kazi mwaijua😂😂😂😂
@Myboy_1032
@Myboy_1032 2 месяца назад
Hongereni kwa kazi nzuri 👏👏👏👏
@milventmaroro6082
@milventmaroro6082 22 дня назад
Woow soo amazing
@RukiaDzombo-uf7wp
@RukiaDzombo-uf7wp 3 месяца назад
Nmependa sana hii movie imenifunza mengi
@milcahwangura4234
@milcahwangura4234 3 месяца назад
Wow movie nzuri muendele ivo ivo ❤❤❤
@MariamJonathani
@MariamJonathani Месяц назад
Da uyo mtoto anaweza
@PeterMadale-t2z
@PeterMadale-t2z 3 месяца назад
😅😅ila Victoria jmn hpn big up sana mmetisha pia uyo mtt yupo vzr sana
@RebeckAunt
@RebeckAunt 2 месяца назад
Great laveness ❤❤❤❤
@DoreenKaimenyi-km6ux
@DoreenKaimenyi-km6ux 3 месяца назад
😅😅😅😅😂😂😂😂jamani hylati uyu mtu mzima cio mtoto kweli
Далее
MWANAFUNZI MALAYA 💞 Love Story | DONTA TV
26:58
Просмотров 16 тыс.
SINGLE MOTHER 💞 Love story | DONTA TV
38:04
Просмотров 498 тыс.
这位大哥以后恐怕都不敢再插队了吧…
00:16
THE LIES FULL MOVE
2:17:13
Просмотров 192 тыс.
MAMA WA KAMBO FULL MOVIE
2:04:05
Просмотров 126 тыс.
A WOMAN OF TWO GENDER 💞 Love Story | DONTA TV
30:22
BENZEMA FULL MOVIE   KP NA ZEBUU
3:20:38
Просмотров 219 тыс.