Daa Kevin ume tisha bba hhha mmi niko na dota tv milele mna wana weza asante kwa cinema zenye eleimu na busara mola azidi kuwa bariki na yake mema ameen..naku tazama sna kk God bless you and your friends
shida yetu wafrika hatujiamini kimaadil kwani hatuezi igiza filamu mpka mabinti wakae uchii kumbuka kuna wazazi na jamii kwa jumla tusiwe wapumbavu wafikra heshima kitu cha bure i say
Mnajua a lakini Kumaliza muvu hamjui kwamfano ile Nampenda shemeji kumaliza mmshindwa bado mpo kwenye tatizo la wabongo mna andika stor lakini kumaliza hamjui