Тёмный
No video :(

STEVE NYERERE AWA MKALI "ETI SIJUI KINGEREZA, ALIYEKUAMBIA SHIRIKISHO LINAHITAJI KINGEREZA NANI?" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 134   
@mdta8161
@mdta8161 2 года назад
Safi sana kujihamini ndiyo habari ya mjini
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 года назад
Au vip
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 года назад
Kweli Kwa pointi hizo stivu uko juuu
@pastorbaharia598
@pastorbaharia598 2 года назад
YESU anarudi dunia tuifikirie toba!!tubuni mumuamini mpate ondoleo la dhambi.
@restkalemile5274
@restkalemile5274 2 года назад
Waache tu waangaike na mambo ya dunia... Hawajui mda umeishaa..... 😢😭😭😭
@aishaally4831
@aishaally4831 2 года назад
Stivu anafaa kuwa msemaji kabisa, hao wengine wanataka utengano sana wanajiona wapo juu kuliko jua ,
@saidinyoni2463
@saidinyoni2463 2 года назад
Akawe msemaji wa familya yako na si wawa sanii
@judithjulius6848
@judithjulius6848 2 года назад
Alafu kanaongea kama hayati Nyerere mwenyewe
@omaryayoub2838
@omaryayoub2838 2 года назад
Wenyewe kwenye vikao hawaji halafu watu wamefanya maamuzi wanapinga.
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 года назад
Duuu kweli kichwa limepatikana
@joharikasuwi6973
@joharikasuwi6973 2 года назад
Jamani hiyo nafasi Ina ka something ndani yake kwamba sing'oki. Sasa si mfuate utaratibu mchague inavyopaswa mridhike kila mmoja mnagombania nini lakini mbona kukosa aibu fateni utaratibu mchaguane. Sasa kama msemaji na matusi humohumo hamfiki popote na mtakuja leta ugomvi tu. Maoni yangu wafanye uchaguzi mpya akipita tivu ake mpeni nafasi na asipopita mpeni aliyepita basii huyo hata kwenye mambo ya misiba ya bongo movie bado walikuwa hawamtaki jamani 👏
@mimifineliving2022
@mimifineliving2022 2 года назад
Ila huyu mswaili kweli hafai kuwa kiongozi kabisa sasa kwa haya matamshi yake kweli he is not professional kabisa.
@D.P.O
@D.P.O 2 года назад
Steve ilifaa sana uende kwenye siasa ila sio hapo kwa maana umekuja na majibu yasiyo na mashiko wala kujenga hoja,kiongozi hutakiwi kuwa na majibu ya mipasho kama hivyo.
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 года назад
Bora angekaa kimya tu kuliko haya.
@nemesapollo4846
@nemesapollo4846 2 года назад
Point
@emmansolo4477
@emmansolo4477 2 года назад
Hamna Kitu hapa Yeye anadhani anachekesha watu tuu hapa
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 2 года назад
steve tolingi yo awa na congo zaire honorable steve nyerere
@martinostwald6674
@martinostwald6674 2 года назад
Steve ske kapngea kabisa.....
@ndakishinje3269
@ndakishinje3269 2 года назад
We nani
@petromwinyi4955
@petromwinyi4955 2 года назад
Pengoboy bana😂😂😂😂
@mariakibadu6844
@mariakibadu6844 2 года назад
Steve ake imgaya sida be 😁😁😁😁
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 2 года назад
Kweli Steve ni PUA... 🙂🙂😁
@mailatv1484
@mailatv1484 2 года назад
Steve ananjaaaaaa huyu
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 2 года назад
Uongozi ni nyota huongoza Kwa faida ya unaowaongoza ikiwa Hawataki inapaswa uache Sababu hupaswi kulazimisha Kila Mtu awe upande wako
@hassankurwa464
@hassankurwa464 2 года назад
Steve waachie wanamuziki usilete utani kwenye kazi za watu. Waache wana music wenyewe wanatosha. Mwana FA anaweza asikujibu maana majibu unayo tayari na unacho ongea ni hadithi tu
@fatmamdhihiri5477
@fatmamdhihiri5477 2 года назад
Kaweke jino. Kwanza Kisha ujee uwongee nasisi
@josephmwinuka3982
@josephmwinuka3982 2 года назад
Hawakutaki mbona unang'ang'ania kulikoni nenda kwenye siasa huko hufai kabisa
@simonkiwal9567
@simonkiwal9567 2 года назад
kweli kicha kapewa rungu amakweli Tz ya viwandar imetimia
@selemanibatenga6327
@selemanibatenga6327 2 года назад
Kiki kweli zimeanza lengo ni kuwapumbaza wananchi kutofuatilia maendeleo yao na kufuata huu upuuzi. Amkeni wananchi
@janiaoma7093
@janiaoma7093 2 года назад
Maneno yake Stevan nyerere haryana hishima. hafai kuogoza kitu chochote
@chavdagrande2379
@chavdagrande2379 2 года назад
Atumtaki akawe msemaji watarabu uko kunamfaa kabisa😁
@stn4873
@stn4873 2 года назад
Hahahahahaha bwana Steve🤣🤣🤣🤣
@snegalkassim7316
@snegalkassim7316 2 года назад
Mh.we steve!steve! Ni nini lakini?acha zako bhana
@manjaruu1575
@manjaruu1575 2 года назад
Muda mwingine ni MISIMAMO tu sio kuyumbishwa
@paschaljunior3478
@paschaljunior3478 2 года назад
TOKA BANA
@ntegrity277
@ntegrity277 2 года назад
Ni kweli ila Kuna watu wengine sio lazima wewe
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 2 года назад
Achia ngazi we bwege
@devganchusac5153
@devganchusac5153 2 года назад
Mnijibu mnao juwa Ivi uyu steve nyerere ana husiano na Mwalimu kabarage Nyerere? Wana udungu?
@mwaget0815
@mwaget0815 2 года назад
Ndio wana uhusiano kwamba wote ni watanzania
@muzheelyhasheem2796
@muzheelyhasheem2796 2 года назад
hawana
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 2 года назад
"😀😀😀 unapuyanga tu kukenua mdomo" nukuu kwa Steve nyerere.
@venancjoseph1498
@venancjoseph1498 2 года назад
Hapo Kuna maslahi ndio maana unalilia cheo
@yusufukim8439
@yusufukim8439 2 года назад
Tatizo wewe hauna personality ya kuwa kiongozi
@paschaljunior3478
@paschaljunior3478 2 года назад
Kwani lazima uwe kiongozi! Toka hiyo nafasi, unalazimishaje kwani kuna nini humo ndani!?
@olaislukumay3475
@olaislukumay3475 2 года назад
Hahahahahahaha pua pua
@stn4873
@stn4873 2 года назад
Piga Kelele kwa Tivu akeeeee..... Weeeuweeeeeeeeeeee!!!
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 года назад
Kama vipi waachie hiyo nafasi yao wasije wakakuroga bure maana Kuna mijitu kazi yao uchawi tu utasikia huniwezi kwa hela huniwezi kwa uchawi nipe mkono tushindane 😄😄😄😄😄😄 waachie watakuloga hao
@josephmwita5959
@josephmwita5959 2 года назад
hakafai haka kabisa acha propaganda
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 года назад
Eeeeh chefu aliyewaita si Raisi wa shirikisho na katibu. So we bongo movie umeshajua katiba kuwapita wenye shirikisho
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 года назад
Aa bwana japo ukibabaishe kidogo kingereza. Tukikaribishwa nnje ya nnchi je ? Utanichukua mimi shangazi yako wa kingoni nikakutolee cha kinyasa?. ♥
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
Kweli shangalino mubebe wa kingoni msaidie jomba steve
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 2 года назад
Hhhhhhhhh kweli kasi ipi
@omaryayoub2838
@omaryayoub2838 2 года назад
Mbona mnatoa nusu nusu
@mybrain8940
@mybrain8940 2 года назад
Hadi mawazo unasoma 🤣🤣🤣
@beatuskazimily457
@beatuskazimily457 2 года назад
Wenye mzik wao hawakutak we nae umo t jaman kwan unalipw xhngap
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 года назад
WatA mtakaka Tu Sisi mbona tulipewa wa Bunge ambao hatukuwa chagua na mpaka leo tunao
@yusufukim8439
@yusufukim8439 2 года назад
We si unatakiwa kuwa msemaji wa Comedian
@kiddomafiaso6916
@kiddomafiaso6916 2 года назад
Co wa simba kacheza mpira CO🙌🏽
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 года назад
Am 31st ndo Wanaodai hicho kiingereza 😏😏😏hebu mtuache wenyewe siye tuongee kibongobongo tu inatosha
@innocentsisti9556
@innocentsisti9556 2 года назад
Huyu jamaa uzuri ni kwamba hanaga hoja msingj
@benomdaile7081
@benomdaile7081 2 года назад
Kama watu hawakutaki na wewe usiwatakee ili wote msitakaneee
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 2 года назад
😂😂😂 na anavoyapenda sasa
@aronatv47
@aronatv47 2 года назад
Yaani kwa Maneno hayo bado watu wanaona stivu Hafai..Maneno ya Busara Kabisa na Fact ndani yakee..Kwanza FA mwenyewe alipata ubunge kwa Mbereko tuu
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
Daah ulofa ni kitu kibaya sana na kuendekeza dhiki , jomba hawamtaki ila analazimisha na kujitia aibu
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 2 года назад
Daah😂😂😂
@eliyanorobeth8567
@eliyanorobeth8567 2 года назад
Semaj hloo
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 2 года назад
Ila sikwli ukijui kingereza
@aloycesteven5998
@aloycesteven5998 2 года назад
Mi nacheka anavyoweka kasura kake stiv ake
@khamissaid3083
@khamissaid3083 2 года назад
Daaa nilijua anaigiziaga tu kumbe alishakuwa affected na sauti ya Mzee tangu kitambo aiseee
@lubatikoseme9412
@lubatikoseme9412 2 года назад
Indivijoo🤭🤭🤭🤭
@nimrodsigulu6249
@nimrodsigulu6249 2 года назад
Jamaa anahoja kuliko wa kina Mwana Fa aisee
@yussufsalum1998
@yussufsalum1998 2 года назад
Tivu ake
@clevermngao7565
@clevermngao7565 2 года назад
😄😀😃😁🤣
@karyori69
@karyori69 2 года назад
Nenda kasome mzee using'ang'anie madaraka!
@saidihaibe2375
@saidihaibe2375 2 года назад
Bongo kamwe atutoweza kusonga mbele uswaili mwingi natumejawa nachuki binafs
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 2 года назад
Hhhhhhhhh we toka Bana we mwnyw ni kituko..
@habibumussa7712
@habibumussa7712 2 года назад
Akafanye uchawa tu
@godfreyngeze384
@godfreyngeze384 2 года назад
Ili kupata vichekesho kama hivi tunabonyeza ngapi kwenye sim zetu hahahhahhah
@marrysalanga2073
@marrysalanga2073 2 года назад
Hahahahaha
@subirachuta8169
@subirachuta8169 2 года назад
Kwani wewe mbona unang'ang'ania sana??? Kama hawakutaki si ukae kando!! Wewe endelea kukusanya lambilambi mbona misiba bado ipo!!!!!
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 года назад
Sio misiba ipo sema misiba tupo au wewe hutakufa ipo ya kina Nani Kama si Mimi na wewe
@subirachuta8169
@subirachuta8169 2 года назад
@@rashidyally8715 Mimi ata nikifa huyo Steve hawezi kujua na sio Steve tuu ata wewe hutojua coz sina umaarufu huo.
@aronatv47
@aronatv47 2 года назад
Kwanza msemaji sioni kama ni Ishu Kaliiii..Kwanza msemaji unapewa yakuongea tu na kuhamasisha Basiii yaani wla..Nashangaa watu wanalalamika kuna Vitu sio lazima uwe Profesheno ndio uwe sehemu flan..Wasanii wanajidaii wajuajia na hamba kituu. Mwacheni Stivu afanye Kazi akimaliza mumtathmini kiukweli FA alizingua MnoooMihemko tu
@saidinyoni2463
@saidinyoni2463 2 года назад
Kazigani yami chambo
@charitytv6972
@charitytv6972 2 года назад
Hutakiwi
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 года назад
Oya,miye sikuwa msanii ila nimeanza leo kuwa msanii nishamaliza kuandika mashahiri na leo nina nguvu zote za kusema "stave sikuhitaji uwe msemaji wangu"😂😂 kwanza unajichubua bana😅😅
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 года назад
Mkorogoooo
@simonkiwal9567
@simonkiwal9567 2 года назад
mzee baba hio pua ni poor ya kingereza au ya kiswahili maana hapo umeniacha hoi na njia panda
@edlumala9428
@edlumala9428 2 года назад
Wacha ukhanithi wako na pengo hilo! Kiingereza kama hujui wakija wageni utaongea nao nini na wewe ndiyo msemaji wao!? Katibu ina sema uwe na elimu ya fedha, we naona huna chochote zaidi ya pengo!
@jumamkaa9477
@jumamkaa9477 2 года назад
me uyu jamaa simpendi cjui kwann
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp 2 года назад
Sisi tunampenda
@salimliemba3458
@salimliemba3458 2 года назад
Kweli huyu jamaa ziro anatolea mfano watu walio Soma we ceo wa simba anaelimu humfiikii hata tone we baki na kukusanya rambi rambi ndo fani yako
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 года назад
Tapeli huyuuu
@kwisa4899
@kwisa4899 2 года назад
Nyie kweli hamjajua uwezo wa steve
@najmanassoro308
@najmanassoro308 2 года назад
Naombeni msada watanzania wenzangu nataman nimfikie hata rais lakin sina uwo uwezo. siitaji pesa mkononi naitaji huduma. Mnitibie nipone napata maumivu makali usiku silali.
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 2 года назад
Ulali unafanyaje?
@jumanasoro404
@jumanasoro404 2 года назад
Tone tu anayotumia hafai kuwa kiongozi kuna maneno machache sana ya busara angeongea angekuwa ameonekana na busara.kuliko kucounterattack.
@kwisa4899
@kwisa4899 2 года назад
Bongo flavor hawabebeki,hawana zuri hivi kweli nyie wa kumkataa steve Sawa muwekeni mtu wenu lakin Steve ni mtu wa kujitoa sana
@saidinyoni2463
@saidinyoni2463 2 года назад
Sawa lakini sio kwana fasi hiyi
@kwisa4899
@kwisa4899 2 года назад
@@saidinyoni2463 hawana mtu zaidi ya kuwa na fikira za kutaka WCB wawasaidie niamin mimi hawato pata mtu kama Steve kwa muda huu labda kwa baadae sana shida hao watu hawanazuri wanachukiana sana..
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 года назад
Akamngie Bibi yake duuu
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 года назад
Wazuri wa afya kama si daktari si sawa ndio hayo Mambo ya Siasa tunayosema
@ceysal944
@ceysal944 2 года назад
Kwanini sio sawa kumbuka ni waziri wa afya... sio daktari kwamba ataingia hospitalin kutibu watu.. ina anawakilisha mambo ya kiafya katika serikali... yan bungeni... na yeye pia ndo anakua na watu wake chini sasa daktari mkuu... na wengine
@ceysal944
@ceysal944 2 года назад
Sasa je vipi kuhusu waziri mkuu ane anatakiwa awe nani.. maana yeye ni waziri wa kila kitu afya,madini,maji,umeme,ujenzi sijui na mengine mengi.. sasa je huyu anatakiwa awe na ujuzi wote huo....
@octavianmgovano5207
@octavianmgovano5207 2 года назад
Stive umesoma shule gani ? Ebu tutokeee hapa
@ntegrity277
@ntegrity277 2 года назад
Nyerere achia ngazi umeteuliwa hujachaguliwa unaongea Kama vile unaridhaa ya wana mziki! You are insane with very little knowledge
@esterdoriye4780
@esterdoriye4780 2 года назад
Pua au poor hahahaaa
@tevintevin6254
@tevintevin6254 2 года назад
Ana nyimbo ngapi?
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 2 года назад
Umeandika? Mbona unasoma?
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 2 года назад
Weeeeh waziri ni utawala sio profation hujui nini mshamba kama hujui uliza kabla ya kusema.
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 года назад
Yaani huyu akijibiwa atalia aende kujikomba hukoo hafai kuongoza watu wenye vipaji vyao akachekeshe watoto
@jovinngimbwa470
@jovinngimbwa470 2 года назад
Huu uhuni kabisa, hiki kituko.
@gifatmahundi8750
@gifatmahundi8750 2 года назад
Kelele za nini ndugu kama mke akutaki si unamuacha mbona unaongea sana, we nenda kwenye siasa acha vijana wajiongoze bwege wewe
@jenipherthobias2860
@jenipherthobias2860 2 года назад
Achausenge usigangane msenge wewe,
@o-lockinc.
@o-lockinc. 2 года назад
Itakua Kuna posho kubwa humo
@nixonlema94
@nixonlema94 2 года назад
Yaani anaongea pumba gani huyuuu
@eskotikimaro2858
@eskotikimaro2858 2 года назад
Kaa pembeni
@ahmedjuma3602
@ahmedjuma3602 2 года назад
U ta ng’o ka
@salimliemba3458
@salimliemba3458 2 года назад
We ropoka tu waulize kampun ya simu ilo simama na mwana fa mahakamani kilicho wakuta yule ni muakilishi wa sisi watu wa Muheza alafu anamtolea maneno machafu wamesema bibi yake wajua kama yuko Hai au la wacha dharau kwa watu usio wa fahamu na kuomba mh mbunge we tu wa panga chukua hatua kwa huyu kiumbe alokutukana hadharan pamoja na famly yako
@kambugarakim4840
@kambugarakim4840 2 года назад
Acha shobo wewe kampuni ya simu ya simu na Steve kama stive kazi imeshaanza
@muniraally6066
@muniraally6066 2 года назад
Huna lolote hutakiwi
@naija6679
@naija6679 2 года назад
MAAJABU YA SIKU YA JUMANNE *#*# m.ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-X8C4iGRjkUY.html
@mustafamsangazi9246
@mustafamsangazi9246 2 года назад
Una ng'ang'ania nini stive, Hilo ni jambo la wengi kaeni mridhiane
Далее
Kaunti ya Lamu na Garissa wazozania mpaka
3:50
Просмотров 4,6 тыс.
Как дела перцы?
00:25
Просмотров 72 тыс.