MATUNDA YA MH. FREEMAN MBOWE MWENYEKITI TAIFA AMEIJENGA CHADEMA KWA GHARAMA KUBWA KWA HALI NA MALI, NYOMI HIYO KIWIRA MWANKENJA, SIYO MOSHI MJINI. HUYO NDIYE MH. MBOWE ANAKATA KILIMI LIMI CHA WAPIGA PROPAGANDA OOH CHAMA CHA WACHAGA HAPO NI KILIMANJARO? NCHI NZIMA CHADEMA NI IMARA KABISA!!
Mtu anae shabikia ccm ajauguza ndugu yake akampeleka hospital ya serikali hazina dawa shule za watoto wa masikini wanao nyonywa kodi na ccm dalasa moja watoto mia 50 watoto eluf moja mia 6 shule nzima matundu yavyoo kumi 5 alafu anae enda kuzindua matundu yavyoo anatembelea v8 milioni mia 5 gali inayo zidi galama zaujenzi washule nzima alafu mjinga anasimama anasema kidumu chama chamapinduzi tunalaana kwakweli
Mwenyezi mungu akulinde sana sugu nakukubali sana tangia upo bungeni. Tunahitaji viongozi wa aina yako sio hao wa kuhongwahongwa wasio na msimamo akina msigwa
Hongera lakini kwa nini hamongelei kuhusu muungano wa unafiki kuwa tumeungana Tanganyika na Zanzibar ni kweli? Kwa sababu Zanzibar ina serikali yake ina bunge lake, huwezi kuchukuwa kiwanja Zanzibar lakini wao wazanzibar wanachukuwa viwanja na mashamba. 0bado wanaleta wabunge zaidi ya 70. Kwenye bunge la Tanganyika. Na wanalipwa kwa nini unafiki wa aina hiyo? Mbona hamongerei KATIBA ni lazima tupate KATIBA MPYA.
I have been worching election in Tanzania from 1995 Antilles up to 2020 ccm win election by police force not bailot box vote no l disagree when cames to vote ccm use so much police force stick to leadership but now on this election caming on local gavment election will be toto war between ccm and opposition chadema but potability of ccm use military force and police force because of fear local gavment election by opposition ccm will use force but africa team worching in Africa election this time even world community they have to reject same of ccm gavment condition
Ni sahihi kabisa, kinachoumiza zaidi ni kuchota pesa zetu na kuongeza Kodi za ajabuajabu Ili wawanunue wanasiasa maarufu wa vyama shindani ili waendelee kushika Dola watunyanyase na kutunyonya sisi wananchi, hili halikubaliki hata kidogo, tumechoka...tumechoka...tumechokaaaaa...😭😭😭😭😭....Ewe mwenyeeziMungu wafanyie wepesi ndugu zetu wote wanaopambania nchi yetu tuondokane na ukoloni mamboleo. In-shaallah..❤️❤️❤️. Mungu hashindwi na jambo lolote.