Yakub Nassoro bado ni mwamba saaaana. Hakuna ladha kama yake. Anayoyapitia ni njia ambayo ina mikwaruzo ambayo hata ww huwa unapitia kwenye shughuli zako ila unapambana n unarudi kwenye mstari. Nina imani atarudi tu, uwe na imani pia
Aaah!! Yeahh!! Haha!! La Familiaaa!! Tanzania, King Kong!! woooh! Uzito mdundo wa hindi, anga, na enzi za sancho Ni sawa na ubishi wa goli, kutoka kwa mbishi pancho Mashuhuri toka mtoto toka msoto toka studio joto Sahau kuhusu AC Eti Flani mbishi wa mboko, halalali anawazo soko Siku nae aje auze kama vile Jay Z Ama keeping rankin, keepin drumping, keepin rock the show Keepin jumping, keepin pumping, keepin smoking doe Spigiwi nacheza, pakavu nateleza You can′t stop mee!! Sana sana nitakupoteza One love, kwa mashabiki Asante kwa wanafiki, bila ninyi Hasira zisingekuwepo kichwa hiki Aisee Mi ni mkali, sina afadhali Na ndio mana bifu haziishi kwa wale wasio rijali Chidi! Wacha waropokwe Wacha wachomoke, wacha wavimbe, wachonge (Stick) Wala usiondokee! Hahaa!! Dar es saalaaama, dar esa salama stand up PRE-CHORUS Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands (Aaaaah!! Ahhhh!!) Eee Aaa Eee Ngoma itambae, mzuka upae Mpaka watu wapagawe, ee aa eee Pull Up Pull up, tell the DJ don't stop And please keep this rockin Eee Aaa Eee Ngoma itambae, mzuka upae Mpaka watu wapagawe ee aa eee Pull Up Pull up, tell the DJ don′t stop And please keep this rockin Mikono juu Mafan mnao feel hili goma, Mmelisoma, na mna feeel kinoma Mikono juu Mafan mnao feel hili goma, Dar es salaama stand up, put your hands up MC mkali, MC peace MC kipato kiaina MC mkali, wanan dis ila wanan kubali kiaina Kubali kiaina, kubali kiaina, kubali kiaina Sijali, bado chenga nawakomba, mi na beat natoa radha Kama muumini na komba Kama shilingi na konda, kama kicheche na Ng'onda Mlio wa "Vuum" na Honda, spirit na kidonda Spigani nkang'ata sa si bora nikimbie Sing′ang′ani kunata bali uwezo wangu ndie, Napanda siku baada ya siku, Spandi mchana nishuke usiku, Naamini bora kitu, kuliko kukosa kitu. Love kwa wasanii, love kwa wanajamii Love sana mpaka kwa kina hihi!! Kwa kina nanii. Msintenge mi mwanenu jamani, chondee Nawawakilisha nyinyi mtatoka, msikonde Hey my African people tukaze, tusonge mbele Tusisahau hii iko, yaliyopita si ndwele Tugange basi hayoo, tuache kupiga mihayo Tufikiri kwa urefu sio size ya Zakayo PRE-CHORUS Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands (Aaaaah!! Ahhhh!!) Eee Aaa Eee Ngoma itambae, mzuka upae Mpaka watu wapagawe, ee aa eee Pull Up Pull up, tell the DJ don't stop And please keep this rockin Eee Aaa Eee Ngoma itambae, mzuka upae Mpaka watu wapagawe ee aa eee Pull Up Pull up, tell the DJ don′t stop And please keep this rockin Naona DAR inafuka moshi wa majani Ma sister duu wameji mix na ma rastaman Kamata toto mwanangu besa kitu gani Hili... Mipini watu wanakaa Waakubali kiani, wanakubali kiaina. Waakubali kiani, wanakubali kiaina. Waakubali kiani, wanakubali kiaina. Waakubali kiani, wanakubali kiaina. Po!! Poo! Poo!! Yeaah King, kong, yani ah!! Ah!! Wamekaa
ningekuwa na uwezo wa kurudisha muda nyuma arafu chidi yule aje sasa 2018 amini nakwambia ilikuwa hakuna cha wasafi walla wachafu. na nahisi chidi hawamsaidii kwa hofu ya uwezo wake kuna madogo wanasafiria nyota ya chidi wanaimba kumgeza chidi wanatunga mistali inayofanana na ya chidi hawa wote watapoteza ajira endapo chidi atarudia 100%kama zamani
Asa kwani kuna waimbaji now? Kuna rapper bongo? Chidi Dah!!! Siku nakuona Fiesta ya sjui 2000/2002 nliwewesekaaa my cuzin akatu introduce coz eeeeevryyy one knew nnakupendajeee and chuo Moro you came to perform Moro aseeeee i made sure my BF now Husband ananipeleka asee...i met you back stage the fact that ulinikumbakaaaaaa and you even showed me my number ulii save Wow!!!!! Always will be...your No 1 Fan...upone usipone...
Rashid alikua mkubwa sana na game alikua kaimali, nakumbuka kipindi hiki show zote za TV na radio zilikua zake. Alikua mpaka na reality show yake EATV nadhani, ila kama walivyosema waswahili mgema akisifiwa sana tembo hulitia maji, ishabaki historia! Bonge ya vocal na mistari. Maisha mengine yaendelee
Hii ngoma ilitolewa miaka 12 iliopita,,punchs zake zilitengenezwa kwaajili ya next generation imean hata saiv 2023 Bado hatuja ifikia hio targeted generation kwaajili ya kuenjoy huu mzik mzuri,,respect sana CHID BENZ✌️✊
One of the best of the best of the best ila video mbaya kuliko zoteeee hii video level za kitchen party sio ya anthem ya home kwangu Dsm still bonge moja ya track
Kila nikitazama the real Chidi Benz akiimba nakumbushwa mbabe wa ukweli wa Bongo Hip Hop. Nahisi kulia lakini nifanyaje. Nilikuwa shabiki chizi wa Chidi nilipokuwa shule ya upili na forever a Chidi fan,. Nawish angeachana na maisha ya dawa za kulevya. no one like Chidi just yet.