Allah wewe ndio kila kitu katika maisha yetu na familia zetu wape mwisho mwema wazazi wangu na familia yangu kiujumla wewe ndio mkuu katika roho zetu na dunia tujalie mwisho mwema mimi na familia yangu ameni
Alhamdulillah....sisi tumejaliwa neema ya kuijua na kuifamu gu,ran yaarabi wajalie na wale waliokuwa hawaijui na kuifaham gur,an waitambue tena kwa undani zaidi....amin.
Yaa allah waondoshe wazazi wangu adhabu ya kabri uwape nuru makaburini mwao na uwasamehe madhambi yao. Na wazazi wangu walio hai uwape umri wenye kheri na wao wanye kukujua wewe allah(s.w)......amin yaarabi.
Alhamdulillah❤️💯 yaani nnapoisikiliza Quran kwa lugha nnayoilewa najiskia Rahaa na natamani ningeliijua tafsir ya Juzuu thelathini zote yaa YaalLah 🤲🤲🤲
NA HUO NDIO UDHAIFU WA UISLAMU..TUNAFUNDISHWA KUHUSU MUNGU KWA LUGHA TUSIOIELEWA..WATOTO WETU WANAKARIRISHWA JUZUU THELASINI TUNAITA KUHIFADHI NA SIO KUELEWA...UKIMUULIZA PALE TAIFA KTK MASHINDANO UMEELEWA NINI ULICHOKISOMA HAWEZI JIBU ATAKWAMBIA NIMEHIFADHI...
Mashallah sheikh nawewe mwenye kuisikiliza kua mwenye kuipenda kutoka🧠🧠na uiangalie kwa👁👁mawili aliokupa mungu na uisome kwa👄👄kisha wafundishe wengine inshaallah mungu atakuongoza njia ilionyooka kama waliopita katika watu wema aamiin
Mashaallah shukurani shehe mungu azidi kukuongoza amfanyie wepes na atujalie sote tuijue kuruani napi wape mwisho mwema mashehe wetu wote ishaallah 🙏🙏 Sisi wote pia Allah subuhana huwataara ajalie mwisho mwema Amiiiiiiin 🙏🤲🤲🙏🙏🤲🤲🙏🙏 pamoja na wazazi wetu wote wapate makao mazuli kwa Allah subuhana huwataara 🤲🤲🙏🙏🤲🤲🙏🤷
Mashallah Allah atuongoze njia ilio nyooka na atuepushe na njia mbaya YaaRabii nijaalie mwisho mwema wakukutaja wewe Kiki mda kila siku Ameen Inshaallah
Nakuomba mungu wangu nisimamie katika maisha yangu na family yangu na baba na mama yangu na ndugu zangu hutusimamie katika maisha yetu yote ya duniani na utupe mwisho mwema mungu wangu na uwajalie afya njema watoto wangu mapacha pamoja na mama yao huwasimamie mungu wangu unajuwa ninayo yawaza katika moyo wangu na unaona ninayo pitia mungu wangu nisimamie nifanikiwe hapa duniani na haela
Yarrab wewe ndio kila kitu ktk maisha atuna ujanja mbele yako tusamehe makosa yetu ya siri na dhaili tupe mwisho mwema na familia zetu wape kaur thabit wazazi wetu ndugu zetu amna wakumuomba zaidi yako allah muumba kila kitu
Hakika Ewe ulitakasika hakika tufungue nyoyo zetu tufanye.yalio mema tujalie tuwe miongoni mwao kwale ulio wachagua tupe mwisho mwema ya Allah takabali Mina ya Allah marehemu maiti wote pamoja na sisi tutakao kua miongoni mwao amini🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏