Тёмный
No video :(

SUZI BALE: SIMJUI ZAI KIJIWE NONGWA| KIGODORO NAVAA NA KISHEPU CHA UCHOKOZI 

Maximum Tv Online
Подписаться 449 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@jennet6484
@jennet6484 3 месяца назад
Alf zai na suzy mbona vitu viwili tofaut..zai anahadithia ya uswaz kwao kwa kutufurahisha na maneno yake ndio yanayotuburudisha..suzy anaongea anachamba kinachofanya muwapambanishe ni kwamba wote wa uswazi..lakin ni watu tofauti
@FatumaMuya
@FatumaMuya 3 месяца назад
👍👍❤
@prezgal8869
@prezgal8869 3 месяца назад
Wako tofauti kabisa,suzy ni wa michambo ila zai ni wa story za vichekesho mtaani kwao
@jennet6484
@jennet6484 3 месяца назад
@@prezgal8869 kabisa sijui wnapambanishwa vip😃
@joycekalago532
@joycekalago532 29 дней назад
Sasa hili lenye sura na rangi kama tope la maporomoko ya mlima Hanang ndio la kufananisha na Zai wetu wa toka enzi khaaaa hebu mtupishege
@user-nd4wo7so3v
@user-nd4wo7so3v 3 месяца назад
Weraaaaa huyu ndio mtangazaji wooooow❤
@prezgal8869
@prezgal8869 3 месяца назад
Nakupenda suzi umekwepa bifu shoga aangu,mtangazaji alitaka akuponze
@lidyarajab8168
@lidyarajab8168 2 месяца назад
Napenda sauti yalo❤ Suzi bale
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 3 месяца назад
😂😂😂Suzi❤hawatembei kwa wkt
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 3 месяца назад
haponeno wenye mikorogo awatembei kwawakati 😅😅😅
@prezgal8869
@prezgal8869 3 месяца назад
Akilala toba akiamka lah ila Allah😂
@FatmaMohamed-vd5zc
@FatmaMohamed-vd5zc 3 месяца назад
Nakupenda sana dada Angu nafurahi Sana ninapo ona kipindi vyako
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 месяца назад
Mie naogopa jamn hiiiiii Pambana Suzy Pambania watoto wako
@noornasir4378
@noornasir4378 2 месяца назад
Kwanini mnapenda kuweka mziki unakera sana. Hebu jibadilisheni jamani tuweze kusikia umbea vizuri
@arafakiloli749
@arafakiloli749 3 месяца назад
Penda sana Suzy
@user-kj2ee7ep8w
@user-kj2ee7ep8w Месяц назад
Wehugopi😂😂😂😂
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 2 месяца назад
Said manyema karudi tena
@teedullah5708
@teedullah5708 2 месяца назад
Tupo hapa utakuja kuona ukijichubuwa muone himelda Sasa ameanza kujichubuwa
@YusufuAbas
@YusufuAbas 2 месяца назад
Anachamba huyu na vimacho vyake visivyotaka kutulia😂
@KasminaCreation
@KasminaCreation 3 месяца назад
Hatariiii😅😅😅
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 3 месяца назад
Sijawahi mbebea wala awawezi kunibebea
@fatmaally7252
@fatmaally7252 3 месяца назад
Sijawahi mchukulia ajawahi nibebea 😂😂😂😂
@uwimana6533
@uwimana6533 3 месяца назад
Mambo nimoto 😂😂😂😂😂
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@user-ei2ud7gh5h
@user-ei2ud7gh5h 3 месяца назад
😂😂😂❤❤❤❤❤
@user-vy3km7gi8r
@user-vy3km7gi8r 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@user-vt4vd5rh8u
@user-vt4vd5rh8u 3 месяца назад
😂😂😂😂
Далее
KIJORA CHA MKOPO SUZI BALE FULL MOVIE
13:36
Просмотров 1 тыс.