Тёмный

Swali la Nikki wa II ndani ya Basi kuna Fid Q, Mr. Blue na wengine 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 384 тыс.
50% 1

Ni kutoka kwenye basi la Wasanii wa bongofleva wakiwa safarini kwenye show za FIESTA 2016, tamasha ambalo linafanyika kwenye mikoa mbalimbali Tanzania sasa hivi.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 265   
@hawarajab5639
@hawarajab5639 6 лет назад
Fid upo sawa bro your opened our mind...
@officialphillz66
@officialphillz66 7 лет назад
fid he belive what he believe bt niki hajakubaliana na fid bt wote wana reasons bt fid kafeli suala la sumu bt they are so smart kuna elimu kati yao bt wengine hapo waulize kuhusu mademu watatoa michango snura u a smart pia umeweza kuthink na kukataa majibu ya fid ikiwa wengine wanakubali so congraturation kwa ku argue 👏👏👏👏
@eliofootz6519
@eliofootz6519 7 лет назад
Big up Fid ndo maana nakariri minyimbo yako Mzeee😄😄😄😄😄 umetisha mbaya
@lwitikogladson5127
@lwitikogladson5127 7 лет назад
Natural order Na Psychology Ni vitu viwili tofauti. Fid Umetisha saana kuwaelewesha hao wasiotaka kuelewa. Psychology ina play part kubwa saana kwenye ishu ya afya Na maisha Kwa ujumla.
@charityoluoch94
@charityoluoch94 3 года назад
Fid q mwanaaa we shidaaa
@andrewmsungu2535
@andrewmsungu2535 8 лет назад
You're right Fid Q. Unajibu kwa kutumia akili I like that
@chia9963
@chia9963 8 лет назад
fid nihatari sana ....Psychology iko juu sana....
@somekeinnocent2322
@somekeinnocent2322 8 лет назад
thanks bro fid Q nitafanyia kazi udhaifu wangu
@eliudchubwa6277
@eliudchubwa6277 6 лет назад
Fid q the best
@benoitfirmino7504
@benoitfirmino7504 5 лет назад
Fid q it's so smart
@nicasanderson5225
@nicasanderson5225 8 лет назад
sababu nyingi zimesemw lakini ukweli ni kwamba hapa mpaakaa mtu aumwe inaegemea na mazingira na swala la imani, na imani saa nyingine ndio hiyo psychology. inawezekana vichaa ulio waona njiani wanatembea ndio hao walio fanikiwa kutoboa haya maisha wengine walisha dead pale tu walipo pata ugonjwa. mtu anaweza kuwa naumwa kichwa akashika flajil zile huku akijua ni paanadol na apone kichwa hiyo ni imani/ psychology mwingine kichaa haumwi kumbe mwili usha adopt mazingira hayo.
@fredmathubejr3547
@fredmathubejr3547 8 лет назад
Fid Q is a critical thinker cause he use his time in books, Nikki II he is smart cause of Education, hawa wengine mungu tu awasaidie cause hawajui hata wanachokiongea 😂😂😂😂😂😂😂
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 8 лет назад
😂😂😂
@dynamicsnation7509
@dynamicsnation7509 8 лет назад
hahahahahaaa
@daudrevocatus4952
@daudrevocatus4952 8 лет назад
fred umenena ukweli kaka...shule muhimu sana
@wasajo
@wasajo 8 лет назад
Wamejikita kwene mzk tu ao wengine lkn fd na nikk wako vzr
@stevnkungu7505
@stevnkungu7505 8 лет назад
Daah Jamaa umetisha kuliko hata fid na Niki
@danielluvunzu553
@danielluvunzu553 8 лет назад
fid unaongea kisomi wengine shule ni shida kidogo but ni true
@samuelpaul9212
@samuelpaul9212 5 лет назад
Daniel Luvunzu namna kitu, hakuna swali hata moja alilojibu, mwaswali ya secondary hakuna aliyeweza jibu
@mansabomarmanssab1079
@mansabomarmanssab1079 5 лет назад
Moto qubanda mskilize niki ww bdo mtto na uumbaj kaz y mungu dhen kumsklza uyo mshkaj unajua meng dhen mnaona akionge mnavomskiza qubanda..
@leonshayo5240
@leonshayo5240 8 лет назад
daaah in short hyo clue iliyo husika kwa maswali naikubali sana yani I wish ngekuwepo mkali Nikki from A town Fidi toka Rock city pamoja na Mchomvu baba la baba big up sana nawaelewa kinoma noma
@emmanuelpeter1958
@emmanuelpeter1958 8 лет назад
ngosha you kill it umejibu vizuri sana
@spiyerharoun1670
@spiyerharoun1670 8 лет назад
pamoja sana fid Q nakukubali majibu ya busara hata kuchana ukiwa stejini unapasua vyema pamoja sana
@emmanuelkimea3255
@emmanuelkimea3255 6 лет назад
Man fongo hpo anaona nyotanyota tu. 😂😂 kma umemuona fongo gonga like
@ibrahimmkoko5850
@ibrahimmkoko5850 8 лет назад
Fid Q akili zake ni nyingi mno, Hata ukichanganya akili za watu wote humo kwenye gari bado hawamfikii (IQ)
@leonshayo5240
@leonshayo5240 8 лет назад
hajafikia kichwa ya Nikki c umesikia hayo maswali lakini
@iamzillahx6901
@iamzillahx6901 8 лет назад
+LEON SHAYO usiseme nikki kwa kiwango chake cha elimu lkn fid ana taalam ya saikolojia
@jullymosha4087
@jullymosha4087 8 лет назад
Fd Q yuko vzr
@khalfansimba9610
@khalfansimba9610 6 лет назад
Nikki ndo level za akina Fid Q
@yusuphjr2320
@yusuphjr2320 6 лет назад
@@khalfansimba9610 umeona ee
@marthamwasite1350
@marthamwasite1350 6 лет назад
Mnamchanganya sasa mr blue shikamoo na mamdogo snura mmependeza sema mama snura fid q nomaaaaa kichwa cha wengi
@irenemossha2874
@irenemossha2874 8 лет назад
Fd Q much respect
@iamzillahx6901
@iamzillahx6901 8 лет назад
ana taaluma ya saikolojia ndo maana yko hvo na wengi hawamfaham nje ya mzik ykoje
@amosmitchell2130
@amosmitchell2130 3 года назад
i guess I am kinda randomly asking but do anyone know a good website to watch new tv shows online?
@rileyodin2602
@rileyodin2602 3 года назад
@Amos Mitchell flixportal :)
@amosmitchell2130
@amosmitchell2130 3 года назад
@Riley Odin thank you, I signed up and it seems like they got a lot of movies there =) Appreciate it!!
@rileyodin2602
@rileyodin2602 3 года назад
@Amos Mitchell you are welcome xD
@ostazclassic3370
@ostazclassic3370 6 лет назад
Naona mr blue yupo makini sana kumsikiliza fid Q 👂👈
@innocentmwamene3901
@innocentmwamene3901 3 года назад
Mpo xawa kiax
@marthapollady1463
@marthapollady1463 8 лет назад
much respect to u fid.q
@abdallahmassera9509
@abdallahmassera9509 8 лет назад
Nikki anajua nn anasema ila ajaribu kumchallenge fid ila dada wa chura cjui hata kama anajua nn fid anazungumza...... psychological issue ni jambo kubwa sana kwenye mwili wa binadam.... mtu anaweza shika moto na asihisi maumivu......
@iamdavimoo5179
@iamdavimoo5179 8 лет назад
daaaaaaaaaaaa #fid q ana akili yaaan daaaaa deep thinker
@machetemdudu5607
@machetemdudu5607 8 лет назад
mmmmh! fid q we ninoumaaa etiii!!!! am really like it kiukweli. big up bro, and keep it up!!!!!
@machinefannatic99
@machinefannatic99 8 лет назад
Kobe hawagogwi wengi sababu population ya Kobe in ndogo kuliko wanyama WA speed Kama gazelle Na Kobe sio wanyama wakutembea safari ndefu, 2. Vichaa wanaumwa kipindupindu Kama kawaida ila hawana uwezo WA kulipia matibabu au hata kufikiria matibabu 3. Vicha sio wengi wanaogongwa Na magari kutokana na population Yao kua ndogo kulikuo watu wazima Mfano mji mzima unaweza kua Na vichaa 100 akifa mmoja au 10 kwa mwaka huwezi kushtuka tofauti Na watu wazima 3000 kufariki, hio ndio science majibu mengine anayo mungu ila fid q kajitahidi
@wasajo
@wasajo 8 лет назад
Halafu kingine vichaa wamenyimwa akili zote lkn akili ya kujihami wamebaki nayo, mfano hai kama walivyonyimwa uwezo wa kuiba au kumtilia sumu adui yake hawa watu wa kuwanga, hata ukiwa adui yake vp atakuwangia lkn vyote ulivyonavyo iwe pesa sijui ninihawezi chukua
@slim2129
@slim2129 8 лет назад
Fid the genious😎
@phanipeter4606
@phanipeter4606 8 лет назад
who u re ni cha msingi coz hata kichaa aaamin kuwa yy ni kichaa thats y chochote anachokutana nacho kama chakula umshkuru Mungu na kula hvyo Mungu pia umlinda huyu mja wake katka muda wote hvyo ni sawala la sykologia then na theologia ambapo tunamuhusisha Mungu na ulinzi wake hvyo fid q kawajib vizur sana ngosha anajua big up
@josephchristopher1887
@josephchristopher1887 5 лет назад
Thank you ngosha
@horizontv7324
@horizontv7324 6 лет назад
Majibu ya Fid Ni sahh kabisa
@immakandio1783
@immakandio1783 5 лет назад
FD q umetisha mzee baba
@crissernest7269
@crissernest7269 6 лет назад
Fidq big up my brother, unaelezea vizuli sana
@billrass5097
@billrass5097 7 лет назад
Mara paap! akili ni nywele big up ngoxha
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 8 лет назад
duh, #SNURA anasauti kali kama panga.. ilinibidi kupunguza sauti kwenye sim mpaka 1vlm. ILA #F_Q yuko sahii... aliwazalo mjinga ndilo humtokea...!
@mussamchinjo68
@mussamchinjo68 6 лет назад
Fd q namkubali sana
@jamesmasanyiwa8375
@jamesmasanyiwa8375 8 лет назад
vichaaa huwa washadevelop immunity against hao bacteria vibrio cholera due to continuous exposure to the antigen, hivoooo tu
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 8 лет назад
Na kwambia eti kichaa hapati kupindu pindu ni swala la kisaikolojia, shule imewapiga chenga
@mshangaf1726
@mshangaf1726 8 лет назад
fid yupo sawa kuna kitu kinaitwa "PLACEIBO EFFECT" UKIPATA MUDA GOOGLE
@mohammedmlekwa4257
@mohammedmlekwa4257 8 лет назад
Umeona eeh hapo shule ilipiga chenga .kipindupindu husababishwa kwa kula kinyesi(mavi)
@dianaantony9445
@dianaantony9445 8 лет назад
+Mshanga F Nikweli kabisa nimemuelewa
@dianaantony9445
@dianaantony9445 8 лет назад
+Mshanga F Nikweli kabisa nimemuelewa
@pauljaguar660
@pauljaguar660 6 лет назад
fid q big up to you coz majbu yako ni ya kiutu uzma mpe akil young killer
@Jozeetz1
@Jozeetz1 8 лет назад
Fid umetisha 👏👏👏
@peteryohana7710
@peteryohana7710 8 лет назад
Ngosha Upo sawa
@gadsonmanchester475
@gadsonmanchester475 6 лет назад
Trd nimekuelewa sana
@Onicavee
@Onicavee 8 лет назад
nikki the gineus salut bro 😍😍😍😍
@godfreybahame1414
@godfreybahame1414 4 месяца назад
ajari ni ajari inaweza mpata yeyote lakini kwa vichaa sio maranyingi kwasababu hawatangitangi barabaran pale ambapo ajari inataka kutokea lakini mtu wa kawaida ghari likimfungia break anaweza akaanza kurudi alikotoka ama akaendelea kwa kasi(kutangatanga) ambapo anakoenda usalama hauko guaranteed io inamfanya agongwe
@nelsonmwalukuta23
@nelsonmwalukuta23 6 лет назад
Did q is the best vocalist
@bensonfrank9578
@bensonfrank9578 8 лет назад
fid Q genius
@problemyabubakar3912
@problemyabubakar3912 7 лет назад
fid Q salute mmbaba
@mudisaidy2748
@mudisaidy2748 7 лет назад
Fid q uko njema mzeeya
@yusuphh.kajabukama4029
@yusuphh.kajabukama4029 8 лет назад
Mwili huwa na tabia ya kujifunza kutokana na mazingira yanayojirudiarudia, lakini hata hivyo chembe hai nyeupe hujifunza namna ya kupambana na wageni mwilini, na kutunza kumbukumbu ya namna walivyopambana nao. Ndio maana pia tunafanya chanjo ili kuzifundisha chembe hai zetu kupambana na vijimelea. Hivyo mazingira na akili ya kichaa inatosha kuzifundisha chembe hai zake kukabiliana na vijimelea (Kichaa ni ugonjwa wa akili na sio wa kinga ya mwili), kwa hiyo hata kama huna akili basi kinga ya mwili itafanya kazi kama kawaida mpaka pale ugonjwaa huo wa akili utakavyoanza kudhoofisha au kusababisha majera ya ogani kuu na mifumo mingine ya mwili kama.
@nathanzephania4841
@nathanzephania4841 8 лет назад
msomi hapo ni Nikii wa pili hao wengine woote ni darasa la 7
@emmanuelnyansiro7642
@emmanuelnyansiro7642 8 лет назад
ngosha kasoma hadi form6
@wasajo
@wasajo 8 лет назад
Fid we baba yao wakatae wakubali pamoja na nikk
@balysonemmanuel4527
@balysonemmanuel4527 8 лет назад
fid q umesema maana halisi ya " kujitambua" upo right bro
@saidyboytz1744
@saidyboytz1744 5 лет назад
Yap
@johnpeter745
@johnpeter745 8 лет назад
fid q uko vizuri sana
@ombenivasha7361
@ombenivasha7361 7 лет назад
fid umetsha sana nakubali sana
@subiraedward8868
@subiraedward8868 8 лет назад
duuh fid nomaa...thumbs up bro
@rajabusultan8214
@rajabusultan8214 8 лет назад
Kupata na kutopata kipindupindu ni mipango ya mungu mwenyewe Lakin pia kichaa na mwenye akili timamu ni wa2 wawl tofaut kichaa uwa aelew chochote anakula kizury/kichafu yeye anakula tofaut na m2 mwenye akili timamu Kwa hiy sometimes mungu umlindaa kichaa zaid 7bu akili Zak azipo perfect
@dizastavina
@dizastavina 8 лет назад
drama tu. maigizo yanapunguza uelewa.washaona camera baaasi
@jullymosha4087
@jullymosha4087 8 лет назад
Fid Q yuko vzr
@joshuamsimbe7787
@joshuamsimbe7787 8 лет назад
millard wasanii wet elmu hawna kbsa coz kchaa n case of adaptation mwil usha adapt kul uchaf xo uko strong uki linganisha n w mt cio kchaa halaf khuxu ajali kwa vchaa co kwamb hawagongwi wanagongwa bt poption y vchaa n ndgo xna ukilnganixha n wa2 wazma xo huwez kta wamegngwa kwa wng ktokna n uchache wao
@viktamade
@viktamade 8 лет назад
safi nimekuelewa I wish ungekuwa kwenye gari la wasanii ujibu aisee
@bwaxyalabainho4590
@bwaxyalabainho4590 8 лет назад
Hapo ndo tunapofaham uwezo wa kufikiri wa wasanii wetu Kumbe wengi wao ni vilaza. Atleast nikki na fid ndio wana uelewa. And they are all hip hop artist, hawa wabana pua ni vilaza watupu
@eventelias278
@eventelias278 8 лет назад
ngosha amefunika wao
@chia9963
@chia9963 8 лет назад
jamaa anauwexo mkubwa sana ...nmeshangaa sana sikutegemea huyu jama kama unauwezo mkubwa hivyo nje ya muziki...
@herypembe6904
@herypembe6904 8 лет назад
yn inafurahixha kwa kweli
@erickrobinson8826
@erickrobinson8826 8 лет назад
Dahhh hizi kamba nazo eti m2 akidhurika ni swala la saikolojia, kwel fid umebwandaaa sana
@mohammedmlekwa4257
@mohammedmlekwa4257 8 лет назад
Sio kweli vichaa hawapi kipindupindu(vibrio cholera).ila kipindupindu kinasababishwa na kula kinyesi(mavi)au kula kula chakula kilichochanganyikana na kinyesi hasa kwa watu wanaotumia samadi za vinyesii kama kinyesi cha binadamu
@fredsanga9461
@fredsanga9461 8 лет назад
kipindupindu kinatokana na kula kinyesi, kwa hiyo ikitokea mtu ameenda kujisaidia haja kubwa na asiponawa vizuri huondoka na wale wadudu wa kipindupindu baada ya hapo kama hatoosha mikono yake kwa maji safi yanayo tiririka na sabuni kisha akala chukula au matunda moja kwa moja anakuwa amepata kipindupindu, sasa vichaa na wendawazimu wao baada ya kujisaidia huwa hawa nawi wala kujiosha kwa namna yoyote na ndo maana hawawi wahanga wa ugonjwa huu wa kipindupindu.
@fettyslim7511
@fettyslim7511 7 лет назад
nimemuelewa fid Maisha ni kuyafanyia kazi madhaifu yako ili yasikuelemee well say broo
@mohamedmande3958
@mohamedmande3958 6 лет назад
Cheery pick Brain of FID Q , VISIONARY.educational
@stephanoluoga8156
@stephanoluoga8156 5 лет назад
Kamwe huwezi agiza kitu ambacho hukipendi nahuwez kulavtu vyote unavyovipenda kwawakat mmoja brother fdq
@bonifacemganda8296
@bonifacemganda8296 6 лет назад
Fid Q nmekuelewa sana brother
@sinaisalandimbwillah2119
@sinaisalandimbwillah2119 7 лет назад
fid anaweza sana
@raheemanordeen9846
@raheemanordeen9846 7 лет назад
mashalla brother fid
@esthernyokabikimiti9984
@esthernyokabikimiti9984 8 лет назад
mjadala mzuri huo😉
@geresonshots2698
@geresonshots2698 8 лет назад
fid q ni noma nimejifunza kupitia yy
@nackdree2248
@nackdree2248 6 лет назад
duuu fid q the respect
@stylistofficial1405
@stylistofficial1405 7 лет назад
jux we msanii wangu ume tulia. kuleee wame sakizia swali ume chomoa 😂😂😂
@arifhassan9231
@arifhassan9231 6 лет назад
Alex Mumba 66
@mosesabwao2673
@mosesabwao2673 8 лет назад
nakubali mjadala,,mbona wengine wapo kimya kama Mr Blue
@wasajo
@wasajo 8 лет назад
Anafikilia atakula mboga gani leo
@badmanno.1650
@badmanno.1650 8 лет назад
ndo ujue ngosha ni zaidi.. basi zima limenyamaza
@gabriellafaith6128
@gabriellafaith6128 8 лет назад
fid uko vzr
@bensonfikirini4112
@bensonfikirini4112 6 лет назад
Gabriella Faith
@matanosafari4071
@matanosafari4071 6 лет назад
Oya Ngosha ungekuwa mwalimu wa psychology👊👊👊
@nenda86
@nenda86 8 лет назад
Idadi ya vichaa ingekuwa sawa na watu wenye akili timamu naamini vichaa wangegongwa zaidi...
@elinakoeleus2523
@elinakoeleus2523 5 лет назад
Fidq unatixha broo
@Raphael99
@Raphael99 5 лет назад
FD q nomaa sanaa
@ernestsumbi4941
@ernestsumbi4941 8 лет назад
Aisee wasanii wa bongo shule ndogo
@giftmwambola5434
@giftmwambola5434 8 лет назад
fid yo the smartest
@buhariabashiri4229
@buhariabashiri4229 8 лет назад
mbwa wanagongwa kwasababu wengi wao hutoka mbali kwenda kwa jike na wakifika huko ajikuti peke yake kuna wababe wapigane mbabe mmoja ndo ale,so wale wengine pindi wanarudi wanakuwa na mawazo kede hata road hawakumbuki kuangalia magari but utashaanga mwanzo alivuka vizur
@fursazakidigitali6854
@fursazakidigitali6854 8 лет назад
Tunavyowapenda hawa wasanii ni sawa lakini ulishapoteza mda hata kumfikiria aliyekuumba. YESU KRISTO anarudi na kila goti litapigwa na ulimi utakiri kuwa yeye ni Bwana je, unajua tunakufa ili tuhukumiwe kwa tulichokifanya duniani na hata ukiibisha utakuwa sio wa kwanza ata ata sodoma na gomora, safina(nuhu) watu walibishana hadi na malaika ebu badili mienendo yako, penda maisha yako
@masagandabuzile9601
@masagandabuzile9601 8 лет назад
Ngosha
@kijoriselemani3445
@kijoriselemani3445 6 лет назад
ngosha
@andreashayo1168
@andreashayo1168 8 лет назад
kichaaaaa memory yake ina virus
@wakandaictsolution8093
@wakandaictsolution8093 7 лет назад
Andrea Shayo very funny
@exaverymasanja7471
@exaverymasanja7471 6 лет назад
Msodoki msaidie broo
@christophersoty101
@christophersoty101 5 лет назад
man fongo anaona Giza tu apo 😂😂🙌😂😂
@jayo7649
@jayo7649 5 лет назад
hahaha
@monicajohn6270
@monicajohn6270 6 лет назад
Fid Q noma sana
@kalingarichard8825
@kalingarichard8825 8 лет назад
good fdq.
@aortamzury6148
@aortamzury6148 8 лет назад
Heshna yako Fidi
@fuadibrahimu6884
@fuadibrahimu6884 8 лет назад
vichaa na watoto wadogo mungu huwalinda kwasababu hawajui wayatendayo
@lovetonny0793
@lovetonny0793 8 лет назад
Wote hawamuelewi fid q.kajibu majibu sahihi na pia Yuki deep ndomana inakuwa shida kufahamu anachomaanisha.
@afterx3172
@afterx3172 7 лет назад
ipo gud
@abbasnassib9532
@abbasnassib9532 7 лет назад
Kwa hayo maswali ndani ya hilo basi ni tofauti ya hip hop na wabana pua..nimejua akili kubwa ilipo
@keziamsemo5837
@keziamsemo5837 5 лет назад
nilikuwa simuelewag kabisa fid lakini Leo nimemuelewa na nimempenda bure yani
@dr.venancewilfred8867
@dr.venancewilfred8867 8 лет назад
Achen kutudanganya
@pendokenneth8729
@pendokenneth8729 5 лет назад
Mbna Basi zima liko kimya😁😁😁😁😁😁😁
@kalindatech1591
@kalindatech1591 8 лет назад
fid Q sio mtu wa mchezomchezo shkamoo Fid Q
@dickensndadema5403
@dickensndadema5403 7 лет назад
fid anafaham kila kitu hamnaa haja kubishana nyi vipi
@Bbwaoy
@Bbwaoy 8 лет назад
wasanii na shule..... shule muhimu bhana
Далее
Shilole alipomuuliza Young Killer anatumia mkorogoro?
5:22
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
YOUNG KILLER AMZALILISHA FID Q
3:18
Просмотров 192 тыс.