Тёмный

TAJIRI ALIYEFILISIKA ASIMULIA MACHUNGU: SIPENDI TENA PESA/ KWA MGANGA! 

Dar24 Media
Подписаться 733 тыс.
Просмотров 219 тыс.
50% 1

MWANANCHI WA IRINGA AITWAYE RAMADHANI AMESIMULIA KWA UCHUNGU KISA CHACHE CHA KUFILISIKA, ALIISHI ULAYA NA KUFANYA KAZI KWENYE MELI (BAHARIA).
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#MAKOSA #UTAJIRI #IRINGA

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 423   
@MichaelGaudence
@MichaelGaudence Месяц назад
Moja ya interview bora kuiona. Hongera nyingi kwa mwandishi/mhojaji. Umeitendea haki sana hii interview. May God Bless you Mr Makosa...
@Collie19
@Collie19 2 года назад
Very inspirational words from mzee MAKOSA , that's the definition of true love to the others 🙏🙏❤️❤️ ..... God bless you mzee MAKOSA 🇹🇿🇹🇿
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 2 года назад
Mzee yuko poa sana. Moja ya funzo tosha. Interview mzuri sana.
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 2 года назад
Hongera sana Makosa kwa kujitoa mpaka umejenga Hosp kwa kujitolea Mungu Akubariki Sanaa From Ukonga Dar
@mariambwambo9885
@mariambwambo9885 2 года назад
😥😥😥... maisha ni safar ndefu sanaaa tusichoke kumuomba Mwenyezi Mungu 🙏
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 года назад
Inshallah 😍
@mudymrisho6634
@mudymrisho6634 2 года назад
Father makos history nzuri sana the best 2022🔥🔥😭😭😭inasikitisha inafundish na pia inaelimisha mungu yupo nae👊👊🙏🙏👏
@innocentrichard9316
@innocentrichard9316 2 года назад
mtangazaji good na interview kali ..bless up dar 24 media ..tumejifunza mengi.
@errydeo8865
@errydeo8865 2 года назад
Very interesting story from a very interesting man..i wish i can meet him anipe maarifa make nami niko ulaya.I really wish i can help mzee wetu huyu
@eomanga
@eomanga 2 года назад
You still can. He is soft spoken and not materialistic, indeed a great man. This video has attracted many views and almost all wamependezwa. Tengeneza gofundme
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 2 года назад
Mungu akufanyie wepec mzee wng nimekupenda mpaka najickia raha.moyo wa Imani na huruma umebarikiwa,, hata km mali zimepotea kwa kudhulumiwa naamini mungu bado anakuwezesha
@mussazuberi6466
@mussazuberi6466 2 года назад
Legendary never die, Allah amekuondolea mali amekupa Furaha, Big up sana bro
@HumphreyMakusa
@HumphreyMakusa Год назад
Daa...nakumbuk kitambo sana, nasoma Lugaro secondari. mzee alikua juu sana, alikua pia anamiliki na anasponsor timu za mpira. daah mungu ampe ahueni tena.!
@dextech2023
@dextech2023 2 года назад
One of the best interview nimewahi kuiona he has a truly pure heart, ameishi ndoto zangu za baadae, natamani nipate namba yake nione ntakapoweza kumsaidia.
@fathefirst1935
@fathefirst1935 2 года назад
Mtafute pls
@ibrahipupa6231
@ibrahipupa6231 2 года назад
Huyu anaitwa makosa mjomba etu wa iringa tumesha imb sana anapenda sana miziki pia ana tujali sana wana muziki
@elvismabena7630
@elvismabena7630 Год назад
siku zote maji na mafuta hujitenga tujifunze kuwa wakweli maishani mr Ramadhan mwenyezi MUNGU azidi kukulinda na kukupa afya njema 🙏🙏🙏🙏
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 2 года назад
Makosa aliwapenda sana watu!! aliamua kugawa utajiri wake kwa masikini.Ndiyo maana pamoja na kufilisika bado ana furaha sana.Makosa hapendi pesa ila anawapenda watu!!Mungu atamlipa kwa wema aliowatendea watu.
@Rafikionlinetv
@Rafikionlinetv 2 года назад
Fct
@flevouronlinetv133
@flevouronlinetv133 2 года назад
Makosa hakika Katenda wema sana
@lulukawago5089
@lulukawago5089 2 года назад
Sanaa jmn
@celestinapaulo5512
@celestinapaulo5512 2 года назад
Zaidi ya yote Mungu anaamua kumuangazia na kumpa afya baada ya ugonjwa
@samwelmtuwa9876
@samwelmtuwa9876 Месяц назад
Ukisikia finali uzeeni ndio hii sasa
@hassanfundi893
@hassanfundi893 2 года назад
Yuko real sana huyu mzee ila ndo life ups and downs zpo na hazizuiliki Mungu wetu sote
@errydeo8865
@errydeo8865 2 года назад
absolutely
@steveonline666
@steveonline666 2 года назад
Daah. Mzee kanikumbusha mambo mengi sana. Kanizidi umri ila amepitia humo humo ambamo na mimi nimepita. Ni ku.shukuru Mungu kwa kila jambo. Asante kwwa maahijiano mazuri. Where is mwendelwzo wake?
@bahatimwangoka649
@bahatimwangoka649 2 года назад
Usijali mwamba Tuko wengi Huyu mzee ananisaidia kunikumbusha kua Hakuna aina ya maisha ambayo watu hawaja yapitia so nnapo yapitia siji Tamkii Laana mzee
@innocentfrida393
@innocentfrida393 2 года назад
Nipe sitori
@andrewkasagula9140
@andrewkasagula9140 2 года назад
Maisha ni safari
@daud405
@daud405 2 года назад
duh pole sana ila nasisi tulipitia hayo
@celestinapaulo5512
@celestinapaulo5512 2 года назад
Mwenyezi Mungu niwetu sote Mungu amuongezee imani na kumpenda zaidi alipenda watu ila watu hawakumpenda Mungu ampe umri zaidi na amzidishie furaha na amani Amen🙏
@yohanachiwanje
@yohanachiwanje 3 месяца назад
Joo .
@alphadreammedia
@alphadreammedia 2 года назад
Huyu mzee nampenda kabisa natamani Mungu ampe afya hadi siku ya mwisho aurithi ufalme wa mbinguni.
@brianmuchanji3503
@brianmuchanji3503 2 года назад
Such a humble elder .. hajui kudanganya
@AdamClassic-uj9ed
@AdamClassic-uj9ed 2 месяца назад
Ukichunguza Kwa Undani Zaidi Utakuta Ndugu Zake, Marafiki Zake Na Jamaa Zake Wa Karibu Nao Wamemzurumu Mali Zake, Daa Pole Sana Mzee Wetu Ramadhani Makosa Mungu Yupo Na Wewe Amekutoa Kwenye Utajili Amekuachia Furaha
@RehemaSaid-ww1mm
@RehemaSaid-ww1mm Месяц назад
Huyu n mjomba angu kbs ndg zake hakuna aliemdhurumu ni yy kuamini sn watu kw kweli ht cc ndg alitupenda sn
@kizazijeur7518
@kizazijeur7518 2 года назад
Mzee yupo good Sana, mungu amlinde
@eliyamgalihya7704
@eliyamgalihya7704 2 года назад
Huyo Makosa alipanda miti mingi sana pale Iringa mjini na kupafanya pawe pa kijani. Vile vile aliazisha Television yake hapo hapo Iringa
@jennifersunday6863
@jennifersunday6863 Год назад
Nasikia huzuni lakini nampenda huyu mzee mwenyezi mungu ampe umri mrefu 😘😘😘
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 2 года назад
Babu nimemuona Jua Kali ,Mungu amtunze ampe furaha
@jenymtafya3430
@jenymtafya3430 2 года назад
Huyu Mzee namuona kwenye Jua Kali🤔anatoa ushauri mzuri kweli kwa Anna, kumbe ameyapitia haya dah!
@agnestanzania2426
@agnestanzania2426 2 года назад
Very inspiring story Mungu atusaidie wote na mimi niko Pireaus bandari mjini Athens hapa ugiriki 🥰🇬🇷
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 2 года назад
Nimekumbuka mbali Sana nilishawai kupitia maisha ya mtoto wa mtaani Yani chokoraa kindi icho alikua anatusaidia Sana nakumbuka mbali mungu azidi kumpa maisha malefu Ni mgumu mtu kumiliki Mali afu kuja filisika na kumkuta yupo vizuri na afya nzuri Kama mjomba Makosa Ni mungu tu nakumbuka mbali Sanaa😭😭
@jsalehe5100
@jsalehe5100 2 года назад
Pole sana mkuu
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 2 года назад
@@jsalehe5100 Asante Sana blood
@afyabora3207
@afyabora3207 2 года назад
Pole , basi muda sahihi kurudisha fadhila kwake Kwa kile ulichobarikiwa 🙏
@frankrugaimukamu2228
@frankrugaimukamu2228 Месяц назад
Hata pale Wilolesi alikuwa na nyumba anasaidia watoto wenye maisha magumu.
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 года назад
Subhannahllah pole sana
@wahapahapa3279
@wahapahapa3279 2 года назад
Mm nimezaliwa iringa nimekulia iringa wakati tunakua miaka ya 2000 alikua tajiri sana makosa na alikua na Rasta alikua na ukumbi mmoja mkubwa iringa mjini na dispensary na jina lake lilikua kubwa mjini hakuna mzawa wa iringa asimjue makosa,IMTV amenikumbusha mbali sanaaaa hapo mlipokaa ni karibu na nyumbani na hospital kuu ya iringa mjini ,Gangilonga ndo shule yangu dah mzee siwezi amini kama sasa hivi kafilisika kiasi hicho 🥲
@kasiniapotatoes9804
@kasiniapotatoes9804 2 года назад
Life
@mkamamkengeji4240
@mkamamkengeji4240 2 года назад
Maisha Kuna watu Yana wagomea kabisa
@danielnella6309
@danielnella6309 2 года назад
We lazima nakufahamu...umeelezea mulemule
@planethakunamatata5254
@planethakunamatata5254 2 года назад
Ukweli mtupu 100%..
@tz5454
@tz5454 Год назад
Unaitwa nani
@kambiyusufu4994
@kambiyusufu4994 2 года назад
Dah love you so much mzee makosa binadamu wengi tunakoses
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 2 года назад
Nimeipenda Sana hii entavew
@monadinadi5295
@monadinadi5295 Год назад
Mungu mkubwa una upendo Sana mzee ubarikiwe Sana mungu hakutunze mzee makosa❤️💕🙏
@jamesmaneno2281
@jamesmaneno2281 2 года назад
Mzee mungu akutangulie sana mzee
@winsletndusya8851
@winsletndusya8851 2 года назад
mzee mzuri sana pia mwenye imani sana
@AdamuBig21
@AdamuBig21 2 года назад
Makosa is very honest. Hana baya. Mungu amsaidie. Nilitamanigi sana kujua his story. Nje na zile short clips zake.
@FineLOOKtZ
@FineLOOKtZ 2 года назад
Huyu mzee ananifundisha vingi sana.. mungu amsaidie
@laylapagae6324
@laylapagae6324 2 года назад
Amiin
@fredynigga6948
@fredynigga6948 2 года назад
True The best old man of business TAZANIA ilinga 💯💯💯💯💯💯💯but problem name makosa is not good name Uuuuu nifano watu wanahohitaji kuwa matajili au matajili waxhunge majina yehoooo🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌❤❤❤❤👂👂👂👂
@emerencesifa2227
@emerencesifa2227 2 года назад
Mzee anaitajika kuombewa sana inaonekana sehemu alio kuwa akigawa pesa kunamtu hakuwa nalengo lakusaidiwa bali alikuwa nalengo la kuchukua nyota yako tafuta maombi mazuri uombewe utarudishiwa kila kitu ulicho kipoteza nauirudishe nyota yako
@peterlyimo6696
@peterlyimo6696 Месяц назад
Huyu shida ilianzia kwenye kukubali jina MAKOSA
@alizuluman4739
@alizuluman4739 2 года назад
Mzee ana busara sana Mungu Akulinde Mzee Wangu usikate tamaa mkono uliotoa ndio Mungu atakuregeshea
@laylapagae6324
@laylapagae6324 2 года назад
Amiin
@zainabboss5619
@zainabboss5619 2 года назад
Mungu ndio anajuwa maisha yabinadam
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 2 года назад
Pole sn mzee wangu ilanahisi umetufunza Jambo ktk maisha
@ntakilutandato
@ntakilutandato 2 года назад
Ahsante sana mtangazaji kwa kumpata MTU muhimu sana babu MWENYE kweli ya maisha
@mrrude1184
@mrrude1184 2 года назад
Nakupenda sana mwisho tulikula wote mtaa wa ccm iringa mjini nakubali sana jeshi la mtu mmoja
@sulleyally5040
@sulleyally5040 2 года назад
Huyu mzee nilichompendea bi mkweli hafichi mambo yake
@miriammugo5459
@miriammugo5459 2 года назад
Kilichomkosea mwanzo ni jina hilo majina yana nguvu kaka angejiita jina zuri tu la be bibilia pia wanawake skirts na biashara ni makosa
@LAUWONICHOLAUS
@LAUWONICHOLAUS 2 года назад
Interview bora kwa mwezi wa 5👉🏻🔥🔥🙏🙏
@hbjasho436
@hbjasho436 2 года назад
Daaaa Yani. Jina ilo lime endana na maisha yako Kama ulijua kua kita kutokea nin yan nikama ulijitabilia kuita makosa ulipo kosea ni kuzidisha Sana wema kwa Wana damu na jinsi walivo wanadam ata ulio wasaidia ni wanakusikiliza tuu wengine wame fanikiwa Marengo yao kupitia wew lakn kulusha wema ulio watendea ningumu sana binadamu mtendee wema uwe na akiba yako Yani 🙏🙏🙏but pole Sana uncle
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 года назад
Nakusikilidha kutoka USA marekani mtumzima I like to come back home Africa
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Год назад
I remember makosa in wilolesi he was a very kind person I remember that maembe he gave us that time
@sundaychiposi5781
@sundaychiposi5781 2 года назад
Uyu mzee yuko vizur sana
@jacksonnyoni1978
@jacksonnyoni1978 2 года назад
Anapenda sana mademu 🤣🤣
@ntakilutandato
@ntakilutandato 2 года назад
Makosa babu hongera sana NA pia pole sana kwa kuiona dunia ktk uhalisia wake.
@meedyshow8807
@meedyshow8807 2 года назад
Amevuna amali nyingi sana mbele za mungu ...alikubali kugawa chake kuwapa maskini
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 года назад
Naam naamini hivyo
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 года назад
Maana alifanya kwaajili yawatu
@meedyshow8807
@meedyshow8807 2 года назад
Kabisa sasa tunapita tu duniani apa
@TheSalma1999
@TheSalma1999 2 года назад
Babu nimekupenda bureeeeeeeeeee May God bless you
@geyotv9911
@geyotv9911 2 года назад
MR MAKOSA LEGEND
@khayraa7374
@khayraa7374 2 года назад
Ata usijali. God has something better / planned for u… u helped people who wr in need 🙏🏽
@osmanmussa6596
@osmanmussa6596 2 года назад
mzee makosa umenifunza jambo kubwa sana katika haya maisha
@boerandemo7766
@boerandemo7766 2 года назад
Amekufunza nini
@sagudamagerela3414
@sagudamagerela3414 2 года назад
Mtangazaji knows how to interview
@kuy4011
@kuy4011 2 года назад
Such kind of life i need, to do for others
@samgaya2387
@samgaya2387 2 года назад
Mtangazaji huyu ni maalum sana…kosa lake Makosa kwa lugha ya kimombo alikuwa “generous to a fault.”
@mussajuma9044
@mussajuma9044 2 года назад
Mungu hata kupa haera kweli 🤲
@esaumwavika6735
@esaumwavika6735 2 года назад
Mim pia mama yangu mzaz alitibiwa Bure mwaka 1996 hospital ya makosa ndio maana kla ninapo muona makosa Huwa naumia sana sana..aliwah toa wafungwa kama10 hiv mwaka 2000 kama skosei..
@mahutaayeba3163
@mahutaayeba3163 Месяц назад
Mzee mwenye maono mzee wa watu, mungu akupe chance kwa mara nyingine tena
@johnbuluma8861
@johnbuluma8861 2 года назад
Hahaha huo wimbo sasa,,,😂😂😂 ila sasa kuna utajiri mara mbili, mali na wanawake, ukienda navyo vyote utafirisika.
@mburudavid2853
@mburudavid2853 2 года назад
Heri mwisho mwema kuliko mwanzo mwema kila la heri bwana makosa mungu atakulipa ipo siku kwa wema uliotenda
@josephmateru8892
@josephmateru8892 2 года назад
Nimejikuta nampenda bure bure huy mzee du
@stanfordmahinya5339
@stanfordmahinya5339 2 года назад
Dah!kweri namfaham sana nimtuwawatu alikuwaakitusaidia sanawamichezo mbalimbali sema hakuwa narohombaya watundio wabaya hawakumuelewa wangemuelewa washilikiananae iringa ingefikambali
@godfreyathumani9912
@godfreyathumani9912 2 года назад
Duh hii sio move kweli? 😅 Maana huyu mzee anaingiza move ya jua kali baba yake mdogo Anna 😆😆
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 2 года назад
Kama ungeweza kukutana na kiongozi mwenye kupenda wana inchi wake ilipaswa selikari ikulipe badala ya kukufilisi.kwa kupanda miti kwenye mji wa iringa.
@hunkybully2547
@hunkybully2547 2 года назад
Dunia mapito tu aiseh much love from nairobi 🇰🇪🇰🇪
@mohammedeisa9613
@mohammedeisa9613 2 года назад
legendary....will always remember u
@ashirawaziri3195
@ashirawaziri3195 2 года назад
Mzee makosa hongera sana mjomba ake anna from jua kali
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 2 года назад
Kati ya watu tuliokua tunaskia habari zao kua ni matajiri sana Iringa
@davidbatista7882
@davidbatista7882 2 года назад
Namjua Sana uyuu jamaaa anaitwa makosaa alikua na ukumbi wa disko tulikua tunacheza sanaaaaa
@prettyh7509
@prettyh7509 2 года назад
majina nayo siyo pow kwanini kujiita makosa, kwakweli Mungu atampa Zaid ya alichopoteza
@iangitonga4732
@iangitonga4732 2 года назад
I love this. So genuine
@aminakunja277
@aminakunja277 2 года назад
Inshalaah fadhila zako utazikuta kwa mungu Inshalaah
@johnbernad3990
@johnbernad3990 2 года назад
Huyu mzee kanipa hasira ya kusaidia jamii na kuweka historia hata kama siku umekufa watu wakuite hayati kwa sababu umesha fanya kitu kwenye jamii yako yani kabla sijafa lazima nifanye kitu kwenye jamii yangu
@fabiansemba4918
@fabiansemba4918 Год назад
Amen
@godfreypella9956
@godfreypella9956 Месяц назад
Anko Makosa, anaongea maisha sana, watu tukimfuatilia kumskiliza ni zaidi wazungu tunaosoma vitabu vyao
@njyendakumanarechard1536
@njyendakumanarechard1536 2 года назад
Haya maisha bwana anasiri kbs🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@gladyedwards3097
@gladyedwards3097 2 года назад
Mtangazaji nimecheka sana hiyo Georginaaaaaa
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 года назад
#IMT iringa nimeikuta Mwaka niyoenda iringa #Mwaka 2011
@cardinarynkanawa1346
@cardinarynkanawa1346 2 года назад
Gud story
@AmaniShaibu-lb2go
@AmaniShaibu-lb2go 5 месяцев назад
Noma sana,makosa .mwamba sana huyu waliopita na pesa za makosa wajaribu kurejesha family basi.
@piusmdoe8094
@piusmdoe8094 2 года назад
Naamkumbuka Sana huyu bwana enzi zetu Ilula sokoni Inteck. In kwa marehemu Maulidi
@denismasembo59
@denismasembo59 2 года назад
Nakubari sana wangu kwa hasolingi zenu
@DM_15
@DM_15 2 года назад
MUNGU AKUBARIKI MZEEH
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 года назад
Na kwakweli hapo kwenye jina ulijinyaga mzee maana Kama ulikuwa unaitwa makosa naulisapenda watu huo hiyo ndiyo ilikuwa makosa yako Ila pole inawezekana ukarudi tena kwenye reli
@Dj2nyi
@Dj2nyi 5 дней назад
Naitaji part two
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 года назад
Makosa ni tajir mkubwa Alipenda kuwajal watu ndiyo Chanza cha kutoweka pesa zake Mzee #MAKOSA
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 Год назад
Akili ni mali.....umebarikiwa sana....!! Ww ni wa tofauti!
@cathykayinga9327
@cathykayinga9327 2 года назад
Makosa jamani katoka mbali ila kuna matatizo alikua nayo na makosa dispensary now inaitwa sokoni dispensary hakunyang'anywa bali alichokosea alianza kuuza kitu kimojakimoja yeye na wake zake mwisho akajikuta mle ndani kabaki na meza meza tu na nilikua shahidi wakati akiuziana vitu vilivyobaki na mmiliki aliemiliki sokoni dispensary ambae sasa ni marehem Dr Ngallah ,so hakuzurumiwa bali baada ya kuanza kufilisika yeye na wake zake wakauza vitu hovyo
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 2 года назад
Majina mengine pia sio mazuri kujipa, maana jina makosa mwisho kafanya makosa yaliyosababisha kufilisika!!! Vile unavyojitamkia ndani ya nafsi ndivyo utakavyoishi kwa matendo kiuhalisia.
@jennifermanguli1749
@jennifermanguli1749 2 года назад
Hahaha
@yasintasylivester6227
@yasintasylivester6227 2 года назад
Nakumbuka maandiko yanasema ukioa wanawake wengi watakugeuza moyo na kutumikia miungu yao. Na hapo ndio anguko linakuja, laiti asingeruhusu mwaya wa hao wanawake angedumu katika hali yake. Lkn Mungu anasamehe na kurejesha kilichopotea
@JustineMwikwabe
@JustineMwikwabe Месяц назад
Watu wa iringi huyu mzee bdo n seed kwa wale wapmbanaji kimawazoo yupo vzr san
@nhlnaturehumanbeingsandlif9780
@nhlnaturehumanbeingsandlif9780 2 года назад
Mzee tumekuelewa sana
@hezzyhezzy
@hezzyhezzy 2 года назад
Nanukuu: Mimi nimeishi ulaya kaka, watanishinda watu wa Iringa hawa!
@Goaboi1
@Goaboi1 2 года назад
Best part 😂😂😂
@georgeavelin815
@georgeavelin815 2 года назад
Mzee Mnyamwezi sanaaa
@matukiomedia191
@matukiomedia191 2 года назад
Mwandish uko vizur...unahoji vizur ur so intelligent
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi 4 месяца назад
Anajua kuhoji, hasa anapompa Mzee makosa nafasi ya kujieleza
@abdallahfuko1216
@abdallahfuko1216 2 года назад
Mzee anapenda mademu😅😅😅
@rashidbakari7942
@rashidbakari7942 2 года назад
Huyu mzee amenifurahisha sana du yuko vizur sana
@rehemaexaudi4672
@rehemaexaudi4672 2 года назад
Jamani mungu amkumbuke kwa yale aliyoyafanya
@mediekanan6842
@mediekanan6842 2 года назад
Nice
@selinamichael6504
@selinamichael6504 2 года назад
Yani hyo huduma ya dispensary ilikua nzuri sana jamani MUNGU atakutunza kwa huduma ulotoa hapa kwetu 🙏🙏🙏
@pidpower9920
@pidpower9920 2 года назад
Unge weza kumwongoza katika kuelezea hiyo stori ingekuwa safi sanaaa
@PAPRATZ
@PAPRATZ 5 месяцев назад
Somo zuri kwa Diaspora ,Lord have mercy
Далее
MWANAUME ANAPASWA KUWA HIVI
29:39
Просмотров 115 тыс.