Yaa Allah! Mhifadhi Sheikh Mwenye Baba. Mlipe malipo mema ka mambo alioyafanya katika dawah na kutangaza Dini. Yaa Allah! Wahifadhi watoto na dhuriya yake. Warehemu Wazee na mashekhe wake. Yaa Rahman mwafkie killa la kheri.
Mbona nyimbo za mahaba na ukosefu wa adabu mzee??? Pengine wanaoskiliza wanaitikia tu Allah Allah hawajui wazungumza nini babu.... duh mahaba namna hiyo!!!! Mtihani sana wallah
Kama MTU alikosa kufundishwa adabu Na mzazi au Mwalimu wake huropokwa Na kukosa hishma Kama wewe. Huyu unaemwita mzee labda humzaa babako. Fanya adabu vile alitumwa kutimiza adabu njema. Sikua qaswida Kisha u comment. Usiwe Na chuki Zaki kuyahudi .