Nimerudia kuangalia tena baada ya kuona taarifa jioni hii kuwa huyu bi mkubwa ametangulia mbele ya haki leo. Joti umepoteza mtu haswa ambaye alikuwa anajua kazi yake barabara. Mungu amlaze mahali pema peponi...Ameen🙏
Like ndo inawapa famiky yako maitaj????? Like inakusaidia nn??? Au uk enda dukan unapewa nayo unga,? Ufara 2 nend tafutia family yako pesa na uhusstle sio umama
He jamani jamani mungu akitaka kukuletea mipango akuletei hata barua yaani gafla tu we si cha ubweche hichi au mimi ndio mgeni mwenyewe we 😅😅😅😅😅😅 huyu joti ni nouma