Тёмный

TAMISEMI YATANGAZA TAREHE YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 

MwanaHALISI TV
Подписаться 315 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 56   
@isayamhumba3352
@isayamhumba3352 27 дней назад
Tunataka tume huru ya uchaguzi, siyo hiyo tume ya ccm
@melch3097
@melch3097 27 дней назад
Time huru haipatikani mpaka ifanyike kitu
@erastomsungu1700
@erastomsungu1700 27 дней назад
Hakuna tume huru tusubiri wizi wakura na manyanyaso toka CCM
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 27 дней назад
Ni kweli imepewe jina Tu la tume huru wakati si huru hata kidogo!!! Ila safari hii hawa majambazi wa kura kazi yao haitakuwa rahisi kama walivyo zoea, ama zetu ama zao!!! Muhimu watu wajiandikishe na kupiga Kura kisha kuzilinda mpaka mshindi atangazwe hata Kwa figisu figisu ya wiki tutalinda kwa kupokezana(zamu) TUKIFANYA HIVYO HAKIKA TUTASHINDA!!!
@illomowerner7690
@illomowerner7690 27 дней назад
​@@FrankMwakatundu-cu6bdkongole Mwakatundu
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 27 дней назад
N@@FrankMwakatundu-cu6bdNdugu ni kweli tutapiga kura na kuzilinda lakini kuna mambo yaliyotokea Mbeya kukamata na kuwaweka viongozi wa Chadema ndani! Haya mambo ndiyo yanayokwenda kutokea uchaguzi huu kwani watakamata mawakala pia wagombea wa upinzani watafanyiwa figisu wawekwe ndani wakija kutoka ndani wanakuta kura zimeibwa na matokeo ya wizi na ushindi haramu kutangazwa! Je hapo tunajipangaje wananchi kuhakikisha kura haziibiwi na matokeo yatangazwe palepale kituoni na kubandikwa kwenye vituo vya kupigia kura? Hapo tunajipangaje kukabiliana na hawa majambazi ya ccm?
@WilsonMawala-rd1rw
@WilsonMawala-rd1rw 26 дней назад
Mwizi wa kura nitamshughilikia kipigo cha kifo huyo ndo mwizi anaesababisha ugumu wa maisha ya wengi sio tu kwa mm mwenyewe. Hivyo basi anastahili ashughulikiwe Kiasi Cha kufo iwe fundisho.
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 27 дней назад
Tupigeni kura msiogope .Tupeni tume huru .
@leokamil6284
@leokamil6284 27 дней назад
Mkwe msimamizi wa uchunguzi hapo kuna uchaguzi gani kama sio uchafuzi. Hakuna haki hapo ni kuchezea kodi zetu tu .Hakuna demokrasia wala nini msiongopee wazungu kwa kupata misaada
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 27 дней назад
Msifanye kama ya 2019
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 27 дней назад
Msimamizi anatoka chama gani???????????
@leokamil6284
@leokamil6284 27 дней назад
Unauliza swali huyo anaetangaza Mkwe wa Raisi na ndie boss je kuna uchaguzi huru hapo?
@emanuelnisetas7510
@emanuelnisetas7510 26 дней назад
Huni uhuni tu siwez piga kura mm ata siku moja
@mobilempula545
@mobilempula545 24 дня назад
Safari hii mkono wa Mungu ndo mtauona
@evelina9621
@evelina9621 27 дней назад
Kupige.kura.wote.kura.zilindwe.msiogope.mna.pa.cc.m.nguvu.twende.vyama.vyote.
@user-ev5xw1ev6f
@user-ev5xw1ev6f 26 дней назад
Ccm nanyi tupen ratiba
@wilsonyeza8202
@wilsonyeza8202 20 дней назад
Saizi wakiiba kula atudili na police tunadili na ccm manyumbani
@JPO2R69
@JPO2R69 18 дней назад
Uwepo wako kwenye hilo eneo ni tayari ni kifamilia ushindi ni wa Familiya
@user-vy4ri6th3g
@user-vy4ri6th3g 26 дней назад
Nivizuri kama tangazo hili litafanyika ngazi za mitaa na vijiji na ikiwezeka itangazwe misikitini na makanisani, na kwenye radio mbalimbali
@marakidtz9454
@marakidtz9454 27 дней назад
Tunataka Tume Huru Ya Uchaguzi Ili Yale yaliotokea 2019-2020 Yasijirudie, Kwa Akili zenu Finyu Mnaweza Kutuharibia Tena Na Hii Nchi Mtaichoma Moto Wenyewe
@clickway..
@clickway.. 23 дня назад
Nashauri watendaji wote wa Serikali za mitaa waajiriwe kwa usaili kama waajiriwa wengine serikalini, kuwa na uchaguzi serikali za mitaa ni kupeleka siasa mitaani na ni matumizi mabaya ya fedha za serikali, wakati WANANCHI MITAANI WANAHITAJI ZAIDI MAENDELEO KULIKO SIASA, pia tuondoe nafasi ya Diwani yaani hii ni pure politics, watanzania mlioko kwenye maamuzi badilikeni kwa mustakabali mzuri wa nchi yetu. Si sahihi hata kidogo kuwa na Mkuu wa Mkoa au Wilaya hizi ni post ambazo ni pure politics yaani ni siasa tu hapo,wakurugenzi wa wilaya na mikoa wanatosha, pia tusiongeze tena mikoa na wilaya, INATOSHA. TUBADILIKE, TUWE NA UPENDO KWA WATANZANIA WENZETU NA NCHI YETU.
@ezekielmabwai4614
@ezekielmabwai4614 27 дней назад
Mnakatisha tamaa wapiga kura. Si mtapora tena masanduku kwa mtitu wa bundiki!!
@LangiMwampamba
@LangiMwampamba 26 дней назад
Tumehuru imetangaza uchaguzi
@daudimchileg307
@daudimchileg307 27 дней назад
wakati umefka wa kufungwa viongozii wa upinzani
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 26 дней назад
Kwa vyovyoye vile Hawa waseng# wametuonea Sana. Tujiandikishe, tukapige kura na tuwaonyeahe kuwa twajua kilimda kura.... Au wawe tayari kujiona wakiiba kura zetu!!
@RamadhanHaruna-di7jk
@RamadhanHaruna-di7jk 26 дней назад
Uchaguzi.bila.katibampya.kiini.macho
@RamadhanHaruna-di7jk
@RamadhanHaruna-di7jk 26 дней назад
Kama.mnakubalika.leteni.tumehuru.nakatiba.mpya
@salummohamed2689
@salummohamed2689 27 дней назад
Watu wajiandikishe, wapige kura zao halali Cha msingi na muhimu zaidi ni kuzilinda kura Hadi zitangazwe kihalali, nje ya hapo ni kuiharibu nchi kwa sababu hata yule atakayekaa na watawaliwa asipate hofu ya kusimamia shughuli za maendeleo ya watawaliwa.
@leokamil6284
@leokamil6284 27 дней назад
Kulinda ni ngumu ndugu yangu Polisi wanasaidia hawa hakuna uchaguzi huru hapo
@user-ev5xw1ev6f
@user-ev5xw1ev6f 26 дней назад
​@@leokamil6284hamen nchi
@RamadhanHaruna-di7jk
@RamadhanHaruna-di7jk 26 дней назад
Hao.sio.watumishi.wauma.bali.niwatumishiwaccm
@evelina9621
@evelina9621 27 дней назад
Tamisemi Mungu.awaona.mnachanganya.maneno Chaguweni Viongo,i.weredi.kama.walimu.wengine.hawana.uwezo.kusema.kuonya.mambaya.serikali.ya.ccm.silipenyeze.tunawaona Tembea.usiku.kutoa.kanga.vitambaa.vikome.tunataka.maendeleo.huduma.kwa.wote Hiyo.haikubaliki.mgombea.1
@leokamil6284
@leokamil6284 27 дней назад
Hakuna uchaguzi huru Mkwe wa Raisi ndio msimamizi nyinyi mtashinda vipi?
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 26 дней назад
Katiba mpya tume uruu apo tuta piga kula kwa masilai ya oteee
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 17 дней назад
Watanzania tuamke katiba kwanza
@usafiaps318
@usafiaps318 26 дней назад
Sio Tume Kutangaxaa????
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 27 дней назад
Tunataka tume huru yauchaguzi
@karenstephen8738
@karenstephen8738 27 дней назад
Nitapiga2kura iibiwe nakuhakikishia mwizi wa kura nitamtowesha mwenyewe
@evelina9621
@evelina9621 27 дней назад
Akapige.haki.yako.usogope.mungu.hataki.mtu.mogo.ccm.inaandika.sitapiga.kura.kudanya Wenzao.vya.vingine.hawa.ccm.hatari.sana.wako.wazuri.
@samwelmsuya6378
@samwelmsuya6378 27 дней назад
Mwenye kifua cha Mama 😅
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 27 дней назад
Siendi kupiga kura wataiba tuu .
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 27 дней назад
Wenye mamlaka ni Tume ya uchaguzi na sio wewe shemeji Abdul
@RobartShello-qj4vr
@RobartShello-qj4vr 26 дней назад
Tangu magu atuache, niliapa sitapiga Kura kabs kwa sababu sio lazima, nchi inawenyewe hata mungeweka kiongozi muzur hawezi kufauru atapigwa Sana vita, badilishen katiba muwe munachagua nyinyi TAMISEMI Na TUME YA UCHAGUZI, afu ndo munatuletea tuko tayari kuongozwa au kuburuzwa
@remtulanassary
@remtulanassary 26 дней назад
Mhe mchengero,, pana democria kwel?? Wakat mapolice wanawadhihak wapinzaniii
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 27 дней назад
akuna haja ya kupiga kura apa kama tume huru akuna na katiba mpya
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 27 дней назад
Kweli Katiba ya mwaka huo 77 hadi keo na mapungufu zote hizo. Demokrasia itakuwepo kweli kwenye hii chaguzi za mtaaa????
@MahubaKharuna
@MahubaKharuna 27 дней назад
Hizi ka nuni ha
@samwelmsuya6378
@samwelmsuya6378 27 дней назад
Tamisemi ni tume? Stupid 😮
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 27 дней назад
Stapga kura mm ila nitajiandikisha
@musamahenge8366
@musamahenge8366 27 дней назад
Hatuwakomoi tunajimaliza wenywe bora. Tupige
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 27 дней назад
Huna uchungu na nchi hii, anaye mwamini Mungu kuwa ndiye amempa nchi hii hawezi kususa kuipigania nchi yake na moja ya njia ya kuipigania nchi yako ni kujiandikisha,kupiga kura kisha kuzilinda Kwa kila nanna hakika tutashinda!!! Majimbo yote ya UPINZANI WANASHINDA KWA KUZILINDA KURA ZAO, MPAKA MAJAMBAZI HAWA WATANGAZE USHINDI HALALI WA UPINZANI. BILA KULINDA CCM NI MAJAMBAZI HATARI!!! MWISHO KUKATA TAMAA NI DHAMBI. KWA PAMOJA TUTASHINDA.
@illomowerner7690
@illomowerner7690 27 дней назад
​@@musamahenge8366kweli kabisa ndugu
@pueblo148
@pueblo148 27 дней назад
Kapige kura kisha chunga kura yako
@marieconnect6389
@marieconnect6389 26 дней назад
@@musamahenge8366 kweli kabisa
Далее
Bacon на громкость
00:47
Просмотров 112 тыс.
Introducing iPhone 16 | Apple
02:00
Просмотров 4,6 млн