Тёмный

TAMKO KALI LA MAREKANI KWA TANZANIA JUU YA VIONGOZI WA CHADEMA “MMEWAPIGA WAMEUMIZWA SANA” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 245   
@snkhannassoro2404
@snkhannassoro2404 2 месяца назад
Hii ni nchi huru, sio marekani,
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 2 месяца назад
Kila nikisema tunawanasiasa vibaraka mnanitukana kwan hao marekani ni kinanan
@mohamedally121
@mohamedally121 2 месяца назад
Huo ubalozi wa marekani waende wakazuie watoto kuuawa huko mashariki ya kati...waache shobo
@RehemaAmour
@RehemaAmour 2 месяца назад
Nyinyi Ayo Tv msitoe habar km izi hao wamarekani wanachochea machafuko ktk nchi za watu km walikua wanawasaport si wangeenda kuwatoa uko walipoekwa washatoka tn eti wanaunga mko Nyinyi jiangalieni hamko marekani apo mko tz
@HansChuma
@HansChuma 2 месяца назад
Hawa wamarekan wasenge sana hii nitanzania sio marekan
@DM_15
@DM_15 2 месяца назад
Kwani marekani wanatuongoza au tunajiongoza, tujuzane huenda tunatawaliwa nawazungu bila sisi kujua
@HasanooTozzy
@HasanooTozzy 2 месяца назад
Marekani kaeni pembeni aya mambo ayawausu. JWTZ CHUKUENI INCHI MAMBO YASIWE MENGI. MUNGU IBARIKI TANZANIA
@SaidMkome
@SaidMkome 2 месяца назад
Uko kwako yanawashinda urusi vita Gaza watyu wanakufa Kila siku Irani marekani mashoga tyuu
@Dadytamal
@Dadytamal 2 месяца назад
Hao marekan kwny nchi ye2 ninan wafanye yao hao ndy jau hao
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 2 месяца назад
Hao marekani ya kwao hayaoni
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 2 месяца назад
Wao marekani yakwetu yana wahusu Nini washaanza shobo hawajamaa Kila alipo marekani au kutia mguu basi machafuko yatahusika Wao ndo furaha yao ili wafanye biashara ya silaha na kuiba mali za nchi husika mungu ibariki nchi yetu Tanzania 🇹🇿🇹🇿🌹👏
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
Pamoja na ubaya wa marekani. Hili ni la kwetu, tunatengeneza nafasi ya adui kushambulia. Ule ni upuuzi tu.
@amanmalima940
@amanmalima940 2 месяца назад
YESU Ndiye njia ya kweli na Uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi Uzima WA MILELE na uende Mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@mshosha_tv
@mshosha_tv 2 месяца назад
Kwan marekan ni akina nan
@noelmusa3502
@noelmusa3502 2 месяца назад
Akya mama ningekuwa rais ningemfuta huyo baloz chap jamani nyie wamarekani ya kwetu yawahusu acheni shobo mxiuuuuuu😮😮😮😮😮😮
@aediaygo8546
@aediaygo8546 2 месяца назад
Hawa viongozi wa Hiki Chama wana vinasaba vya🌈
@erasmusaloyce4398
@erasmusaloyce4398 2 месяца назад
Wewe ndio unavinasaba kapime utajigundua, mana uoga na ushoga vinakaribiana ama uchawa na ushoga vinakaribiana
@djunction4127
@djunction4127 2 месяца назад
Wew ndo unavinasaba vya upnde ma kwa dalili inaonesha tayar ushaanza kutumika
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 месяца назад
@@erasmusaloyce4398ni ukweli ni mashoga povu la nini waulize watakujibu
@aediaygo8546
@aediaygo8546 2 месяца назад
@@erasmusaloyce4398 hamna kitu ZIILE RISASI ZIILII HARIBU MFUMO WA HAJA. KUBWA 😂
@aediaygo8546
@aediaygo8546 2 месяца назад
@@erasmusaloyce4398 BB. Mwalimu wangu 🌈 we
@AbdulKarim-n4u
@AbdulKarim-n4u 2 месяца назад
uyo balozi wa mashoga hayamuhusu hayo ya kwetu ss
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
Madhira yanayomsibu binadamu yeyeto Pahari popote duniani, yanamuhusu kila binadamu yeyeto Pahari popote duniani, Kofi Annan
@noelmusa3502
@noelmusa3502 2 месяца назад
Mbwa nn mnatoa tamko kali kama nani chefuuuuu😮😮😮😮😮mxiuuu
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
Magonjwa wa funza, akiambiwa na rafiki yake, ndugu funza miguuni mwako wanakudhuru afya yako, mara nyingi hûwa anajibu wewe niache na funza zangu, zinakuhusu nini. Nayo ni hekima ya Mtu ambaye funza wanakula mwili wake.
@USDemoncrazy
@USDemoncrazy 2 месяца назад
TOKEA LINI TUKASIKILIZA TAIFA LA MASHOGA
@jafarmlawa9627
@jafarmlawa9627 Месяц назад
Haya Yana tuhusu Sisi wenyewe,,, waache ushogaaa waoooo
@ShabanMohamed-e9l
@ShabanMohamed-e9l 2 месяца назад
Watu ondolee ufala sahizi tuna faham mengi
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 2 месяца назад
Hhhh
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 месяца назад
Gaza wameajindwa kukemea
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 месяца назад
Wasitupangie maisha,Hawa wamarekan vp
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 2 месяца назад
Who feeding you, controlling you. Mmekubali kuwa ombaomba tulieni
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 месяца назад
@@muksinimbaruku1233 😭😭😭
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 месяца назад
@@muksinimbaruku1233 kukiwa na machafuko wao Huwa wananufaika itakuwa ??
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 2 месяца назад
Ccm nishatani
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 2 месяца назад
Ayo kutoa taarifa ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi wakubwa wa CHADEMA ni sahihi(hilo watajibia mamraka husika),ispokuwa kutoa taarifa kuwa balozi ya Marekani wamesema nini juu ya hayo tunarudi palepale kuwa"hii ni athari ya ukoroni",japo inaonekana ni ripoti ya kwaida ila ni kujidharirisha na kuwadharirisha wa TZ wote.Tunaweza bila wao kama tutaamua🎉🎉🎉🎉
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 2 месяца назад
Hao Marekani haŵahusu. Wanafiki waangaike na shogà wa o MYÀUÐI
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Ww mjinga uliyepumbazwa na utamaduni wa waarabu kaa kimya.
@ramadhankhatwib8561
@ramadhankhatwib8561 2 месяца назад
Hawa wamarekan wapuuzi saana Nani kawapa kibali Cha kuongoza Africa Wao waendelee na kufurumuana makalio huko Sisi upuuzi wao hatutaki
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 2 месяца назад
Marekani ni nani? Wameua Libya, Ira
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 месяца назад
Marekani ndo nani et
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 2 месяца назад
Marekani bhana teheteheteheeee! Vipi kule nchi ya parestina? Mauaji ya kimbari marekani mmechukuwa hatuwa gani?
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 месяца назад
co nauku una taka iwe kama parestina sio
@hassanthabit3726
@hassanthabit3726 2 месяца назад
Waanze kwanza palestrina. Tanzania watuache mambo yetu tutamalizana wenyewe
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 2 месяца назад
@@hassanthabit3726 kabisa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
​@@hassanthabit3726marekani na nchi za ulaya wanawalisha wapalestina.ww mbwa unayebweka usie na mbele wala nyuma ni lini umewasaidia hao wapalestina?
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
​@@RomanMwinyihapana huku na palestina ni tofauti.Hebu punguza ujinga uliokujaa kichwani.kama unashindwa kutetea watanzania wenzako wanaoumizwa hapa hapa nchini ambao unaishi nao ,hao wapalestina ww wanakuhusu nini kama sio unafiki.
@masensethethird
@masensethethird 2 месяца назад
marekan wanakuja kwa maslai yao binafsi kuvuruga nchi
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 2 месяца назад
Inae vuruga nchii ni marekan au ccm??kuwa na akil wew
@masensethethird
@masensethethird 2 месяца назад
@@SurprisedFullMoon-gg9vu ndani ya chadema ndo wap walotumwa na marekan kaa kwenye mfumo ujue mambo yanaendaj
@masensethethird
@masensethethird 2 месяца назад
@@SurprisedFullMoon-gg9vu use mind wisely
@JackKanyigo
@JackKanyigo 2 месяца назад
Education Education Education hoooh God..mwanangu usimwache elimu aende zake..xaxa hawa walimwacha elimu wanaishi ka misukule ndani ya nchi yao..hawajuhi kitu then wanajidhalilisha kwa post zao
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
​@@JackKanyigoMsikule kama mtu mwenye funza Miguuni..mwambie atoe funza hilo Jibuu utakoma
@MATIKO9640
@MATIKO9640 2 месяца назад
Bora tu hata Marekani wa'interviene up..u.z nao uona
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 2 месяца назад
Vipi kule gaza?
@josephlorri431
@josephlorri431 2 месяца назад
Wanateseka watanzania wewe unafikiria gaza/Palestine/Israeli/Russia...acha akili za kitumwa. Ila wana kizimkazi mko kwenye raha
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 2 месяца назад
@@josephlorri431 mlitumwa?
@josephlorri431
@josephlorri431 2 месяца назад
@@khalifasaidi7001 fikiria watu wa nyumbani mwako.. Mungu ibariki 🇹🇿♥
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 2 месяца назад
​​@@josephlorri431 Tunateseka ss sawa Marekan nae inamhusu nn
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 2 месяца назад
Wao Trump mbona kapigwa Risas na hawajachukua hatua zozote msituingilie nchi ni yetu tena mkome hapa ni Tanzania sio marekani
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 месяца назад
Kwa hiyo wewe Frank Daniel unafurahia KUTESWA na kuonewa BILA sababu kwa Viongozi wa CHADEMA tu Kwa sababu ya chuki binafsi za Serikali? ANGEFIRWA MAMA YAKO, BABA YAKO NA MKE WAKO, WATOTO WAKO ungefurahishwa? Tuache ujinga KWENYE mambo ya Msingi. NCHI NYINGINE WASIOPENDA UTANI UNGEJUTA KUZALIWA. Injustice anywhere is a threat to justice everywhere".
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 месяца назад
acha2 waingilie kwani alie piga lisasi malekani aja kamatwaa au ww msenge balidii nn una tetea uginga au na ww mginga
@EPHRAIMRAMADHANI-is1du
@EPHRAIMRAMADHANI-is1du 2 месяца назад
Wee ni mwehu tyuu achana na marekani Rudi kwenye ukweli kilichofanyika ni sahihi ....usipelekwe na upepo wa ccm nawe hivyo zungumzia uhalisia
@Dealson-w5l
@Dealson-w5l 2 месяца назад
Hawajachkua hatua una uhakika
@yusufismail3116
@yusufismail3116 2 месяца назад
Vijana fanyeni kazi acheni ushabiki wa siasa.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 месяца назад
Marekan ya Tz hayawahusu tuachieni wenyew. Palestine watu wanakuf na hamsemi kitu mfyuu
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 2 месяца назад
😂😂😂😂sahz mkirudia tena ndio mtakula virungu mfululuuuu...mkasemelee tena mijusi nyie
@kelvinimunishi3334
@kelvinimunishi3334 2 месяца назад
Hakuna cha marekani hapo mtu akileta maswala ya kuandamana piga hiyoo miguu
@josephatilunde9329
@josephatilunde9329 2 месяца назад
Yanayoendelea Kenya ni matokeo ya democracy kuzidi mipaka
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 2 месяца назад
Ndio safi ufisadi na kukosa uhuru wa kujieleza ni zaidi ya vita na vina mwisho wala usjali
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 месяца назад
Bora yaendelee ya Kenya kuliko wajinga wachache kuwageuza wengi mifugo yao
@vanjay8685
@vanjay8685 2 месяца назад
Akili punguani kazini...mtu asiyejua haki zake ni sawa na aliyekufa tu ...kazi ni kuabudu ccm wakati wanaharibu future yako na vizazi vyako
@yusufismail3116
@yusufismail3116 2 месяца назад
​@@vanjay8685wewe unajua haki yako lakini mbumbumbu.
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 2 месяца назад
Wasenge kama nyie hatuwatak nchii hii
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 месяца назад
Hii nchi bora tumpe harmonize awe Rais❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉i
@wildlife5730
@wildlife5730 2 месяца назад
😹😹😹
@gracethomas683
@gracethomas683 2 месяца назад
Tucheze kwangaru 😂😂 ila Ally Babu
@zuwenarajab6675
@zuwenarajab6675 2 месяца назад
Wanafiki wakubwa! Hawana lolote.
@Abasi-ej9qw
@Abasi-ej9qw 2 месяца назад
Nendeni mkamalize shida za malecani na Gaza tuacheni na nchi yetu kabisa
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 месяца назад
Mafisi bana
@axleymbuya761
@axleymbuya761 2 месяца назад
Kila nchi ina uongozi wake Marekani wanaingiliaje wao waendelee na kusaport ushoga hii nchi inaongozwa na CCM,,
@AdamMbwana-p6n
@AdamMbwana-p6n 2 месяца назад
Na nyie mnaenda fanya nn kuomba misaada
@rambostalon2888
@rambostalon2888 2 месяца назад
Choko ww
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Hao lazima waingie kwa sababu ni nchi inayozingatia utu na maadili.Bila hao utateswa ww kama ujuavyo sisi watu weusi hatupendani hata kidogo.
@HusseinMohammed-gh9rq
@HusseinMohammed-gh9rq 2 месяца назад
Ww akili huna uko kama hoyo CCM yenyewe
@axleymbuya761
@axleymbuya761 2 месяца назад
@@HusseinMohammed-gh9rq niko kama CCM unatakaje nyie ni bendera fuata upepo
@USDemoncrazy
@USDemoncrazy 2 месяца назад
TAIFA LA WASENGE, MASHOGA, NA WASAGAJI NDIO LINA TAKA KUTUPA USHAURI. TOKEA LINI SHOGA NA WASENGE WAKAWA NA MAADILI YA KULISHAULI TAIFA LETU
@PhilipoKabalo
@PhilipoKabalo 2 месяца назад
Sio sawa walicho kifanya serekal
@RamadhaniMirajAbushiro
@RamadhaniMirajAbushiro 2 месяца назад
Tanzania yetu tunajua kwamba atuna upinzani kwasababu wapizani awajitambui kabisa kama uyo mboe na tundi ni amazo kabisa Kwa mtu mwenye akiri uwezi kuwafuata kabisa nausisubutu Kwa zito daa,, Mingu tunusuru watanzani
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 2 месяца назад
Nahisi vitu vibaya sana naona dalili mbaya kwa siku kazaa zijazo kwenye taifa hili haswa huyu mnafiki kutoka magharibi mungu alilinde taifa la Tanzania 🙏🙏🙌🙌
@JUSTNEMITOMINGI
@JUSTNEMITOMINGI 2 месяца назад
Huna habali blo unatuletea habali za marekani sisi
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 месяца назад
lazima aleteee ndio abaliii ichii apo saw hiii wewe boyaaa
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 2 месяца назад
We nini kama huelwei ishia huko
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 2 месяца назад
Mnauwa wa palestine na mnafurahia Unafki tu 😏
@JackKanyigo
@JackKanyigo 2 месяца назад
Tatzo nyie mnafikiri kila mwarabu ni ndugu yenu..huo ndo ujinga wenu mbona Putin anaua watu huko Ukraine hamsemi..wanafiki wakubwa
@bahatjuma7458
@bahatjuma7458 2 месяца назад
Hawa chadema wakuangaliwa Sana, Hawa siyo wa kupewa hata ujumbe wa nyumba kumi mitaani
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 2 месяца назад
Kweli kabisa
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
​Kweli kabisa maana Mungu watu wenye vipaji halihamrisha wakaee chama tawala. Ni swala la mda tu siku Raia wakiwaamini watawapa Madara. Huo ni ukweli wa kikatiba sio hisia tu. Tusijidanye tukaacha kufanya kazi za kujenga vyama vyetu bila kuchoka. Mfano CCM kwa kujua au kutijua ikidhoofu au ikidhoofisha vyama vingine mbadala vitapewa madaraka tu na Raia. Cha kusaidia ni kwa CCM kujikagua kila leo na kujikagua si kwa maigizo😅😅😅😅
@jakuabdull34
@jakuabdull34 2 месяца назад
Mauretania washughulike na mambo yao watching na yasiyowahusu
@damassmfuse6841
@damassmfuse6841 2 месяца назад
Malekani inaingiaje hapa kwao Kuna democrasia gani Tramp kapigwa risasi Nani amewangilia African we are stupid.
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 2 месяца назад
Hamkuzuiwa kuwaingilia.
@JackKanyigo
@JackKanyigo 2 месяца назад
Aliyempiga risasi yuko wp?..si aliuwawa hapohapo.!!je waliompiga Lisu si wanakula bata..acha uzezeta
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
​@@AlphaxardMRusweka-jr1wiBible inasema moto ukikosa mtu wa kuchochea Kuni mekoni unazimika, vivile fitina nayo ikikosa mchongezi ukoma. Kwenye hili mchochezi na mchongezi ni sisi wenyewe. Wamarekarini pamoja wa mapungufu yao wanatusadia kutuonyesha madhaifu yetu. Ila hisia Zetu nitufumba macho tu sione. Hisia sio itikadi ya Chama. Na hisia sio jambo muhimu katika kujenga taifa. Wabda ni woga wa kupoteza vitu fulani vya Bure hujenga hisia mbaya.
@FabiolaTriphon
@FabiolaTriphon Месяц назад
Uko Kenya akuna ubalozi wamalekani
@ChogoMsangi24-s7z
@ChogoMsangi24-s7z 2 месяца назад
Xawaaa tusaidien jamani tunaelekea shimoni tanzania
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 2 месяца назад
Shobo zitakuponza toka lini marekani akawa msaada kwa mwafrika konde boy ameimba Bora ugali dagaa kwenye amani kuliko wali nyama vitani sasa we jishobokeshe kwa marekani uone kama utakuja kukoment tena 🇹🇿🫡💯
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 месяца назад
Wapuuz wakubwa na mashoga niny ,, baada ya kudeal nalinch lenuu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Lakini ndio wanaokufanya ufurahie maisha.simu wamegundua wao,huu mtandao ni wa kwao,intaneti ni ya kwao.ww ukoo kuna mmoja kagundua hata kutengeneza kijiko mbwa ww.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Ww kwenye ukoo wako kuna mtu wa kwenu aliyegundua hata kutengeneza kijiko.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Kwanza ww ni mpumbavu eti unajiita juliusdonald hilo ni jina la kizungu.Je ukiambiwa ww ndio shoga utabisha.kwa nini usijiite kwa majina ya kiafrika.
@fadybeatsPro
@fadybeatsPro 2 месяца назад
Marekani!!!
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 2 месяца назад
Mamae! Kwan tz inatawaliwa na marekani? Kwan ubalozi ndyo nn? Wao wanawaua wenzetu kwao nan aliwaingilia waende zao huko! Kwao kuna haki? Tutakuja kupata raisi awafukuze kabisa hawa mambwa ndyo wanaotusumbua ndyo maana kule bukinafaso wamefukuzwa
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 месяца назад
We mbwa. Unatukana marekani una uwezo wa chochote unamashine ya kutengeneza angalau sh mia au hata sindano. Unatumia tumbo. Kufikir
@LusiaThom
@LusiaThom 25 дней назад
Jamani aliwausu Ili jambo ni letu mtuache na nchi yetu jamani Tanzania yetu mtuache mbona atuwaigiliagi tuacheni ss
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 месяца назад
Irudishe USD dollar kwenye mzunguko , Serikali imepiga marufuku USD na wenyewe hawapendi, mtajionea mengi mno, issue sio Chadema issue kubwa Wamarekani hawapendi muikache hela yao, irudisheni kwenye mzunguko tu wa biashara maana imekuwa ni adhabu hata kwa wafanya biashara
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Ww kweli lijinga.ww unafikiri bila dola nchi yetu itaagizaje bidhaa nje.Dola bado inatumika.Tatizo kichwa chako kimejaa ujinga.
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 2 месяца назад
Watanzania wenzetu wanatushtak kwa wazungu tena
@auroxenterprises8003
@auroxenterprises8003 2 месяца назад
wenye wao hawana democracy wasipangie washughulikie tramp kwanza
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 месяца назад
Wame kamatwa walio piga lisasi sasa unaongea nn
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Kwa hiyo unaunga mkono dhuluma wanayofanyiwa chadema
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 месяца назад
Eti waache kusemea uvunjifu wa demokrasia na haki za binadamu Tanzania na hususani Afrika, kwani huyu Bibi Tulia Ackson alipokutana na Putin kujadili namna ya kumaliza mgogoro wa UKRAINE yeye ni MZUNGU? Isitoshe mbona hajawahi kuona namna ya kuleta amani japo Kongo ambayo iko Afrika Mashariki? Tuache uzwazwa, yeyote anatakiwa kupinga kwa nguvu ushetani wa DEMOKRASIA Afrika hususani Tanzania
@mohamedsaidalhabsi7862
@mohamedsaidalhabsi7862 2 месяца назад
Mbona gaza
@FabiolaTriphon
@FabiolaTriphon Месяц назад
Malekani anausikanini natanzania
@stellamwasenga6205
@stellamwasenga6205 2 месяца назад
Sawa, saiz ukishiba kwenye nchi yetu una kaa kimya maana umasikini nimegundua kuwa ni mtaji kwa wengine hasa wanasiasa
@NeemaSamueli
@NeemaSamueli 2 месяца назад
2naomba katiba mpya
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 2 месяца назад
Hehee mmarekani ameshaiunga mkono chadema sasa ccm kazi munayo safi sana marekani kwa kuvunja ukimya namin marekani akikupa support hajawahi feli marekan tusaidie wananchi tumeichoka ccm
@yusufismail3116
@yusufismail3116 2 месяца назад
Huna akili.
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 2 месяца назад
@@yusufismail3116 marekan chadema peopleeeee
@MhinaKulewa
@MhinaKulewa 2 месяца назад
Marekani akikuunga mkono hajawahi kufaulu. Amefeli Iraq, Libya, Syria, Afghanistan na kwingineko. Lakini wakati anatoa tamko vipi kuhusu Palestine
@njanededan9979
@njanededan9979 2 месяца назад
Sasa hilo ndo tamko kali
@mfaumeally4476
@mfaumeally4476 2 месяца назад
Marekan ndio nani wazee wa upinde nyie.
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 2 месяца назад
Kiranja WA Dunia😂😂😂😂
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 2 месяца назад
Nashangaaa wakati wenyewe hawana demcracy na kuheshimu katiba yao...Fuatilieni muone kwani juzi tu walitaka kumuua TRUMP au hamjaona.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
​@@hamadsuleiman5177ww kweli mjinga.Nani kakwambia kuwa marekani hakuna demokrasia?watanzania wenzako wameumizwa paza sauti kupinga uonevu.Ipo siku na ww yatakuja kukupata utajuta.
@EPHRAIMRAMADHANI-is1du
@EPHRAIMRAMADHANI-is1du 2 месяца назад
Kweli baadhi ya wawatanzania wanamatatizo ya akili ,,,tuachane na nani kafanya hivyo shida wanafanya sahihi?
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 2 месяца назад
@@MathewNathan-yb2bz Mjinga wewe unafagilia mashoga....Hivi ndio huna akili basi hata Smart phone huna ukaangalia America juzi tu Trump wamemshoot...Wacheni dharau bora Tanzania democracy than huko munakoenda kupiga goti
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 2 месяца назад
Wazungu walifanya SIASA katika mabara ya Africa ilikupinga maendeleo ya waafrica wenyewe na bila kutabu waafrica tuka zichukua hizo SIASA tukaanza kuzitumia na bila kujali kuwa tuna jiumiza sisi wenyewe
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Acha uongo wako kwani huko ulaya na Marekani hakuna Demokrasia.kwanza ujue wenzetu wazungu wana maadili sana,wanapendana sana na mifumo yao ya utawala inatoa haki bila ubaguzi wowote.pia ujue sisi tunafuata mifumo ya maisha ya wazungu.ww mbona unajiita sayeed hilo jina umelitoa wapi kama sio umeiga kwa waarabu.
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 2 месяца назад
@MathewNathan-yb2bz wazungu SIASA zao sio zahivi pia ndiomaana wangu wamekuaminisha bina.dam alitokana na nyani na wewe na umeaminivivyo kwahiyo siwezi ongea na wewe akili yako ndg upewa muumini lisu achana mie SIASA haujui
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 2 месяца назад
@@MathewNathan-yb2bz basi oaneni mwanamke na mwanamke alfu mwaume na mwanaume mwenzie na hio ndio democracy ya wazungu na ndiomaana lisu alisea akipita atarusu ushonga upuuzi mtupu maendeleo hauna kazi mikelele tu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
@@sayeedmsct4255 ww kweli mjinga sijapata kuona.Marekani ni taifa lenye maadili na lenye viongozi waadilifu.Maraekani hailazimishi mtu wala taifa lolote kuwa mashoga.Hiyo habari yako ya kuwa heti binadamu alikuwa nyani ilishafutika kitambo.labda uniambie ni mwanasayansi yupi mmarekani aliyesema binadamu walikuwa nyani
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
@@sayeedmsct4255 ww ujinga umekujaa kichwani.Ndio maana Mungu aliwapa maarifa watu weupe kwa sababu aliwaona wako vizuri kiakili.kama pepo ina nina imani wazungu mbinguni wataenda wengi na sio sisi watu weusi.pia ujue wazungu ukristo,waarabu uislamu,wahindi hindu.je sisi watu weusi dini yetu ni ipi?
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 2 месяца назад
Ningekuwa raisi wa tz ubalozi wa Marekani ningeufunga hawafai wanafiki wakubwa wabaguzi mbona wanawafazili mayauhudi.wanauwa maelfu yawatu palestina
@billgussy6099
@billgussy6099 2 месяца назад
Polisi acheni kujihusisha na siasa za uchawa mna chafua nchi yetu sana na huo ujinga wenu
@SudyKamonongo
@SudyKamonongo 2 месяца назад
Mnashangaa nn marekan kuingilia mambo ya ndan ya nchii wakat hii serikali ya ccm imekua inapokea misaada yao na kukopa mikopo huko.
@ramadhanihot1945
@ramadhanihot1945 2 месяца назад
Mpaka mataifa mengine yameona unyanyasaji duu kweli ninoma mungu bariki Tanzania mungu bariki vijana
@billgussy6099
@billgussy6099 2 месяца назад
Vijana wa ccm wao waliruhusia kukusanyika zanziba siku 2 kabla polis ya Tanzania ibadilishe tu jina iitwe polis ccm.
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 2 месяца назад
Hivi huo ubalozi lile tukio la trump lilikuwa lina haki za binadamu kweli ? kabla ujaziba kwa jirani jenga kwako kwanza 😂😂 ndugu zetu hawa wanafeli kukimbilia kwa mabeberu wakati watanzania wamesha pevuka akili hahaaa sikuizi tuna wagoogle na yanayotendeka kwao tunayaona hakuna haki hiyo wanayoililia tuifanye kwetu
@AbduSomo-b1n
@AbduSomo-b1n 2 месяца назад
Wale gaza wanakufa km sisimizi mnawaona amaa ?
@SadaHasimu
@SadaHasimu 2 дня назад
Marecani kinawausu nini nyinyi fateni kilichowaleta mambo ya nchi waachiyeni wenye nchi msituletee umbulula wakuwaona watu awajuwi kuongoza nchi ila nyinyi ndomnajuwa kosa usomi ata Africa sasa wasomi wapo akuna kumburuswa mlionea mababu zetu sio sisi
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 2 месяца назад
lissu tuvushe ccm wabovu hao hawajiamini ya nini mtumie polisi
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 2 месяца назад
Sikia mbona marekani akiwapa misaada mnapokea akisuluisha amani ya nchi unamtukana kwamba anaingilia kwani hakunaga haki za kimataifa
@allymohamed2724
@allymohamed2724 Месяц назад
Matumiza ya ISRAELI ni nguvu au. Mbona kule Mpo kimyaaaaaa
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i Месяц назад
Wamerekani wanahusika vipi hapakwetu
@aediaygo8546
@aediaygo8546 2 месяца назад
Watanzania tuwe Makini Na Hawa jamaa Wanataka kutuingiza kwenye utumwa mamboleo wakati Kuna nchi zinawakimbiza marekani Na uchafu wao Hawa viongozi wa Hiki Chama wanatusukumia kuamini America Ni watu sahihi wa kutatua matatizo yetu😲
@shivobs4485
@shivobs4485 2 месяца назад
Marekani ni BABA mzazi hivyo ni sahihi kutupangia sisi vichwa ngumu
@PUTINN365
@PUTINN365 2 месяца назад
Msenge ww
@shivobs4485
@shivobs4485 2 месяца назад
@@PUTINN365 mbona unaleta ukulanina
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 2 месяца назад
Ayo tv habari za Marekani naushoga wao usiwe unatuletea tafadhali tunakupenda sana watanzania tunaipenda sana nchi yetu
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 2 месяца назад
Us hata wasingeongea wangeachiwa cz tz sote ni ndugu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
​@AbuuThapp
@Dealson-w5l
@Dealson-w5l 2 месяца назад
Waje tuuu
@dancerboy2686
@dancerboy2686 2 месяца назад
kwasabb ya upumbafu wa viongozi wetu tutaona meng xana
@TumainiMbati
@TumainiMbati 2 месяца назад
Wasituingilie yakwao yamewashinda kazi kuchonganisha tuuu
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 2 месяца назад
Wewe ndo wale wale wauwaji
@PUTINN365
@PUTINN365 2 месяца назад
Mtoa habari huna akili marekan n nan kwenye hii nji mjinga sana ww
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 месяца назад
Naona ndugu yangu ujasoma shulee malekanii baba yakoo ww boyaweee
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 месяца назад
Wewe ndio mjinga nenda shuleee malekanii baba ako mimba ww
@5Multpurpose
@5Multpurpose 2 месяца назад
Mbona wanaolalamika hawana mjeraha😂
@BenezethBwikizo
@BenezethBwikizo 2 месяца назад
Vipi nguvu hiyo ni sawa na ya kumpiga Trump risasi? Waende zao huko waache kiherehere, nani aliwapa jukumu la kuwa kiranja kwa nchi zingine?
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 2 месяца назад
Ni nguvu ya uchumi wao,nguvu ya jeshi,nguvu ya siasa yao ukibisha wanakushughulikia.Jifunze Kwa Gaddafi,Saddam Hussein, Osama bin Laden,Irani,kama unaleta ubishi endelea kumwambia Samia uwabishie ndo utawajua
@JamesSichimata-w1u
@JamesSichimata-w1u 2 месяца назад
Marekani mbona wao walitaka kumuua Trump kwa kutumia Bunduki
@negusnegesti1813
@negusnegesti1813 2 месяца назад
Afande sele mfalme wa rymes alisema
@barakastephano8889
@barakastephano8889 2 месяца назад
How to create puppetry regime😂
@billgussy6099
@billgussy6099 2 месяца назад
Polis kwa kufanya kazi za uchawa mna muharibia huyo mama yenu mkidhani mna msaidia
@RamaMikidad-vm3we
@RamaMikidad-vm3we Месяц назад
Jamani huyu nimama. Tujue nimwanamke vidume vyenye nguvu wamemtumia kufanikisha rengo. Yan tujue zile safari za kimataifa za bimkubwa hazkua nania kama turvyo aminishwaga na wezetu waandisha wa habari kuna mazto yariptishwa nyuma yapazia ndyo haya 2024 zashaaza naikiendele ccm tutaishia arzin wa TANZANIA
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 2 месяца назад
Babu tafuta habari za maana tunakuamini sana sisi...Ila ukianza kuleta habari za Mashoga hatutofuatilia tena hii channel yk
@RashidRajab-oz5ec
@RashidRajab-oz5ec 2 месяца назад
Us wasitutanie wao wlipo washika wanafunzi wa vyuo kwa kuwatetea Palestine 🇵🇸 mbona hawakusema wapambane na hali zao
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 2 месяца назад
Hoja ni sawa ila mbona ni marekani?hakuna balozi nyingine yoyote Tanzania?#Anayekutawala atakuamulia cha kufanya #Uhuru wa bendera.
@kalebiestomihi
@kalebiestomihi 2 месяца назад
tuuwane tuu
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 месяца назад
Acheni utumwa
@ussenemajiacunde-dp7tw
@ussenemajiacunde-dp7tw 2 месяца назад
hao wamarekani watutolee upuuzi wao wana kwao na sisi tuna kwetu
@EPHRAIMRAMADHANI-is1du
@EPHRAIMRAMADHANI-is1du 2 месяца назад
@@ussenemajiacunde-dp7tw achana na marekani ukituliza kichwa chko ukiacha ushabiki uchwara ,,,kilichofanyika nisawa?
@deogerald7828
@deogerald7828 2 месяца назад
serekali inatakiwa itafakari watu kupingwa na polis
Далее
Немного заблудился 😂
00:16
Просмотров 250 тыс.
Шок-контент! 😱
00:50
Просмотров 1,6 млн
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
Немного заблудился 😂
00:16
Просмотров 250 тыс.