Тёмный

TAMKO LA MAREKANI KUKAMATWA KWA VIONGOZI WA CHADEMA MBOWE, LISSU NA WENGINE NA KUPIGWA KWA SUGU 

MEDA NEWS
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

TAMKO LA MAREKANI KUKAMATWA KWA VIONGOZI WA CHADEMA MBOWE, LISSU NA WENGINE NA KUPIGWA KWA SUGU • TAMKO LA MAREKANI KUKA...
Baada ya kuachiliwa Viongozi wa CHADEMA, vijana, waandishi wa habari na mawakili waliokamatwa walipokuwa wakitaka kutekeleza haki yao ya kikatiba ya uhuru wa kukusanyika kwa amani Jijini Mbeya, Ubalozi wa Marekani Nchini umetoa tamko na kusema umepokea vyema taarifa hiyo.
“Marekani inaunga mkono kwa nguvu zote haki za msingi zisizoweza kupokwa za uhuru wa kujieleza na kukusanyika kwa amani kwa wote kama ilivyowekwa katika katiba za nchi zetu zote mbili, na ambazo ni muhimu kwa nchi zote za Kidemokrasia.
Tunatoa wito kwa serikali, vyama vyote vya siasa, asasi za kiraia, na wananchi kudumisha na kuheshimu haki hizi, na kushirikiana ili kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unakuwa huru, wa haki, wa amani, jumuishi, na wenye uwazi unaoakisi matarajio na matakwa ya wananchi wa Tanzania.”
Ubalozi huo umechapisha tamko hilo August 13, 2024 kupitia ukurasa wake wa X (Twitter)
baada ya viongozi wa chadema kuachiliwa
#chadema #mbowe #lissu #polisi

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
Далее
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 313 тыс.
The Most Elite Chefs Ever!
00:35
Просмотров 6 млн
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
Просмотров 1,7 млн
Chadema NYIMBO  MPYA YA SIKU YA VIJANA DUNIAN
5:21
Просмотров 13 тыс.
DP WORLD MAANA YAKE NI NINI? UTACHEKA SANA | AMBALIVE
11:23
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 313 тыс.