Тёмный

ASKOFU MKUU ATOA TAMKO KUKAMATWA KWA VIONGOZI WA CHADEMA MBOWE, LISSU NA WENGINE NA KUPIGWA KWA SUGU 

MEDA NEWS
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

ASKOFU MKUU ATOA TAMKO KUKAMATWA KWA VIONGOZI WA CHADEMA MBOWE, LISSU NA WENGINE NA KUPIGWA KWA SUGU • ASKOFU MKUU ATOA TAMKO...
Baada ya kuachiliwa Viongozi wa CHADEMA, vijana, waandishi wa habari na mawakili waliokamatwa walipokuwa wakitaka kutekeleza haki yao ya kikatiba ya uhuru wa kukusanyika kwa amani Jijini Mbeya, Ubalozi wa Marekani Nchini umetoa tamko na kusema umepokea vyema taarifa hiyo.
“Marekani inaunga mkono kwa nguvu zote haki za msingi zisizoweza kupokwa za uhuru wa kujieleza na kukusanyika kwa amani kwa wote kama ilivyowekwa katika katiba za nchi zetu zote mbili, na ambazo ni muhimu kwa nchi zote za Kidemokrasia.
Tunatoa wito kwa serikali, vyama vyote vya siasa, asasi za kiraia, na wananchi kudumisha na kuheshimu haki hizi, na kushirikiana ili kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unakuwa huru, wa haki, wa amani, jumuishi, na wenye uwazi unaoakisi matarajio na matakwa ya wananchi wa Tanzania.”
Ubalozi huo umechapisha tamko hilo August 13, 2024 kupitia ukurasa wake wa X (Twitter)
baada ya viongozi wa chadema kuachiliwa
#chadema #mbowe #lissu #polisi

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o 26 дней назад
Mungu yupo,tena uhai
@user-hq8wn9tz2l
@user-hq8wn9tz2l 24 дня назад
Wew ni mtu wa mungu ubarikiwe sana mtumishi
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 26 дней назад
Amina mtumishi wa mungu
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 24 дня назад
Huyo siyo Askofu ni mfuasi wa Chadema
@PhiribertLuseba
@PhiribertLuseba 26 дней назад
Mtumishi wa Mungu kristo akuangazie utukufu wake
@djumakonki1964
@djumakonki1964 26 дней назад
wakati jamii moja ilipoamua kupigania uhuru wa tanganyika viongozi kama hawa walikuwa upande wa WAKOLONI !! waliopigania uhuru wa tanganyika wajukuu zao bado wapo na wako tayari kuilinda tanzania na watu wake. MwenyeziMungu ibariki tanzania na watu wake.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 24 дня назад
Sijui nyie wengine mnaabudu Mungu yupi,unawezaje kufurahia maovu
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 24 дня назад
Achenichukiyakidini hilojambo likomimikononi mwapolisi
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 24 дня назад
Pichailiyopo niwazi kunamgawanyiko ndani kuhusiyana nudin hapamaaskofu niwaziwame onyesha mahalo walipo soi.hivoninyi mna ajeda yasiri kupitiya kanisa hilolinawakera kuonamama anavyo ongoza
@FridayMwassa
@FridayMwassa 24 дня назад
Mama anahusikaje, waislam Siku zote hamuwezi kukemea mabaya kwasababu tu rais ni mwislam mwenzenu,na huo siyo ucha Mungu, ubaya ni ubaya haijalishi amefanya nani
@user-uo2ld3hl5g
@user-uo2ld3hl5g 26 дней назад
Vita ya Msaraba inakuja hii siyo halali!!
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 26 дней назад
Samia Samia Samia. Kama umeipata barua hii na washahuri wako wameipitia, basi angalia ushauri wao kwa makini. Usiangalie udini, angalia ushairi sahihi. Haka ka Awadh Juma kamekuaibisha sana.
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 24 дня назад
Kwanini Hawa maaskofu ndiomstariwambele kupigakelele wakati jambohili linawahusu polisi
@user-hq8wn9tz2l
@user-hq8wn9tz2l 24 дня назад
Mtu wa mungu usimamia haki
@epimackjohn461
@epimackjohn461 23 дня назад
Kitu gani kimekuuma wew hujaandikiwa waraka aliyeandikiwa ndo atajibu na huenda akatumia BUSARA aliyo nayo kuufanyia kazi ?
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey 23 дня назад
Misimpake matope RAIS SAMIA UKWELI MTUPU KUWA HAYA YOTE YAME VIONGOZI WA CHADEMA PAMOJA NA MAPADRE AU WACHUNGAJI
@DodomaSentar
@DodomaSentar 25 дней назад
Barua hii nikubwasana vyombo vya dola tanzania havijitambui hasa jeshi la polisi wakati umefika kuacha unyanyasaji wa raia , mpaka vyama vya siasa. Hasa vyama vya upinzani.
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d 26 дней назад
Askofu ndio nani kwenye nchi ako kembamba
@epimackjohn461
@epimackjohn461 26 дней назад
Je wewe ni nani kwenye nchi mbona waraka huu hujaandikiwa wewe inakupa shida gani ? Je aliyeandikiwa akiafikiana na kuufanyia kazi waraka huu utafanyaje ?
@ShifaSinani-ed6po
@ShifaSinani-ed6po 24 дня назад
Kwani askofu sio mtanzaniya,atakama Mimi muhslamu
@ShifaSinani-ed6po
@ShifaSinani-ed6po 24 дня назад
Nawengine wote au viongozi wote no watazaniya ,sasa haruhusuwi kuongeya
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d 24 дня назад
Yeye ni nani
@makelelebahati5236
@makelelebahati5236 26 дней назад
Rais Samia suruhu hasani anatumia mfumo wa makufuri Tu.
@EliyaPaulo-uf6hh
@EliyaPaulo-uf6hh 26 дней назад
Unajua na wewe una bore sana unatuletea habari ya simulizi badala ya kuweka clip tusikie wenyewe
@medanews-
@medanews- 26 дней назад
@@EliyaPaulo-uf6hh kwani umelazimishwa kusikiliza simulizi
@AugustinoPeter-rn9bn
@AugustinoPeter-rn9bn 26 дней назад
Kusoma waraka wa askofu
Далее
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
FUJO za Mange kim@mbi Leo kwa Raisi
4:26
Просмотров 196
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00