Тёмный

TANGA Things To Do //Episode 2 

Malango Travels 🇹🇿
Подписаться 17 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 148   
@derrickringtho2563
@derrickringtho2563 3 года назад
I love Tanga so much.. Palm courts.. Bombo Hospital, Inn by the Sea, Bathing club in Raskazone, Donge, Splendid, Tanga Fresh etc.. I met my wife in Tanga and my first son was born there.. One day i will relocate from Uganda to Tanga
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Thank you watching. Tanga is beautiful indeed. Hope you are going to enjoy your relocation. Kindly don't forget to subscribe
@hacnordz9885
@hacnordz9885 3 года назад
@@malangotravels can i contact you
@pinky8628
@pinky8628 2 года назад
Beautiful tanga. I lived here during 1970 to 1979. Enjoyed every minute of my life here. Had wonderful childhood here. Visited tanga back during 2019. Was blessed to be here again. It's so beautiful & peaceful place.
@malangotravels
@malangotravels 2 года назад
Welcome again to Tanga
@pinky8628
@pinky8628 2 года назад
@@malangotravels definitely will visit again.
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 3 года назад
Thanks my brother Tanga home❤❤🔥🔥
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
🙏❤
@jamalsaid7475
@jamalsaid7475 Год назад
Tanga Yaani kumetulia kabisa Neema hio Raha Tanga sana Esp Maskani ya Jamal Chips yuko wazi hadi karibu midnight(Saa sita usiku)na Maskan ya Seif Halwa. Maa Shaa Allaah Tanga Tamu! Shukran sana
@KabintiSpecialVlogs
@KabintiSpecialVlogs 3 года назад
Watching from USA! We have such beautiful places in Tanzania 😍 thank you for taking us with you virtually in Tanga🤩🤩
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Thank you for watching. Wape hi USA
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 3 года назад
Indeed…!
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
@@antoinekatembo8520 asante sana kwa support. Wewe ni miongoni wa subscribers active sana kwenye channel hii
@yusrababuu
@yusrababuu 3 года назад
Home sweet home, Watching from Ireland, Asante kutuwekea mambo ya Tanzania yetu
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Nimefurahi kukuona hapa. Usisahau ku subscribe, like na ku ahare na ndugu jamaa na marafiki huko Ireland
@habibalmamari4600
@habibalmamari4600 2 года назад
Raised in Tanga original from Oman. The library in Tanga was my best place at my time it was free.. At the age of 11 years I was allowed to take two books in each week. The best book I read was... Robinson cruzo... And Zaburi... And many others.. Like ndeke wetu wa Africa..
@malangotravels
@malangotravels 2 года назад
Thanks for watching
@habibalmamari4600
@habibalmamari4600 2 года назад
You welcome 👍
@LifestylewithLyne
@LifestylewithLyne 3 года назад
Wooow Tanga kuzurii Sanaa na hii video quality yake ni 😋😋😋😋😋😋😋 mimi Tanga napitaga nje nje tu sijawahi fika mjini kabisa Asante kwa kutupa undani kidogo kuhusu Tanga
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Nimefurahi kukuona hapa Lyne. Asante kwa comment nzuri
@simplyzacky
@simplyzacky 3 года назад
Yaani video zako jamani mtu anaenjoy kuangalia na kujua maeneo mazuri. Good job kaka
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante sana
@ashaibrahim1786
@ashaibrahim1786 2 года назад
My home town.napapenda sana Tanga.watu wake ni wakarimu mno.vyakula usiseme.Tanga kula ni starehe na sio kujaza tumbo.
@malangotravels
@malangotravels 2 года назад
😀😀😀 kula ni starehe,,,,unenifurahisha mno na msemo huu
@aminamol266
@aminamol266 Год назад
Hard working brother, naupenda mkoa wetu
@malangotravels
@malangotravels Год назад
Pamoja
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 года назад
Aisee ni poa sana Tanga nimeikubali 😅tuna enjoy sana kk, I watch from Taiwan 🇹🇼
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante sana mdau. Wape hi pande hizo. Tafadhali share video zangu na wadau hapo Taiwan
@MichaelMwakibolwa
@MichaelMwakibolwa 2 года назад
Nitakuja hakika. Asante Kwa kutonyesha
@malangotravels
@malangotravels 2 года назад
Karibu
@isarichard
@isarichard Год назад
Watching from Lusaka Zambia. Planning to visit very soon in sha Allah.
@malangotravels
@malangotravels Год назад
Welcome
@mimibon7081
@mimibon7081 3 года назад
I love that you feature parks and libraries where people can just relax and vibe as well as beaches New Subscriber love your channel
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Thank you for watching and leaving this kind comment.
@jamessquare
@jamessquare 2 года назад
Hard-working brother, the world sees you. Keep doing your thing. Asante sana sana.
@malangotravels
@malangotravels 2 года назад
Asante sana brother
@anisadaghar2122
@anisadaghar2122 3 года назад
Hapa toka Cairo Egybt’ Wanikumpusha mbali na ku miss sana ahsanta kuifanya video hii
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante sana kwa kutizama. Jila la kheri hapo Cairo
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 11 дней назад
Mashallaah tanga yetu ❤❤😂
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 11 дней назад
Thanks bro 🙏 🙌
@malangotravels
@malangotravels 10 дней назад
Pamoja
@charlesleonard609
@charlesleonard609 2 года назад
Naomba kuijua lushoto Tanga mazingira yake
@malangotravels
@malangotravels 2 года назад
Endelea kuifuatilia channel hii
@allangodi3041
@allangodi3041 3 года назад
beautiful video, well edited, informative and educative. much love from kenya. av subscribed. i always want to visit tz. do more videos on other areas like mbeya, ruvuma,kigoma,a-town, mwanza etc. i also like how u interview the locals. coz wenyeji ndio wenye habari deep kabisa.
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante sana. I will visit all regions in Tanzania, just wait for upcoming contents
@Am77-007
@Am77-007 3 года назад
Man,this video has brought back lots of memories of the city. Shout out to you and eckenford secondary school
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Happy you have enjoyed the video. Kindly consider to subscribe
@MohamedAli-ho5fq
@MohamedAli-ho5fq 3 года назад
Nakumbuku nilvyokuwa mdogo nilikuwa naenda lebraly.atulipii bure
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Ilikua poa kabisa. Ila kiukweli library yenu kali kinyama!
@KasellaBantu
@KasellaBantu 3 года назад
Safi Sanaa @MalongoTravels Hongera kwa kazi Nzuri 👏🏿👏🏿👏🏿👊🏿
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante sana. Nashukuru sana kwa support yako mkuu. Pamoja sana
@robbynasenya
@robbynasenya 3 года назад
Kazi nzuri sana .....salute!
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante kwa kutazama na kuniachia comment ya kutia moyo
@sarahali5938
@sarahali5938 3 года назад
I really love Ur videos ... watching from qatar
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Thank you Sarah, kindly subscribe and share with ndugu jamaa na marafiki hapo Qatar
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 года назад
Bro uko vizuri. Asante kwa kutuonyesha Tanzania yetu tamu, tuipendayo kuliko nchi yeyote hapa duniani. Mdau kutoka Jamhuri ya watu wa China hapa.
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante sana mdau. Nashukuru kwa kutizama video hii. Wasalimie wadau hapo China
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 года назад
@@malangotravels Tuko pamoja Mdau
@tazmize4616
@tazmize4616 3 года назад
Love u for the knowledge you left for the world
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Thanks
@hoskyserge8623
@hoskyserge8623 3 года назад
First time i see your videos. Your videos are great. The best on Tanzania or any African countries for that matter. One reason: you let people talk about their city. Another but not least, in fact my first reason for why I enjoyed this video here: you show the library. Thanks so much. This alone makes your video special
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Wow, this is the sweetest comment ever in this channel. Thank you so much for those kind words. Kindly share my videos to your loved ones
@veronicacurry3149
@veronicacurry3149 2 года назад
Prayers 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@malangotravels
@malangotravels 2 года назад
Welcome
@oman7710
@oman7710 3 года назад
Masha Allah ahsante sana kaka maana nimemisi sana nyumban.
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante kwa kuangalia video mdau. Karibu nyumbani kumenoga
@herbaltipsherbalmedicine2688
@herbaltipsherbalmedicine2688 3 года назад
Good you tuber you will get 100000 subscribers soon
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Thank you for support
@rigobertsamweli8244
@rigobertsamweli8244 3 года назад
Penda sana Tanga, but all in all is the Old Tanga Library, aiseeee we acha tu, imenifanya nikumbuke fani yang ya UKUTUBI, naiona formular ilotumika ya Dew Desmal Classification "DDC" 000-999, Inquiries desk, Creation area, Studind area, stuff room etc. So big up bro! Keep it up. All the best to your adventure!
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante sana MKUTUBI. Usihau ku subscribe, like na kushare video hii kwa ndugu jamaa na marafiki pande hizo
@mahadsayyed7475
@mahadsayyed7475 3 года назад
Safi Sana bro much ❤️❤️ tz
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Pamoja sana mkuu. Upo active sana kwenye channel hii. Asante sana kwa support
@salehmohd3808
@salehmohd3808 3 года назад
Bro uko vizuri Sana ktk video zako lakini tuonyeshe miji iliyo Karibu na wilaya za Tanga🌹
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante sana kwa ushauri mdau. Mimi siishi Tanga. Nilitembelea tu kwa muda kufanya videos na kuondoka. Huko mbeleni panapo majaliwa nitarejea tena
@leticiachunga9118
@leticiachunga9118 3 года назад
Asante kaka, waoneshe ukubwa na uzuri Wa Tanzania❤️❤️❤️
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Ndicho ninachofanya. Nitatembelea mikoa yote hapo mbeleni mambo yakiwa mazuri
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Год назад
Ila hujatuonesha maeneo ya jetti na panori. 10.11.22.
@malangotravels
@malangotravels Год назад
Wakati mwingine
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Год назад
@@malangotravels thanks 🙏😁
@baharbinzagar6186
@baharbinzagar6186 2 года назад
حلوة شديد تستاهل الزيارة
@malangotravels
@malangotravels 2 года назад
Thanks for watching
@wm9669
@wm9669 3 года назад
Asante tena kwa video hii. Good one
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Nashukuru pia kwa kuangalia
@zehrabhanji4247
@zehrabhanji4247 3 года назад
Tanga library was my favourite place when I was in Tanga.
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Thank you for watching. The library is indeed beautiful and well equipped!
@eyumededu2948
@eyumededu2948 3 года назад
Kazi nzuri kaka
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante sana. Nimedurahi kukuona hapa. Usisahau ku subscribe, like na ku share video hii
@djb.8507
@djb.8507 3 года назад
Very nice place plan to visit one day. The only criticism is the authority should improve the market area and roads/walkway. Seem to be a chill place. So many fresh vegetables and fruits.
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Thank you for watching and taking your time to leave a comment. Kindly subscribe and share my content to your loved ones. Welcome to Tanzania
@jumaabakari2344
@jumaabakari2344 3 года назад
This is home,nice video brother
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante sana. Nimefurahi kuona wenyeji wa Tanga wenyewe wanafurahia video. Tafadhali share na ndugu jamaa na marafiki pande hizo
@muhammadazharhakeemdesk127
@muhammadazharhakeemdesk127 3 года назад
Watching from 🇨🇦 Canada Look beautiful Also add some English commentary Helpful who do not know local language
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Thank you for watching. Please consider to subscribe, like and share the video to your loved ones. Thanks also for your advise
@HasirIX
@HasirIX 3 года назад
Nimefurahi kuona hii channel, maana japo nipo mbali lakini napaona nyumbani bila shaka
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Nami nimefurahi kukuona hapa. Usisahau ku subscribe like na ku share video hii kwa ndugu jamaa na marafiki pande hizo
@HasirIX
@HasirIX 3 года назад
@@malangotravels hakuna tabu ok, tuko pamoja
@nyaksproduction
@nyaksproduction 3 года назад
Nice video watching from 254 keep it up
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
I see you. Thank you for support my Kenyan brother
@nyaksproduction
@nyaksproduction 3 года назад
@@malangotravels pamoja kaka
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
@@nyaksproduction Karibu Dar
@nyaksproduction
@nyaksproduction 3 года назад
@@malangotravels must come and u wil be my tour guider
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
@@rigobertsamweli8244 comment nzuri. Ila ungeiweka separate watu wengi wakaisoma na siyo kwenye replies
@nanaadowa5279
@nanaadowa5279 3 года назад
show us some more beaches in Tanzania
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Don't worry
@Derevamkongwe6864
@Derevamkongwe6864 3 года назад
Unachelewa sana kuweka video
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Kwa sasa naweka video moja kwa wiki. Baadae kidogo nitaweka 2 kwa wiki. Inahitaji muda wa ziada kuweka quality content ambayo watu wataapreciate. Vinginevyo naweza kuweka video kila siku lakini ubora unakuwa kiwango cha chini zaidi. Ila ushauri wako nitauzingatia
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 года назад
Masha allah my country so sweet home walah Tanga ni nzuri usisikie hapo kaonesha tu nenda kakae japo 1 week utapenda mno maan alhamdulillah tumejaaliwa upendo ndioman twaitwa wachawi hakuna uchawi upendo tu unawafanya wasirejee makwao walah Tanga rahaaa nipo Oman
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante sana mdau toka Oman. Ni kweli kabisa Tanga ni nzuri sana. Watu wake wakarimu kweli kweli
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 года назад
@@malangotravels naaaam
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 3 года назад
Mashallah sisi watu wa Tanga wakarimu sana a lhamdulillah tunaimss Tanga yetu tuko Oman tunatafuta inshallah tutarudi Tanga kwetu❤❤🔥🔥
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
@@HalimaHalima-id2cb kila la kheri huko mliko
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 года назад
@@HalimaHalima-id2cb kabis kipenzi
@mrsocotraisland1939
@mrsocotraisland1939 3 года назад
asalamu aleikum nice video i liked halima who are kasela public service collage student masha allah she is pretty
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Thanks for watching. Halima is indeed beautiful! Kindly consider to subscribe like and share the video to your loved ones
@mrsocotraisland1939
@mrsocotraisland1939 3 года назад
@@malangotravels bro i subscribed you one month ago i like your video because you translate in english thanks alot
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
@@mrsocotraisland1939 Thanks a lot for your support
@راهيهراهيه
@راهيهراهيه 3 года назад
Namis home jamani
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante kwa support
@HalimaYahaya-mo6il
@HalimaYahaya-mo6il 9 месяцев назад
❤❤❤
@malangotravels
@malangotravels 9 месяцев назад
are you Halima in the video?
@fahimsungura775
@fahimsungura775 3 года назад
safi sana all the way from kigoma
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante sana. Nimefurahi kukuona hapa. Wasalimie Kigoma. Usisahau ku subscribe, like na ku share na ndugu jamaa na marafiki pande hizo
@nestashi9648
@nestashi9648 3 года назад
Tanga ina pisi kali kinyama
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Hatari! Usisahau ku subscribe, like na ku share video hii
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 года назад
Sijui kwa nini watanzania hawajali au kupenda kujua sehemu zote nzuri sana nchini 🤔😏channel kama hizi hakuna watazamaji wengi
@malangotravels
@malangotravels 2 года назад
Mdogo mdogo tutafika!
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 года назад
🖤💚💙💛🇹🇿🇹🇿
@malangotravels
@malangotravels 2 года назад
🇹🇿
@edkay4448
@edkay4448 Год назад
Where are the bars and clubs in Tanga?
@malangotravels
@malangotravels Год назад
Are you in Tanga already? Just ask around
@edkay4448
@edkay4448 Год назад
@@malangotravels no but I’m planning on coming. I’m sure there are many but which areas in Tanga so I can start planning
@aslamadmani6251
@aslamadmani6251 3 года назад
Video zako ziko Safi na maelezo ni murwa... Endelea Kuzunguuka kote Tanzania kaka.
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Asante sana mkuu kwa kuniachia comment nzuri. Usisahau ku subscribe, like na ku share video hii kwa ndugu jamaa na marafiki
@aslamadmani6251
@aslamadmani6251 3 года назад
@@malangotravels Sawa brother... Endelea jutujuza..!
@abdikaniamarre3503
@abdikaniamarre3503 2 года назад
Who lives now there?✋
@malangotravels
@malangotravels 2 года назад
Where?
@abdikaniamarre3503
@abdikaniamarre3503 2 года назад
Tango city Tanzania?
@malangotravels
@malangotravels 2 года назад
@@abdikaniamarre3503 check my video "Tanga Where the Rich Live" minutes 12,,,, there is Salim's number, a famous broker in Tanga.
@noorjehanosman9667
@noorjehanosman9667 3 года назад
U7
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Thanks for watching
@gingermarie1760
@gingermarie1760 3 года назад
God loves you so much that He sent His Holy Son Jesus from heaven to earth, to be born of a virgin, to grow up and die on a cross for our sins, and to be put into a tomb 3 days and rise from the dead the third day, and He (Jesus) went back up to heaven. We must receive Sinless Jesus sincerely to be God's child(John 1:12).After we get saved by grace through faith in Christ, if we truly love the Lord Jesus Christ, then we will obey Jesus(John 14:15). Mark 1:15 "And saying, the time is fulfilled, and the kingdom of God is at hand: Repent ye, and believe the gospel." Jesus said in John 14:15 "If you love Me, keep My commandments. "There's a real hell. It says in Revelation 21:8 "But for the cowardly, and unbelieving, and abominable, and murderers, and immoral persons and sorcerers and idolaters and all liars, their part will be in the lake that burns with fire and brimstone..." Please sincerely receive Holy Jesus and put your true faith and trust in Him today and *please repent.*
@malangotravels
@malangotravels 3 года назад
Ameeeeen!!!
Далее
TANGA Where the RICH Live //Episode 3
17:00
Просмотров 48 тыс.
NAMTAKA HUYU
10:37
Просмотров 807 тыс.